ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 7
                                               

Mkazivae Unit

Antony Makenzi alianzisha blogu Mitego Sasa mwaka 2015 ambayo imemfanya akajulikane sana. Blogu hiyo ni maarufu Afrika Mashariki kwa mambo ya kitamaduni kama muziki na imesaidia vijana hasa kukuza vipaji vyao na kuibua vipaji vipya kwenye sekta y ...

                                               

Nimrod Elireheemah Mkono

Nimrod Elireheemah Mkono katika kijiji cha Busegwe ni mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini alianza ubunge mwaka 2000~2015 bado ni mbunge wa musoma vijijini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.nimrod mkono ni mwana maendeleo kwa sababu amej ...

                                               

Mkude Simba

Musa Yusuph Mahenge ni mwigizaji, mwongozaji na mwandishi wa muswada wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa uhusika wake wa Kitale ambao hucheza kama mraibu wa dawa za kulevya na Mkude Simba kupitia vitangazo vidogo vya EFM Radio ...

                                               

Teko Modise

Teko Modise ni mwanakandanda kutoka Afrika Kusini, ambaye anaichezea klabu ya Orlando Pirates inayoshiriki katika Premier Soccer League na timu ya taifa ya Afrika ya Kusini.

                                               

Mohamed Elnouby

Mohamed Abdelbasset Elnouby ni mtaalam wa uandishi wa programu za kompyuta wa nchini Misri na mtaalam wa usalama wa habari mtandaoni na katika mifummo ya kompyuta. Mohamed alianza kuwa maarufu mnamo mwaka 2013 baada ya kugundua udhalili kwenye mt ...

                                               

Mohamed Ould Abdel Aziz

Mohamed Ould Abdel Aziz ni mwanasiasa wa Mauritania ambaye alikuwa Rais wa 8 wa nchi, madarakani kutoka mwaka 2009 hadi 2019. Askari kwa kazi na afisa wa ngazi ya juu, alikuwa kiongozi wa mapinduzi ya Agosti 2005 ambayo yalimuondoa Rais Maaouya O ...

                                               

Mohamed Said

Mohamed Said Salum ni mwandishi na mwanahistoria kutoka nchini Tanzania. Ametunga vitabu mbalimbali, lakini anafahamika zaidi kwa kitabu chake cha "Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes" kilichotolewa kwa lugha ya Kiingereza kwa mara ya kwanza 19 ...

                                               

Mohamed Salah

Mohamed Salah Ghaly ni mchezaji wa soka wa Misri, ambaye anacheza Liverpool inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza na timu ya taifa ya Misri kama mbele. Kama vile anayewakilisha timu ya kitaifa ya Misri tangu mwaka 2011, pia alishiriki katika Kombe l ...

                                               

Hamad Rashid Mohamed

Hamad Rashid Mohamed alikua mbunge wa jimbo la Wawi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania. Ni mlezi wa chama cha ADC.Amegombea nafasi ya urais kupitia chama cha ADC tarehe 20.03.2016 huu ulikua ni uchaguzi wa marudio kufuatia uchaguzi wa o ...

                                               

Khalid Mohamed

Khalid Mohamed ni mwanamuziki wa Bongo Flava kutoka nchini Tanzania. Ameimba nyimbo nyingi maarufu nchini Tanzania. Kati ya nyimbo hizo ni Mrembo, Zeze, Girl Friend, Siamini na nyingine nyingi alizowahi kuimba na baadaYe kuwa maarufu.

                                               

Mohammed Al-Owais

Mohammed Al-Owais ni mchezaji wa soka wa Saudi Arabia ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Al-Ahli na timu ya taifa ya Saudi Arabia.

                                               

Mohammed Al-Rawahi

Mohammed Al-Rawahi ni mchezaji wa soka wa Oman ambaye anacheza kwa Al-Wakrah katika Qatari Second Division.

                                               

Redsan

Redsan ni mwanamuziki wa reggae pamoja na ragga kutoka Kenya. Albamu yake ya kwanza, "Seasons of the sun" ilitolewa mwaka 2002 chini ya Ogopa DJs Nyimbo zilizojulikana kwenye albamu hiyo ni kama "Julie" na "Wanipa Raha". Baadaye, alisajiri na Sou ...

