ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 91
                                               

Mario Been

Mario Been ni kocha wa mpira wa miguu kutoka nchini Uholanzi, ambaye ndiye kocha wa klabu ya NEC Nijmegen tangu msimu wa mwaka 2006, alisaidia kurejea kwa klabu ya Excelsior Rotterdam kutoka katika ligi ya pili kuipandisha katika ligi kuu ya Uhol ...

                                               

Lou Bega

David Lubega ni mwanamuziki mashahuri kwa wimbo wake wa "Mambo No. 5". Wimbo huu umerudiwa tena baada ya kuchukua ala ya wimbo huu kutoka kwa mwanamuziki Perez Prado aliyoifanya kunako mwaka wa 1952. Bega akaongezea maneno yake na kuchukua sampul ...

                                               

Belinda Effah

Effah alizaliwa mwaka kusini mwa nchi ya Nigeria.; alipata elimu ya msingi na upili katika shule ya Hillside International Nursery & Primary School na Nigerian Navy Secondary School, na baadaye kujiunga na chuo kikuu cha University of Calabar.

                                               

Monica Bellucci

Bellucci alizaliwa mjini Città di Castello, Umbria, Italia, akiwa kama binti wa Maria Gustinelli, mchoraji, na Luigi Bellucci, ambaye anamiliki kampuni ya magari makubwa ya kusafirishia mizigo. Bellucci alianza shughuli za uwanamitindo tangu yung ...

                                               

Ben Pol

Benard Michael Paul Mnyang’anga ni msanii wa muziki wa kizazi kipya na mwigizaji kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ben Pol. Hasa anaimba muziki wa R&B. Ben Pol aiianza kuvuma mwaka 2010 baada ya kutoa kib ...

                                               

Benjamin Pavard

Benjamin Jacques Marcel Pavard ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Ufaransa. Yeye huchezeshwa hasa kama beki wa kati lakini pia anaweza kucheza kama beki wa kulia. Alianza kazi y ...

                                               

Chid Benz

Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro ni rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania. Yeye ndiye mwanzilishi na ndiye kiongozi wa kundi la wasanii wa Ilala almaarufu kama LAFamilia. Benz anasifika sana kwa kupata ushirika mwingi kwa sasa kuliko m ...

                                               

Xander Berkeley

Alexander Harper Berkeley ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama George Mason katika mfululizo wa televisheni wa 24.

                                               

Bernardo Silva

Bernardo Mota Silva ni mchezaji wa soka wa Ureno ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uingereza, Manchester City na timu ya taifa ya Ureno. Silva alianza kucheza katika chuo cha vijana wa Benfica mwaka 2013, alianza kucheza sabu ya klabu na al ...

                                               

Tim Berners-Lee

Tim Berners-Lee alianzisha wavuti wa walimwengu au intaneti ya dunia zima. Wavuti ni mfumo unaowezesha watu kutazama habari, picha na kurasa kutoka dunia yote kwenye tarakilishi yao. 1991 Berners-Lee alikuwa mtaalamu wa kompyuta kwenye CERN taasi ...

                                               

Bersant Celina

Bersant Edvar Celina ni mchezaji wa soka wa Kialbania wa Kosovo ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Welsh Swansea na timu ya taifa ya Kosovo.

                                               

John Bettis

John Bettis ni mshairi kutoka nchini Marekani. Huyu anafahamika sana kwa kushirikiana kwake kwenye utunzi wa nyimbo maarufu kwa miaka kadhaa. Awali alikuwa mmoja kati ya wanachama wa bendi ya Spectrum, ambaye pia ina wasanii wengine kama vile Ric ...

                                               

Joe Biden

Joseph Robinette "Joe" Biden Jr. ni mwanasiasa wa Marekani. Kuanzia mwaka wa 1973 hadi 2009 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Delaware. Halafu alikuwa Makamu wa Rais wa Marekani chini ya Rais Barack Obama kuanzia mwaka wa ...

