ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 66
                                               

Elizabeth Chijumba

Elizabeth Chijumba maarufu kwa jina la "Nikita"; pia akijulikana kama "Fathia Chijumba", jina alilobadili baada ya kufunga ndoa na msanii mwenzake Khlafan maarufu kwa jina la Kevin ; alizaliwa 1982 ni mwanamke Mtanzania mwigizaji wa filamu za map ...

                                               

Elizabeth II wa Uingereza

Elisabeth II ni malkia wa Uingereza tangu mwaka 1952. Katika historia yote ya dunia hakuna mtawala aliyedumu madarakani muda mrefu kuliko yeye. Alizaliwa kwa jina la Elizabeth Alexandra Mary Windsor mjini London tarehe 21 Aprili 1926 kama mtoto w ...

                                               

Elon Musk

Elon Reeve Musk ni mhandisi na mjasiriamali anayeishi Marekani. Amekuwa maarufu kama mwanzilishi wa huduma ya Paypal na mkuu wa kampuni ya magari ya umeme Tesla na kampuni ya roketi za anga SpaceX. Anamiliki pia makampuni mengine ya kiteknolojia. ...

                                               

Elsa Majimbo

Elsa Majimbo ni mwanamke mchekeshaji wa kwenye mtandao kutoka Nairobi, Kenya. Alijulikana sana katika kipindi cha karantini ya Covid 19 kwa kutengeneza video za kuchekesha akiwa nyumbani. Mwishoni mwa mwaka, aliidhinishwa na Fenty na MAC, mnamo 2 ...

                                               

Elsie Kanza

Elsie Kanza ni mwanauchumi Mtanzania aliyezaliwa Kenya. Elsie ni Mkurugenzi Mkuu wa Jukwaa la Uchumi wa Nchi za Afrika tangu mwaka 2014. Kwa mujibu wa mtandao wa Forbes alitajwa kama mmoja kati ya Wanawake 20 Vijana wenye Nguvu Afrika kwa mwaka 2011.

                                               

Emin Pasha

Mehmet Emin Pasha alikuwa daktari, mtaalamu na gavana wa jimbo la Ekwatoria la nchi ya Misri. Kwa asili alikuwa Mjerumani lakini alifanya kazi hasa katika Milki ya Osmani.

                                               

Emma Morano

Emma Martina Luigia Morano aliyezaliwa alikuwa mwanamke wa Italia ambaye, kwa kifo chake akiwa na umri wa miaka 117 na siku 137, alikuwa wa saba kati ya watu walioishi miaka mingi zaidi duniani ambao umri wao ulikuwa umehakikishiwa, na mtu aliyei ...

                                               

Emmanuel Swedenborg

Emanuel Swedenborg alikuwa mtaalamu wa dini ya Kilutheri, mwanasayansi, mwanafalsafa. Yeye anajulikana kwa kitabu chake alichokiandika juu ya maisha ya Mbinguni na Jehanamu mwaka 1758. Swedenborg alikuwa na kazi kubwa kama mfumbuzi na mwanasayans ...

                                               

Roland Emmerich

Roland Emmerich ni mwongozaji wa filamu, mwandishi-skrini, na mtayarishaji kutoka nchini Ujerumani. Anafahamika sana kwa kutengeneza filamu nyingi za majanga na mapigano. Filamu zake zimepata jumla ya mauzo zaidi ya $ bilioni 3 kwa hesabu ya duni ...

                                               

Enuka Okuma

Enuka Vanessa Okuma. Okuma pia anajulikana kwa kazi yake ya uigizaji katika filamu ya mfululizo wa televisheni iitwayo.

                                               

Lucía Etxebarria

2001 Premio Primavera, na De todo lo visible y lo invisible 1998 Premio Nadal, na Beatriz y los cuerpos celestes. 2004 Premio Planeta, na Un milagro en equilibrio

                                               

Eugene Kaspersky

Eugene Kaspersky ni mtaalamu wa kompyuta wa Urusi na Mkurugenzi Mtendaji wa Kaspersky Lab, kampuni ya usalama wa IT yenye wafanyakazi 4.000. Alijenga Kaspersky Lab mwaka wa 1997 na alisaidia kutambua matukio ya cyberwarfare iliyofadhiliwa na seri ...

