ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 93
                                               

Christina Shusho

Christina Shusho amezaliwa na kukua katika malezi mazuri ya dini ya Kikristo mkoani Kigoma. Amesoma Shule ya Msingi na Sekondari hukohuko. Aliolewa jijini Dar es Salaam na kujaliwa kupata watoto watatu. Alianza kama mfanya usafi kanisani. Katika ...

                                               

Chioma Chukwuka

Chioma Chukwuka ni mwigizaji Nollywood Nigeria. Mwaka 2007 aliibuka mshindi wa Afrika Kisasa Academy Award kwa Muigizaji bora katika mhusika mkuu.

                                               

Ciro Immobile

Ciro Immobile ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Lazio na timu ya taifa ya Italia. Alianza kazi yake huko Sorrento. Mnamo 2009, alinunuliwa na Juventus, kisha akatolewa kwa mkopo kwenda Genoa mwaka 2012. B ...

                                               

Clatous Chama

Clatous Chama ni mchezaji wa soka wa Zambia. Chama aliisaidia ZESCO United F.C. kufika nusu fainali za Ligi ya Mabingwa ya CAF kabla ya kusaini mkataba wa miaka 3 na Al Ittihad ya Misri. Hata hivyo, mwezi wa Februari 2017 Chama aliichezea Lusaka ...

                                               

Claudio Bravo

Claudio Andrés Bravo ni mchezaji wa soka wa Chile ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Manchester City na timu ya taifa ya Chile. Alianza kazi yake na Colo-Colo na alihamia Real Sociedad mwaka 2006, alionekana katika mi ...

                                               

Claudio Zappa

Claudio Zappa ni mchezaji wa soka wa Italia. Alianza kazi yake ya kitaaluma katika timu ya vijana wa mtaa wa Lumezzane. Mwaka wa 2011, alihamishiwa AlbinoLeffe, tena katika sekta ya vijana. Mwaka 2013, alikamilisha uhamisho wa klabu ya Kireno S.C ...

                                               

Bill Clinton

William Jefferson Clinton, anafahamika zaidi kama Bill Clinton, alikuwa rais wa 42 wa Marekani. Alianza kutumikia taifa la Marekani kuanzia mwaka wa 1993 hadi 2001. Alipochaguliwa kuwa rais, alikuwa na umri wa mika 46. Mpinzani wake mkubwa alikuw ...

                                               

Hillary Rodham Clinton

Hillary Rodham Clinton ni seneta kutoka katika jimbo la New York, Marekani. Hilary vilevile ni mwanasheria. Ameolewa na rais wa zamani wa Marekani, Bill Clinton. Wakati mumewe alipokuwa rais, Hilary alipewa jina la Mwanamke wa Kwanza au Mke wa ra ...

                                               

Keyshia Cole

Keyshia Miesha Cole ni msanii wa rekodi za muziki kutoka nchini Marekani. Ametoa albamu yake ya kwanza yenye platinum The Way It Is mnamo Juni 2005, na albamu yake aliyoitoa akiwa chuoni kwa mwaka wa pili iliyoitwa Just Like You hapo mwezi wa Sep ...

                                               

Colin Morgan

Colin Morgan ni mwigizaji kutoka Ireland ya Kaskazini, anayejulikana sana kwa kucheza kama mhusika mkuu katika mfululizo wa fantasia ya BBC wa Merlin.

                                               

Holly Marie Combs

Holly Marie Combs ni mwigizaji na matayarishaji wa vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza uhusika wa Piper Halliwell kwenye mfululizo wa TV uliokuwa unarushwa na The WB, Charmed 1998–2006. Katikati mwa miaka ...

                                               

Sean Combs

Sean John Combs, anajulikana kwa jina lake la kisanii Diddy, ni Mmarekani mtayarishaji wa rekodi, rapa, mwigizaji, mtengenezaji wa nguo za kiume, mjasiriamali na mchezaji ngoma shupavu. Yeye alishinda tuzo ya Grammy tatu na mbili s MTV Video Musi ...

                                               

Constantine John Kanyasu

Constantine John Kanyasu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Geita Mjini kwa miaka 2015 – 2020.

                                               

Coolio

Artis Leon Ivey, Jr., anafahamika sana kwa jina la kisanii kama Coolio, ni rapa, mwanamuziki na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Amekuwa mashuhuri wakati wa 1994 na kibao chake cha kwanza cha "Fantastic Voyage", na kisha baadaye mwaka wa 1995 na ...

                                               

Francis Coquelin

Francis Coquelin ni mchezaji wa Ufaransa ambaye huchezea klabu ya Arsenal kama mchezaji wa kati. Yeye alijiunga na klabu ya Arsenal kutoka Stade Lavallois katika majira ya joto ya mwaka wa 2008.

                                               

Corentin Tolisso

Corentin Tolisso ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ujerumani Bayern Munich na timu ya taifa ya Ufaransa. Mhitimu wa chuo cha Lyon, alifanya kazi yake ya kwanza kwa klabu mwaka 2013 na alicheza mechi 160 na ak ...

