ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 58
                                               

Mdudu-koleo

Wadudu-koleo ni wadudu wadogo wa oda Dermaptera ambao wana serki kwa umbo wa koleo. Serki hizi hutumika kwa kushika mawindo, kwa kujitetea, kwa kukunja mabawa ya nyuma na wakati wa kujamiiana. Mabawa ya nyuma yakunjwa ili kufichwa chini ya yale y ...

                                               

Mdudu-malaika

Wadudu-malaika ni wadudu wadogo wa oda Zoraptera iliyo na familia moja na jenasi moja tu. Idadi ya spishi zilizopo hadi sasa ni 39 ambapo angalau spishi 9 zimekwisha sasa. Wadudu hawa wana maumbo mawili. Moja ni jeusi lenye macho na oseli na maba ...

                                               

Msokotaji-hariri

Wasokotaji-hariri ni wadudu wadogo wa oda Embioptera ambao wana tezi kwenye miguu ya mbele zinazotumika kwa kusokota hariri. Hutumia hariri hii ili kuumba njia na vyumba juu ya miamba, juu ya gome la miti au ndani ya takataka za majani. Mwili wa ...

                                               

Mwendamaji

Wendamaji au watembeaji-maji ni wadudu wadogo hadi wakubwa kiasi wa familia Gerridae katika oda ya chini Gerromorpha ya oda Hemiptera na nusungeli Pterygota ambao hutembea juu ya maji na kujilisha kwa wadudu walioanguka majini au wanaokuja usoni ...

                                               

Notoptera

Notoptera ni oda ndogo ya wadudu iliyo na spishi 55 zinazoishi hadi sasa. Spishi hizi zimeainishwa katika familia mbili: Grylloblattidae na Mantophasmatidae. Kuna familia mbili za spishi zilizoisha sasa. Wadudu-barafu wanatokea Amerika ya Kaskazi ...

                                               

Nyigu

Nyigu ni wadudu wa nusuoda Apocrita katika oda Hymenoptera wasio nyuki au sisimizi. Wadudu hawa wote ni mbuai au vidusia lakini ni lava tu ambao hula mawindo au mwathirika. Wadudu wapevu hula mbochi, mbelewele au vitu vyingine vyenye sukari. Nyig ...

                                               

Nyuki

Nyuki ni wadudu wa familia Apidae wenye mabawa manne angavu na mwiba nyuma ya mwili wao. Hukusanya mbelewele na mbochi ya maua kama chakula chao. Spishi inayojulikana hasa ni nyuki-asali Apis mellifera ambaye hufugwa kila mahali duniani. Kuna spi ...

                                               

Nyuki-asali

Nyuki-asali ni aina za nyuki wa kabila Apini katika familia Apidae ambao hutengeneza asali na kuiweka katika sega za nta. Nyuki-asali hufugwa sana kila mahali duniani lakini wengine wanaishi porini na asali yao hukusanywa kwa kuvunja mizinga yao. ...

                                               

Nzi

Nzi ni wadudu wadogo wa nusuoda Brachycera katika oda Diptera. Kwa asili jina hili limetumika kwa wadudu wa familia Muscidae, lakini kwa sababu spishi nyingi za Brachycera hazina majina ya Kiswahili," nzi” linapendekezwa kama jina kwa Brachycera ...

                                               

Nzi mweupe

Nzi weupe ni wadudu wadogo wa familia Aleyrodidae katika oda Hemiptera ya nusungeli Pterygota. Wadudu hawa wanaweza kuwa wasumbufu kama vidukari, hususa wakiwa tele, kwa sababu wanafyunza utomvu pia na kuvu nyeusi inakua juu ya mana wanayochoza n ...

                                               

Nzi-gome

Nzi-gome ni wadudu wadogo wa oda Psocoptera katika nusungeli Pterygota. Spishi zinazoishi ndani ya majengo huitwa chawa-vitabu. Zamani spishi fulani za nusuoda Troctomorpha ziligeuka katika chawa. Kwa hivyo siku hizi wataalamu wanaweka nzi-gome n ...

                                               

Nzige

Nzige ni jamii ya panzi wenye uwezo wa kujikusanya kwenye makundi makubwa na kuruka umbali mrefu kwa pamoja. Wanao huitwa tunutu. Nzige wanapokuwa wametawanyika mmojammoja huishi kama panzi wa kawaida. Wanapozaliana na kuongezeka idadi hujikusany ...

