ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 98
                                               

Hissan Muya

Hissan Muya ni mwigizaji, mtayarishaji na mwongozaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa uhusika wake wa Tino" kutoka katika filamu mbalimbali. Miongoni mwa filamu alichocheza ni pamoja na: Mimi na Mungu Wangu, Mr.Nobody, Justi ...

                                               

Hitomi Sekine

Hitomi Sekine (関根 瞳, Sekine Hitomi, alizaliwa 9 Mei 2000) ni mwigizaji wa sauti kutoka Meieki, Tokyo, Japani. Anashirikiana na kampuni ya "Im Enterprise Co." inayokuza waimbaji nchini Japani.

                                               

Holland Roden

Holland Marie Roden ni mwigizaji wa Marekani. Yeye anajulikana kwa majukumu yake kama Lydia Martin katika mfululizo wa Teen Wolf. Pia kama Zoe Woods katika mfululizo wa Syfys.

                                               

Djimon Hounsou

Djimon Gaston Hounsou ni mshindi wa Tuzo ya Academy akiwa kama mwigizaji bora wa kutoka nchini Benin. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Solomon Vandy kutoka katika filamu ya Blood Diamond aliyocheza na nyota Leonardo DiCaprio, vilevile J ...

                                               

Hrithik Roshan

Hrithik Roshan ni mwigizaji wa Uhindi. Roshan alikuwa ameonekana kama mwigizaji mwenye umri mdogo katika sinema nyingi katika miaka ya 1980. Yeye alifanya filamu yake ya kwanza katika Kaho Naa. Pyaar Hai mwaka 2000. Utendaji wake katika filamu ul ...

                                               

Hugo Ayala

Hugo Ayala Castro ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye sasa anacheza kama beki wa klabu ya Tigres UANL na timu ya taifa ya Mexiko.

                                               

Hugo Lloris

Hugo Hadrien Dominique Lloris ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Tottenham Hotspaurs na timu ya taifa ya Ufaransa, Ndiye nahodha mkuu wa pande zote mbili anazochezea. Lloris alianza kazi yake ya mpira wa mig ...

                                               

Hugo Sánchez

Hugo Sánchez Márquez ni mchezaji mstaafu wa soka wa Mexiko ambaye alicheza kama mshambuliaji katika timu ya Real Madrid. Mchezaji huyu aliyejulikana sana kwa ajili ya mchezo na uwezo wake wa ajabu, Sánchez anaonekana sana kama mchezaji bora wa Me ...

                                               

Prince Paul (mtayarishaji)

Paul Huston, anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Prince Paul, ni DJ na mtayarishaji wa rekodi za muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Pia alikuwa mmoja kati ya waanzilishi wa kundi la Gravediggaz ambamo alitumia jina la The Under ...

                                               

Hwang Hee-chan

Hwang Hee-chan ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Korea Kusini ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Red Bull Salzburg na timu ya taifa ya Korea ya Kusini.

                                               

Iago Aspas

Iago Aspas Juncal ni mchezaji wa soka ya kitaalamu wa Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu Celta de Vigo iliyopo nchini Hispania na timu ya taifa ya Hispania. Alitumia zaidi kazi yake na Celta de Vigo akiwa amecheza michezo 279 ras ...

                                               

Aníbal Ibarra

Anibal Ibarra ni mwanasheria na mwanasiasa wa Argentina kutoka eneo la Lomas de Zamora, wilaya iliyo katika eneo kusini ya Gran Buenos Aires. Alifanya kazi kama mwendesha mashtaka katika mahakama, lakini alijiuzulu kazi hii ili kushiriki katika s ...

                                               

Ibrahim Ajibu Migomba

Ibrahim Ajibu Migomba ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tanzania anayecheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Ligi kuu ya Tanzania Simba Sports Club. Ni mmoja kati ya wachezaji waliojaliwa kipaji cha hali ya juu na anatajwa kati ya wach ...

                                               

Ibrahim Amadou

Ibrahim Amadou ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza katika klabu ya Hispania Sevilla FC kama beki wa kati. Pia anacheza kama kiungo wa kujiHami katika klabu hiyo.

