ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 69
                                               

Neema Lugangira

Neema Lugangira alizaliwa mwaka 1982 ni mtaalamu wa masuala ya sera, kilimo na lishe. Kwa sasa anafanya kazi kama mkurugenzi wa Idara ya Sera katika Mpango wa Kuendeleza Kilimo Ukanda wa Mikoa ya Nyanda za Juu za Kusini mwa Tanzania Southern Agri ...

                                               

Nelly Kamwelu

Nelly Alexandra Kamwelu ni Mtanzania ni mwanamitindo na malkia wa urembo Miss Universe Tanzania na Miss Southern Africa International katika mwaka 2011. Aliweza kuwakilisha nchi yake katika Miss Universe 2011 ndani ya SãoPaulo, Brazil, Miss Inter ...

                                               

Ngwanamalundi (Mwanamalundi)

Ngwanamalundi kwa matamshi mengine Mwanamalundi ni jina la mtu maarufu katika masimulizi ya kabila la Wasukuma. Alikuwa mcheza ngoma au Mbina mashuhuri kutoka kabila hilo ambaye alipewa jina hilo kama utani likimaanisha miguu myembamba na mirefu ...

                                               

Florence Nightingale

Alizaliwa mjini Firenze katika familia tajiri wakati wazazi walifanya safari ya Italia hivyo akapewa jina la Kiingereza la mji alikozaliwa yaani Florence. Alipata elimu nzuri akifundishwa na baba yake nyumbani kwa sababu wakati huo hapakuwa na sh ...

                                               

Niklas Zennström

Niklas Zennström ni bilionea mjasiriamali wa Uswidi anayejulikana zaidi kwa kuanzisha kampuni mbalimbali za intaneti akishirikiana na Janus Friis zikiwemo Skype na Kazaa. Hivi karibuni alianzisha kampuni ya uwekezaji ya Atomico. Zennström pia ni ...

                                               

Nikolaus Otto

Nikolaus Agosti Otto alikuwa mhandisi wa Ujerumani aliyefanikiwa kuimarisha injini ya mwako ndani ya injini inayowaka gesi na kusababisha injini ya kisasa ya mwako. VDI Chama cha Wahandisi wa Ujerumani iliunda DIN kiwango cha 1940 kinachosema "Ot ...

                                               

Nonso Diobi

Nonso Diobi ni tuzo nyingi kashinda Nigeria mwigizaji na mkurugenzi wa filamu. Alifanya uonekano wake wa kwanza kwenye skrini ya filamu ya mnamo mwaka 2001 iliyoitwa Border Line ikifuatiwa na onyesho bora katika sinema iliyoitwa Hatred. Nonso dio ...

                                               

Nuhu Abdullahi

Nuhu Abdullahi Balarabe ni muigizaji na muandaaji wa filamu wa nchini Nigeria, alizaliwa na kukulia katika jimbo la Kano. Nuhu ni mmoja wa wasanii wakubwa wa filamu kutoka Kannywood, huigiza filamu katika lugha za Kihausa na Kiingereza. alishinda ...

                                               

Cyril Nyembezi

Cyril Lincoln Sibusiso Nyembezi alikuwa mwandishi, mwalimu na mhariri wa Afrika Kusini. Hasa aliandika kwa lugha yake ya Kizulu.

                                               

Colby ODonis

Colby ODonis Colón ni mtunzi wa nyimbo za pop, R&B, na hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Colby ODonis.

                                               

Olivier Giroud

Olivier Giroud ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza mbele ya klabu ya Ligi Kuu Uingereza ya Arsenal na timu ya taifa ya Ufaransa. Alianza kazi yake huko Grenoble katika Ligue 2 kabla ya kujiunga na Tours mwaka 2008. Katika msimu wake w ...

                                               

Koffi Olomide

Antoine Koffi Olomidé, ni mwimbaji, mtayarishaji, na mtunzi wa ngoma aina ya soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Alizaliwa Kisangani, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa mama mzaliwa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na baba mzali ...

                                               

Omali Yeshitela

Omali Yeshitela ni mwanaharakati wa haki za watu weusi nchini Marekani. Alipigania kujichagulia kwa watu weusi duniani.

