ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 89
                                               

Buzz Aldrin

Dr. Edwin Eugene "Buzz" Aldrin, Jr. ni rubani na mwanaanga kutoka nchi ya Marekani. Alikuwa mtu wa pili kukanyaga uso wa Mwezi alipofika pamoja na Neil Armstrong kwenye safari ya chombo cha anga cha Apollo 11. Aldrin na Armstrong walifika mwezini ...

                                               

Aleksander Wolszczan

Wolszczan alizaliwa tarehe 29 Aprili 1946 huko Szczecinek iliyoko Poland; katika miaka ya 1950 familia yake ilihamia Szczecin. Baba yake Jerzy Wolszczan alifundisha uchumi huko Szczecin Polytechnic Chuo Kikuu cha Teknolojia cha West Pomeranian na ...

                                               

Alex McCarthy

Alex McCarthy ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Ligi Kuu Uingereza ya Southampton na timu ya taifa ya Uingereza.

                                               

Alex Oxlade-Chamberlain

Alexander Oxlade-Chamberlain ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool FC na timu ya taifa ya Uingereza. Baada ya kuongezeka kwa umaarufu katika timu yake ya Southampton wakati wa msi ...

                                               

Alex Sandro

Alex Sandro ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Italia ya Juventus na timu ya taifa ya Brazil.

                                               

Alexander Fransson

Alexander Fransson ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka ya Uswidi ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya IFK Norrköping.

                                               

Alexander Sorloth

Alexander Sorloth ni mchezaji wa soka wa Norway ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Süper Lig Trabzonspor kwa mkopo kutoka katika klabu ya Crystal Palace, na timu ya taifa ya Norway.

                                               

Alexandre Lacazette

Alexandre Lacazette ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kimataifa wa Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Premier League Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa. Mchezaji huyu ambaye kachezea ligi tofauti, ligi hizo ni ya Ufaransa na ...

                                               

Alexis Sanchez

Alexis Sanchez ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchi ya Chile. Alianza kuchezea klabu ya Barcelona F.C. kabla ya kusajiliwa na klabu iliyoko Uingereza iitwayo Arsenal kabla ya kusajiliwa na wababe wa Old Trafford. Mpaka sasa Alexis anaichezea ...

                                               

Alfred Gomis

Alfred Junior Gomis ni mchezaji wa soka wa Senegal ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya SPAL na timu ya taifa ya soka ya Senegal.

                                               

Alfredo Talavera

Alfredo Talavera Díaz ni mchezaji wa soka wa Mexiko, ambaye anacheza klabu ya Toluca na timu ya taifa ya Mexiko kama kipa.

                                               

Pat Alger

Alger alihudhuria chuo cha Georgia Tech akisomea sanaa ya Ujenzi lakini akaamua kujishughulisha zaidi na kutunga nyimbo. Alianza kama mtumbuizaji wa nyimbo za kikale katika klabu. Alianza kazi yake ya kutunga na kuimba nyimbo akishirikiana na Hap ...

                                               

Tatyana Ali

Tatyana Marisol Ali ni mwigizaji wa filamu na mwimbaji wa muziki wa R&B kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Ashley Banks kutoka katika ucheshi wa Fresh Prince of Bel-Air, aliokuwa anaigiza na Will Smith.

                                               

Alisson Becker

Alisson Ramses Becker ni mchezaji wa soka wa Brazili ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Liverpool FC na timu ya taifa ya Brazili. Alisson alianza kazi yake na Internacional, ambapo alicheza mechi zaidi ya 100 na alish ...

                                               

Brooke Allison

Brooke Allison ni mwimbaji wa muziki wa pop kutoka mjini Fort Worth, Texas, Marekani. Allison alipata kujulikana zaidi baada ya kutoa wimbo wake wa "The Kiss-Off kunako mwaka wa 2001.

                                               

Ally Hamis Nganzi

Mnamo tarehe 4 Machi 2019, Nganzi alijiunga na Klabu ya Soka ya Meja Kuu ya Minnesota United FC kwa mkopo kutoka Vyškov na fursa ya kununua.Wakati huo alikuwa akopewa mkopo wa mshirika wa Minnesota Forward Madison FC kwa msimu wa uzinduzi wa kilabu.

                                               

Alpha Condé

Alpha Condé ni mwanasiasa wa Guinea ambaye amekuwa Rais wa Guinea tangu Desemba 2010. Alikaa miongo kadhaa kupingana na mfululizo wa serikali nchini Guinea, hakufanikiwa kukimbia dhidi ya Rais Lansana Conté katika uchaguzi wa rais wa mwaka 1993 n ...

                                               

Alvaro Morata

Álvaro Borja Morata Martín ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji wa Atletico Madrid kwa mkopo kutoka kwa Klabu ya Uingereza na timu ya taifa ya Hispania.