                                               

Ibrahim Boubacar Keïta

Ibrahim Boubacar Keïta ndiye Rais wa Mali anayeshika madaraka tangu mwaka 2013. Alikuwa Waziri Mkuu wa Mali kutoka mwaka 1994 hadi 2000 na Rais wa Bunge la Kitaifa la Mali kutoka 2002 hadi 2007- Keïta ndiye baba wa mwanzilishi wa mrengo wa kisias ...

                                               

Ice Cube

OShea Jackson ni rapa, mwigizaji na pia mwongozaji wa filamu wa Marekani. Anatazamika kama ni msanii mkubwa duniani wa muziki aina ya hip hop. Ice Cube alianza shughuli zake za kimuziki kama mmoja wa waanzilishi wa kundi la muziki aina ya hip hop ...

                                               

Ice-T

Tracy Marrow, anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama Ice-T, ni rapa na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Alizaliwa mjini Newark, New Jersey na kisha baadaye akahamia mjini Los Angeles, California. Baada ya kuhitimu masomo ya elimu ya juu, ali ...

                                               

Ida Ljungqvist

Ida Ljungqvist ni Mtanzania-Mswidi na ni mwanamitindo wa Kiafrika wa kwanza kuchaguliwa kama playboy playmate wa mwezi na ni wa 50 kwa maplaymate wa mwaka.

                                               

2Face Idibia

Innocent Ujah Idibia anafahamika kama 2Face Idibia ni mwanamuziki wa ngoma ya hip hop kutoka Nigeria na ni mtunzi. Alikuwa mwanachama wa kundi la muziki aina ya R & B / hip hop kilichoitwa Plantashun Boyz. Sasa hivi ana uhusiano wa dhati na muigi ...

                                               

Idriss Déby

Marshal Idriss Déby Itno ni mwanasiasa ambaye amekuwa Rais wa Chad tangu mwaka 1990. Yeye pia ni mkuu wa Harakati ya Wokovu ya Kizalendo. Déby ni wa ukoo wa Bidyat wa kabila la Zaghawa. Yeye ni mhitimu wa Kituo cha Mapinduzi cha Ulimwengu cha Mua ...

                                               

Idrissa Gueye

Idrissa Gana Gueye ni mchezaji wa soka wa Senegal ambaye anacheza katika klabu ya Paris Saint Germain F.C. na timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Senegal.

                                               

Iggy Azalea

Amethyst Amelia Kelly ni rapa, mwimbaji, mwandishi wa wimbo, mwanamitindo na mkurugenzi wa video ya muziki wa Australia. Katika umri wa miaka 16, Azalea alihamia Marekani kutafuta kazi ya muziki, akapata kujulikana baada ya kutoa video za muziki ...

                                               

Enrique Iglesias

Enrique Miguel Iglesias Preysler ni mwimbaji wa muziki aina ya pop, mtunzi na mwigizaji wa filamu kutoka nchi ya Hispania. Ni mtoto wa mwimbaji wa muziki bwana Julio Iglesias na mwandishi wa habari, mwanamitindo na mtangazaji wa vipindi vya teles ...

                                               

Iker Casillas

Iker Casillas Fernández ni mchezaji kutoka Hispania anayecheza kwenye klabu ya FC Porto na timu ya taifa ya Hispania kama golikipa. Cassilas anajulikana kama golikipa mwenye mafanikio makubwa kwa muda wote katika soka.Casillas alianza kucheza mpi ...

                                               

Ilhan Omar

Ilhan Abdullahi Omar ni mwanasiasa wa Marekani ambaye amekuwa mwakilishi wa Jimbo la Minnesota tangu mwaka 2019. Yeye ni mwanachama wa Democratic–Farmer–Labor Party. Kabla ya kuchaguliwa kwenye Bunge la Kitaifa, Omar alikuwa mwakilishi katika bun ...

                                               

Iman

Iman Mohamed Abdulmajid, anajulikana kitaaluma kama Iman, ni mwanamitindo Msomali, mwigizaji na mwongozaji kutoka nchini Marekani. Ameolewa na David Bowie.