                                               

Big Shaq

Michael Dapaah ni muigizaji, rapa, na mchekeshaji wa Uingereza. Anajulikana pia kwa SWIL yake ya mockumentary.

                                               

Big Show

Paul Donald Wight II ni mpiganaji wa mieleka na muigizaji wa Marekani, amesajiliwa kwenye kampuni ya WWE, ambapo anafanya kazi kwenye lebo ya Raw. Big Show aliingia katika Mashindano ya World Championship Wrestling WCW, ambapo alijulikana kwa jin ...

                                               

Bill Hader

Bill Hader na mmiliki wa kampuni ya shehena ya ndege, meneja wa mgahawa, dereva wa lori, na mchekeshaji wa stand-up comedy, William Thomas Hader. Ana dada zake wawili wadogo wanaoitwa Katie na Kara. Ukoo wake una asili mchanganyiko wa Denmaki, Ui ...

                                               

Bill Nye

William Sanford Nye ni mhandisi, mwanasayansi na mwalimu wa Marekani. Yeye anajulikana sana kwa kuwa mwenyeji wa tamasha la TV la Nye la Sayansi. Nye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa. Nye alizaliwa huko Washington, D.C. akaenda shule katika Chuo Kik ...

                                               

Billie Zangewa

Billie Zangewa ni mwanasanaa ambaye ana asili ya watu wa Malawi na Afrika Kusini. Anaishi katika mji wa Johannesburg. Tangu mwaka 2004, kazi yake ya sanaa ilishirikishwa katika maonyesho ya kimataifa, ikiwemo Paris Art Fair katika Grand Palais ka ...

                                               

Billy Sharp

Billy Sharp ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Uingereza ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Premier League ya Sheffield United. Pia amecheza Rushden na Diamonds, Scunthorpe United, Southampton, Msitu wa Nottingham, Ukisoma, Roi Rover ...

                                               

Bimbo Akintola

yake anatoka katika jimbo la Oyo na mama yake anatokea jimbo la Edo. Alipata elimu ya msingi katika shule ya Maryland Convent Private School iliyopo Lagos, na elimu ya upili katika shule ya Command Day Secondary School, Lagos. Baadaye alipata sha ...

                                               

Bipasha Basu

Bipasha Basu ni mwigizaji wa filamu wa India. Kimsingi anajulikana kwa kazi yake katika filamu za Kihindi, pia ameonekana katika filamu za Kitamil, Kitelugu, Kibengali na Kiingereza. Basu ndiye mpokeaji wa sifa nyingi, pamoja na tuzo moja ya Fila ...

                                               

Amos Biwott

Amos Biwott ni mwanariadha wa zamani wa Kenya. Yeye alikuwa mshindi wa mbio ya 3000m ya urukaji viunzi katika Olimpiki ya 1968. Alizaliwa katika eneo la Nandi, Kenya. Amos Biwott alikuwa wa kwanza katika orodha refu ya wanariadha wa Kenya waliomf ...

                                               

Chantal Biya

Chantal Biya ni First Lady wa Kamerun. Alizaliwa Dimako, Mkoa wa Mashariki, na mtaalam wa kigeni wa Kifaransa Georges Vigouroux na mshindi wa tuzo la urembo la Miss Doumé, Rosette Ndongo Mengolo. Chantal Biya ujanani aliishi Yaoundé. Aliolewa na ...

                                               

Kassim Bizimana

Kassim Bizimana ni mchezaji wa mpira wa miguu, hasa mshambuliaji, kutoka nchi ya Burundi. Anaichezea klabu ya BV Veendam katika ligi ya pili Uholanzi kwa Kiholanzi Eerste Divisie. Aliichezea nchi yake ya Burundi katika mechi za kimataifa. Mwaka w ...

                                               

Pasteur Bizimungu

Bizimungu alikuwa wa kabila ya Wahutu na alizaliwa mkoa wa Gisenyi, nchini Rwanda. Kulingana na mwandishi Philip Reyntjens, Bizimungu alikuwa na uhusiano na vikundi vyenye misimamo mikali dhidi ya Watutsi huku akiwa mwanafunzi miaka ya sabini 70s.