                                               

Sisimizi

Sisimizi ni familia ya wadudu wadogo wanaoishi katika jamii. Jamii hizi zinaweza kuwa na sisimizi makumi kadhaa tu au kuwa na mamilioni kulingana na spishi mbalimbali. Makazi yao yapo mara nyingi chini ya ardhi au mahali pengine panapohifadhiwa k ...

                                               

Sungusungu (sisimizi)

Kuhusu walinzi wa jadi angalia hapa Sungusungu Sungusungu ni spishi ya sisimizi Megaponera analis wa nusufamilia Ponerinae katika familia Formicidae. Katika maisha yao, sungusungu huishi kwa ushirikiano na kusaidiana kama mchwa na wadudu wengineo ...

                                               

Tiripsi

Tiripsi au vithiripi ni wadudu wadogo sana wa oda Thysanoptera katika nusungeli Pterygota. Wanatokea kila mahali pa dunia isipokuwa Antakitiki. Wadudu hawa ni wadogo kabisa. Spishi nyingi ni mm 1 tu au ndogo zaidi na hula kuvu na spora zao au huf ...

                                               

Anga-nje

Anga-nje ni eneo la ulimwengu. Tofauti na anga ya dunia yetu inayojazwa na angahewa ni yote nje yake. Sehemu kubwa za anga za nje ni nafasi ambayo inakaribia hali yaombwe. Katika tupu hii kuna magimba ya angani kama sayari, nyota, galaksi, nebula ...

                                               

Angakaskazi

Angakaskazi ni sehemu za anga zinazoonekana kwa mtazamaji kwenye nusutufe ya kaskazini ya Dunia yetu. Ufafanuzi wake ni "sehemu ya anga upande wa kaskazini wa ikweta ya anga". Iko kinyume cha angakusi.

                                               

Angakusi

Angakusi ni sehemu za anga zinazoonekana kwa mtazamaji kwenye nusutufe ya kusini ya Dunia yetu. Ufafanuzi wake ni "sehemu ya anga upande wa kusini wa ikweta ya anga". Iko kinyume cha angakaskazi.

                                               

Arinabu (kundinyota)

Arinabu Lepus liko karibu na ikweta ya anga linapakana na makundinyota jirani ya Mbwa Mkubwa Canis Major, Munukero Monoceros, Jabari Orion, Nahari Eridanus, Patasi Caelum na Njiwa Columba.

                                               

Astatini

Astatini kut. Kigiriki "astateo" ἀστατέω "kutodumu" kwa sababu ya unururifu na nusumaisha fupi) ni elementi yenye namba atomia 85 katika mfumo radidia maana yake kiini atomia chake kina protoni 85. Uzani atomia ni 209.98 na alama yake ni At. Ni e ...

                                               

Asteroidi

Asteroidi ni kiolwa cha angani kinachozunguka jua jinsi inavyofanya sayari. Ni ndogo kuliko sayari kibete lakini kubwa kushinda kimondo. Mara nyingi huitwa pia "planetoidi" kwa sababu tabia zao zinalingana katika mengi na sayari.

                                               

Astronomia

Astronomia ni elimu juu ya magimba ya ulimwengu kama vile nyota, sayari, miezi, vimondo, nyotamkia, galaksi kuhusu nyendo zao, nafasi, umbali, ukubwa na sheria zinazotawala tabia zake. Astronomia ni tofauti na unajimu ambayo si sayansi bali jarib ...

                                               

Aulakogenia

Kwa Jeologia, aulakogenia ni mkono uliogoma wa mikutano mitatu ya ufa za boma za tektonika. Miungano mitatu chini ya boma za bara uanzisha mpasuko mara tatu ya boma hizi za bara. Boma za Bara zinapopasuka, moja wapo ya migongo hii mitatu hukoma k ...

                                               

Bakari (kundinyota)

Bakari ilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili waliotumia nyota kutafuta njia baharini wakati wa usiku. Jina Bakari linatokana na ar. بقار bakar yaani" mchunga ng’ombe”. Waarabu walipokea jina hili kutoka kwa elimu y ...

                                               

Barafu

Barafu ni maji yaliyoganda. Maji huganda yakishikwa na baridi na kufikia 0 °C. Barafu inaeleweka ni maji ya mgando. Hata kiowevu kingine kinaweza kushika baridi na kuganda kuwa barafu, ila kama maziwa yanaganda tunayaita "barafu ya maziwa". Pia h ...

