ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 6
                                               

Matteo Guendouzi

Matteo Guendouzi ni mchezaji wa soka wa Ufaransa mwenye asili ya Moroko ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza ya Arsenal FC na timu ya taifa ya Ufaransa ya chini ya miaka 21.

                                               

Matthew Telfer (MLT)

Matthew Telfer kwa sasa ni mtafiti wa masuala ya usalama wa kimtandao, alikuwa mdukuzi aina ya kofia nyeusi na mwanachama wa zamani wa kikundi cha udukuzi cha TeaMp0isoN. MLT alikamatwa mnamo Mei 2012 akihusishwa na shughuli zake ndani ya TeaMp0i ...

                                               

Matthijs de Ligt

Matthijs de Ligt ni mchezaji wa soka anayechezea timu ya taifa ya Uholanzi na klabu ya Ajax iliyopo nchini humo. Mnamo 21 Septemba 2016, de Ligt alicheza kwa mara ya kwanza katika klabu ya Ajax katika mchezo wa kikombe dhidi ya Willem II. Alifung ...

                                               

Mattia Perin

Mattia Perin ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama kipa katika klabu ya Juventus ya serie na timu ya taifa ya Italia.

                                               

Blaise Matuidi

Blaise Matuidi ni mchezaji wa mpira kutoka Ufaransa na mwenye asili ya Angola na sasa hivi anachezea AS Saint-Étienne. Kimsingi anacheza kama mchezaji wa kati mara nyingi kucheza katika nafasi kuboresha mchezo.

                                               

Maureen Connell

Mnamo Julai 1956, Connell aliolewa na muongoza, mwandishi na mtayarishaji filamu wa Uingereza John Guillermin. Makazi yao yalikuwa Los Angeles kuanzia mwanzoni mwa mwaka 1968. Walikuwa na watoto wawili, Michelle na Michael-John. Baadae huyo wa mw ...

                                               

Maureen Koech

Maureen Koech ni mwigizaji, mwandishi wa nyimbo na mwimbaji wa Kenya. Anatambulika ndani ya Kenya pamoja na kazi zake KTN, Lies that Bind.

                                               

Mauricio Pochettino

Mauricio Roberto Pochettino Trossero ni mchezaji wa zamani wa Argentina ambaye alicheza kama kituo cha nyuma, na ndiye meneja wa sasa wa klabu ya Premier League Tottenham Hotspur. Alikaa miaka 18 akiwa mchezaji wa kitaaluma, kumi kati yake yaliku ...

                                               

Maya Yoshida

Maya Yoshida ni mchezaji wa soka wa Japani ambaye hucheza katika klabu ya Southampton Ligi kuu ya Uingereza na timu ya taifa ya Japan.

                                               

MB Salone

Mohamed Bailor Barrie anayejulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama MB Salone ni mtayarishaji wa rekodi za muziki wa Hiphop, Trap na RNB, wa Los Angeles, Marekani mwenye asili ya nchi ya Sierra Leone, Afrika. MB Salone alianza utayarishaji re ...

                                               

Thabo Mbeki

Thabo Mvuyelwa Mbeki alikuwa Rais wa nchi ya Afrika Kusini tangu 14 Juni 1999 hadi 24 Septemba 2008. Alimfuata Nelson Mandela. Mbeki alilelewa katika familia ya Waxhosa katika jimbo la Rasi Mashariki. Wazazi walikuwa walimu wa shule na wanachama ...

                                               

Mbosso

Mbwana Yusuph Kilungi ni mwimbaji, mtunzi na mwanamuziki kutoka nchini Tanzania. Umaarufu ulianza kujulikana akiwa na kundi zima la Yamoto Band ambalo ndani yake kuliwa na Aslay, Beka Flavour, Enock Bella na Mbosso. Kwa pamoja walikuwa wanaunda Y ...

                                               

Mbwana Samatta

Mbwana Ally Samatta ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Tanzania katika klabu ya Feberbahce nchini Uturuki. Mbwana ni nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars na kabla ya kuhamia klabu ya Feberbahce alikuwa akichezea timu ya Aston Villa ya n ...

