ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 65
                                               

Kericho

Kericho ni mji wa Kenya ya kusini magharibi na makao makuu ya kaunti ya Kericho katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki wenye wakazi 42.029 ambao pamoja na vitongoji wa nje hufikia 104.282 kwa eneo kubwa la mji. Kimo cha Kericho kutoka usawa wa b ...

                                               

Kilima cha Mrima

Kilima cha Mrima ni kilima chenye mwinuko wa mita 323 upande wa kusini wa Hifadhi ya Shimba Hills kwenye Kaunti ya Kwale, Kenya. Miguuni pake kuna kijiji cha Mrima. Jina la Mrima kwa kawaida linataja sehemu ya pwani inayoanza karibu na kilima hic ...

                                               

Kisiwa cha Migingo

Migingo ni kisiwa kidogo katika Ziwa Viktoria. Katika miaka 2008-2009 kisiwa chenyewe kilikuwa kinadaiwa na Kenya na Uganda. Mnamo Julai 2009 timu ya utafiti iligundua kuwa kisiwa kiko mashariki mwa mpaka Kenya - Uganda ndani ya ziwa, na ushahidi ...

                                               

Kisiwa cha Mombasa

Kisiwa cha Mombasa kinapatikana kwenye bahari ya Hindi karibu sana na pwani ya nchi ya Kenya na kinaunganishwa na bara kupitia "Makupa Causeway" upande wa Magharibi, daraja la Nyali upande wa Kaskazini na kivuko cha Likoni upande wa Kusini. Jiji ...

                                               

Kisumu

Kisumu ni mji mkubwa wa tatu wa Kenya, ukiwa na wakazi 968.909. Pia ni mji mkubwa wa Kenya ya Magharibi na makao makuu ya kaunti ya Kisumu. Mji uko kando ya ziwa Viktoria Nyanza, una bandari kubwa ya nchi katika ziwa hilo. Mji na bandari vilianzi ...

                                               

Kit Mikayi

Kit-Mikayi, pia hutajwa kama Kit Mikayi, Kitmikayi na Kitmikaye ni mwamba mkubwa uliyoko kwenye barabara ya Kisumu-Bondo magharibi mwa Kenya, karibu kilometa 29 magharibi mwa Kisumu. Kit-mikayi inamaanisha "Mawe ya mke wa kwanza" katika Dholuo, l ...

                                               

Kitale

Kitale ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki. Ni makao makuu ya kaunti ya Trans-Nzoia. Mji uko mita 1900 juu ya usawa wa bahari. Hifadhi ya taifa ya Saiwa Swamp iko karibu na mji, ambao unajulikana pia kwa makumbusho ya Kitale. ...

                                               

Lamu (kisiwa)

Kisiwa cha Lamu ni sehemu ya funguvisiwa la Lamu pamoja na visiwa vya Pate na Manda karibu na mwambao wa Kenya katika Bahari Hindi. Kisiwani Lamu kuna mji wa Lamu na vijiji vya Shela, Kipangani na Matondoni. Shela imekuwa mahali pa utalii ambako ...

                                               

Likoni

Likoni ni sehemu ya mji wa Mombasa nchini Kenya katika kaunti ya Mombasa. Likoni iko barani ikitazama upande wa kusini wa kisiwa cha Mombasa. Ni mahali pa feri inayounganisha kisiwa cha Mombasa na bara upande wa kusini. Upande huo hakuna daraja k ...

                                               

Machakos

Machakos ni mji wa Kenya takriban kilomita 64 upande wa kusini-mashariki wa Nairobi. Ni makao makuu ya kaunti ya Machakos. Machakos imekua haraka kwa sababu ni karibu na mji mkuu wa taifa imeshapita idadi ya wakazi lakhi moja na nusu. Wenyeji wa ...

                                               

Malindi (Kenya)

Malindi ni mji wa Kenya kwenye pwani ya Bahari Hindi. Iko takriban km 100 kaskazini kwa Mombasa, katika Malindi Bay kwenye mdomo wa mto Athi-Galana-Sabaki. Idadi ya wakazi ni takriban 207.253 sensa ya mwaka 2009: ndio mji mkubwa zaidi wa kaunti y ...

                                               

Mariakani

Enzi za ukoloni, maeneo ya kiutawala ambayo yanafanya Mariakani leo yaligawanywa kati ya Waduruma, Wagiriama, na Wakamba. Wakoloni Waingereza waliona ni busara zaidi ya kusimamia kubwa makundi ya kikabila tofauti. Upande wa Kilifi kulikuwa Chifu ...

