ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 48
                                               

Historia ya Falme za Kiarabu

Historia ya Falme za Kiarabu inahusu eneo ambalo leo linaunda Muungano wa Falme za Kiarabu. Maeneo ya muungano huo pamoja na Qatar na Bahrain yalikuwa nyumbani kwa makabila madogo na chifu zao. Tangu mwaka 1820 walikuwa na mikataba na Uingereza w ...

                                               

Historia ya Gambia

Historia ya Gambia inahusu eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Gambia. Eneo la Gambia lilikuwa sehemu ya Dola la Mali na Dola la Songhai. Nchi kama ilivyo leo imepatikana kutokana na mvutano kati ya Uingereza na Uf ...

                                               

Historia ya Hispania

Wakazi wa kwanza waliojulikana kwa jina kuwa waliishi Hispania walikuwa Wakelti. Katika karne za 1 KK Wafoinike walianzisha miji kwenye pwani na kuchimba madini hasa shaba na fedha.

                                               

Historia ya Hungaria

Hungaria ilitokea kama nchi ya pekee wakati wa karne ya 10 BK. Tangu zamani za kuzaliwa kwake Kristo milenia ya kwanza sehemu kubwa ya Hungaria ilijulikana kama Panonia ikawa sehemu ya Dola la Roma. Tangu kuporomoka kwa nguvu ya Waroma ilivamiwa ...

                                               

Historia ya Iceland

Iceland iko mbali na bara la Ulaya na la Amerika tena katika mazingira ya baridi. Hivyo inaaminika haikuwa na watu kabisa hadi mwaka 800 BK. Wataalamu hawakubaliani kama ni mabaharia kutoka Norwei au Eire waliobahatika kufika kisiwani na kujenga ...

                                               

Historia ya Indonesia

Historia ya Indonesia inahusu eneo ambalo leo linaunda Jamhuri ya Indonesia. Visiwa vya Indonesia viliathiriwa na utamaduni wa Uhindi. Kisiasa kulikuwa na falme nyingi. Tangu karne ya 17 Waholanzi walianza kujenga vituo na kueneza utawala wao. Wa ...

                                               

Historia ya Iran

Historia ya Iran inahusu eneo ambalo leo linaunda Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Tangu mwaka 500 KK makabila madogo ya nchi hiyo yaliunganishwa, na hii ilikuwa mwanzo wa milki ya Uajemi. Mfalme Koreshi II aliunganisha Uajemi wote chini ya mamlaka y ...

                                               

Historia ya Iraq

Historia ya Iraq inahusu eneo ambalo leo linaunda Jamhuri ya Iraq. Mesopotamia ina historia ndefuː ilikuwa kitovu cha ustaarabu wa binadamu, mahali pa miji ya kwanza duniani katika Sumeri na Babeli. Baada ya kusambaratika kwa milki ya Waturuki Wa ...

                                               

Historia ya Jamhuri ya Afrika ya Kati

Kwa sababu ya utapakazi wa eneo kwa mabia ya mto Ubangi na mto Shari, Wafaransa wakati wa ukoloni waliita nchi hii Ubangi-Shari Oubangui-Chari kwa Kifaransa. Ilipokuwa koloni la Ufaransa, Ubangi-Shari ziliwekewa mamlaka ya madaraka kama eneo la J ...

                                               

Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inahusu eneo la Afrika ya Kati, hasa katika beseni ya mto Kongo, ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

                                               

Historia ya Jamhuri ya Kongo

Historia ya Jamhuri ya Kongo inahusu eneo la Afrika ya Kati ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Kongo. Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani na ya Wabilikimo. Katika karne za BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi ...

                                               

Historia ya Jibuti

Historia ya Jibuti inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Jibuti. Nchi ilikuwa koloni la Ufaransa kwa jina la Somalia ya Kifaransa, halafu 1967 Eneo la Kifaransa la Waafar na la Waisa, kutokana na majina ya ma ...

                                               

Historia ya Kamerun

Katika karne za BK Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunzi walianza uenezi wao kutoka huko kwenda kutawala maeneo mengi ya Afrika ya Kati, Kusini mwa Afrika na Afrika Mashariki.

                                               

Historia ya Kazakhstan

Historia ya Kazakhstan inahusu eneo la jamhuri ya leo yenye jina hilo. Jina la nchi limetokana na Wakazakhi ambao ni taifa la watu wanaotumia Kikazakhi, mojawapo ya lugha za Kiturki. Eneo liliwahi kuwa sehemu ya milki mbalimbali lakini tangu karn ...

                                               

Historia ya Kenya

Historia ya Kenya inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Kenya. Historia ya Kenya kama nchi inayokaliwa na binadamu, inaenea miaka laki kama si milioni kadhaa. Kumbe historia yake kama nchi huru ni fupi.