                                               

Becquerel

Becquerel ni kizio cha upimaji wa unururifu, kimoja cha vipimo vya SI. Becquerel imefafanuliwa kama kiwango cha unururifu kinachotokana kwa mbunguo wa kiini cha atomu kimoja kwa sekunde moja. Kiwango hicho ni kidogo sana kwa vipimo vyote vinavyoh ...

                                               

Bilioni

Bilioni ni namba ambayo inamaanisha milioni elfu moja na kuandikwa 1.000.000.000. Inafuata 999.999.999 na kufuatwa na 1.000.000.001. Inaweza kuandikwa pia kifupi 1 × 10 9. Kiambishi awali giga kinatumika pia kumaanisha mara 1.000.000.000, ingawa ...

                                               

Bongo kuu (kompyuta)

Bongo kuu ni sehemu muhimu ndani ya tarakilishi. Ni kweli bongo la mashine kwa sababu kila sehemu ya tarakilishi inahitaji CPU kwa njia fulani ikitekeleza shughuli zake. Ina sehemu tatu ambazo ni muhimu kwa utenda kazi wake. Nazo ni: Arithmetic L ...

                                               

Caesi

Caesi ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 55 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 132.9054519. Alama yake ni Cs. Jina linatokana na Kilatini "caesius" linalomaanisha buluu kwa sababu ya mistari taswirangi yake iliyo upande wa buluu y ...

                                               

Curi

Curi ni elementi katika mfumo radidia yenye alama Cm. Namba atomia ni 96 na uzani atomia ni 247. Ni metali nururifu ngumu sana inayohesabiwa kati ya elementi ya tamburania. Rangi yake ni kifedha-nyeupe. Ina fuwele za pembe sita. Curi iligunduliwa ...

                                               

Desibeli

Desibel ni kizio cha upimaji wa nguvu au ukali. Kinalinganisha vipimo viwili kwa kutumia logi. Matumizi yake ni hasa katika upimaji wa sauti na katika teknolojia ya umeme kwa kutaja kuongezeka au kupungua kwa volteji au sauti. Kizio cha msingi ni ...

                                               

Dhoruba

Dhoruba ina maana ya hali ya hewa yenye ghasia, kwa kawaida huambatana na mvua kubwa na upepo. Vimbunga vya bara la Amerika kwa Kiingereza hurricane, vimbunga vya bara la Asia kwa Kiingereza typhoon na vimbunga vya bara la Afrika kwa Kiingereza c ...

                                               

Dubu Mdogo (kundinyota)

Dubu Mdogo. ni jina la kundinyota kwenye nusutufe ya kaskazini ya dunia yetu. Nyota angavu zaidi ni Kutubu en:Polaris iliyotumiwa sana na mabaharia kwa sababu inaonyesha daima upande wa kaskazini.

                                               

Dura ya maji

Dura ya maji ni jinsi gani maji huzunguka duniani kuanzia uso wa ardhi, angani hadi uso wa ardhi tena na chini ya ardhi. Maji huzunguka kwa kutumia michakato wa uvukizaji na usimbishaji.

                                               

Elektroni

Elektroni ni chembe ndani ya atomi yenye chaji hasi. Iko nje ya kiini cha atomi na kukizunguka kwa njia yake katika ganda la atomi. Njia hizi zaitwa mizingo elektroni. Masi ya elektroni ni ndogo sana imekadiriwa kuwa sehemu ya 1/1836 ya protoni. ...

                                               

Elementi za kikemia

Elementi za kikemia ni dutu zenye tabia maalumu zisizotenganishwa kuwa dutu tofauti kwa mbinu za kemia. Elementi tupu aina moja tu ya atomi ndani yake.

                                               

Elimu madini

Elimu madini ni tawi la jiolojia linalochunguza kemia, muundo na tabia za madini. Madini ni vitu ambavyo huunda miamba. Kuna aina nyingi tofauti za madini. Baadhi ni ngumu, kama almasi. Baadhi ni laini, kama jasi. Baadhi ni metali, kama dhahabu a ...

                                               

Farisi (kundinyota)

Farisi linapitiwa na Njia Nyeupe. Lipo jirani na makundinyota mengine yenye majina kutokana na mitholojia ya Kigiriki kama vile Mara Andromeda na Mke wa Kurusi Cassiopeia, pia na makundinyota ya zodiaki Kondoo Aries au Hamali na Ng`ombe Taurus.