                                               

Cormega

Cormega alizaliwa mjini Brooklyn, NY na kukulia katika maeneo mbalimbali ya mjini humo New York City, alijenga urafiki wa utotoni na marapa wa baadaye kama vile Nas, Nature, na Capone. Maudhui mengi katika muziki wake yanahusu hasa marafiki na nd ...

                                               

Ramiro Corrales

Ramiro amechezea timu ya taifa ya Marekani,akicheza katika daraja la vijana walio chini ya umri wa miaka 20 na daraja la vijana walio chini ya umri wa miaka 23. Alicheza,pia,katika timu ya taifa katika mechi nne. Hii ilikuwa katika miaka ya 1990s ...

                                               

Cosato Chumi

Cosato David Chumi ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mafinga Mjini kwa miaka 2015 – 2020. Alizaliwa katika Wilaya ya Mufindi. Alijiunga na elimu ya msingi mwaka 1984 na kuhitimu mwaka ...

                                               

Cree Cicchino

Cree Cicchino ni mwigizaji wa Marekani. Cree Cicchino alianza kazi yake kama mwigizaji akiwa mdogo akicheza mmoja wa wahusika wakuu katika safu ya Game Shakers kwenye Nickelodeon Archived Julai 17, 2013 at the Wayback Machine., ambayo ilirushwa k ...

                                               

Hernán Crespo

Hernán Jorge Crespo ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani kutoka nchi ya Argentina. Crespo alichezea vilabu vya River Plate, Parma F.C., S.S. Lazio, Inter Milan, Chelsea F.C., A.C. Milan na Genoa C.F.C., Crespo alifunga magoli zaidi ya 300 kati ...

                                               

Cristiano Piccini

Cristiano Piccini ni mchezaji wa soka wa Italia anayechezea katika Klabu ya Hispania Valencia na timu ya taifa ya Italia kama beki wa kulia.

                                               

Cynthia Shalom

Cynthia Shalom ni mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, na mfanyabiashara wa Nigeria. Alishinda msimu wa 11 wa kipindi cha Next Movie Star. Tangu wakati huo ameonyeshwa katika filamu kadhaa za Nollywood. Alionekana katika safu ya runinga ya M-net Ti ...

                                               

Cyril Ramaphosa

Matamela Cyril Ramaphosa ni mwanasiasa kutoka nchini Afrika Kusini aliyeapishwa kama rais wa nchi tarehe 15 Februari 2018. Aliwahi kuwa kiongozi wa Chama cha Wafanyakazi wa Afrika Kusini, mpiganiauhuru na mfanyabiashara anayehesabiwa kati wa mata ...

                                               

Cédric Bakambu

Alicheza kwa mara ya kwanza katika klabu ya Sochaux mwaka 2010, na alicheza mechi 107 rasmi kwa misimu wa tano, akifunga magoli 21. Kisha alihamia katika klabu ya Bursaspor kwa € 1.8 milioni,katika ligi hiyo aliamliza kama mfungaji bora katika ti ...

                                               

Cédric Soares

Cédric Soares ni mchezaji wa soka wa Ureno ambaye anacheza katika timu ya Southampton na timu ya taifa ya Ureno. Kazi yake ilianza na Sporting CP, inaendelea kuonekana katika michezo 94 ya ushindani juu ya msimu wa nne wa Premierira Liga na kufun ...

                                               

César Azpilicueta

César Azpilicueta Tanco ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Hispania.

                                               

Dabby K

Paul Munialo Barasa ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Reggae pamoja na Dancehall kutoka Kenya. Kiasili ni mtu wa kaunti ya Bungoma.

                                               

Timothy Dalton

Timothy Peter Dalton ni mwigizaji wa filamu kutoka nchi ya Welisi. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama James Bond. Alicheza katika filamu ya The Living Daylights na Licence to Kill ya mwaka 1989.

                                               

Matt Damon

Matthew Paige Damon ni mwigizaji wa filamu na mhisani kutoka nchini Marekani. Ameshinda Tuzo ya Akademi akiwa kama mwandishi bora muswaada andishi kwa filamu ya Good Will Hunting, ana tunukiwa unyota bora kwa filamu hiyohiyo. Umaarufu wake ulianz ...

                                               

Aliko Dangote

Aliko Dangote ni mfanyabiashara nchini Nigeria. Yeye ni mmiliki wa Dangote Group, ambayo ina shughuli katika Nigeria na nchi nyingine kadhaa za Afrika. Msaidizi tajiri wa Rais mstaafu, Olusegun Obasanjo na chama tawala cha Peoples Democratic Part ...

                                               

Dani Alves

Dani Alves ni mchezaji wa soka. Taifa lake ni Brazili. Anacheza beki wa kushoto katika klabu ya Paris Saint Germain PSG na kwa timu ya taifa ya Brazili. Kabla ya kucheza Barcellona ndani 2008 alves alishawahi kuichezea Sevilla na kuchukua makombe ...

                                               

Daniel James

Daniel Owen James ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama winga kwa klabu ya Ligi Kuu ya Manchester United na timu ya taifa ya Wales. Alianza kuwa maarufu katika mpira wa miɡuu katika kilabu ya Swansea City mwezi Februari 2018, akajiunga na Manc ...