                                               

Diederik Opperman

Opperman alizaliwa tarehe 29 Septemba 1914 katika wilaya ya Dundee, nchini Afrika Kusini. Alisomea Chuo Kikuu cha Cape Town hadi shahada ya tatu. Alimwoa mwandishi Marié van Reenan wakawa na watoto watatu. Kuanzia 1960 hadi 1979 Opperman alikuwa ...

                                               

Pablo Escobar

Pablo Escobar alikuwa mfanyabiashara wa madawa ya kulevya kutoka Kolombia huko Marekani. Kijana huyu, kipindi yupo darasa la saba, alikuwa anawaambia wenzake kwamba atakapomaliza darasa la saba atashika dola za Kimarekani bilioni 30. Alipomaliza ...

                                               

Gordon Parks

Gordon Roger Alexander Buchanan Parks alikuwa mpiga picha, mwanamuziki, mshairi, mwandishi wa habari, mwanaharakati na mwongozaji wa filamu wa Kimarekani.

                                               

Pascal Mulegwa

Pascal Mulegwa ni mwandishi wa habari wa Kongo anayefanya kazi kwa Radio France Internationale na Agence France Presse, zamani kwa jarida la pan-Afrika Jeune Afrique na wakala wa vyombo vya habari vya serikali ya Uturuki Anadolu Agency.

                                               

Pascal Siakam

Pascal Siakam ni mchezaji wa mpira wa kikapu anayeichezea timu ya Toronto Raptors katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu. Alichezea timu ya mpira wa kikapu ya Chuo cha New Mexico State Aggies. Siakam alivhaguliwa na timu ya Toronto Raptors ka ...

                                               

Patrick Mfugale

Patrick Aron Nipilima Mfugale ni muhandisi nchini Tanzania na mtendaji mkuu wa Mamlaka ya barabara nchini Tanzania TANROADS. Mfugale alizaliwa katika eneo la Ifunda, mkoa wa Iringa na kumaliza elimu ya upili katika shule ya Moshi mwaka 1975. Alip ...

                                               

Paul Geidel

Paul Geidel Jr alikuwa mfungwa wa gereza aliyetumikia kwa muda mrefu zaidi nchini Marekani, ambaye hukumu yake ilimalizika na kifungu chake. Baada ya kuwa na hatia ya mauaji ya daraja la pili kwa mwaka wa 1911, akiwa na umri wa miaka 17, Geidel a ...

                                               

Paul Robeson

Paul Robeson alikuwa mwandishi, mwimbaji, mwanariadha, mwigizaji na mwanaharakati wa haki za watu weusi nchini Marekani.

                                               

Paul Rusesabagina

Paul Rusesabagina ni raia wa Rwanda aliyekuwa meneja wa Hotel des Mille Collines mjini Kigali. Wakati wa mauaji ya kimbari ya Rwanda aliwalinda Wahutu na Watutsi waliokimbilia hoteli yake na hivyo kuokoa watu 1268 dhidi ya wanamgambo wa Interaham ...

                                               

Paulo Diakono

Paulo Diakono alikuwa mmonaki Mbenedikto, shemasi na mwanahistoria aliyetoka kabila la Walongobardi. Kati ya miaka 782 na 787 aliishi ikuluni mwa mfalme Karolo Mkuu. Aliandika historia ya maaskofu wa mji wa Metz, historia ya Walangobardi, na wasi ...

                                               

Rita Paulsen

Rita Paulsen ni mjasiriamali, mhisani na mwanzilishi na mmiliki wa kampuni iliyoitwa Benchmark Productions. Alizaliwa katika wilaya ya Karagwe, mkoa wa Kagera na kupata elimu yake Uganda na Harare, Zimbabwe. Kwa sasa anaendesha kipindi chake kati ...

                                               

Pete ONeal

Felix Lindsey Pete ONeal, Jr. alikuwa mwenyekiti wa chama cha Black Panther Party cha mji wa Kansas nchini Marekani mwaka 1960 huku akifanya shughuli nyingi za kijamii kama kusaidia watoto wa mitaani katika mji huo.

