ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 9
                                               

Nimonia esinofili

Nimonia esinofili ni ugonjwa ambapo aina fulani ya seli nyeupe za damu ziitwazo eosinofili hukusanyika kwenye mapafu. Seli hizi husababisha kuvurugika kwa nafasi za kawaida za hewa ambako oksijeni huzinduliwa kutoka kwa anga. Aina mbalimbali za n ...

                                               

Nina Myers

Nina Erin Myers ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika unachezwa na Sarah Clarke. Nina alikuwa mtu wa pili kwa uamuru wa Kitengo cha Kuzuia Ugaidi cha Los Angeles CTU wakati wa vipande vya awali vya ...

                                               

Ninawi

Ninawi ulikuwa mji mkuu wa Waashuru upande wa mashariki wa mto Tigri. Magofu yake yako ngambo wa mto huo ukitokea Mosul Iraki. Katika Biblia ni maarufu hasa kutokana na habari zinazopatikana katika kitabu cha Yona na zilizotumiwa na Yesu kuhimiza ...

                                               

Kinindi

Kinindi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanindi. Idadi ya wasemaji wa Kinindi imehesabiwa kuwa watu 100 tu, tena wengi wao wameanza kubadilisha lugha yao, maana yake lugha iko hatarini mwa kutoweka kabisa. Kufuatana na uaini ...

                                               

Nino wa Georgia

Nino wa Georgia alikuwa mwanamke aliyeingiza Ukristo nchini Georgia, na kwa sababu hiyo anaitwa "Aliye sawa na Mitume" na "Mwangazaji wa Georgia". Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake kwa kawaida huad ...

                                               

Njinga

Njinga alikuwa mtawala wa Dola la Ndongo na Matamba katika Afrika ya Kati. Aliongoza dola hilo miaka 37. Alikuwa mwanamke mkuu wa bara la Afrika katika karne ya 17.

                                               

Njombe (mji)

Njombe ni halmashauri ya mji wenye hadhi ya wilaya katika Mkoa wa Njombe nchini Tanzania yenye postikodi namba 59100. Ni pia makao makuu ya Mkoa wa Njombe na Wilaya ya Njombe Vijijini. Misimbo ya posta ni 59101 hadi 59117. Njombe iko kwenye kimo ...

                                               

Joshua Nkomo

Joshua Mqubuko Nyongolo Nkomo alikuwa mwananisiasa, kiongozi na mwanzilishi wa chama cha Zimbabwe African People’s Union na pia ni mtu wa kabila la Kalanga kutoka nchini Zimbabwe. Huyu alikuwa anajulikana kama baba wa Zimbabwe au katika Lugha ya ...

                                               

Kwame Nkrumah

Kwame Nkrumah alikuwa Rais wa kwanza wa Ghana na mmoja wa viongozi wenye nia ya kujenga Muungano wa Afrika, tena mchochezi wa falsafa ya Umajinuni.

                                               

Nordland

Nordland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo lipo katika kanda ya Kaskazini mwa Norwei, imepakana na Troms kwa upande wa kaskazini, Nord-Trondelag kwa upane wa kusini, Norrbottens län nchini Sweden kwa upande wa mashariki, Västerbottens län ...

                                               

The Notorious B.I.G.

Christopher George Latore Wallace, na hasa kwa jina la kisanii The Notorious B.I.G. ; 21 Mei 1972 – 9 Machi 1997) alikuwa rapa kutoka nchini Marekani. Alikulia Brooklyn, mji wa New York City, Wallace amekua kwenye kipindi cha matatizo ya uigaji t ...

                                               

Nta ya sikio

Nta ya sikio, ni dutu kama nta iliyo na rangi ya kijivu, ya machungwa au ya manjano na hutolewa katika mifereji ya masikio ya binadamu na wanyama wa jamii ya mamalia. Hufanya kazi ya kulinda ngozi ya mfereji wa sikio, inasaidia kusafisha na kulai ...

                                               

Nunilona na Alodia

Nunilona na Alodia walikuwa mabinti wadogo, watoto pacha wa baba Mwislamu na mama Mkristo waliouawa kwa upanga na mtawala wa eneo hilo, Abd-ar-Rahman II kwa sababu ya kukiri hadharani imani ya Kikristo na hivyo kuhesabiwa na ndugu wa baba na seri ...

