Back

ⓘ Bahari ya Marmara
Bahari ya Marmara
                                     

ⓘ Bahari ya Marmara

Bahari ya Marmara ni gimba la maji ya chumvi kati ya Ulaya na Asia ndani ya nchi ya Uturuki. Imezungukwa na nchi kavu pande zote isipokuwa kuna milango miwili miembamba ya kuiunganisha na upande wa kusini na Bahari Nyeusi upande wa kaskazini. Milango hii ni Dardaneli upande wa Mediteranea na Bosporus upande wa Bahari Nyeusi.

Urefu wake ni hadi 282 km na upana 80 km. Kina cha maji hufikia mita 1.300 chini ya UB. Eneo lake ni 11.655 km² na 182 km² ni visiwa ndani yake.

Mji mkubwa kando lake ni Istanbul.

                                     
 • Kupitia mlangobahari wa Dardaneli imeungana na Bahari ya Marmara Bosporus na Bahari Nyeusi. Jina la bahari hii kwa Kigiriki wanaliita Αἰγαῖον Πέλαγος Aigaion
 • Bahari Nyeusi inaunganishwa kwa njia ya mlangobahari wa Dardaneli, Bahari ya Marmara na mlangobahari wa Bosporus. Tangu mwaka 1869 kuna pia njia ya maji
 • Asia ya Magharibi. Imeunganishwa na Bahari ya Mediteranea kwa njia ya Bahari ya Marmara pamoja na milango ya bahari ya Bosporus na Dardaneli. Ina eneo la
 • Adalar ni sehemu ya jiji la Istanbul kwenye kanda ya Marmara huko nchini Uturuki. Ni sehemu ya visiwa ndani ya Bahari ya Marmara na jina la Kituruki linamaanisha
 • hata Bahari ya Aktiki hutazamiwa kuwa bahari ya pembeni ya Atlantiki. Bahari Nyeusi imetengwa na Uturuki Bahari ya Marmara Bahari ya Adria Bahari ya Aegean
 • Buluu Marmara ni meli la kubeba abiria la kisiwa cha Komori inayomilikwa na shirika la IDO Istanbul Fast Ferries Co. Inc. katika bahari ya Marmara Meli
 • Marmara Ereğli ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Tekirdağ kwenye kanda ya Marmara huko nchini Uturuki.
 • Marmara District Balıkesir ni mji na wilaya iliopo katika Mkoa wa Balıkesir kwenye kanda ya Marmara huko nchini Uturuki.
 • Bosporus Kituruki: Bogaziçi ni mlango wa bahari katika Uturuki unaounganisha Bahari Nyeusi na Bahari ya Marmara Mlango huu una urefu wa 32 km na sehemu
 • mwa nchi, imepakana na Bahari ya Aegean Ege Denizi katika upande wa kaskazini, kanda ya Marmara katika kaskazini, kanda ya Mediterranea katika kusini
 • uliopo mjini kaskazini - mashariki mwa nchi ya Uturuki, kwenye upande wa mashariki mwa pwani ya Bahari ya Marmara Mikoa inaypakana na mkoa huu ni pamoja
 • Gebze. Kodi ya trafiki katika jimbo hili ni 41. Mkoa upo mwishoni kabisa mwa mashariki mwa Bahari ya Marmara hasa katika eneo la Pwani ya Izmit. Kwa kufuatia