                                               

Fomula

Katika hisabati au sayansi fomula ni kanuni iliyoandikwa katika alama za kialjebra. Fomula hutumia herufi au alama za pekee kama π badala ya maneno. Mfano rahisi wa formula ni y = x. Ikiwa x = 1, fomula y = x ingeweza kutoa taarifa kwamba x ni sa ...

                                               

Fueli za kisukuku

Fueli za kisukuku ni fueli kama makaa mawe, gesi asilia au mafuta ya petroli zilizotokana na mabaki ya mimea au miili ya bakteria, planktoni na wanyama katika mchakato ya miaka mingi sana. Ndani yao kuna hasa hidrati kabonia au mata yenye hidroje ...

                                               

Fungunyota

Fungunyota ni idadi ya nyota zinazokaa karibu katika anga-nje. Zinashikamana kwa nguvu ya graviti. Fungunyota maarufu linaloonekana kwa macho ni Kilimia. Kwa kutumia mitambo ya kisasa wataalamu wa astronomia wamekuta mafungunyota maelfu kadhaa la ...

                                               

Ganda la dunia

Ganda la dunia ni tabaka ya juu ya sayari yetu. Sehemu yake ya juu kabisa ni uso wa dunia. Ni sehemu ya tabakamwamba. Dunia yetu hutazamiwa na sayansi kuwa na tabaka mbalimbali kama kitunguu. Tabaka ya nje ni imara yaitwa "ganda la nje la dunia". ...

                                               

Gandunia

Gandunia ni mafundisho ya sayansi za jiolojia na jiofizikia kuhusu tabia za ganda la dunia na miendo ya sehemu zake.

                                               

Gange

Gange au mawe chokaa ni aina ya mwamba mashapo inayotokana na madini ya kalsiti inayofanywa na kabonati ya kalisi CaCO 3. Kabonati ya kalisi inatengenzwa na viumbehai vinavyojenga kiunzi cha kujikinga au kuimarisha miili yao, kama kiunzi cha matu ...

                                               

Grife

Grife ni mwamba metamofia. Imeundwa kutoka kwa mwambatope iliyoathiriwa na shinikizo kubwa na joto. Mwambatope wenyewe ni mwamba mashapo unaotokana na matope ya udongo wa mfinyanzi ukipasuka kirahisi kwa bapa nyembamba. Tabia hiyo ya kupasuliwa k ...

                                               

Gumawesi

Gumawesi ni mwamba wa mgando wenye rangi nyeusi-nyeusi. Imetokana na lava kiowevu iliyotoka kwenye volkeno na kupoa haraka. Gumawesi ni mwamba mgumu unaoweza kudumu muda mrefu. Mawe ya gumawesi hutumiwa katika ujenzi wa barabara ama katika tabaka ...

                                               

Hali ya hewa

Hali ya hewa ni namna ya kutaja yale yanayotokea katika sehemu ya chini ya angahewa juu ya uso wa dunia katika eneo fulani na wakati fulani. Hali hizi hutofautishwa kulingana na upepo, halijoto, mawingu, unyevuanga, kanieneo, mnururisho wa jua, u ...

                                               

Hewa

Hewa ni kitu kinachotuzingira; ilhali haionekani lakini tunaweza kuisikia. Tukifungua mashine ya friji tunasikia baridi ya hewa ndani yake; tukisikia upepo, huu ni mwendo wa hewa; tukitikisa mkono haraka tunasikia hewa kama upepo kidogo. Kila tuk ...

                                               

Hudhi (kundinyota)

Hudhi lipo jirani na makundinyota ya Mapacha pia Jauza, lat. Gemini na Ngombe Taurus, ikipakana pia na Farisi Perseus, Twiga Camelopardalis na Pakamwitu Lynx. Njia Nyeupe inapita katika sehemu ya Hudhi.

                                               

Ijumaa

Ijumaa ni siku ya sita katika juma ya siku saba yenye asili ya kiyahudi-kikristo. Iko kati ya siku za Alhamisi na Jumamosi. Katika hesabu ya kimataifa ya ISO 8601 ni siku ya tano. Nchi kadhaa za Waislamu wengi zimeanza kutumia Ijumaa kama siku ya ...