                                               

Ayman Mohyeldin

Ayman Mohyeldin ni mwanahabari Mwarabu wa Marekani ambaye yuko mjini Arabuni anayefanyia kazi Al-Jazeera. anayeripotia kutoka Gaza. Hapo awali alikuwa akisimamia kutengeneza vipindi alipokuwa akifanya kazi CNN na NBC. Ayman alikuwa mmoja wa waand ...

                                               

Gideon Moi

Gideon Moi ni mwanasiasa wa Kenya, ni mtoto wa kiume mdogo wa pili wa rais wa zamani wa Kenya, Daniel arap Moi na Lena Moi. Gideoni alisoma shule ya msingi katika shule ya awali ya Kenton College Sc. Yeye alikuwa mmoja wa wanafunzi 24 waliojiunga ...

                                               

Moise Kean

Moise Bioty Kean ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama winga wa klabu ya Juventus na timu ya taifa ya Italia.

                                               

Mokhtar Belkhiter

Mokhtar Belkhiter ni mchezaji wa soka wa kimataifa wa Algeria. Kwa sasa anacheza katika klabu ya Africain katika Ligi ya Tunisia. Belkhiter alikuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya Algeria katika Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2017.

                                               

Aaron Mokoena

Aaron Tebomo Mokoena ni mwanakandanda wa kulipwa kutoka nchi ya Afrika Kusini anayecheza kama kiungo wa kati kwa klabu ya Portsmouth inayoshiriki katika ligi kuu ya Uingereza.

                                               

Dominic Monaghan

Dominic Bernard Patrick Monaghan ni mwigizaji filamu wa Kiingereza. Amepata umaarufu kote duniani kwa kuigiza kama Meriadoc Brandybuck katika filamu ya The Lord of The Rings na pia kama Charlie Pace kwenye kipindi cha Lost. Hivi sasa, anaigiza ka ...

                                               

Gertrude Mongella

Gertrude Ibengwe Mongella alikuwa Rais wa kwanza wa Bunge la Umoja wa Afrika. Pia alikuwa mbunge wa jimbo la Ukerewe katika bunge la taifa nchini Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM. Gertrude alizaliwa mwaka 1945 katika kisiwa cha Ukerewe kat ...

                                               

Monica Birwinyo

Monica Jacobs Birwinyo ni mwigizaji wa Uganda. Monica alipoanza kazi ya uigizaji hakuwa anajulikana lakini baadae alipata umaarufu kupitia kazi hii. Baadhi ya filamu alizocheza ni Imbabazi, The Pardon na Irene Kulabakos Beauty to Ashes na NBS na ...

                                               

Monie Love

Simone Gooden, anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Monie Love, ni emcee kutoka nchini Uingereza na mtangazaji wa redio wa zamani huko nchini Marekani. Alikuwa mtu aliyeheshimiwa sana katika hip hop ya Kiingereza, na kuleta mgongano/at ...

                                               

Monique Séka

Monique Séka ni mwimbaji kutoka Ivory Coast. Kwa muziki mchanganyiko ambao anautengeneza, muziki wa Afro-zouk wa Monique Seka ni maarufu sana huko nchini kwake - Ivory Coast, Afrika, Caribbean na Bahari ya Hindi.

                                               

Demi Moore

Demi Gene Guynes anafahamika kwa jina la kikazi kama Demi Moore, ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Baada ya nyusika ndogondogo katika filamu na maigizo ya vipindi vya televisheni General Hospital, Moore amekuza kazi yake katika filam ...

                                               

Roger Moore

Sir Roger George Moore, KBE ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Uingereza. Labda anafahamika zaidi kwa kucheza filamu mbili za kishujaa huko Uingereza, Simon Templar kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televishen kilchojulikana kama "The Sain ...

                                               

MC Lyte

Lana Michele Moorer ni msanii wa muziki wa rap wa kike na ni ndugu wa Milk Dee na Gizmo, ambao waliokuwa wanafanya rekodi zao kwa jina la Audio Two. MC Lyte ni mmoja kati ya wanachama wa Sigma Gamma Rho Sorority, Inc.

