ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 59
                                               

Injini ya mvuke

Injini ya mvuke ni injini inayotumia nguvu ya mvuke kwa kufanya kazi. Nguvu ya mvuke ni nishati ya joto iliyomo ndani yake. Nishati hii inabadilishwa kuwa mwendo. Ndani ya mashine maji hupashwa moto kuyageukia kuwa mvuke. Mvuke unaingizwa katika ...

                                               

Itale

Kwa maana mengine za jina hili angalia hapa Matale Itale pia: matale ; ing. granite ni mwamba mgumu wenye asili ya kivolkeno. Imetokea pale ambapo magma imepoa na kuganda. Ndani ya magma kuna madini mbalimbali na mengine yalianza kuganda mapema k ...

                                               

Jabari

Jabari ni kundinyota linalojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi la Orion. Ni moja ya makundinyota yanayotambuliwa na Umoja wa Kimataifa wa Astronomia Nyota za Jabari huwa hazipo pamoja kihalisi lakini zinaonekana tu vile kutoka duniani. Kwa ...

                                               

Jalidi

Jalidi ni hali ya baridi ambapo halijoto inafikia chini ya kiwango cha sentigredi 0. Hii ni kiwango ambako maji yanaanza kuganda kuwa barafu. Jalidi kama halijoto inaathiri viumbehai na mimea kwa sababu huwa na maji katika miili yao. Mimea inakuf ...

                                               

Jiwe mchanga

Jiwe mchanga ni aina ya mwamba mashapo. Linaundwa na mchanga uliogandamizwa, hivyo madini ndani yake ni hasa shondo na felispa. Jiwe mchanga ni mwamba thabiti ambayo hailikwi kirahisi, pia si ngumu mno, hivyo hutumiwa kwa ujenzi katika nchi nying ...

                                               

Joto

Joto ni hali ya umotomoto wa mtu, kitu au sehemu fulani. Linapozidi huweza kusababisha kuungua kwa kitu kilichokabiliwa na joto lililozidi. Pia hipo mikoa yenye joto kali. Mikoa hii ipo karibu na bahari ya Hindi kwani wanasayansi huelezea zaidi k ...

                                               

Jumanne

Katika lugha ya Kiswahili jina la siku lina namba "4" ndani yake. Hii ni dokezo la asili ya Kiswahili katika utamaduni ya Kiislamu pasipo na athira ya Uyahudi unaoanza hesabu baada ya sikukuu ya Kiislamu ya Ijumaa ambayo ni siku ya sala ya pamoja ...

                                               

Jumatano

Kuna nchi zilizobadilisha hesabu ya juma kufuatana na kawaida ya mapumziko ya "wikendi" kwenye siku za Jumamosi/Jumapili. Katika muundo huu Jumatatu hutazamiwa kama siku ya kwanza katika juma ya kazi hivyo inahesabiwa kama siku namba "1" ya wiki ...

                                               

Jura

Kipindi cha Jura ni kipindi cha pili cha kijiolojia katika enzi ya kimesozo. Ilianza miaka milioni 200 iliyopita, na ilimalizika miaka milioni 145 iliyopita. Kipindi cha Kijura kilitokea baada ya kipindi cha Trias na Chaki.

                                               

Kaboni 14

Kaboni 14 ni isotopi ya mionzi ya kaboni na kiini cha atomi ambacho kina protoni 6 na neutroni 8. Kuwepo kwake katika vifaa vya kikaboni ni msingi wa mbinu ya rediokaboni iliyopangwa na Willard Libby na wenzake kupimia umri wa sampuli za akioloji ...

                                               

Kalenda

Kalenda ni utaratibu wa kupanga wakati. Hupatikana kama orodha ya vipindi vya wakati kama vile siku, juma, mwezi na mwaka. Kalenda mbalimbali zimejua pia vipindi vya miaka kadhaa. Kalenda inayotumika zaidi leo kimataifa ni kalenda ya Gregori iliy ...

                                               

Kalenda ya mwezi

Kalenda ya Mwezi ni kalenda inayohesabu miezi kufuatana na mwendo wa Mwezi kwenye anga. Mwezi una muda wa siku 29.5 kutoka mwezi mpya hadi mwezi mpya. Faida yake ni ya kwamba mwezi unaonekana na watu wote. Hali hii inasaidia kuelewana haraka kati ...

