ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 82
                                               

Zavara Mponjika

Zavara Mponjika ni mwanaharakati wa hip hop, msanifu picha, mwalimu na mwanahistoria wa Kiafrika. Mara nyingi huitwa Mwanavina, Chief Rhymson, R.H.Y.M.S.O.N - akiwa mmoja kati ya watu walioanzisha kundi la muziki wa hip hop maarufu Kwanza Unit.

                                               

Anoreksia

Anoreksia inaweza kurejelea: Hali ya kula Anoreksia dalili, ni dalili ya ukosefu wa hamu ya kula chochote kile kiko Anoreksia "ya miujiza", haswa kwa wanawake wazima na hamadi ambao hujinyima chakula, wakati mwingine hadi kifo, kwa jina la Mungu ...

                                               

Anorexia

Anorexia can refer to: Eating conditions Anorexia symptom, the symptom of poor appetite whatever the cause Anorexia mirabilis, referring almost exclusively to women and girls of the Middle Ages who would starve themselves, sometimes to the death, ...

                                               

Arusha

Arusha ni neno la kutaja watu na mahali katika Tanzania kaskazini-mashariki: Wilaya ya Arusha Kabila la Waarusha Mji wa Arusha ni makao makuu ya mkoa na wilaya, pia makao makuu ya Jumuiya ya Afrika ya Mashariki Mkoa wa Arusha

                                               

Because of You

Because of You inaweza kutaja makala hizo: Nyimbo Because of You albamu ya Ne-Yo "Because of You" wimbo wa Kelly Clarkson, toleo lake la pili akiwa na Reba McEntire "Because of You", wimbo wa Dexys Midnight Runners "Because of You", wimbo wa The ...

                                               

Eastleigh

Eastleigh ni jina la Eastleigh Uingereza ni mji wa Uingereza wa kusini karibu na Southampton katika wilaya ya Hampshire Kutokana na mji huu ni jina la maeneo yaliyowahi kutawaliwa na Uingereza katika sehemu mbalimbali ya dunia: Eastleigh Nairobi ...

                                               

Elizabeti (maana)

Elizabeti ni jina la kike lenye asili katika Biblia. Marejeo yake ni Mtakatifu Elizabeti aliyekuwa mama wa Yohane Mbatizaji. Umbo asilia katika lugha ya Kiebrania ni elisheva ‏אֱלִישֶֽׁבַע‎ lenye maana ya "Mungu anaapa" au "Mungu wa kiapo".

                                               

Europa

Europa ni neno katika lugha mbalimbali lenye asili ya Kigiriki "Ευρώπη" la kutaja bara la Ulaya Europa mwezi, mwezi wa pili kati ya miezi ya Mshtarii Europa kombora ilikuwa kombora la Kiulaya la kurusha vyombo angani kabla ya kupatikaka kwa makom ...

                                               

Frankfurt (maana)

Frankfurt ni jina la miji miwili mikubwa nchini Ujerumani. Kwa kusudi la kuitofautisha mara nyingi hutajwa pamoja na mto iliyoko: Frankfurt am Main ni mji mkubwa zaidi kati ya Frankfurt mbili iko kando la mto Main katika magharibi ya Ujerumani. F ...

                                               

Girlfriend (maana)

"Girlfriend" wimbo wa Bow Wow na Omarion 2007 "Girlfriend", wimbo wa Ashanti, kutoka albamu yake ya 2008 The Declaration "Girlfriend" wimbo wa Alicia Keys 2002 "Girlfriend" wimbo wa Matthew Sweet 1991 "Girlfriend", wimbo wa Jim Jones, kutoka kati ...

                                               

Greenwich

Greenwich ni jina la mahali katika nchi zinazotumia lugha ya Kiingereza. Kiasili ilikuwa jina la mji mdogo Greenwich karibu na London ambayo sasa imekuwa sehemu ya jiji hili kubwa. Greenwich hii ilikuwa makao makuu ya wafalme wa Uingereza wakati ...

                                               

Hafiz (maana)

Hafiz ni neno kutoka lugha ya Kiarabu na maana yake inaenda sambamba na neno la Kiswahili "hifadhi"; hafiz ni mtu anayehifadhi, hasa maneno ya Qurani. Inaweza kuandikwa pia hafez, hafes au hafis kwa herufi za Kilatini. Katika utamaduni wa Uislamu ...