                                               

Guillermo Moreno (mwanasiasa wa Argentina)

Guillermo Moreno ni mwanasiasa wa Argentina aliyefanya kazi kama Katibu wa Biashara ya Ndani katika serikali ya Rais Cristina Fernández de Kirchner. Ni mmoja wa wafuasi wakuu wa Kirchnerism.

                                               

Masakazu Morita

Masakazu Morita |森田 成一| Morita Masakazu ni mwigizaji na seiyū alizaliwa tarehe 21 Oktoba 1972, huko Tokyo, Ujapani. Hivi sasa anafanya kazi na Aoni Productions. Yeye pia ni mtangazaji wa kipindi cha Bleach B-Station cha redio. Morita afaamika ...

                                               

Nathan Morris

Nathan Morris ni mwimbaji na mfanyabiashara kutoka nchini Marekani. Anajulikana sana kwa kuwa miongoni mwa waanzilishi wa kundi la muziki wa R&B la Kimarekani Boyz II Men.

                                               

James Morrison

James Paige Morrison ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Alizaliwa mjini Bountiful Utah, ni mtoto wa kiongozi wa maofisa, na alikulia mjini Anchorage, Alaska, Marekani. Katika vipindi vya TV, Morrison amepata kuonekana kat ...

                                               

Mos Def

Dante Terrell Smith ni jina la kutaja mwigizaji na MC kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Mos Def na Yasiin Bey. Alianza kazi zake muziki wa hip hop akiwa na kundi la Urban Thermo Dynamics, ambamo aliweza kuone ...

                                               

Carrie-Anne Moss

Carrie-Anne Moss ni mshindi wa Tuzo ya Guild akiwa kama mwigizaji bora filamu wa kike kutoka nchini Kanada. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Trinity kutoka katika mfululizo wa filamu za Matrix, vilevile Natalie kutoka katika filamu ya M ...

                                               

Edward Moss

Edward Moss ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kuigiza na kucheza kama hayati Michael Jackson kwenye filamu na vipindi vya TV. Awali alikuwa anafanya katika kampuni ya McDonalds mwanzoni mwa miaka ...

                                               

Tegan Moss

Tegan Moss ni mshindi wa Tuzo ya Msanii Mdogo kutoka nchini Kanada-anayeonekana sana katika filamu na vipindi vya televisheni. Moss ana kaka wawili, Rory Moss, na mwingine mwigizaji anaitwa Jesse Moss. Moss alijinga na Shule ya Sekondari ya Point ...

                                               

Moussa Doumbia

Moussa Doumbia ni mchezaji wa soka wa Mali ambaye sasa anacheza katika Ligue 1 huko Ufaransa klabu ya Reims. Anacheza kama kiungo mshambuliaji au winga wa kushoto.

                                               

Moïse Katumbi

Moïse Katumbi Chapwe ni mwanasiasa na mfanyabiashara wa Kongo. Alikuwa Gavana wa Mkoa wa Katanga, eneo la kusini mwa Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo, kuanzia 2007 hadi Septemba 2015. Alikuwa pia mwanachama wa Chama cha Watu cha Mageuzi na Demokras ...

                                               

Erasto B. Mpemba

Erasto Bartholomeo Mpemba ni mwanasayansi kutoka nchi ya Tanzania aliyegundua upya tabia ya pekee ya maji inayojulikana leo kwa jina la athari ya Mpemba. Jina hili linaeleza tabia ya maji ambayo kwa hali fulani yanaganda haraka zaidi kama ni ya m ...

                                               

Mrisho Mpoto

Mrisho Mpoto ni msanii wa muziki wa dansi, sanaa ya jukwaani, mwandishi wa vitabu vya mashairi na hadithi zenye mafunzo, msanii wa ngoma za asili kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa jina lake la utani kama Mjomba au Mpoto. Pia, anafahami ...

                                               

Mr Puaz

Joel Vicent Joseph ni Meneja wa talanta, kutoka Tanzania. Mr Puaz alisainiwa chini ya studio ya rekodi iitwayo WCB Wasafi ili kumsimamia Harmonize.