                                               

Paul McCartney

Paul McCartney ni mwanamuziki, mwimbaji, msanifu, mtunzi wa nyimbo na wa filamu Mwingereza aliyepata umaarufu wa kimataifa kama mwimbaji-mwenza na mcheza-gitaa ya besi wa The Beatles. Ushirikano wake na John Lennon katika uandishi wa muziki ndio ...

                                               

Medard Matogolo Kalemani

Medard Matogolo Kalemani ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi. Amechaguliwa kuwa Mbunge wa Chato kuanzia mwaka 2015 hadi 2020.

                                               

Meddie Kagere

Meddie Kagere ni mchezaji wa soka wa Rwanda aliyezaliwa Uganda ambaye anacheza katika klabu ya Simba S.C. iliyopo Ligi Kuu Tanzania Bara na timu ya taifa ya Rwanda.

                                               

Meek Mill

Robert Rihmeek Williams ni rapa, mwandishi wa nyimbo, na mwanaharakati wa Marekani. Alizaliwa na kukulia Philadelphia, na baadaye akaunda kikundi cha rap cha muda mfupi, The Bloodhoundz. Mnamo Februari 2011, baada ya kuacha rekodi ya Grand Hustle ...

                                               

Mehcad Brooks

Mehcad Jason McKinley Brooks ni muigizaji wa Marekani na mwanamtindo wa zamani. Anajulikana kwa majukumu yake kama Matthew Applewhite katika msimu wa pili wa Desperate Housewives, Jerome katika The Game, jukumu lake la kuongoza kama Terrance "TK" ...

                                               

Melissa McCarthy

Melissa Ann McCarthy ni mwigizaji filamu, mchekeshaji, mwandishir, na vilevile mtayarishaji kutoka nchini Marekani. McCarthy alianza kupata umaarufu kwa uhusika wake wa Sookie St. James kwenye mfululizo wa TV wa Gilmore Girls 2000–2007. Kwenye uc ...

                                               

Melody Mbassa

Melody Mbassa ni mwanamuziki nchini Tanzania aliyeanza kupata umaarufu wake tokea akiwa mdogo kwenye vipindi vya watoto katika redio na televisheni mfano ITV, TVT kwa sasa na kwingineko kupitia wimbo wake maarufu wa "Toto Party" uliotokea kupendw ...

                                               

Mengistu Haile Mariam

Mengistu Haile Mariam, ni mwanajeshi na mwanasiasa kutoka nchi ya Ethiopia aliyewahi kuwa rais wa Ethiopia hadi kupinduliwa mwaka 1991.

                                               

Angela Merkel

Dk. Angela Dorothea Merkel ni mwanafizikia na mwanasiasa wa Kijerumani, na ni Chansela wa Ujerumani tangu 22 Novemba 2005.

                                               

LaShawn Merritt

LaShawn Merritt ni mwanariadha wa Marekani wa mbio fupi ambaye huwa ni mtaalamu wa mbio za 400m. Merritt ni raia wa ambapo yeye alisoma katika shule ya upili ya Woodrow Wilson.

                                               

Mesut Ozil

Mesut Özil ni mchezaji wa soka wa Ujerumani. Tangu mwaka 2013 anachezea timu ya klabu ya Fenerbahçe S.K. Özil alizaliwa Gelsenkirchen katika jimbo la Nordrhein-Westfalen aliposoma shule hadi darasa la 10 na kuchez soka katika klabu za mji. Famili ...

                                               

Method Man

Clifford Smith ni msanii wa muziki wa hip hop, mtayarishaji wa rekodi, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa jina lake la kisanii kama Method Man au Meth. Yeye ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-T ...

                                               

Rose Mhando

Rose Mhando ambaye hujulikana pia kwa jina la Rose Muhando ;amezaliwa mwaka 1976 katika kijiji cha Dumila, Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, nchini Tanzania) ni msanii maarufu wa muziki wa injili katika lugha ya swahili katika kanda ya Afrika M ...