                                               

Nuru Inyangete

Nuru Susan Nyerere Inyangete ni mtaalamu wa sanaa na sayansi ya Usanifu majengo nchini Tanzania. Nuru anashika nafasi za ukurugenzi kwenye taasisi mbalimbali ikiwemo Epitome Architects Limited ambapo ni mkurugenzi mtendaji. Amejikita zaidi kwenye ...

                                               

Nusutufe ya kusini

Nusutufe ya kusini ni nusu ya Dunia ilioko upande wa kusini wa ikweta. Tofauti na nusutufe ya kaskazini hii ya kusini ina maeneo makubwa zaidi ya bahari ambayo ni asilimia 80.9, ilhali kaskazini ni asilimia 60.7 pekee. Theluthi moja tu, yaani 32. ...

                                               

Allegretto Nuzi

Allegretto Nuzi au Allegretto di Nuzio alikuwa mchoraji wa Italia, aliyefanya kazi hasa Fabriano na kandokando yake, lakini pia Firenze. Michoro yake ni hasa ya kidini kwa ajili ya makanisa.

                                               

Kinyakyusa

Kinyakyusa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyakyusa wanaokaa hasa Rungwe. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyakyusa imehesabiwa kuwa watu 805.000. Pia kuna wasemaji 300.000 nchini Malawi. Kufuatana na uainishaji wa lug ...

                                               

Kinyambo

Kinyambo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyambo. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinyambo imehesabiwa kuwa watu 400.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyambo iko katika kundi la E20.

                                               

Kinyamwanga

Kinyamwanga ni lugha ya Kibantu nchini Zambia na Tanzania inayozungumzwa na Wanyamwanga. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kinyamwanga nchini Zambia imehesabiwa kuwa watu 140.000. Pia kuna wasemaji 87.000 nchini Tanzania. Kufuatana na uainishaji ...

                                               

Kinyamwezi

Kinyamwezi ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyamwezi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyamwezi imehesabiwa kuwa watu 980.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyamwezi iko katika kundi l ...

                                               

Nyanda za Juu za Iran

Nyanda za Juu za Iran, pia za Uajemi ni eneo la milima katika Asia ya Magharibi, kati ya Mesopotamia upande wa magharibi na milima ya Hindu Kush upande wa mashariki.

                                               

Nyanda za Juu za Kusini Tanzania

Nyanda za Juu za Kusini ni eneo la juu katika kusini magharibi ya Tanzania, upande wa kaskazini wa Ziwa Nyasa. Nyanda za juu ni pamoja na sehemu za mikoa ya Mbeya, Njombe, Rukwa, Ruvuma, na Songwe, zikipakana na Malawi, Msumbiji na Zambia. Mbeya ...

                                               

Nyanda za juu za Yunnan–Guizhou

Nyanda za juu za Yunnan-Guizhou ni eneo katika kusini magharibi ya China. Kanda hii inaenea hasa katika majimbo ya Yunnan na Guizhou. Upande wa kusini tabia yake ni zaidi kama tambarare ya juu lakini kaskazini kuna milima. Kwa jumla zinapakana na ...

                                               

Nyangumi

Nyangumi ni wanyama wa bahari, na pengine wa maji matamu, katika oda Cetacea wanaofanana na samaki, lakini ni mamalia: kwa hivyo hawatagi mayai kama samaki bali huzaa watoto kama mamalia wote na huwanyonyesha. Pamoja na nguva, wanyama hawa ni mam ...

                                               

Nyasi

Nyasi ni kundi la mimea inayofunika udongo; nyasi zilizo nyingi si kubwa sana lakini aina kama mianzi hufikia urefu wa miti. Kibiolojia hujumlishwa katika familia ya Poaceae au Gramineae. Nyasi nyingi huwa na mizizi mirefu inayoshika ganda la juu ...

                                               

Nyati wa Afrika

Nyati au mbogo ni mnyama wa Afrika. Hana uhusiano wa karibu na nyati-maji wa Asia aliye mkubwa zaidi kidogo, lakini asili yake haieleweki. Kutokana na tabia yake isiyotabirika na inayomsababisha kuwa hatari sana kwa binadamu, nyati wa Afrika hafu ...