                                               

Fatima Massaquoi

Fatima Massaquoi-Fahnbulleh alikuwa kati ya waanzilishi wa elimu ya juu nchini Liberia. Akizaliwa katika ukoo wa wafalme wa kikabila akiwa mtoto wa balozi wa kwanza Mwafrika katika Ujerumani akapata elimu yake huko Ujerumani, Uswisi na Marekani. ...

                                               

Fatma Karume

Fatma Karume ni mwanasheria wa Kitanzania na wakili wa kujitegemea, mwanaharakati ambaye aliwahi kuwa rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019. Alipata wadhifa huo baada ya kushinda katika uchaguzi wa uraisi ...

                                               

Fatuma Makongoro

Fatuma Makongoro ni mtoto wa Mtemi Makongoro, ambaye alikuwa rafiki na ndugu wa yamini na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

                                               

Fernando Torres

Fernando José Torres Sanz ni mchezaji wa kihispania wa soka ambaye anacheza kama mshambuliaji wa La Liga klabu ya Atlético Madrid na timu ya kitaifa ya Hispania. Torres alianza kazi yake na Atletico Madrid, akiendelea kupitia mfumo wao wa vijana ...

                                               

Festus Ezeli

Festus ni mmoja kati ya watoto watano. Alijihusisha na masomo akaweza kumaliza elimu ya sekondari ya juu akiwa na umri wa miaka 14. Aliweza kuendelea na masomo huko jijini Yuba, California mwaka 2014. Alicheza misimu mitano katika Chama cha taifa ...

                                               

Henry Fonda

Henry Jaynes Fonda alikuwa mshindi wa tuzo ya Oscars kama muigizaji bora wa filamu za kimarekani. Fonda anafahamika zaidi kwa kucheza filamu za western maarufu kama Spaghetti Western.

                                               

Michelle Forbes

Michelle Renee Forbes Guajardo ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kazi zake za vipindi vya televisheni kama vile Star Trek: The Next Generation, Homicide: Life on the Street, 24, Battles ...

                                               

Gloria Foster

Gloria Foster alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa jina la Oracle kutoka katika mfululizo wa filamu ya Matrix 1 na 2. Bi. Gloria alifarika dunia mnamo tarehe 29 ya mwezi wa Septemba, kwa ugonjwa w ...

                                               

Future

Nayvadius DeMun Wilburn ambye anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Future ni mwimbaji, mwandishi, mtayarishaji wa rekodi na mshindi wa Tuzo la Grammy wa Marekani. Alizaliwa na kukulia huko Atlanta, jimboni Georgia. Alianza kushiriki katika ...

                                               

Yuri Gagarin

Yuri Alexeyevich Gagarin, alizaliwa tarehe 9 Machi 1934 huko Klushino karibu na Smolensk, Urusi; alifariki tarehe 27 Machi 1968. Alikuwa mwanaanga wa kwanza katika historia yaani mtu wa kwanza aliyefika kwenye. Alimwoa Valentina Goryachova akawa ...

                                               

Antoni Gaudí

Antoni Plàcid Guillem Gaudí i Cornet alikuwa msanifu majengo nchini Hispania. Yeye alisoma katika Escola Tècnica Superior dArquitectura mjini Barcelona. Alikuwa maarufu kwa kipekee za miundo.

                                               

Gazi Yasargil

Mahmut Gazi Yasargil ni daktari wa Uturuki anayejishughulisha na upasuaji wa ubongo. Yasargil alitibu wagonjwa wa kifafa na uvimbe wa ubongo kwa kutumia vifaa alivyoviunda yeye mwenyewe. Kuanzia 1953 hadi kustaafu kwake mnamo 1993 alikuwa mkazi w ...

                                               

Geline Alfred Fuko

Geline Alfred Fuko ni mwanasheria Mtanzania, na mwanaharakati wa haki za binadamu ambaye ni mhitimu wa Shahada ya uzamivu kupitia programu ya Erasmus Mundus Joint katika Maendeleo ya jamii. Amesaidia kukuza demokrasia nchini Tanzania katika mashi ...