                                               

Huduma

Huduma ya kujitolea, huduma ni mahali unapoenda kwa chakula, mafuta ya gari au kitanda cha kulala Utumishi wa umma, wafanyakazi wa serikali Huduma kwa wateja, utoaji wa misaada kwa wateja Huduma kwa jamii, huduma za kujitolea kwa faida ya jamii H ...

                                               

Jackson

Jackson: Watu Jesse Jackson, Jr. Jesse Jackson Diskografia ya single za Michael Jackson Michael Jackson Andrew Jackson, rais wa saba wa Marekani kuanzia mwaka wa 1829 hadi 1837 Jackson 5 Reggie Jackson, michezo Janet Jackson Phil Jackson, michezo ...

                                               

Jamestown

Jamestown ni jina la miji mbalimbali duniani. Jina lilipendwa hasa kwa sababu "James" ni umbo la Kiingereza la jina "Yakobo" aliyekuwa mdogo wake Yesu. Jamestown, Ohio, Marekani Jamestown, Accra, Ghana Jamestown, New York, Marekani Jamestown, Cal ...

                                               

Juba

Juba wa Mauretania mfalme wa karne ya 2 Titus Desticius Juba - Mroma wa karne ya 3 Juba II wa Numidia mfalme aliyetawala 52 KK - 23 Juba I wa Numidia mfalme aliyetawala 85 BC–46 BC

                                               

Kilimani

Kilimani inamaanisha sehemu iliyopo juu ya mlima mdogo, karibu na mlima au eneo la mlima mwenyewe. Kama jina la mahali inaweza kutaja Kilimani Dodoma - kata ya Wilaya ya Dodoma mjini - Mkoa wa Dodoma - Tanzania Kilimani Kondoa - kata ya Wilaya ya ...

                                               

Kilimanjaro

Kilimanjaro ni jina la Kiswahili linalomaanisha: Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Kilimanjaro kati ya Arusha na Moshi Kilimanjaro Moshi Mjini, kata ya Moshi Mjini Mkoa wa Kilimanjaro ni mkoa wa Tanzania katika sehemu ya Mlima wa Kilimanjaro Hifadh ...

                                               

Kilwa

Kilwa ni jina la wilaya na mahali patatu katika mkoa wa Lindi, Tanzania. Wilaya ya Kilwa iko kati ya Dar-es-salaam na Lindi ufukoni wa Bahari Hindi. Kilwa Masoko ni makao makuu ya wilaya. Kilwa Kivinje ni mji wa kihistoria tangu karne ya 18. Kilw ...

                                               

Kingston

Asili ya jina ni Kiingereza "Kings Town" yaani "mji wa mfalme". Nchini Uingereza kuanzishwa kwa mji ulihitaji kibali cha mfalme wa nchi. Hivyo tamko la "mji wa mfalme" likawa sehemu ya jina la mji mara kadhaa. Waingereza kutoka miji mbalimbali il ...

                                               

Kongo

Kongo, Congo, na Kongō ni jina la kutaja mambo mbalimbali: Mto wa Kongo ambao ni kati ya mito mikubwa zaidi ya Afrika na ya dunia; pia eneo la beseni lake Bonde la Kongo Nchi mbili katika Afrika ya kati Jamhuri ya Kongo mji mkuu Brazzaville, kabl ...

                                               

Maana tofauti za Uhuru

Uhuru unaweza kumaanisha: Uhuru falsafa, wazo la kuwa huru. Haki nne, haki za Roosevelt za 1 kuongea na 2 imani, pamoja na uhuru wa kutokua na 3 hofu na 4kutaka. Kazi ya sare, uhuru wa kazi ya kisanii kuenezwa, kugeuzwa, na kusomwa na wengine Uhu ...

                                               

Madeira

Madeira ni neno la kutaja hasa: kisiwa cha Kireno cha Madeira katika bahari ya Atlantiki mbele ya pwani ya Afrika. funguvisiwa la Madeira ambamo kisiwa chenye jina hilo ndicho kikubwa divai ya Madeira inayotegenezwa visiwani na kuwa maarufu dunia ...

                                               

Madonna

Madonna video Schumacher, kusanyo la picha za muziki za runinga Madonna Msanii, mwimbaji na mwigizaji wa Marekani Madonna albamu, jina la albamu yake ya kwanza

                                               

Majengo

Majengo ni jina la mitaa mbalimbali katika miji ya Afrika ya Mashariki. Kihistoria ilikuwa jina la makazi ya wafanyakazi Waafrika katika miji ya kikoloni. Waingereza katika miji iliyoundwa nao katika Afrika ya Mashariki walifuata mpangilio ulioku ...