                                               

Marsabit

Marsabit ni mji wa kaskazini mwa Kenya, kilomita katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki ifikapo 37 ° 58 E, 2 ° 19 N. Karibu pande zote umezungukwa na Mbuga ya Kitaifa ya Marsabit na Hifadhi. Ndio mji mkuu wa Kaunti ya Marsabit, na uko kusini mwa ...

                                               

Masai Mara

Masai Mara ni hifadhi kubwa ya wanyamapori katika Kaunti ya Narok, Kusini Magharibi mwa Kenya, ambayo ni muendelezo wa Kaskazini wa mbuga ya hifadhi ya Serengeti iliyoko nchini Tanzania. Jina linatokana na jamii ya Wamaasai wenyeji wa tangu jadi ...

                                               

Mbale, Kenya

Mbale ni mji wa Kenya katika Mkoa wa Magharibi.Wilaya ya Vihiga,moja kati ya wilaya 43 nchini Kenya, ina makau makuu yake mjini Mbale. Huitwa pia Maragoli ambalo ni jina la wakaazi wenyeji wa eneo hili. Hapa ndipo Sherehe za Kitamaduni za Wamarag ...

                                               

Meru, Kenya

Meru ni mji wa Kenya mashariki ambao ni makao makuu ya Kaunti ya Meru na mji wa nane kwa ukubwa nchini Kenya. Meru imeunda baraza la manispaa lenye wakazi 240.900. Meru iko pande za Mto Kathita, katika mteremko wa kaskazini mashariki wa Mlima Ken ...

                                               

Milima ya Ngong

Milima ya Ngong ni vilele katika safu ya milima na vilima inayopatikana kusini mwa Kenya, upande wa mashariki ya Bonde la Ufa la Afrika Mashariki. Iko kusini magharibi karibu na Nairobi. "Ngong" ni neno la Kimaasai maana "nguyu" kutokana na vilel ...

                                               

Mkoa wa Kaskazini-Mashariki (Kenya)

Kaskazini-Mashariki ni moja kati ya mikoa 9 ya Kenya. Eneo lake ni 127 000 km² Archived Novemba 29, 2006 at the Wayback Machine. kuna wakazi 962.143. Wakati wa ukoloni eneo hili liliitwa "Northern Frontier District" Eneo la mpakani wa kaskazini l ...

                                               

Mlima Longonot

Mlima Longonot ni volkeno ya kale yenye kimo cha mita 2776 juu ya UB iliyoko kusini mwa Ziwa Naivasha katika Bonde la Ufa nchini Kenya, Afrika. Inadhaniwa kulipuka kwa mara ya mwisho katika miaka ya 1860. Jina lake linatokana na neno la Kimasai o ...

                                               

Mombasa

Mombasa ni mji mkubwa wa pili wa Kenya na wenye bandari muhimu zaidi Afrika Mashariki. Mji huu uko kwenye mwambao wa Bahari Hindi. Baada ya kuundwa kwa serikali ya ugatuzi, Mombasa umekuwa mji mkuu wa kaunti ya Mombasa. Mombasa ni kitovu cha utal ...

                                               

Mpeketoni

Mpeketoni ni mji wa Kenya katika Mkoa wa Pwani. Iko kwenye sehemu ya barani ya wilaya ya Lamu. Si mji wa kale bali ilianzishwa katika miaka ya 1960 kama mradi wa kujenga makazi ya watu na rais wa jamhuri Jomo Kenyatta. Kiasili eneo lilikaliwa na ...

                                               

Msitu wa Kakamega

Msitu wa Kakamega uko katika Kaunti ya Kakamega na Kaunti ya Nandi, Kenya, kaskazini-magharibi mwa mji mkuu wa Nairobi, na karibu na mpaka na Uganda. Inasemekana kuwa mojawapo wa mabaki ya mwisho ya Kenya ya msitu wa mvua wa kale wa Guineo-Congol ...

                                               

Msitu wa Mau

Msitu wa Mau ni msitu tata katika Bonde la Ufa nchini Kenya. Ni msitu asili wa milimani ulio mkubwa zaidi katika Afrika Mashariki. Msitu tata wa Mau una eneo wa hektari 273300. Maeneo ya misitu yana baadhi ya viwango vya juu kabisa ya mvua nchini ...

                                               

Mto Nairobi

Mto Nairobi ni mto unaopitia Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Ndio mto mkuu katika beseni la mito ya Nairobi, mtandao wa mito kadhaa inayopita sambamba kuelekea mashariki. Mito yote katika beseni hilo hukutana mashariki mwa Nairobi na kuungana na Mto ...