                                               

Historia ya Komori

Historia ya Komori inahusu funguvisiwa vya Bahari ya Hindi mkabala wa Afrika Mashariki ambavyo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Komori, mbali na kisiwa cha Mayotte.

                                               

Historia ya Kosovo

Historia ya Kosovo inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Kosovo. Kihistoria Kosovo iliwahi kuwa eneo ambako ufalme wa kwanza wa Serbia ulianzishwa wakati wa karne ya 12. Hivyo Kosovo ilikuwa kitovu cha Serbia hadi mwisho wa milki ya Serbia ...

                                               

Historia ya Kroatia

Historia ya Kroatia inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Kroatia. Maeneo ya Kroatia yalikuwa sehemu ya Illyria wakati wa Dola la Roma na kutawaliwa kama mikoa ya dola hilo. Mnamo mwaka 395 Dola la Roma liligawiwa katika sehemu ya mag ...

                                               

Historia ya Kupro

Watu waliishi kisiwani huko walau kuanzia milenia ya 10 KK. Zamani za Kale kisiwa kilikuwa chanzo cha shaba nyingi iliyopatikana katika eneo la Mediteranea ya mashariki. Jina la kikemia la shaba "kupri" linatokana na jina la kisiwa.

                                               

Historia ya Kuwait

Historia ya Kuwait inahusu eneo ambalo leo linaunda ufalme wa Kuwait. Historia ya Kuwait ilianza kama utemi mdogo chini ya familia ya Al-Sabah iliyokuwa chini ya Sultani wa Uturuki aliyetawala nchi jirani ya Irak hadi vita vikuu vya kwanza vya du ...

                                               

Historia ya Latvia

Historia ya Latvia inahusu eneo la Ulaya ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Latvia. Kwa muda mrefu Estonia ilikuwa chini ya Wajerumani, Wapolandi na Waswidi, halafu 1710 sehemu ya Dola la Urusi. Katika miaka 1918-1940 ilikuwa jamhuri huru ...

                                               

Historia ya Lebanoni

Historia ya Lebanoni inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Lebanoni. Baada ya kusambaratika kwa milki ya Waturuki Waosmani kutokana na Vita Vikuu vya Kwanza vya Dunia, Lebanoni iliwekwa na Shirikisho la Mataifa iwe chini ya usimamizi wa Ufa ...

                                               

Historia ya Lesotho

Historia ya Lesotho inahusu eneo la Kusini mwa Afrika ambalo wakazi wake leo wanaunda Ufalme wa Lesotho. Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani. Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na u ...

                                               

Historia ya Liberia

Historia ya Liberia inahusu eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Liberia. Liberia ni nchi iliyoundwa na makabila 16 ya asili nchini humo na wahamiaji Weusi toka Marekani na Karibi 5%, mbali na machotara wa aina mbal ...

                                               

Historia ya Libya

Historia ya Libya inahusu eneo la Afrika Kaskazini ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Libya. Wakazi asili walikuwa Waberber. Baadaye wakaja Wafoinike upande wa magharibi na Wagiriki upande wa mashariki. Hatimaye Libya ikamezwa na Dola la ...

                                               

Historia ya Luxemburg

Historia ya Luxemburg inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Ufalme mdogo wa Luxemburg. Luxemburg kama nchi ndogo ilikuwa mara nyingi chini ya athira ya majirani wakubwa waliotawala juu yake kwa vipindi mbalimbali. Kwa vipindi vingi vya historia ...

                                               

Historia ya Madagaska

Historia ya Madagaska inahusu Kisiwa kikubwa cha Bahari ya Hindi mkabala wa Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Madagaska. Madagaska ni kati ya maeneo ya mwisho kufikiwa na kukaliwa na binadamu duniani. Wakazi wa kwanza hu ...

                                               

Historia ya Malawi

Historia ya Malawi inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Malawi. Wakazi wa kwanza wa Malawi walikuwa wawindaji-wakusanyaji Wasan. Katika karne ya 10 BK walifika Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunzi. Wengi ...

                                               

Historia ya Mali

Mali ina historia ndefu ambayo ni historia ya pamoja ya nchi za kanda la Sahel na kanda la Sudan. Zamani za Wafinisia na za Waroma palikuwa na mawasiliano ya biashara na nchi za Mediteranea kupitia wanafayabiashara Waberberi walioelewa njia za Sa ...

                                               

Historia ya Malta

Historia ya Malta inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Malta. Malta ilikaliwa na watu tangu milenia ya 4 KK. Kuna maghofu ya hekalu la mwaka 3200 KK hivi. Baadaye funguvisiwa lilitawaliwa na Wafinisia, Karthago na Dola la Roma. Malta ...