                                               

Kinyaturu

Kinyaturu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyaturu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kinyaturu imehesabiwa kuwa watu 595.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyaturu iko katika kundi la F30.

                                               

Kinyiha

Kinyiha ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania na Zambia inayozungumzwa na Wanyiha. Isichanganywe na Kinyiha cha Malawi wala na Kinyika cha Malawi. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kinyiha iko katika kundi la M20. Mwaka ...

                                               

Nyongo

Nyongo ni kimiminika cha njano chenye ukijani ambacho husaidia kumengenya mafuta. Kwa wanyama wengi wenye uti wa mgongo kinazalishwa kwenye ini na hutunzwa kwenye kifuko cha nyongo. Pia nyongo hutunzwa kwenye mirija ya nyongo. Vitu vinavyounda ny ...

                                               

Nyota kibete nyeupe

Kibete cheupe ni nyota ndogo yenye umri mkubwa iliyo karibu na mwisho wa maisha yake. Imeshamaliza fueli yake ya myeyungano nyuklia imejikaza na kugandamiza masi yake katika mjao mdogo. Ina jotoridi ya juu usoni lakini mwangaza wake ni dhaifu. Jo ...

                                               

Nyotamkia ya Halley

Nyotamkia ya Halley ni moja kati ya nyotamkia zinazozunguka Jua letu. Kila baada ya miaka 75 au 76 inapita karibu na Dunia ikionekana vema kwa macho matupu, hivyo ni mashuhuri. Itaonekana tena kwenye mwaka 2061. Inazunguka Jua kwenye obiti yenye ...

                                               

Oasisi

Kupata English band, tazama Oasis. Kwa matumizi mengine, tazama Oasis Katika jiografia, Oasisi au cienega kusini magharibi mwa Marekani ni eneo la mimea lililotengwa katika jangwa, kwa kawaida likizunguka chemchemi au kitovu kingine cha maji. Oas ...

                                               

Obsessive Compulsive Disorder

Kigezo:Hatnote Kigezo:Use American English Kigezo:Infobox medical condition Tatizo la kiakili linalomfanya mtu kuwa na hofu na kisha kurudia tabia fulani ni tatizo la kiakili ambapo huhisi haja ya kuangalia vitu mara kwa mara, tenda utaratibu ful ...

                                               

Odessa

Odessa ni jiji na bandari muhimu kusini magharibi mwa Ukraine. Ni makao makuu ya Mkoa wa Odessa. Jiji hilo liko kwenye mwambao wa Bahari Nyeusi. Mnamo 2004, karibu watu 1.012.500 waliishi Odessa.

                                               

Odoriko wa Pordenone

Odoriko wa Pordenone, O.F.M., alikuwa Mfransisko wa Italia aliyetumwa kama mmisionari huko China, akaandika ripoti ya safari yake. Kutokana na miujiza mingi iliyosemekana kutokea kwenye kaburi lake, Papa Benedikto XIV alithibitisha mwaka 1755 hes ...

                                               

Off the Wall

Off the Wall ni albamu ya tano ya hayati mwanamuziki wa Kimarekani, Michael Jackson. Albamu ilitolewa mnamo tar. 10 Agosti 1979 kupitia studio ya Epic Records, baada ya Jackson kupata sifa kemkem pale alipoimba katika filamu ya The Wiz. Wakati ak ...

                                               

Grace Ogot

Grace Ogot alipozaliwa alipewa jina la Grace Emily Akinyi katika sehemu wilayani Asembo, katika mkoa wa Nyanza. Alifanya mafunzo kama muuguzi nchini Uganda na Uingereza. Alifanya kazi kama mkunga, kama mwalimu, kama mwandishi wa habari, kama mtan ...

                                               

Okjeo

Okjeo ilikuwa nchi ya kabira dogo ambalo liliibukia huko mjini kaskazini mwa Peninsula ya Korea huenda ikawa kuanzia karne ya 2 KK mpaka karne ya 5 CE. Dong-Okjeo Mashariki kwa haraka-haraka ilichukua eneo la mikoa ya Hamgyŏng ya Korea Kaskazini, ...