                                               

Kani

Kani ni athira ya nje inayoweza kubadilisha hali ya utulivu au mwendo kwenye gimba. Hupimwa kwa nyutoni. Kani huwa na tabia za kiwango ukubwa na mwelekeo. Alama yake ni F. Dhana ya kani iliundwa na Isaac Newton. Alisema katika kanuni yake ya pili ...

                                               

Kantarusi

Kantarusi ni jina la kundinyota kwenye angakusi ya Dunia yetu. Lipo jirani na Salibu en:Crux likiwa na nyota mashuhuri ya Rijili Kantori en:Alpha Centauri iliyo nyota jirani na Jua letu kuliko zote.

                                               

Karne

Karne ni muda wa miaka mia moja. Karne 10 ni milenia moja. Inawezekana kugawa karne kwa miongo 10. Neno hili limetokana na Kiarabu "ﻗﺮﻥ" linamaanisha kipindi cha miaka mia moja. Kwa kawaida karne si miaka 100 yoyote inayofuatana lakini kipindi ka ...

                                               

Kasi ya Masakini (kundinyota)

Kasi ya Masakini ni kundinyota dogo linapakana na Bakari en:Boötes upande wa kaskazini, Hayya en:Serpens upande wa kusini na Rakisi en:Hercules upande wa mashariki.

                                               

Kasoko

Kasoko ni uwazi kwenye ardhi uliotokana na mlipuko au mshtuko wa kugongwa na gimba. Kasoko ina umbo la duara; katikati ni kama shimo na ukingo wake unainuliwa juu ya uwiano wa mazingira yake. Duniani kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na mi ...

                                               

Kasoko ya dharuba

Kasoko ya dharuba ni uwazi kwenye ardhi unaotokana na mshtuko wa kugongwa na gimba. Kasoko ina umbo la duara; katikati ni kama shimo na ukingo wake unainuka juu ya uwiano wa mazingira yake. Duniani kasoko zinapatikana mara nyingi kutokana na mili ...

                                               

Kelvini

Kelvini ni Kizio cha SI kwa halijoto. Alama yake ni K. Kiwango chake kinaanza kwenye sifuri halisi = -273.15 °C pasipo mwendo wowote wa molekuli. Kizio kimoja cha Kelvini ni sehemu ya 1/273.16 ya tofauti kati ya sifuri halisi =0 K na kiwango utat ...

                                               

Kifaru (jeshi)

Kwa mnyama tazama hapa: Kifaru Kifaru pia: faru ni mashine ya vita iliyopewa jina lake kutokana na mnyama wa pori. Kimsingi kifaru ni kama gari kubwa lililokingwa kwa mabamba ya feleji likibeba silaha mara nyingi mzinga. Vifaru vyepesi hutembea k ...

                                               

Kifausi (kundinyota)

Kifausi ni kundinyota kubwa karibu na ncha ya anga ya kaskazini na nyota zake za kusini zinaonekana pia katika Afrika ya Mashariki. Inapakana na makundinyota jirani ya Dajaja Cygnus, Mjusi Lacerta, Mke wa Kurusi Cassiopeia, Twiga Camelopardalis n ...

                                               

Kilimia

Kwa macho nyota sita hadi saba zinaonekana vizuri sana, na hadi 14 kwa macho mazuri. Lakini kwa darubini kilimia ni fungunyota lenye nyota 1.200. Umbali wake na jua letu ni miakanuru 410. Umri wake hukadiriwa kuwa miaka milioni 125.

                                               

Kilogramu

Kilogramu ni kipimo sanifu cha SI kwa ajili ya masi ya gimba. Kifupi chake ni kg. Sehemu yake ndogo huitwa "gramu" kwa kifupi "g". Kuna gramu 1000 katika kilogramu moja. Hata kama kifizikia kuna tofauti kati ya masi na uzito kilogramu hutumiwa pi ...

                                               

Kimbunga

Kuhusu lugha ya Kimbunga tazama Kimbunga lugha Kimbunga ni dhoruba kali inayoanza juu ya bahari katika maeneo ya tropiki yenye upepo wenye kasi ya zaidi ya km/saa 117. Kimbunga ni dhoruba aina ya tufani yaani kina mwendo wa kuzunguka.

                                               

Kimondo

Kimondo ni kiolwa kidogo cha angani kinachozunguka Jua katika anga-nje. Kikiingia katika angahewa la Dunia kinaonekana kama mwali wa moto angani.