                                               

Moi

Moi, MOI, au ikiandikwa tofauti, unaweza kuwa wamaanisha mkataba wa mafundisho. amezaliwa Katika lugha "yangu" kwa Kifaransa na hutumika kama nahau na kienyeji na wazungumzaji wa Kiingereza kwa Suala zinaonyesha maskhara ya unyenyekevu. "Hakika w ...

                                               

Pangani

Pangani ni jina la mto, wilaya na mji katika Tanzania. * Mto wa Pangani unabeba maji ya Milima ya Meru, Kilimanjaro, Pare na Usambara kwenda Bahari Hindi. Mdomo wake uko mjini Pangani. * Wilaya ya Pangani ni kati ya wilaya za mkoa wa Tanga. * Mji ...

                                               

Rhodesia

Rhodesia ni jina la kihistoria kwa ajili ya maeneo ya nchi za kisasa Zimbabwe na Zambia wakati wa ukoloni kuanzia 1895. Lamaanisha hasa nchi za Rhodesia ya Kusini Zimbabwe iliyojulikana kama "Rhodesia" tu kati ya 1964 na 1979 pia kama Zimbabwe-Rh ...

                                               

Rio Negro

Mto Chixoy, unaojulikana pia kama Rio Negro, huko Guatemala Rio Negro Amerika ya Kati, kwenye mpaka wa Honduras na Nikaragua

                                               

Roma (maana)

Roma ni jina linalotumika kwa mji wa Roma, ama kwa dola la Roma lililokuwa kwa karne kadhaa kabla na baada ya Kristo dola kubwa kuliko zote duniani, tena kwa Kanisa la Roma ambalo ni kiini cha Kanisa Katoliki lote. Lilikuwa pia jina la mungu wa k ...

                                               

Saba Saba

Saba ni neno linaloweza kumaanisha sikukuu ya Saba ya Tanzania kwenye tarehe 7 Julai katika nchi ya Tanzania ilikuwa kiasili kumbukumbu ya kuundwa kwa chama cha Tanganyika African National Union TANU kwenye mwaka 1954, ikasheherekewa baadaye pia ...

                                               

Sabasaba (maana)

Sabasaba ni namna ya kutaja namba 77 au kifupi cha tarehe ya 7 Julai au siku ya saba kwenye mwezi wa saba. Inataja mara nyingi Sabasaba Tarime jina la vitongoji, vijiji au kata kwa mfano Sabasaba Morogoro kifupi kwa maonyesho ya Dar es Salaam Int ...

                                               

Santa

Santa ni neno lenye asili ya Kilatini linalotumika katika lugha nyingi kama sehemu ya majina ya watu au mahali. Maana yake ni "mtakatifu", kiasili zaidi mtakatifu wa kike. Neno mama kwa Kilatini ni "Sancta", lililoendelea katika lugha za Kirumi m ...

                                               

Shimo

Shimo ni uwazi au nafasi tupu, mara nyingi wa mviringo, katika gimba manga uliotokea au uliochimbwa ardhini kwa makusudi mbalimbali Mara nyingi hutumiwa kwa kuhifadhi mazingira. Kuna aina nyingi za mashimo. shimo inaweza kutokea kama hitilafu amb ...

                                               

Soda

Soda inahusu: Hidroksidi ya sodiamu caustic soda Sodiamu Kabonati ya sodiamu kuosha soda au unga wa soda a kemikali iliyo na sodiamu Kabonati ya sodiamu kuoka soda Salsola soda mti wa saltwort, kihistoria ni chanzo cha vumbi la soda Milima ya Sod ...

                                               

Tanganyika (maana)

Tanganyika inaweza kumaanisha Ziwa la Tanganyika kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Tanganyika nchi ni jina la kihistoria kwa ajili ya Tanzania bara pamoja na visiwa vya Mafia na Kilwa. Wilaya ya Tanganyika iliyopo katika Mkoa w ...

                                               

Too Much

Too Much inaweza kutaja: Jina la filamu kutoka Tanzania, Too Much, imechezwa na Vincent Kigosi Jina ambalo awali lilikuwa likitumiwa na wanamiereka Too Cool Jina badala la filamu ya mwaka 1987 Wish You Were Here

                                               

Tripoli

Tripoli ni neno la asili ya Kigiriki linalomaanisha "miji mitatu" au "mji mwenye sehemu tatu". Asili yake ni maungano ya miji mitatu ya jirani kuwa mji au dola moja. Katika lugha ya Kiarabu neno limekuwa "Trablus". Neno linataja miji mbalimbali y ...