                                               

Peter Aluma

Peter Aluma ni nguli wa mchezo wa mpira wa kikapu. Baada ya mafunzo yake ya elimu ya sekondari katika shule ya Okota Grammar School iliopo Isolo, Nigeria, mchezaji huyu mwenye urefu wa mita mbili anaechezea safu ya kati alipata umaarufu katika ch ...

                                               

Peter Grain

Sir Peter Grain alikuwa jaji wa Uingereza ambaye alifanya kazi kule Zanzibar, Misri, Konstantinopoli na China. Alikuwa Jaji Mkuu wa mahakama kuu ya Uingereza nchini China kuanzia 1927 hadi 1933 na pia jaji wa Mahakama kuu ya Weihaiwei kwanzia 192 ...

                                               

Pablo Picasso

Pablo Ruiz Picasso alikuwa mchoraji mashuhuri na pia mchongaji wa Hispania. Jina lake kamili ni Pablo Diego José Francisco de Paula Juan Nepomuceno María de los Remedios Cipriano de la Santísima Trinidad Clito Ruiz y Picasso.

                                               

Plato

Plato alikuwa kati ya wanafalsafa muhimu zaidi wa Ugiriki ya Kale, akiwa mwanafunzi wa Sokrates na mwalimu wa Aristoteles. Alibuni mawazo mengi yenye maana hadi leo. Wanafalsafa wa kisasa wamesema ya kwamba falsafa yote inamtegemea Plato. Aliandi ...

                                               

PLO Lumumba

Patrick Loch Otieno Lumumba ni Mkenya aliyekuwa Mkurugenzi wa Tume ya Kupambana na Rushwa ya Kenya kutoka Septemba 2010 hadi Agosti 2011 na sasa ni Mkurugenzi wa Shule ya Sheria ya Kenya tangu mwaka 2014. Lumumba ni mwanasheria mwenye ujuzi wa ku ...

                                               

William Plomer

William Charles Franklyn Plomer alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini na Uingereza. Hasa aliandika riwaya, hadithi fupi na mashairi.

                                               

Qasem Soleimani

Qasem Soleimani alikuwa meja jenerali wa Iran katika Kikosi cha Kiislamu cha Walinzi wa Mapinduzi. Kuanzia mwaka 1998 hadi kifo chake mwaka 2020, alikuwa kamanda wa Kikosi cha Quds katika IRGC.

                                               

Rafael Nadal

Rafael "Rafa" Nadal Parera ni mchezaji wa tenisi wa Hispania ambaye kwa sasa anashika nafasi ya 2 duniani katika tenisi ya wanaume na Chama cha Wataalamu wa Tennis. Nadal ameshinda vyeo 20 grand Slam singles, amefungwa kwa zaidi katika historia k ...

                                               

Mary Lynn Rajskub

Mary Lynn Rajskub ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Huyu ni msanii na mchekashaji wa vitimbi vya kusimama. Ana asili ya Kicheki na Kiireland. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Chloe OBrian kutoka katika mfululizo wa kip ...

                                               

Rania Al Abdullah

Rania Al Abdullah ni mke wa Mfalme Abdullah II wa nchi ya Jordan. Yeye anachukuliwa mojawapo ya wanawake majabari kote duniani. Rania ametumia nguvu zake kuhimiza umuhimu wa elimu. Nchini Jordan, kazi yake inahusu kutathmini kiwango cha elimu ya ...

                                               

Raphael

Raffaello Sanzio alikuwa mchoraji na mjenzi kutoka Italia. Pamoja na Leonardo da Vinci na Michelangelo huhesabiwa kati ya wasanii muhimu wa zama ya mwamko ya Italia.

                                               

Rebeca Gyumi

Rebeca Z. Gyumi ni mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji katika Msichana Initiative, asasi isiyo ya kiserikali ya Tanzania ambayo inalenga kumpa mtoto wa kike kupitia elimu, na kushughulikia changamoto muhimu ambazo hupunguza haki ya msichana ya kup ...

                                               

Rey Mysterio

Gutiérrez alizaliwa na kukulia huko Chula Vista, California, akaanza taaluma yake ya mieleka akiwa na umri wa miaka 14 mnamo 1989, kabla ya kujitokeza kwa ukuzaji wa Mexico Asistencia Asesoría y Administración AAA mnamo 1992, chini ya uangalizi w ...

