Back

ⓘ Almasi za damu
Almasi za damu
                                     

ⓘ Almasi za damu

Almasi za damu ni istilahi inayotumiwa kwa ajili ya almasi zinazochimbwa katika ukanda wenye vita na kuuzwa na hatimaye kufadhili machafuko ya kivita katika ukanda husika. Istilahi hiyo inatumika kuangazia matokeo mabaya ya biashara ya almasi katika baadhi ya maeneo, au kupachika majina kwa wauzaji au muuzaji anayejihusisha na almasi zinazotokana na maeneo hayo.

Almasi zilizochimbwa hivi karibuni katika kanda za kivita huko nchini Angola, Ivory Coast, Sierra Leone, Liberia, Guinea, Ghana, na Guinea Bissau zote zimepewa jina la almasi za damu. Hali hii ilikuja kupata ufumbuzi baada ya azimio la "Mkataba wa Kimberley".

                                     

1. Viungo vya nje

 • AllAsOne.org - Blood diamond trade awareness
 • Diamond Dealers in Deep Trouble as Bank Documents Shine Light on Secret Ways - Documentation about financial flows between HSBC Private Bank and blood diamond dealers, see also Swiss Leaks
 • The Truth About Blood Diamonds - The international focus on "conflict minerals" is a self-serving charade.; The Wall Street Journal
 • Diamonds in Conflict - Global Policy Forum
 • Stopping Blood Diamonds - The success of the Kimberley Process
 • Editora Oferece "Diamantes de Sangue" em Formato Digital a Todos. Maka Angola, Editora da Tinta da China
 • Stop Blood Diamonds - Blood diamonds awareness initiative
 • Canadian Mined Diamonds
 • PAWSS Conflict Topics - Conflict Diamonds
 • DiamondFacts.org - World Diamond Council
 • Africas War with Blood Diamonds Archived Aprili 4, 2019 at the Wayback Machine.
 • Kireno
                                     
 • upande weka kucha za mikono tofauti za kidole kilekile upande kwa upande, ukucha kwa ukucha dirisha ndogo lenye umbo la almasi kwa kawaida huonekana
 • enzi za ukoloni, bado ni kati ya wazalishaji wakuu ulimwenguni wa dhahabu. Mauzo yake mengine nje ya nchi kama vile kakao, mbao, umeme, almasi bauxiti
 • Kiingereza. André Action Jackson au Diakité - M zée Fula Ngenge, mwanabiashara wa almasi Leroy lita, mchezaji mtaalamu wa soka wa Middlesbrough katika Ligi Kuu
 • Tabianchi El Nino Global warming Tetemeko la ardhi Jiolojia Madini Almasi Gandunia Mwamba jiolojia Maafa asilia Volkeno Hali ya hewa

Users also searched:

...
...
...