                                               

Mto wa Nzoia

Mto wa Nzoia ni mto wa Kenya unaotoka Mlima Elgon na kuwa na urefu wa kilomita 257. Unatiririkia kusini na kisha magharibi hatimaye unaingia katika Ziwa Viktoria karibu na mji wa Port Victoria. Mto huu ni muhimu kwa maeneo ya Magharibi mwa Kenya, ...

                                               

Naivasha

Naivasha ni mji wa soko katika Bonde la Ufa la Afrika ya Mashariki, nchini Kenya. Umelala kaskazini magharibi kwa Nairobi, kwenye mwambao wa Ziwa Naivasha na kando ya njia kuu ya Nairobi-Nakuru kupinduka na Reli ya Uganda. Naivasha ni sehemu ya K ...

                                               

Namanga, Kenya

Namanga ni mji ambao uko kusini mwa Kenya, kwenye kaunti ya Kajiado mpakani mwa Tanzania. Kulingana na sensa ya mwaka 1999 mji huu una watu 5.500 Archived Julai 18, 2011 at the Wayback Machine. Mji huu upo kilomita 200 kutoka Nairobi na kilomita ...

                                               

Nanyuki

Nanyuki ni mji mdogo katikati ya Kenya kaskazini-magharibi chini ya Mlima Kenya mwishoni kwa reli. Mstari wa ikweta unapita katika eneo la mji na Nanyuki ni kituo cha jeshi la anga la Kenya. Msingi wake umewekwa mwaka 1907 na walowezi Waingereza, ...

                                               

Ngong, Kenya

Ngong ni mji ulio karibu na Ngong Hills, sambamba na Bonde la Ufa, kusini magharibi kwa Nairobi, kusini mwa Kenya. "Ngong" ni neno la Kimasai linalomaanisha "nguyu" kutokana na vilele vinne vya ushi, ambayo inasimama peke yake kutoka eneo tambara ...

                                               

Nyahururu

Nyahururu ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki. Mji uko Mashariki kwa Nakuru kwenye mita 2.303 juu ya UB. Ni sehemu ya kusini magharibi ya Kaunti ya Laikipia. Mji huu ulianzishwa kwa jina la Thomson Falls kutokana na maporomoko ...

                                               

Pate

Pate ni kisiwa kikubwa cha funguvisiwa la Lamu mbele ya pwani ya Kenya katika Bahari Hindi. Pate ni kisiwa ambacho ni karibu na Somalia. Wakati ya maji kujaa Pate inagawanywa katika sehemu mbili kwa mtaro wa bahari karibu na Siyu; wakati wa maji ...

                                               

Pembetatu ya Ilemi

Majiranukta kwenye ramani: 4°59′29″N 35°19′39″E Pembetatu ya Ilemi ni eneo la kilometa mraba 10.320-14.000 hivi kaskazini magharibi kwa ziwa Turkana Afrika Mashariki linalogombaniwa na Sudan Kusini na Kenya mpakani mwa Ethiopia. Kwa sasa inatawal ...

                                               

Ruiru

Mji huu uko katika umbali wa takribani kilomita 3 kutoka katika Mpaka wa Nairobi. Una eneo la km 2 292 na umezungukwa na mashamba ya Kahawa. Ruiru ni mmoja kati ya miji inayotambulika zaidi nchini Kenya, ambao unaweza kufikika kwa urahisi kupitia ...

                                               

Tana (mto)

Tana ni jina la mto mrefu kuliko yote ya Kenya ukiwa na urefu wa takriban km 650. Chanzo chake ni milima ya Aberdare magharibi kwa Nyeri. Mwanzoni unelekea mashariki, halafu inapinda kuzunguka Mlima Kenya upande wa kusini. Kisha huingia ndani ya ...

                                               

Tarafa ya Budalangi

Tarafa ya Budalangi inapatikana nchini Kenya, kaunti ya Busia. Budalangi imegawanyika katika divisheni, lokesheni na vitongoji kadha. Ilipandishwa madaraka na kuwa wilaya mnamo mwaka wa 2007 na rais Mwai Kibaki. Kabla ya haya madaraka Budalangi i ...

                                               

Tsavo (mto)

Tsavo ni jina la mto mmojawapo wa Kenya kusini ambao unatiririka kutoka magharibi hadi mashariki na uko mpakani mwa mbuga ya kitaifa ya milima ya Chyulu, na hifadhi ya wanyama ya Mkomazi nchini Tanzania. Chanzo chake ni karibu na mpaka wa Tanzani ...