                                               

Michael B. Jordan

Michael Bakari Jordan ni muigizaji wa Marekani. Anajulikana kwa majukumu yake ya filamu kama mshambuliaji wa Oscar Grant katika tamthilia ya Fruitvale Station, Boxer Adonis Creed katika Rocky sequel film Creed na mpinzani mkuu Erik Killmonger huk ...

                                               

Michael Carrick

Michael Carrick ni kocha wa soka wa Uingereza na mchezaji wa zamani wa Manchester United. Kwa sasa anafanya kazi kama kocha huko Manchester United. Yeye ni mmoja wa wachezaji wengi wa Kiingereza aliyepambwa kwa wakati wote na anajulikana zaidi kw ...

                                               

Michael Jace

Michael Andrew Jace ni mwigizaji wa Amerika na muuaji aliyehukumiwa. Anajulikana kwa jukumu lake kama afisa wa polisi wa Los Angeles Julien Lowe katika mchezo wa kuigiza wa FX The Shield. Alicheza pia na Andrew Tibbs, msogeaji wa zamani wa mtuhum ...

                                               

Michael Owen

Michael Owen ni mchezaji wa soka wa zamani wa Uingereza aliyecheza kama mshambuliaji wa klabu za Liverpool F.C., Real Madrid, Newcastle United, Manchester United na Stoke City; pia alicheza na katika timu ya taifa ya Uingereza. Owen alizaliwa kat ...

                                               

John Michuki

John Njoroge Michuki ni mwanasiasa Kenya, sasa anatumikia kama Waziri wa Mazingira na Rasilimali za Madini. Yeye ni mbunge kutoka jimbo la Kangema.

                                               

Issa Michuzi

Michuzi tangu zamani alikuwa akipendelea kazi ya upigaji picha. Mnamo mwaka 1980 alijiunga na vipindi vya jioni katika taasisi iitwayo Dar es Salaam. Moja kati ya picha alizowahi kupiga ilichaguliwa kwa ajili ya kurasa ya mwanzo wa gazeti la Dail ...

                                               

Michy Batshuayi

Michy Batshuayi-Atunga ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji ambaye anacheza katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Chelsea na timu ya taifa ya Ubelgiji. Alianza kazi yake ya kitaalamu katika Standard Liège mwaka 2011, akifunga mabao 44 katika michezo 1 ...

                                               

Miguel Díaz-Canel

Miguel Mario Díaz-Canel Bermúdez ni mwanasiasa wa Cuba anayehudumu kama Rais wa Cuba tangu tarehe 19 Aprili 2018. Hapo awali alikuwa Rais wa Baraza la Jimbo la Cuba kutoka mwaka 2018 hadi 2019 na Makamu wa Kwanza wa Rais kutoka mwaka 2013 hadi 20 ...

                                               

Kizito Mihigo

Kizito Mihigo ni muimbaji raia wa Rwanda, mtunzi na muimbaji wa nyimbo za kanisa, mpiga kinanda na mtangazaji wa televisheni. Muhanga wa mauaji ya halaiki ya Rwanda mwaka 1994, mwanaharakati wa amani na maridhiano, kasomea nchini Ufaransa kwenye ...

                                               

Mikael Lustig

Carl Mikael Lustig ni mshambuliaji wa Uswidi ambaye anachezea timu ya taifa ya Sweden. Aliwakilisha nchi katika mashindano ya UEFA Euro 2012, UEFA Euro 2016 na Kombe la Dunia la FIFA 2018.

                                               

Mike Bamiloye

Mike Abayomi Bamiloye ni mcheza filamu wa Nigeria, mwigizaji, muandaaji na muongozaji wa filamu. Ni muasisi na raisi wa asasi ya Mount Zion Faith Ministries na mmiliki wa kituo cha runinga cha Mount Zion Television. Alikuwa pia mwanachama wa kani ...