                                               

Babatunde Olatunji

Babatunde Olatunji alikuwa mpiga ngoma, mwalimu, mwanaharakati wa jamii mwenye asili ya Kinigeria. Olatunji alizaliwa katika kijiji cha Ajido, mji mdogo uliokaribu na Badagry, Lagos, mjini kusini magharibi mwa East midlands. Ana asili ya Wayoruba ...

                                               

Olga wa Urusi

Olga wa Urusi alikuwa mtoto wa kwanza wa kaisari Nikola II wa Urusi na wa Alexandra Fyodorovna of Hesse. Familia yao nzima iliuawa na Wakomunisti. Kwa sababu hiyo wote wanaheshimiwa na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

                                               

Oliva wa Palermo

Oliva wa Palermo alikuwa msichana wa ukoo maarufu wa Palermo aliyepelekwa uhamishoni na Wavandali wa mfalme Genseriki na hatimaye kuuawa kwa kukatwa kichwa kwa sababu ya imani yake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtaka ...

                                               

Operesheni Magogoni

Operesheni Magogoni ni jina la jitihada za kumficha rais wa Tanganyika, Julius Nyerere wakati wa uasi wa jeshi la Tanganyika Rifles kwenye mwezi wa Januari 1964. Operesheni hiyo ilifanyika mapema asubuhi wa tarehe 20 Januari 1964 wakati wanajeshi ...

                                               

Operesheni Panama

Operesheni Panama ni riwaya ya kipelelezi ilioandikwa na Japhet Nyangoro Sudi na kutoka mwaka 2019 Ni riwaya inayozungumzia sana utakatishaji fedha unavyofanyika na jinsi fedha hizo zinavyoweza kutoroshwa katika nchi husika, zikaenda nchi nyingin ...

                                               

Origen

Origen, kwa Kigiriki Ὠριγένης Ōrigénēs, mwana wa mfiadini Leonidas wa Aleksandria, alikuwa padri kutoka Aleksandria aliyehamia Kaisarea na kuendeleza kazi yake kama mtaalamu maarufu wa Biblia.

                                               

Ormisda wa Trier

Ormisda wa Trier ni mmojawapo katika kundi la Wakristo 12 ambao mwaka 287, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kufa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika mji wa Trier. Tangu kale wafiadini hao wote wanaheshimiwa kama watakatifu ...

                                               

Orodha ya maziwa ya Tanzania

Orodha ya maziwa ya Tanzania inatolewa pamoja na jina, eneo, nchi husika na tanbihi kama ifuatavyo: Mengine ni: Ziwa Longil mkoa wa Arusha Ziwa Tenge mkoa wa Dar es Salaam Ziwa Tagalala mkoa wa Pwani Ziwa Austin mkoa wa Manyara Ziwa Balangida Lel ...

                                               

Orodha ya mito ya Namibia

Mito ya Namibia ni mingi; humu imeorodheshwa pamoja na matawimto: kulingana na beseni lake (kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Hindi, Bahari ya Atlantiki au mabonde ya ndani kadiri ya mikoa kadiri ya alfabeti.

                                               

Orodha ya volkeno nchini Tanzania

Hii ni orodha ya volkeno nchini Tanzania zilizokuwa hai katika kipindi cha miaka milioni 2.5 iliyopita. Tanzania inapitiwa na Bonde la Ufa ambako bamba la Afrika linaelekea kupasuka. Katika eneo hili ganda la dunia si nene kama kawaida na magma k ...

                                               

Orodha ya waandishi wa Afrika Kusini

Orodha hii ni ya waandishi wa Afrika Kusini. Anne Barnard 1750-1825 Enoch Sontonga 1860-1904 Herman Charles Bosman 1905-1951 Stephen Black 1880-1931 Mazizi Kunene 1930-2006 Hennie Aucamp 1934- Mongane Wally Serote 1944- John Miles 1938- Princess ...

                                               

Oscar Romero

Óscar Arnulfo Romero y Galdámez alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki huko San Salvador, nchini El Salvador kuanzia tarehe 21 Juni 1970 hadi kifodini chake. Alipinga serikali kuhusu ufukara wa umati, dhuluma, mauaji na unyanyasaji katika jamii. ...