                                               

Björn Engels

Björn Lionel G. Engels ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ubelgiji ambaye anacheza kama beki wa kilabu cha Ligi ya Uingereza, ston Villa.

                                               

Jors Bless

Johnson Sululu ni mtayarishaji, Dj na msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina la kitayarishaji kama Jors Bless au Dj.Jors Bless. Anafanya kazi katika studio ya Sababisha Records na ni mmiliki wa studio ...

                                               

Alpha Blondy

Alpha Blondy, ni mwanamuziki wa Reggae na msanii anayerekodi nyimbo zake nyingi kimataifa. Alpha Blondy mara nyingi huimba kwa lugha ya Kidioula ambayo ndio lugha yake ya taifa huku akichanganya Kifaransa na Kiingereza, lakini pia wakati mwingine ...

                                               

Orlando Bloom

Orlando Jonathan Blanchard Bloom ni mwigizaji filamu kutoka nchini Uingereza. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Legolas Greenleaf kwenye seti nzima ya filamu ya The Lord of the Rings. Mnamo mwaka wa 1993, alihamia mjini London kwa kuongeza tija ...

                                               

Bobi Wine

Robert Kyagulanyi Ssentamu ni mwanasiasa, mwimbaji, mwigizaji na mfanyabiashara wa Uganda. ni kiongozi katika harakati maarufu dhidi ya Rais Yoweri Museveni na harakati hizo hujulikana kama People Power, Our Power. mwaka 2019, alitangazwa kuwa mg ...

                                               

John Raphael Bocco

John Raphael Bocco ni mchezaji wa kandanda Mtanzania anayecheza kama mshambuliaji katika klabu ya Simba S.C. na timu ya taifa ya Tanzania. Bocco, maarufu kama Adebayor, alianza kucheza soka katika timu ya Kijitonyama FC, mwaka 2007 alijiunga na A ...

                                               

Boison Wynney

Boison Wynney de Souza ni mchezaji wa soka wa Liberia ambaye anacheza katika klabu ya Hispania iitwayo RCD Mallorca B kama kipa.

                                               

Bojan Krkić

Bojan Krkić ni mshambuliaji wa Hispania ambaye anacheza kama winga kwa Stoke City. Bojan alianza kazi yake huko Barcelona baada ya kuendeleza kupitia vikundi vya vijana huko La Masia. Ahadi yake ya mapema alimwona afanyie timu yake ya kwanza waka ...

                                               

Omoseye Bolaji

2009 Tebogo and the epithalamion 2012 Tebogo and the bacchae 2001 The Ghostly Adversary 2008 Tebogo and the Haka 2018 Tebogo and Uriah Heep 2003 People of the Townships 2011 Miscellaneous Writings 2002 Thoughts on Free State Writing 2000 Impossib ...

                                               

Uwe Boll

Uwe Boll ni mwongozaji, mtayarishaji na mwandishi wa script za filamu wa Kijerumani. Filamu zake zilizonyingi huwa zinatoka na mwenendo wa video gemu, yaani anatoa kutokana na mwenendo wa video gemu vile ilivyo na kuitengenezea filamu. Huenda aka ...

                                               

Ali Bongo Ondimba

Ali-Ben Bongo Ondimba ni mwanasiasa kutoka nchini Gabon ambaye kwa sasa ni Rais wa Gabon kwa kufuatia ushindi wake kwenye uchaguzi wa rais wa 2009. Bongo i mtoto wa Omar Bongo, ambaye alikuwa Rais waGabon kuanzia mwaka wa 1967 hadi kifo chake mna ...

                                               

Lil Boosie

Hatch alikulia katika kitongoji maskini wa Baton Rouge, na baba yake hakuwepo kutoka utoto wake. Aliucheza mpira wa kikapu wakati yeye alihudhuria chuo cha upili lakini aliishia kufukuzwa kwa kulanguzi madawa ya kulevya, hivyo Hatch aliamua kuwa ...

