Back

ⓘ HelikoptaHelikopta
                                     

ⓘ Helikopta

Helikopta ni aina ya chombo cha usafiri wa anga ambacho hakina magurudumu, ila mapanga yazungukayo kwa juu yake. Hayo yanakiwezesha kuinuka na kutua wima mahali popote pakavu, kwenda mbele au kurudi nyuma, kuelea angani na hata kujongea kiupandeupande.

Tabia hizo zinaruhusu helikopta kutumika katika maeneo yaliyojaa au yaliyotengwa ambapo ndege haziwezi kufanya kazi kutokana na jinsi ilivyoundwa.

Kuna aina mbalimbali za helikopta kama helikopta za uzimaji moto, za vita n.k.

Jina helikopta hutoka katika neno la Kiingereza helicopter ambalo limetoholewa kutoka katika neno la Kifaransa helicoptere lililotajwa na Gustave Ponton dAmécourt mnamo mwaka 1861, ambayo asili yake ni kutoka katika maneno ya Kigiriki helix ἕλιξ lenye maana ya "izungukayo" na pteron πτερόν lenye maana ya "mbawa".

Free and no ads
no need to download or install

Pino - logical board game which is based on tactics and strategy. In general this is a remix of chess, checkers and corners. The game develops imagination, concentration, teaches how to solve tasks, plan their own actions and of course to think logically. It does not matter how much pieces you have, the main thing is how they are placement!

online intellectual game →