                                               

Alvaro Negredo

Alvaro Negredo Sanchez ni Mhispania mchezaji wa soka katika timu ya Al Nasri ya Uarabuni. Alvaro Negredo Sanchez Kwa jina la utani Anaitwa La fiera de Vallecas yaani Mnyama wa Vallecas. Alvaro Negredo Amechezea Rayo Vallecano, Real Madrid B, Alme ...

                                               

Amadeo Carrizo

Amadeo Raúl Carrizo ni kipa wa zamani wa mpira wa miguu wa Argentina. Carrizo anachukuliwa kuwa mwanzilishi wa msimamo, na kusaidia mbinu na mikakati kwa walinzi. IFFHS iliweka nafasi ya Carrizo kama mtunza mlango bora wa Amerika Kusini wa karne ...

                                               

Zablon Amanaka

Baada ya kuzichezea klabu kama vile Kenya Breweries jina la zamani la Tusker FC na Kenya Pipeline FC kutoka Nairobi, mwaka wa 2004 aliichezea kwa muda mfupi klabu ya Ligi ya Shelisheli ya Saint-Michel United. Kutoka Januari mwaka wa 2005 hadi Jan ...

                                               

Ambroise Oyongo

Ambroise Oyongo Bitolo ni mchezaji wa soka wa Kameruni ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Montpellier ya Ligue 1.

                                               

Amélia da Lomba

De Lomba alihitimu masomo ya saikolojia katika nchi ya Urusi na baadae kurejea katika nchi yake ya Angola na kufanya kazi kama muandishi wa habari alifanyakazi katika kituo cha radio cha Rádio Nacional de Angola Cabinda, na Jornal de Angola Luand ...

                                               

Anthony Anderson

Anthony Alexandre Anderson ni mwigizaji wa filamu, mchekeshaji, na mwandishi kutoka nchini Marekani. Amepata kucheza kwenye ucheshi wake mwenyewe wa All About the Andersons, vilevile kwenye igizo kama vile K-Ville, The Shield na Law & Order. Pia ...

                                               

Becky Anderson

Becky Anderson ni mwandishi wa habari Mwingereza, na mtangazaji wa CNN International kwenye kipindi cha "Connect the World with Becky Anderson". Anderson ana shahada ya Uchumi na Kifaransa kutoka Chuo Kikuu cha Sussex, na shahada ya pili ya Uanah ...

                                               

Andreas Cornelius

Andreas Evald Cornelius ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Atalanta iiliyopo nchini Italia na timu ya taifa ya Denmark.

                                               

Andreas Pereira

Andreas Pereira ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji na Brazil ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uingereza Manchester United. Alizaliwa huko Duffel, Ubelgiji, akaanza kazi yake ya kucheza mpira wa miguu na Lommel United. Alipokuwa na umri wa mia ...

                                               

Andreas Ulmer

Andreas Ulmer ni mchezaji wa mpira wa miguu huko Austria ambaye kwa sasa anacheza kama beki wa FC Red Bull Salzburg na timu ya taifa ya Austria.

                                               

Andrej Kramarić

Andrej Kramarić ni mchezaji wa soka wa klabu ya Kroatia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ujerumani 1899 Hoffenheim na timu ya taifa ya Kroatia. Kramarić alianza kazi yake ya soka katika klabu yake ya jiji la Dinamo Zagreb. Alicheza n ...

                                               

Andrew Robertson

Andrew Robertson ni mchezaji wa soka wa Scotland ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Liverpool F.C. na timu ya taifa ya Scotland.

                                               

Andrey Marcel Ferreira Countinho

Andrey Marcel Ferreira Countinho ni mchezaji wa kandanda kutoka Brazil akiichezea klabu ya Kwampong kutoka Korea Kusini akicheza nafasi ya mrengo wa kushoto, pia ana uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo mshambuliaji.

                                               

Andriy Lunin

Andriy Oleksiyovych Lunin ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama kipa wa klabu iliyopo nchini Hispania ya Real Madrid, na timu ya taifa ya Ukraina.

                                               

Andry Rajoelina

Andry Nirina Rajoelina ni mwanasiasa wa Malagasy na mfanyabiashara ambaye kwa sasa anafanya kazi kama rais wa Madagaska. Alianza kazi yake katika sekta ya kibinafsi, kwanza kupanga hafla kwenye Kisiwa hicho, na kisha kuwekeza biashara ya matangaz ...

                                               

André Schürrle

André Horst Schürrle ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anachezea klabu ya Fulham ya Ligi Kuu ya Kwanza, kwa mkopo kutoka Borussia Dortmund na timu ya taifa ya Ujerumani. Alianza kazi yake mnamo tarehe 05 mwaka 2009, akitumia miaka miwili kw ...

                                               

Angel Bernard

Angel ni mtoto wa tatu katika familia ya watoto sita. Ameanza kupenda uimbaji tangu akiwa na umri mdogo na alianza kuimba akiwa na umri wa miaka 6 katika Kanisa Katoliki la Tabata magengeni, akiwa mshirika wa kwaya kuu. Angel alisoma shule ya msi ...