                                               

Gerard Pique

Gerard Piqué Bernabéu ni mchezaji wa kulipwa wa Hispania ambaye anacheza beki katika timu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Hispania. Mzaliwa wa Barcelona Piqué, awali alihamia klabu ya Manchester United mwaka 2004, ambapo alikaa kwa miaka minn ...

                                               

Gladness Deogratias

Gladness alipata elimu ya shule ya msingi mkoa wa Dar es salaam katika Shule ya Msingi Chang’ombe na kuhitimu darasa la saba mwaka 1996. Baadaye alijiunga na Shule ya Sekondari Kifungilo na kuhitimu kidato cha nne mwaka 2000. Baada ya kuhitimu El ...

                                               

Gloria Young

Gloria Young ni mwigizaji wa kike wa Nigeria aliyeshiriki Zaidi ya filamu 70 na alishinda tuzo ya filamu ya City People Movie Award.

                                               

Godfrey Semwaiko

Godfrey Steven Semwaiko ni msanii mkubwa, mchongaji wa sanamu na pia mchoraji kutokea nchini Tanzania kutokea shule ya uchongaji ya Bagamoyo. Pia ni mmoja ya waanzilishi wa Chama cha Wasanii Tanzania.

                                               

Sancho Gracia

Sancho Gracia ni mwigizaji wa filamu wa kikawaida na katika telesheni, kutoka nchini Hispania. Sancho pia aliwahi kucheza katika filamu za western ya Italia, maarufu kama spaghetti western.

                                               

Gwanggaeto Mkuu wa Goguryeo

Mfalme Gwanggaeto Mkuu wa Goguryeo alikuwa mtawala wa kumi na tisa wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.

                                               

Habib Swaleh Jamali Layl

Habib Swaleh bin Alawy alikuwa ulama na sufii aliyeanzisha na kuunda msikiti wa Riyadha pamoja na madrasa yake kwenye mji wa Lamu. Anakumbukwa kwa mafundisho yake na athira yake katika Uislamu wa Lamu na Afrika ya Mashariki kwa jumla. Aliimarisha ...

                                               

Harriet Tubman

Harriet Tubman alikuwa mkomeshaji wa Marekani, kibinadamu, na alikuwa mmoja wa kisilaha na mpelelezi wa Jeshi la Marekani wakati wa Vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Marekani.

                                               

Harry Kane

Harry Edward Kane ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama fowadi klabu ya Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya England. Kane alicheza kwa mara ya kwanza akiwa timu yake ya Tottenham tarehe 25 Agosti 2011 katika mechi ya Mabingwa wa ...

                                               

Hashim Thabit Manka

Hasheem Thabeet ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Tanzania anayeichezea timu ya Fort Wayne Mad Ants katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu ligi G. Alichaguliwa kama chaguo la pili baada ya kutofanya vizuri

                                               

Hellen Kijo Bisimba

Hellen Kijo Bisimba alizaliwa mkoani Kilimanjaro, 10 Oktoba 1954 alikuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Legal and Human Rights Center - LHRC kuanzia 1/7/1996 hadi 30/6/2018.

                                               

Henry III wa Uingereza

Henry III alikuwa mfalme wa Uingereza mwaka 1216 alipokuwa na umri wa miaka 9. Alitawala kama mfalme wa Uingereza na mkuu wa Eire hadi kifo chake kwenye mwaka 1272. Alimwoa Eleanor wa Provence. Alianzisha majengo katika mtaa wa Westminster mjini ...

                                               

Henry Neilson Wrigley

Henry Neilson Wrigley alikuwa Makamu wa anga Marshal CBE,DFC,AFC kamanda mwandamizi katika Jeshi la Anga la Australia. Alisomea kurusha na kusafiri kwa ndege, alifunga safari ya kwanza kwenda Australia kutoka Melbourne kwenda Darwin mnamo 1919, n ...