                                               

Kiolwa cha anga-nje

Kiolwa cha anga-nje ni jina la jumla kwa ajili ya vitu vinayopatikana katika anga ya ulimwengu. Kati ya vitu hivyo huhesabiwa: Sayari Nyotamkia Galaksi Jua Nyota Asteroidi Miezi Nebula Vimondo pia meteori au meteroidi Sayari kibete Mawingu katika ...

                                               

Kisukuku

Kisukuku ni mabaki ya kiumbehai kutoka zamani za miaka 10.000 au zaidi. Visukuku vingi vina umri wa miaka milioni kadhaa. Mabaki yanapatikana kwa umbo tofautitofauti, hasa kama: visukuku vya makaa na mafuta ambavyo ni chanzo muhimu cha nishati. v ...

                                               

Kiwango cha kuchemka

Kiwango cha kuchemka ni halijoto ambako kiowevu huchemka. Kiwango hiki ni halijoto ya juu ambako dutu yaendelea kuwa kiowevu. Kuongezeka kwa kiasi kidogo sana cha nishati kutabadilisha kiowevu kuwa gesi. Kugeuka kwa kiowevu kuwa gesi hutokea pia ...

                                               

Kiwango cha kuyeyuka

Kiwango cha kuyeyuka ni halijoto ambako dutu mango hubadilika na kuingia katika hali ya kiowevu. Dutu nyingi haziyeyuki mara moja lakini kuna upeo fulani wa sentigredi kadhaa ambako dutu yalainika hadi kuyeyuka kabisa. Kiwango cha kuyeyuka ni hal ...

                                               

Kobe (kundinyota)

Kobe ni kundinyota dogo linapakana na Mshale pia Kausi au lat. Sagittarius upande wa kaskazini na Nge pia Akarabu, lat. Scorpio upande wa magharibi, Darubini Telescopium upande wa kusini, na Madhabahu Ara upande wa kusini magharibi.

                                               

Kuba (jengo)

Kuba ni sehemu ya jengo inayoonekana kama nusu tufe iliyoko juu ya jengo fulani. Ni sifa inayolenga kuonyesha umuhimu maalum wa jengo hili. Hivyo ni hasa makanisa, misikiti na majengo makubwa ya serikali zinazopambwa kwa kuba juu yake. Pamoja na ...

                                               

Kundi la galaksi

Kundi la galaksi ni idadi ya galaksi zinazoshikamana katika anga-nje. Maana zinaathiriana kwa njia ya graviti yake. Katika mpangilio huo ni hadi galaksi 50 zinazotazamwa kuwa kundi. Kama idadi ya galaksi zinazoshikamana ni kubwa zaidi jumla yake ...

                                               

Kupatwa kwa Mwezi

Kupatwa kwa Mwezi ni badiliko la mwangaza na rangi ya Mwezi kwa muda. Kunatokea wakati wa Mwezi kupita katika kivuli cha Dunia ambako nuru ya Jua haifiki kwenye uso wa Mwezi moja kwa moja. Mwezi unaangazwa na nuru inayoakisiwa na Dunia na kuwa na ...

                                               

Madhabahu (kundinyota)

Madhabahu lipo jirani na kundinyota la Nge pia Akarabu, lat. Scorpius na Pembetatu ya Kusini Triangulum Australe. Njia Nyeupe inapita katika sehemu ya Madhabahu.

                                               

Magma

Magma ni mwamba ulioyeyuka kutokana joto kali na shindikizo ulio chini ya ardhi. Kimsingi ni kama zaha inayopatikana juu ya ardhi. Magma hukunsayika mahali pamoja ndani ya tabakamwamba ya ganda la dunia au katika tabakalaini ya koti. Mahali pale ...

                                               

Majira ya joto

Majira ya joto ni mojawapo kati ya majira manne ya kanda za wastani, na halijoto yake ni ya joto kuliko majira mengine. Inaweza kulinganishwa na chaka ambayo ni kipindi cha joto katika Afrika za Mashariki. Kadiri ya umbali na ikweta, mchana ni mr ...

                                               

Majira ya kuchipua

Majira ya kuchipua ni mojawapo kati ya majira manne ya kanda za wastani, na halijoto yake ni ya wastani. Yanafuata majira ya baridi kwa Kiingereza "winter" na kutangulia majira ya joto kwa Kiingereza "summer". Majira hayo yanatokea duniani kwa ny ...