                                               

Borja Mayoral

Borja Mayoral Moya ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji katika timu ya klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Hispania.

                                               

Barbara Bouchet

Barbara Bouchet, ni muigizaji wa filamu za Spaghetti Western. Ni muigizaji anaeongea zaidi ya lugha moja, Kiingereza, Kijerumani na Kiitalia. Ni nyota asiyependa kukaa nchini kwao. Barbara kwa kuzaliwa ni mtu wa Ucheki, kiasili ni mjerumani, kuku ...

                                               

Bradley James

Bradley James ni mwigizaji wa Uingereza aliyeigiza kwa jina la Arthur Pendragon katika mfululizo wa fantasia ya BBC wa Merlin.

                                               

Brian McFadden

Brian Nicholas McFadden ni mwanamuziki wa Ireland, mtunzi wa nyimbo na mtangazaji wa luninga ambaye aliibuka maarufu mnamo mwaka 1998 kama mshiriki wa bendi ya Westlife.Kufuatia kuondoka kwake kutoka Westlife mnamo 2004, McFadden aliachia albamu ...

                                               

Brian Stepanek

Brian Patrick Stepanek ni muigizaji na muigizaji wa sauti wa Marekani. Anajulikana kwa jukumu lake kama Arwin Hawkhauser kwenye Disney Channel Original Series The Suite Life ya Zack & Cody na Brian kwenye Brian OBrian. Alikuwa pia Wakala wa Saba ...

                                               

Sheri-Ann Brooks

Brooks aliwakilisha nchi ya Jamaika katika Olimpiki ya 2008 mjini Beijing. Akiwa pamoja na Shelly-Ann Fraser, Aleen Bailey and Veronica Campbell-Brown walishiriki katika mbio za 4 x 100m. Katika mzunguko wa kwanza, Jamaika ilishinda nchi zaUrusi, ...

                                               

Pierce Brosnan

Pierce Brendan Brosnan ni mwigizaji filamu na mtaarishaji wa Kiireland-Marekani. Labda anafahamika zaidi kwa kuigiza kama James Bond katika filamu nne alizocheza kuanzia mwaka 1995 hadi 2002, ambazo ni GoldenEye, Tomorrow Never Dies, The World Is ...

                                               

Chris Brown (mwimbaji)

Christopher Maurice "Chris" Brown ni msanii anayerekodi muziki na mwigizaji filamu kutoka Marekani. Alirekodi albamu yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 16 mwishoni mwa mwaka wa 2005 akaiita Chris Brown. Albamu hii ilihusisha wimbo wake wa kwan ...

                                               

Foxy Brown

Inga DeCarlo Fung Marchand, anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Foxy Brown, ni rapa, mwanamitindo, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anajulikana sana kwa kazi zake za kujitegemea, vilevile kwa kazi zake kushirikiana na wasanii mbal ...

                                               

Omar Brown

Omar Brown ni mwanariadha wa nchi ya Jamaika ambaye ni mtaalam katika mbio ya 200m. Yeye alikuwa na mafanikio mengi akiwa mwanariadha kijana huku akishinda medali ya fedha na shaba katika mbio za 200m na 100m katika Mashindano ya Mabingwa vijana ...

                                               

Bruno Alves

Bruno Alves ni mchezaji wa soka wa Ureno ambaye anacheza klabu ya Rangers na timu ya taifa ya Ureno. Alianza na alitumia zaidi kazi yake ya kitaaluma huko Porto, ambako alishinda jumla ya tuzo tisa na akaonekana katika michezo 171 rasmi. Pia ames ...

                                               

Bruno Petković

Mnamo tarehe 6 Agosti 2018, alijiunga na klabu ya Dinamo Zagreb kwa mkopo wa muda mrefu akiwa.

                                               

Bruno Tshibala

Bruno Tshibala Nzenze ni mwanasiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aliyekuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo tangu Mei 2017. Alianza harakati za kisiasa wakati akiwa mwanafunzi mwezi Aprili 1980 akiwa na umri wa miaka 25 alipoingia chama cha siasa ...