                                               

Uwanja wa Ndege wa Wilson (Kenya)

Kigezo:Infobox airport Uwanja wa Ndege wa Wilson uko kilomita tano kusini mwa jiji la Nairobi, Kenya, karibu na vitongoji vya Langata, South C na Kibera. Uwanja huo wa ndege umekuwa ukitumika tangu 1933. Ulikuwa uwanja mkuu wa ndege hadi kufungul ...

                                               

Vihiga

Vihiga ni mji wa Kenya magharibi ulioko upande wa mashariki wa Msitu Kakamega. Mji huu uko kando ya barabara ya Kisumu na Kakamega na kilomita tano tu kaskazini kwa ikweta. Vihiga imetoa jina lake kwa kaunti ya Vihiga ambayo makao makuu yake yako ...

                                               

Voi

Voi ni mji mkubwa wa Kaunti ya Taita-Taveta, kusini mwa Kenya. Awali ilikuwa kati ya wilaya sita za Mkoa wa Pwani. Voi inapatikana Magharibi mwa jangwa la Taru, Kusini na Magharibi mwa Mbuga ya Kitaifa ya Tsavo Magharibi iliyo maarufu sana dunian ...

                                               

Westlands (Nairobi)

Westlands ni mtaa wa jiji la Nairobi ulioendelea kuwa kitovu cha biashara kando ya Nairobi mjini. Westlands iko kando ya barabara kuu ya Waiyaki Way na kipilefti ya Westlands. Ni pia jina la moja kati ya tarafa nane za Kaunti ya Nairobi. Hadi mia ...

                                               

Wilaya ya Busia, Kenya

Busia ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi. Ilikuwa inapakana na Wilaya ya Kakamega mashariki, Wilaya ya Bungoma kaskazini, Wilaya ya Busia, Uganda upande wa magharibi, na Ziwa Vi ...

                                               

Wilaya ya Gucha

Wilaya ya Gucha ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi. Makao makuu yalikuwa Ogembo, yenye wakazi zaidi ya elfu moja na zaidi ya watu elfu moja ambao huitembelea kila siku. Kwa sasa im ...

                                               

Ziwa Baringo

Ziwa Baringo linapatikana katika Bonde la Ufa, kaskazini mwa Kenya, lina eneo la km 2 130, na liko mita 970 juu ya usawa wa bahari. Linalishwa na mito mbalimbali, ikiwemo mto Molo, mto Perkerra na mto Ol Arabel, lakini halina mito inayotoka.

                                               

Ziwa Logipi

Ziwa Logipi ni kati ya maziwa ya Kenya, likiwa kaskazini mwa bonde la Suguta. Ni ziwa la chumvi lenye ukubwa wa km 6 x 3 na kina cha mita 3 hadi 5.

                                               

Alaska

Alaska ni kati ya majimbo ya kujitawala ya Marekani. Iko kaskazini kabisa kwenye bara la Amerika ya Kaskazini. Alaska ni eneo la pekee haina mipaka na majimbo mengine ya Marekani mipaka yake kwenye nchi kavu ni na Kanada. Ncha ya Alaska inakaribi ...

                                               

Albuquerque, New Mexico

Albuquerque ni mji mkubwa wa jimbo la New Mexico nchini Marekani. Kuna wakazi 484.246 na pamoja na rundiko la mji ni 712.000. Mji upo m 1.619 kutoka juu ya usawa wa bahari. Mji uko katika eneo kati ya mto Rio Grande na milima ya Sandia. Eneo la A ...

                                               

Annapolis, Maryland

Annapolis ndiyo mji mkuu katika jimbo la Maryland. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2004, mji una wakazi wapatao 36.000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 12 kutoka juu ya usawa wa bahari.

                                               

Athens, Georgia

Athens ni mji wa Marekani katika jimbo la Georgia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao 187.000 wanaoishi katika mji huu.

                                               

Augusta, Maine

Augusta ni jina la mji mkuu wa jimho la Maine nchini Marekani. Idadi ya wakazi ya mjini hapa ilikadiriwa hadi kufikia kiasi cha watu 18.560 wanaoishi mjini hapa. Mji uliazishwa mnamo mwaka wa 1754. Mji upo m 20 kutoka juu ya usawa wa bahari.

                                               

Beseni kubwa la Marekani

Beseni Kubwa ni eneo yabisi la Marekani kusini lililopo kati ya Sierra Nevada na Safu ya Wasatch. Ni mazingira makavu na sehemu zake zina tabia za jangwa, nyingine za mbuga kavu. Tabianchi yake inaleta majira ya joto kali na kipindi cha baridi ch ...