                                               

Majira ya kupuputika majani

Majira ya kupuputika majani ni mojawapo kati ya majira manne ya kanda za wastani, na halijoto yake ni ya baridi kiasi. Kadiri ya umbali na ikweta, mchana unazidi kufa mfupi na usiku kuwa mrefu. Pamoja na hayo, miti mingi inaweza ikapotewa na maja ...

                                               

Makemake

Makemake ni sayari kibete inayozunguka jua letu katika umbali mkubwa kwenye ukanda wa Kuiper. Iligunduliwa tarehe 31 Machi 2005 na wanaastronomia Michael E. Brown, Chad Trujillo na David Rabinowitz kwenye paoneaanga pa Mount Palomar.

                                               

Makinikia

Makinikia ni jina la mchanga ambao hutokana na shughuli za uchimbaji wa madini. Mchanga huo husadikika kuwa na madini ya aina moja ama zaidi ya madini ndani yake. Neno hili limepata umaarufu na kutumiwa zaidi na Watanzania baada ya Serikali ya aw ...

                                               

Marumaru

Marumaru ni mwamba wa gange uliobadilika kutokana na joto na shindikizo ndani ya ganda la dunia katika kipindi cha miaka milioni kadhaa. Kikemia ni hasa CaCO 3. Ni jiwe gumu sana linalopatikana katika rangi mbalimbali. Hupendwa sana kama jiwe la ...

                                               

Mashapo

Mashapo ni vipande vidogo vya mata thabiti vilivyovunjika na nguvu za maji, barafu, upepo, kwa njia ya mmomonyoko na mabadiliko ya halijoto, halafu kusafirishwa na maji, barafu, upepo au mvuto wa graviti. Vipande hivyo vilivyovunjika hutokea kama ...

                                               

Mata ogania

Viumbehai kama bakteria, mimea na wanyama huwa na miili inayofanywa na molekuli kubwa. Molekuli za viumbehai ni kubwa kwa sababu mchakato wa uhai unahitaji tabia kama uwezo wa kuzaa, kukua na umetaboli na shughuli hizo zinatekelezwa na molekuli z ...

                                               

Mbwa Mkubwa (kundinyota)

Mbwa Mkubwa ni jina la kundinyota kwenye angakusi ya Dunia yetu. Shira ambayo ni nyota angavu zaidi angani ni sehemu ya Mbwa Mkubwa.

                                               

Mchanga

Mchanga ni punje ndogo za mwamba uliosagika. Kufuatana na mapatano ya kitaalamu mawe huitwa "mchanga" kama punje zake ziko kati ya milimita 0.063 hadi 2. Punje hizo zinatokana na mmomonyoko wa mawe makubwa zaidi kama changarawe yaliyosukumwa na u ...

                                               

Mchoraji (kundinyota)

Mchoraji lipo jirani na makundinyota saba za Njiwa Columba upande wa kaskazini, Shetri Puppis na Mkuku Carina upande wa mashariki, Patasi Caelum kwenye kaskazini-magharibi, Panji Dorado na Panzimaji Volans upande wa kusini. Nyota angavu ya Suheli ...

                                               

Metali

Metali ni kundi la elementi zenye tabia za pamoja kama vile zinapitisha umeme kwa urahisi zinangaa zinapitisha joto ni wayaikaji zinaweza kubabatizwa kuwa wembamba kama waya au kupinduliwa kabla ya kuvunjika Kikemia tabia hizo zote zinatokana na ...

                                               

Metali alikali

Metali alikali ni elementi za kundi la kwanza katika mfumo radidia hasa lithi, natiri, kali, rubidi, caesi na fransi. Hidrojeni ni pia elementi ya kundi la kwanza lakini kwa kawaida haionyeshi tabia za metali alikali.

                                               

Metorolojia

Metorolojia ni sayansi inayoshughulikia habari za angahewa, tabianchi na halihewa na hasa fizikia pamoja na kemia husika.

                                               

Meza (kundinyota)

Meza lipo jirani na makundinyota ya Panji Dorado upande wa kaskazini, Nyoka Maji Hydrus upande wa kaskazini-magharibi na magharibi, Thumni Octans upande wa kusini, Kinyonga Chamaleon upande wa mashariki halafu Panzimaji Volans upande wa kaskazini ...