                                               

Natalie Imbruglia

Natalie Jane Imbruglia ni mwigizaji wa filamu na tamthilia na ni mwanamuziki-mtunzi wa pop, mwanamitindo kutoka nchini Australia.

                                               

Imran Khan

Imran Ahmed Khan Niazi ni Waziri Mkuu wa 22 na wa sasa wa Pakistan na mwenyekiti wa chama cha Pakistan Tehreek-e-Insaf. Imran Ahmed Khan alipita kwa kupigwa kura 176 ambapo mshindani wake kutoka chama cha Kiislamu cha Pakistan PML, Shahbaz Sharif ...

                                               

Ingrid Mwangi

Ingrid Mwangi ni mwandishi wa Kenya na Ujerumani. Alihudhuria Hochschule der Bildenden Künste Saar huko Saarbrücken, Ujerumani mwaka 1996–2002. Anafanya kazi ya kupiga picha, uchiongaji, sana ya usindikaji.

                                               

Collins Injera

Collins Injera ni {1)mchezaji wa raga kutoka Kenya. Yeye anajulikana kwa mafanikio yake kwa timu ya taifa ya raga ya wachezaji saba ya Kenya.

                                               

InnossB

Innocent Didace Balume ni mwanamuziki na mwandishi wa nyimbo kutoka katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ni mwanamuziki mzuri mwenye uwezo wa kucheza na kurapu.

                                               

Inspector Haroun

Haroun Rashidi Kahena ni mwanamuziki kutoka Temeke, Dar es Salaam, nchini Tanzania. Yuko katika kundi la Tmk Wanaume Halisi. Inspector Haroun ni mtoto wa mzee Kahena aishiye huko Temeke Mikoroshini, jijini Dar es Salaam.

                                               

Irene Paul

Irene Paul ni mwigizaji wa filamu za Kitanzania ambaye anawakilisha vizuri sanaa ya uigizaji Tanzania kwani ameshiriki katika sinema kadhaa za kimataifa. Pamoja na uigizaji, ni mjasiriamali ambaye anatangaza kazi zake na sasa ameanzisha brand yak ...

                                               

Irene Uwoya

Irene Pancras Uwoya ni mwigizaji na mwongozaji wa filamu, mwanamitindo wa zamani na mjasiriamali kutoka nchini Tanzania. Irene pia alishiriki mashindano ya "Miss Tanzania" na kushika nafasi ya tano mwaka 2006/2007 Alifahamika sana kwa uhusika wa ...

                                               

Isaac Isinde

Isaac Isinde ni mchezaji wa soka wa Uganda ambaye sasa anacheza kama beki katika klabu ya Buildcon F.C katika Ligi Kuu ya Zambia. Alianza kucheza mpira wa miguu katika shule ya Upili ya Jinja Senior Secondary School, iiliyopo Mashariki mwa Uganda ...

                                               

Isabel dos Santos

Isabel dos Santos ni mfanyabiashara na mjasiriamali wa kike kutoka nchini Angola. Yeye ni mtoto wa kwanza wa rais wa zamani wa Angola José Eduardo dos Santos, ambaye alitawala nchi hiyo tangu mwaka 1979 hadi 2017. Mnamo mwaka 2019 alitajwa kuwa m ...

                                               

Isaias Afwerki

Isaias Afwerki ni mwanasiasa wa Eritrea ambaye amekuwa Rais wa kwanza na wa sasa wa Eritrea, msimamo ambao ameshikilia tangu baada ya Vita vya Uhuru vya Eritrea mnamo 1993. Aliongoza Ushirikiano wa Eritrea wa Liberation Front hadi ushindi mnamo M ...

                                               

Isco

Fransisco Román Alarcón Suárez ni mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania anayecheza kama kiungo mshambuliaji. Ni mchezaji anayejulikana kuwa ni mmoja kati ya viungo washambuliaji bora kabisa duniani. Alianza kucheza kwenye klabu ya ...