                                               

Henry Sylvester-Williams

Henry Sylvester Williams alikuwa mwanasheria, diwani na mwandishi nchini Trinidad na Tobago. Alihusika katika kuhamasisha Muungano wa Afrika.

                                               

Hoyce Temu

Hoyce Anderson Temu alikuwa mshindi wa taji la urembo Tanzania mwaka 1999 na kuiwakilisha nchi ya Tanzania katika mashindano ya urembo wa dunia nchini Uingereza,anajulikana kama Mrembo wa Millenium wa mwaka 1999. Pamoja na kuendeleza sanaa ya ure ...

                                               

Humberto Carrillo

Humberto Garza Carrillo" ni mpambanaji wa kitaalam wa Mexico aliyesainiwa kwa WWE, ambapo hufanya kwenye chapa ya Raw. Hapo awali alifanya kazi chini ya jina la pete Último Ninja wakati akishindana huko Mexico. Yeye ni mtoto wa luchador wa kizazi ...

                                               

Hussein ibn Ali

Hussein ibn Ali alikuwa mjukuu wa Mtume Muhammad akitazamwa kama imamu wa kwanza wa Washia. Alizaliwa mjini Makka, baba yake alikuwa Ali ibn Abi Talib (khalifa wa nne na mama yake Fatimah Zahra binti Muhammad. Kaka yake alikuwa Hasan ibn Ali imam ...

                                               

Ibrahim Hamis Juma

Ibrahim Hamis Juma ni hakimu wa Tanzania na Jaji Mkuu wa sasa wa Tanzania. Alizaliwa katika wilaya ya Musoma Mjini katika wodi ya utawala ya Mukendo. Aliwahi kufundisha chuo kikuu cha Dar es Salaam tangu mwaka 1980 mpaka 1990. Alifanya kazi kwa n ...

                                               

Ike Diogu

Ikechukwu Somtochukwu Diogu ni mchezaji wa Marekani mwenye asili ya Nigeria na mtaalamu wa mchezo wa kikapu basketball akichezea timu ya Shimane Susanoo Magic ya ligi B.

                                               

Patrick Francis Imanjama

Patrick Francis Imanjama amezaliwa 12 Juni 1959 huko visiwani Zanzibar Tanzania. Baba yake alikuwa ni askari polisi visiwani Zanzibar. Patrick Francis Imanjama ni msanii mchoraji wa picha za Etching, Picha za rangi za maji na picha za vitabuni. P ...

                                               

Gregory Itzin

Gregory Itzin ni mshindi wa Tuzo ya Emmy, akiwa kama mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa kucheza katika mfululizo wa Kimarekani wa 24 kama Rais Charles Logan.

                                               

Jackson Pollock

Jackson Pollock alikuwa mchoraji wa Marekani na kielelezo kikuu katika harakati ya kujieleza ya abstract. Alijulikana kwa mtindo wake wa kipekee wa uchoraji. Wakati wa maisha yake, Pollock alifurahia sifa kubwa na kutambuliwa; alikuwa msanii mkuu ...

                                               

April Jackson

April Jackson amezaliwa tar. 1990, Uingereza ni mwanamitindo kutoka Jamaika. Aprili Jackson alikuwa Miss Jamaica Universe mwaka 2008. Yeye kuwakilishwa Jamaica katika Miss Universe 2008 urembo kumsaka katika Nhã Trang, Vietnam. Yeye ni wa zamani ...

                                               

Jacqueline Wolper

Jacqueline Wolper Massawe ni mwigizaji wa filamu, mwanamitindo na mjasiriamali kutoka nchini Tanzania. Wolper amecheza filamu nyingi tu nchini na aliletwa kwenye ulimwengu wa filamu na mwigizaji mwenzake Lucy Komba. Filamu alizocheza ni pamoja na ...

                                               

James Gayo

James Gayo ni msanii kutoka nchini Tanzania anayejulikana sana kwa uchoraji wa katuni ya Kingo. Amejipatia umaarufu kwa katuni hii ya Kingo kufuatiliwa katika nchi mbalimbali zikiwemo Kenya, Uganda na Zambia.