                                               

Mike Pence

Michael Richard Pence ni mwanasiasa wa Marekani na wakili anayehudumu kama makamu wa 48 wa rais wa sasa wa Marekani. Hapo awali alikuwa gavana wa 50 wa Indiana kutoka 2013 hadi 2017 na mjumbe wa Baraza la Wawakilishi la Marekani kutoka 2001 hadi ...

                                               

Mike van der Hoorn

Mike Adrianus Wilhelmus van der Hoorn ni mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Swansea City. Amefanya mafanikio kumi na tatu kwa timu ya walio chini ya miaka 21 Uholanzi.

                                               

Mikhail Mishustin

Mikhail Vladimirovich Mishustin ni mwanasiasa na mchumi wa Urusi anayehudumu kama Waziri Mkuu wa Urusi tangu 16 Januari 2020. Hapo awali aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Huduma ya Ushuru wa Shirikisho kutoka 2010 hadi 2020. Aliteuliwa na Rais Vladimir ...

                                               

Mads Mikkelsen

ni mwigizaji wa Kideni. Mikkelsen alizaliwa katika eneo la Osterbro, jijini Copenhagen. Baada ya kuhudhuria Shule ya Uigizaji ya Århus, ali filamu yake ya kwanza katika movie Pusher. Yeye ameigiza katika filamu maarufu za Kideni kama Flickering L ...

                                               

Christina Milian

Christina Milian imeelkezwa hapa. Kwa albamu, tafadhali tembelea Christina Milian Christine Flores amezaliwa tar. 26 Septemba 1981 ni mtunzi, mwimbaji wa muziki wa pop na R&B, mtayarishaji, mnenguaji, na mwigizaji wa filamu kutoka nchini Mare ...

                                               

Millard Ayo

Millard Afrael Ayo ni mtangazaji, mwandishi wa habari na mwanablogu kutoka nchini Tanzania. Millard anafahamika sana kwa kipindi chake cha Amplifier katika redio Clouds FM. Alianza kutambulika baada ya kujiunga ITV/Radio One mwaka 2008 kabla 2010 ...

                                               

Wentworth Miller

Wentworth Earl Miller III ni mwigizaji wa filamu wa Kimarekani-Kiingereza, aliyetunukiwa tuzo ya Golden Globe akiwa kama mwigizaji bora wa filamu na tamthiliya. Amejizolea umaarufu mkubwa baada ya kucheza kama Michael Scofield kutoka katika tamth ...

                                               

Millie Bright

Millie Bright ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Uingereza.

                                               

John Atta Mills

John Evans Atta Mills ni Rais wa sasa wa Ghana. Alichaguliwa tarehe 7 Januari 2009, baada ya kumshinda mgombea wa chama tawala Nana Akufo-Addo kwa 50.23% -49.77% katika uchaguzi wa 2008. Alikuwa Makamu wa Rais 1997-2001 chini ya Rais Jerry Rawlin ...

                                               

Mimi Mars

Marianne Namshali Mdee ni msanii wa Bongo Flava, R&B na Pop kutoka Tanzania. Mimi Mars pia ni muigizaji, mshawishi, mshereheshaji na mtangazaji wa vipindi vya televisheni. Anajulikana kwa sauti yake kwenye uimbaji na uchezaji.

                                               

Kylie Minogue

Kylie Ann Minogue ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu wa Kiaustralia. Alianza kujibebea umaarufu kunako miaka ya 1980 hivi, kwa sababu ya kucheza katika moja ya sehemu ya tamthilia ya Neighbours, kabla ya kuwa dansa-mwimbaji wa pop.

                                               

Dennis Mitchell

Allen Dennis Mitchell ni mwanamichezo wa zamani wa Marekani, mshindi wa medali ya dhahabu katika mbio ya x 100 m katika Olimpiki ya 1992.

                                               

Radha Mitchell

Radha Rani Amber Indigo Anunda Mitchell ni mshindi wa Tuzo ya Guild, akiwa kama mwigizaji bora filamu na tamthilia kutoka nchini Australia.