                                               

Ismaila Sarr

Ismaïla Sarr ni mchezaji wa soka wa Senegal ambaye anacheza kama winga kwa klabu ya Uingereza Watford na timu ya taifa ya Senegal.

                                               

Ismaïl Omar Guelleh

Ismaïl Omar Guelleh ni Rais wa sasa wa Jibuti, madarakani tangu mwaka 1999. Guelleh alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Rais mnamo 1999 kama mrithi wa mikono ya mjomba wake, Hassan Gouled Aptidon, ambaye alikuwa ametawala Jibuti tangu uhuru mnam ...

                                               

Ivan Fiolić

Fiolić ni kiongozi wa vijana kutoka Dinamo Zagreb. Alifanya Prva HNL yake ya kwanza tarehe 10 Mei 2014 dhidi ya NK Istra 1961 katika kushindwa kwa 2-1 Chini ya kufundishwa na Zoran Mamić. Fiolić alikopwa kwa uhusiano wa Dinamo NK Lokomotiva ili k ...

                                               

Ivan Perisic

Ivan Perisic ni mchezaji wa mpira wa miguu ambaye anacheza kwenye klabu ya Internazionale na timu ya taifa ya Kroatia. Kwa kawaida anacheza kama winga, lakini pia anaweza kutumika kama kiungo mshambuliaji. Perišić alijitolea jina wakati akicheza ...

                                               

Ivan Rakitic

Ivan Rakitic ni mchezaji mtaalamu sana ambaye anacheza kama kiungo wa kati au mshambuliaji wa klabu iliyopo Hispania Barcelona FC na timu yake ya kitaifa Croatia. Rakitić alianza kazi yake huko Basel na alitumia misimu miwili pamoja nao kabla ya ...

                                               

Ivan Zaytsev

Ivan Zaytsev ni mchezaji wa mpira wa wavu wa Italia mwenye asili ya Urusi. Ivan Zaytsev ni mwanachama wa timu ya taifa ya mpira wa wavu ya Italia na klabu ya Italia ya Modena Volley. Alizawadiwa medali ya shaba katika michezo ya Olimpiki huko Lon ...

                                               

Ja Rule

Jeffrey Atkins, anafahamika kwa jina lake la kisanii Ja Rule, ni rapa kutoka nchini Marekani, mwimbaji, na vilevile mwigizaji kutoka mjini Queens, New York. Alizaliwa mjini Hollis, Queens, alianza kutamba kunako mwaka wa 1999 akiwa na albamu ya V ...

                                               

Jace Lee Norman

Jace Lee Norman ni mwigizaji filamu wa Marekani. Alishinda tuzo yake ya nne ya Chaguo la watoto mfululizo kwa kitengo hicho katika Tuzo za watoto za 2020, Nickelodeon.

                                               

Jackie Joyner-Kersee

Jacqueline "Jackie" Joyner-Kersee ni mchezaji wa Marekani aliyestaafu. Yeye ni mmoja wa wanariadha wengi katika mashindano makubwa ya wanawake duniani na pia katika kuruka kwa wanawake kwa muda mrefu. Joyner-Kersee aliwakilisha Marekani kwa miche ...

                                               

Peter Jackson

Peter Jackson ni mwongozaji filamu wa Kinyusiland. Anafahamika zaidi kwa kuongoza mfululizo wa filamu ya The Lord of the Rings. Mnamo mwaka wa 2003, Jackson alishinda tuzo ya Academy kwa kuongoza filamu ya The Lord of the Rings: The Return of the ...

                                               

Randy Jackson (mwanamuziki)

Steven Randall "Bob" Jackson ni mwimbaji na mwanamuziki, mwanachama wa Jacksons. aliyejulikana kama "Little Randy", yeye ni mdogo wa kaka wa Jackson, na wa pili mdogo wa ndugu tisa wa Jackson, kabla ya dada yaoJanet. Randy alikuwa na miaka tatu t ...

                                               

Jacques Maghoma

Jacques Ilonda Maghoma ni mchezaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya michuano ya Uingereza Birmingham City na timu ya taifa ya Kongo.