                                               

Angeline Mabula

Angeline Sylvester Lubala Mabula ni mwanasiasa wa chama cha Chama cha Mapinduzi. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Ilemela kwa miaka 2015 – 2020. Pia ni Naibu Waziri wa sasa wa Wizara ya Mazingira na Maendeleo ya Makazi na Jamii.

                                               

Angus Gunn

Angus Gunn ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Southampton. Amewakilisha Uingereza chini ya 21. Alianza kazi yake katika klabu yake ya jiji la Norwich City.

                                               

Anibal João Melo

Anibal João da Silva Melo ni mwandishi, mwanahabari na mwanachama wa National Assembly of Angola. Kwa sasa ni mfanyakazi katika wizara ya mawasiliano ya kijamii.

                                               

Anna Elisha Mghwira

Anna Elisha Mghwira ni mwanasiasa wa Tanzania. Alikuwa mwenyekiti wa Alliance for Change and Transparency aliyegombea urais wa nchi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 Baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, alihamia chama cha CCM kwe ...

                                               

Seraphino Antao

Seraphino Antao ni mwanariadha mstaafu kutoka Kenya. Alishinda katika Mashindano ya Jumuia ya Madola ya mwaka wa 1962, ikimfanya Mkenya wa kwanza kushinda dhahabu katika shindano la kimataifa. Yeye ni wa asili ya Kiasia kutoka jiji la Mombasa na ...

                                               

Ante Rebic

Ante Rebić ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kroatia ambaye anacheza kama winga kwa klabu ya Ujerumani Eintracht Frankfurt na timu ya taifa ya Kroatia. Alianza kazi yake ya juu katika RNK Split,na mwaka 2013 alisajiliwa kwenye Serie A klabu ya Fio ...

                                               

Antoine Griezmann

Antoine Griezmann ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza nafasi ya mbele katika klabu ya Hispania Atlético Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa. Alianza kazi yake katika Real Sociedad, akicheza mechi yake ya kwanza mwaka 2009 na kushinda ...

                                               

Antonia Okonma

Antonia Okonma ni mwigizaji kutokea Uingereza mwenye asili ya Nigeria. Anajulikana kama Darlene Cake katika mfululizo wa filamu ya ITV Bad Girls kwanzia mwaka 2004 mpaka 2006.

                                               

Antonio Conte

Antonio Conte ni meneja wa mpira wa miguu wa Italia na mchezaji wa zamani. Kwa sasa ni kocha mkuu wa klabu ya Internazionale Milano. Alichukua nafasi hiyo akitokea Chelsea ya Uingereza. Conte anazungumza lugha ya Kiitalia na Kiingereza. Ni Mkrist ...

                                               

Anup Singh

Anup Singh ni mtayarishaji wa filamu anayeishi mjini Geneva, Uswisi. Amezaliwa katika Afrika ya Mashariki na kukua katika familia ya Sikh yenye asili ya Punjab. Alihitimu masomo yake ya Fasihi na Falsafa kutoka Chuo cha Bombay na Taasisi ya filam ...

                                               

Anushka Sharma

Anushka Sharma ni mwigizaji na mtayarishaji wa filamu India anayefanya kazi katika filamu za Kihindi. Mmoja wa waigizaji maarufu na anayelipwa zaidi nchini India, amepokea tuzo kadhaa, pamoja na Tuzo ya Filamu. Ametokea katika Mashuhuri 100 ya Fo ...

                                               

Anushka Shetty

Anushka Shetty ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa Uhindi. Shetty ni moja ya mwigizaji anayetokea Mumbai. Alisoma huko Bangalore na Shahada yake ya Maombi ya Kompyuta katika Chuo cha Mount Carmel, Bangalore. Alikuwa pia mwalimu wa yoga, ali ...

                                               

Stephen Appiah

Appiah alianza katika klabu ya mtaa ya Hearts of Oak mwaka 1995, akiwa na umri wa miaka 15. Mwaka wa 1996 alifanyiwa majaribio na klabu ya Galatasaray SK kuchezea kikosi chao cha vijana lakini hakutiwa saini na alirudi kwa klabu yake ya Hearts ya ...

                                               

Aramis Knight

Aramis Knight ni mwigizaji wa Marekani ambaye ameonekana katika televisheni kadhaa na majukumu ya sinema mara kwa mara. Anajulikana sana kwa kazi yake kama Bean katika Mchezo wa Ender wa filamu wa 2013 na kwa kazi yake kama M.K. katika mfululizo ...

                                               

David Archuleta

David James Archuleta ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Marekani. Akiwa na umri wa miaka kumi, amepata kushinda kwenye mashindano ya kutafuta watoto wenye vipaji vya Utah Talent Competition na kuongoza kuimba kwenye mionekano mingine ...