                                               

Daniel Sturridge

Daniel Andre Sturridge ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anachezea klabu ya Liverpool F.C. na timu ya taifa ya Uingereza. Anacheza kama mshambuliaji, lakini pia amekuwa akitumiwa kama winga wakati mwingine. Alizaliwa Birmingham, Sturridge a ...

                                               

Daniel Thioune

Daniel Moustapha Thioune ni meneja wa Mpira wa miguu wa Ujerumani na mchezaji wa zamani ambaye ni kocha mkuu wa klabu ya HSV iliyopo katika daraja la pili la Bundesliga.

                                               

Daniel Wu

Daniel Wu Yan-Zu ni mwigizaji wa Marekani mwenye asili ya China, mkurugenzi na mtayarishaji ambaye ni nyota katika safu ya maigizo ya sanaa ya mapigano ya AMC Into the Badlands. Tangu aanze kuigiza mwaka 1998, ameshiriki katika filamu takriban 60.

                                               

Danijel Subašić

Danijel Subašić ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Kroatia ambaye anacheza kama kipa pia wa klabu ya Monaco. Alianza kazi yake huko kroatia, mnamo Januari 2012, alijiunga na Monaco, na tangu hapo aliendelea kudakia monaco zaidi ya ...

                                               

Danny Drinkwater

Daniel Noel Drinkwater ni Mwingereza ambaye ni mchezaji wa mpira wa miguu na ambaye anacheza kama kiungo kwenye klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza. Yeye awali alicheza kwa mkopo katika timu za Huddersfield Town, Cardiff City, Watford ...

                                               

Danny Mrwanda

Danny Mrwanda ni mchezaji wa kimataifa wa mpira wa miguu kutokea nchini Tanzania anayecheza kama mshambuliaji katika timu ya Hoang Anh Gia Lai Club nchini Vietnam

                                               

Danny Simpson

Daniel Peter Simpson ni mchezaji wa soka wa Uingereza anayecheza kama mchezaji wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Leicester.

                                               

Mario Das Neves

Mario Das Neves ni mwanasiasa wa Argentina na ni mwanachama wa Chama cha Justicialista. Yeye ni Gavana wa jimbo la Chubut katika nchi ya Argentina. Das Neves alizaliwa katika Avellaneda, katika eneo la Gran Buenos Aires na kukulia katika Santa Fe ...

                                               

Dataz

Dataz ni rapa wa kike Mtanzania. Alizaliwa mnamo mwaka 1984 huko Mbamba Bay, kwenye Ziwa Nyasa. Muda mfupi baada ya kuishi huko Mbamba Bay alihama pamoja na wazazi wake kuelekea Morogoro. Baada ya kufika mkoani Morogoro ndipo akaanza masomo yake ...

                                               

David Beckham

David Robert Beckham. Uchezaji wake rasmi ulianza akiwa na klabu ya Manchester united,alibeba mataji sita ya ligi kuu ya Uingereza EPL kombe la FA mara mbili,na taji la ligi ya mabingwa Ulaya UEFA Champions League mwaka 1999.Alihamia kwenye klabu ...

                                               

David Ospina

David Ospina Ramírez ni mchezaji wa soka wa Colombia ambaye anacheza kama golikipa wa timu ya Arsenal FC, na timu ya taifa ya Colombia. Ospina alianza kazi yake na Atlético Nacional mwaka 2005. Baada ya kiwango chake kukua, Ospina alijiunga na kl ...

                                               

Davido

David Adedeji Adeleke ni mwanamuziki wa Nigeria, mwandishi na mtayarishaji wa nyimbo. Alizaliwa Atlanta na kulelewa Lagos. Davido alianza muziki akiwa kama mmoja wa waimbaji katika kikundi cha muziki kijulikanacho kama KB International. Alisomea ...

                                               

Jeremy Davies

Jeremy Davies ni mwigizaji wa filamu na vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa uhusika wake wa katika Lost, The Million Dollar Hotel na Saving Private Ryan.

                                               

Davinson Sanchez

Dávinson Sánchez Mina ni mchezaji wa soka wa Colombia ambaye anacheza katika klabu ya ligi kuu ya Uingereza iitwayo Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Colombia.

                                               

Dbanj

Dapo Daniel Oyebanjo ni mtunzi na mwimbaji kutoka Nigeria. "Dapo" ni ufupisho wa jina la Kiyoruba "Ifedapo".

                                               

Robert De Niro

Robert De Niro ni mwigizaji filamu kutoka nchini Marekani. Miongoni mwa filamu zake maarufu ni pamoja na Mean Streets, The Godfather: Part II, Taxi Driver, The Deer Hunter. Katika miaka ya karibuni, amepata kucheza katika filamu kama Casino na Th ...

                                               

Inspectah Deck

Jason Hunter ni msanii wa muziki wa hip hop, rapa, mtayarishaji, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Inspectah Deck. Yeye ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la Wu-Tang Clan. Pia anajulikana kwa ...