                                               

Rhea Ripley

Demi Bennett ni mpambanaji wa kitaalam wa Australia. Kwa sasa amesainiwa na WWE ambapo hufanya kwenye chapa ya NXT chini ya jina la pete Rhea Ripley. Ndiye Bingwa wa Wanawake wa Uzinduzi wa NXT UK na Bingwa wa zamani wa Wanawake wa NXT. Yeye pia ...

                                               

Richard Jones

Richard Jones alikuwa mwanauchumi wa Kiingereza ambaye alikosoa maoni ya kinadharia ya David Ricardo na T. R. Malthus juu ya kodi ya uchumi.

                                               

Henry Oliver Rinnan

Henry Oliver Rinnan alikuwa ofisa mkatili wa Gestapo wa maeneo yaliyoizunguka Trondheim, Norwei wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia. Aliongoza kikosi kilichoitwa Sonderabteilung Lola. Kikosi hiki pia kilijulikana kwa jina la Rinnanbanden, kikosi ...

                                               

Panna Rittikrai

Panna Rittikrai alikuwa mwigizaji wa filamu, mtendaji martial arts, mwanakoreografia, mwongozaji wa filamu, na mwandishi wa miswada ya filamu kutoka nchini Thailand. Huyu ndiye kiongozi wa timu nzima ya mastanti wa Muay Thai Stunt. Anafahamika za ...

                                               

Robert Baden-Powell

Robert Baden-Powell alikuwa afisa wa jeshi la Uingereza na mwandishi wa kitabu cha skauti wa kiume, ambaye alikuwa msukumo wa mtapakao wa skauti,alikuwa mwanzilishi na Mkunga Mkuu wa kwanza wa Chama cha skauti ya wavulana na mwanzilishi wa Viongo ...

                                               

Robert Huth

Utotoni alichezea soka katika timu ya mtaani Vfb Forfuna Biesdorf, kisha Feunion Berlin. Alichezea timu za Chelsea, pia Bayern Munich walimtaka lakini hawakufanikiwa, akaenda Middlesbrough. Baada ya miaka miwili akaenda Stoke City aliichezea mech ...

                                               

Robert Pershing Wadlow

Robert Pershing Wadlow alizaliwa na Addie Johnson na Harold Wadlow huko Alton, mnamo Februari 22, 1918, na alikuwa mzee zaidi kuliko watoto watano. Wakati wa shule ya msingi, walipaswa kutengenezewa dawati maalum kwa sababu ya ukubwa wake. Mwaka ...

                                               

Roger Dubuis (mtu)

Roger Dubuis ni mmmoja wa waanzilishi wa kampuni ya utengenezaji wa saa ya Roger Dubuis. Alianza fani ya utengenezaji wa saa huko Longines katika miaka ya 1950 na baadaye alihamia kwenye karakana za Patek Phillippe ambako alikaa kwa miaka 14. Kat ...

                                               

Roman Reigns

Leati Joseph "Joe" Anoai anajulikana zaidi na jina lake la ulingoni la Roman Reigns ni mwanamieleka wa kitaalamu katika WWE. Yeye ni mwanachama wa familia ya Anoai ambayo ni nasaba maarufu ya Samoa na Amerika. Alikuwa mwanachama wa "The Shield" p ...

                                               

Ronald "Slim" Williams

Ronald Jay "Slim" Williams ni mfanyabiashara wa Marekani ambaye alianzisha rekodi ya kumbukumbu ya Cash Money pamoja na kaka yake, rapper Bryan "birdman" Williams. Kama ilivyo kwa kaka yake, ndiye mtayarishaji mtendaji wa karibu wa Albamu zote za ...

                                               

Rosemary Karuga

Rosemary Namuli Karuga alikuwa msanii wa maonesho wa Kenya. Mwaka 2017, alitajwa na National Museums of Kenya kuwa Artist of the Month. Alijulikana kama msanii wa kwanza wa kike kusoma kwenye Chuo kikuu cha Makerere.

                                               

Carlo Rota

Carlo Rota ni mzaliwa wa Uingereza-mwigizaji filamu na tamthilia wa Kikanada. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Morris OBrian kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24.