                                               

Uhamiaji

Uhamiaji unahusu kusonga kwa kundi la vitu, majini, au watu, uliyoelekezwa, wa mara kwa mara, au wenye utaratibu, ikiwemo: Katika ikolojia na utu: Uhamiaji wa kurudi, ni uzushi katika uhamiaji wa ndege Uhamiaji wa ndege Uhamiaji wa jeni, mchakato ...

                                               

Uingereza (maana)

Uingereza ni neno linaloweza kutaja maana mbalimbali: nchi ya Uingereza England katika kusini ya kisiwa cha Britania ambayo ni sehemu ya Ufalme wa Muungano wa Britania na Eire ya Kaskazini katika lugha ya kila siku maana yoyote iliyotajwa hapo ju ...

                                               

Ukarabati

Uhandisi wa ukarabati, matumizi ya sayansi ya uhandisi kupanga, kuendeleza, kushikanisha, kujaribia, kutathmini, kutumia, na kusambaza ufumbuzi wa teknolojia kwa matatizo yanayowakabili watu wenye ulemavu Ukarabati roboti, matumizi ya vifaa kusai ...

                                               

Utengule

Utengule ni jina la sehemu tofauti katika kusini ya nchi Tanzania: Utengule Usongwe katika wilaya ya Mbeya Vijijini takriban 17 km kutoka Mbeya upande wa kusini-magharibi. Utengule Usangu katika wilaya ya Mbarali. Utengule zote mbili za juu zina ...

                                               

Vyombo

Vyombo vya habari vya kielektroniki, mawasiliano yanayowasilishwa kupitia nishati za kielektroniki au za umekanika wa kielektroniki Vyombo vya habari Marekani, vyombo vya habari vya Marekani Vyombo vya habari vya digital, vyombo vya habari vya ki ...

                                               

Warumi

Kirumi au Warumi inaweza kumaanisha: Kitu au mtu kutoka mji wa Roma. Waroma ni wakazi wa mji huo katika nchi ya Italia. Historia Kwa maana ya kihistoria, Waroma ni watu wa Dola la Roma lililotawala eneo kubwa katika Ulaya, Afrika ya Kaskazini na ...

                                               

Washington (maana)

Washington ni jina linalotaja mahali na watu mbalimbali duniani. Jina limejulikana hasa kutokana na George Washington aliyekuwa rais wa kwanza wa nchi ile Washington D.C. ambayo ni mji mkuu wa Marekani Washington jimbo ni jimbo la Marekani kando ...

                                               

Zaire

Zaire ni neno lenye maana mbalimbali: kiasili ni jina la kihistoria kwa ajili ya mto Kongo. Wareno walitamka neno la Kibantu la "nzari" =mto kama "zari - zaire". watu wa nje wakati mwingine walitumia jina la mto pia kwa ajili ya ufalme wa Kongo u ...

                                               

Zanzibar (maana)

Zanzibar ni neno linalotaja Jina la filamu, vitabu, hoteli n.k. zilizotajwa kufuatana na neno lenyewe kama vile Jamhuri ya Zanzibar, funguvisiwa la Zanzibar, jiji la Zanzibar n.k. Kuhusu maana ya neno lenyewe taz. "Etimolojia ya Neno Zanzibar". J ...

                                               

Zilipendwa

Zilipendwa ni neno linalotumika kutaja vitu vilivyopitwa na wakati, lakini vilikuwa na wapenzi wengi sana kiasi kwamba hata ukisikia au kuviona tena leo utakumbuka wakati wako. Istilahi hii imetumika sana katika nyimbo na filamu. Kumekuwa hadi na ...

                                               

Wamanyema

Wamanyema, ni shirikisho la makabila 12 ya Kibantu yanayopatikana kusini mashariki mwa beseni la mto Kongo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika mkoa wa Kigoma nchini Tanzania. Manyema Association imeundwa miaka ya 1930, na inajumuish ...

                                               

African Lyon F.C.

African Lyon F.C. ni klabu ya mpira wa miguu jijini Dar es Salaam nchini Tanzania. Hivi sasa katika Ligi Kuu ya Tanzania, baada ya kushinda Kundi la Ligi ya Daraja la Kwanza msimu wa 2015/2016.