                                               

Augustine Lyatonga Mrema

Augustine Mrema alizaliwa mwaka 1945, huko mkoa wa Kilimanjaro Tanzania, katika kijiji cha Kilaracha kilichopo katika Wilaya ya Moshi vijijini akiwa mzaliwa wa pili katika familia ya watoto watano ya Mzee Lyatonga Mrema.

                                               

Pius Msekwa

Pius Msekwa alipata Shahada ya Uzamili katika Sayansi ya Siasa kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kati ya mwaka 1973-1974, pia Shahada ya Sanaa katika Historia kutoka Chuo Kikuu cha Makerere, Uganda, kati ya mwaka 1955-1960 na Shahada ya Sheria ...

                                               

Simon Msuva

Simon Happygod Msuva ni mchezaji wa kandanda ambaye anacheza nafasi ya winga mshambuliaji katika timu ya Al Jadida kutoka nchini Moroko. Msuva ni mfungaji bora wa Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa msimu wa 2014-2015: alifunga magoli kumi na s ...

                                               

Mswati III wa Uswazi

Mswati III ni mfalme wa Eswatini tangu tarehe 25 Aprili 1986. Alizaliwa Manzini kama mtoto wa mfalme Sobhuza II na mmoja wa wake zake wadogo, Ntfombi Tfwala. Alipokea ufalme tarehe 25 April 1986 akiwa na umri wa miaka 18. Wakati ule alikuwa mfalm ...

                                               

Norbert Wendelin Mtega

Norbert Wendelin Mtega ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1986 kama askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa. Tangu mwaka wa 1992, alikuwa askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Songea hadi tarehe 15 Mei 2013, ali ...

                                               

Musalia Mudavadi

Wycliffe Musalia Mudavadi ni mwanasiasa maarufu nchini Kenya. Alizaliwa 12 Septemba 1960 katika Wilaya ya Vihiga. Anajulikana zaidi kwa jina la Musalia Mudavadi. Mudavadi amekuwa mbunge kwa miaka mingi. Aliingia bungeni kwa mara ya kwanza mwaka 1 ...

                                               

Beth Mugo

Beth Wambui Mugo ni mwanasiasa na mwanabiashara nchini Kenya. Anatoka katika familia ya Mzee Jomo Kenyatta akiwa binamu wa Uhuru Kenyatta. 2007 alirudi kama mbunge wa Dagoretti kwa jina la chama cha PNU. Mugo alisoma Marekani akawa mwalimu mkuu w ...

                                               

Mukhisa Kituyi

Dk. Mukhisa Kituyi wa Kenya amekuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa juu ya Biashara na Maendeleo, UNCTAD tangu tarehe 1 Septemba 2013. Hapo awali alikuwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Taasisi ya Utawala bora, Kenya, mjini Nairobi. Aliwahi pia kuwa Wazir ...

                                               

Usama Mukwaya

Usama "Osam" Mukwaya Nyanzi ni mkurugenzi, mtayarishaji, mwigizaji wa filamu kutoka Uganda. Mafanikio yake katika kazi ya filamu yalikuja na filamu fupi Hello iliyoshinda tuzo bora kabisa ya filamu katika tuzo za Wanafunzi wa MNFPAC za mwaka 2010 ...

                                               

Simeon Mulama

Mulama alianza kucheza akiwa katika Shule ya Msingi ya Dr Aggrey. Kisha alijiunga na Shule ya Upili ya Kakamega na baadaye Shule ya Upili ya Kisii. Mwaka wa 1996 aliichezea timu ya ligi ya mkoa ya Gusii Mwalimu. Alihamia timu ya Ligi ya Kuu ya Ke ...

                                               

Mulatu Astatke

Mulatu Astatke ni mwanamuziki na mtunzi kutoka Ethiopia anayefahamika kama baba wa Ethio-Jazz. Mulatu alisoma muziki London, New York City, na Boston, ambapo alijifunza kuunganisha muziki wa Jazz na muziki wa Kilatini pamoja na muziki wa Kiethiop ...