                                               

Historia ya Masedonia Kaskazini

Katika karne za kabla ya Kristo Masedonia ilikuwa eneo la kaskazini la Ugiriki. Wakazi wake wanaaminiwa walisema lahaja za Kigiriki, lakini mara nyingi hawakutambuliwa na Wagiriki wenyewe kama wenzao, jinsi tunavyojua kutoka waandishi wa Ugiriki ...

                                               

Historia ya Misri

Historia ya Misri inahusu eneo la Afrika Kaskazini ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Misri. Nchi hiyo ni kati ya vitovu vya ustaarabu wa binadamu, na kwa sababu hiyo inavutia watalii wengi. Historia ya Misri inaweza kugawiwa katika vipin ...

                                               

Historia ya Monako

Historia ya Monako inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Ufalme mdogo wa Monako. Historia ya Monako imekuwa sawa na historia ya familia ya Grimaldi tangu mwanzo wake. Akina Grimaldi walikuwa matajiri katika mji wa Genova Italia waliopaswa kukimb ...

                                               

Historia ya Montenegro

Historia ya Montenegro inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Montenegro. Tangu karne za kati maeneo hayo yalikaliwa na watu ambao walitumia lahaja ya lugha ya Kiserbokroatia na kufuata Ukristo wa Kiorthodoksi. Katika eneo lenye milima ...

                                               

Historia ya Morisi

Historia ya Morisi inahusu visiwa vya Bahari ya Hindi mkabala wa Afrika Mashariki ambavyo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Morisi. Baada ya Waarabu na Wareno kuvumbua Morisi, wakazi wa kwanza 1638 walikuwa Waholanzi, lakini hawakuacha dalili i ...

                                               

Historia ya Msumbiji

Historia ya Msumbiji inahusu eneo la Kusini mwa Afrika ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Msumbiji. Wakazi wa kwanza wa Msumbiji huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani. Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi ...

                                               

Historia ya Myanmar

Historia ya Myanmar inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya muungano wa Myanmar. Tangu karne ya 9 BK nchi iliona falme mbalimbali zilizotawala kutoka mji mkuu wa Pagan. Katika karne ya 19 Uingereza ulianza kujishughulisha na habari za Burma l ...

                                               

Historia ya Nairobi

Nairobi ilianzishwa na Waingereza mwaka 1899 kama kambi ya kujenga Reli ya Uganda. Njia ya reli ilikuwa imefika kutoka Mombasa ikaonekana ya kwamba kuanzia hapa kasi ya ujenzi itachelewa kutokana na ugumo na eneo la Bonde la Ufa na mitelemko yake ...

                                               

Historia ya Namibia

Namibia katika mipaka ya sasa ilianzishwa katika karne ya 19 kama koloni la Ujerumani kwa jina la Afrika ya Kusini-Magharibi ya Kijerumani. Maeneo yake yaliunganishwa mara ya kwanza kwenye mwaka 1884. Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia ilivami ...

                                               

Historia ya Nepal

Historia ya Nepal inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya kidemokrasia ya shirikisho la Nepal. Vyombo vya watu waliokuwa wakiishi katika zama za mawe zilipatikana katika bonde la Kathmandu kuonyesha kwamba kumekuwa na watu waliokuwa wakiishi ...

                                               

Historia ya Norwei

Historia ya Norwei inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Ufalme wa Norwei. Nchi ilikaliwa na watu wawindaji na wavuvi tangu mwaka 10000 KK hivi. Katika miaka 3000 - 2500 KK waliingia wakulima wa Kizungu. Katika karne ya 8 hadi karne ya 10 Norwei ...

                                               

Historia ya Omani

Omani imekaliwa na watu kwa zaidi ya miaka 100.000. Omani ilikuwa kituo muhimu cha biashara kwenye Bahari Hindi na Ghuba ya Uajemi tangu milenia mbili KK. Tangu kuja kwa Uislamu Omani ilikuwa ama chini ya Uajemi au chini ya khalifa wa Baghdad na ...

                                               

Historia ya Pakistan

Binadamu walifika Bara Hindi kutoka Afrika kabla ya miaka 55.000 iliyopita. Uwepo wao wa muda mrefu, kwanza kama wawindaji-wakusanyaji waliozagaa barani, umefanya watu wa eneo hilo wawe na tofauti kubwa kati yao upande wa urithi wa kibiolojia, am ...

                                               

Historia ya Polandi

Historia ya Polandi inahusu eneo ambalo leo linaunda Jamhuri ya Polandi. Waslavi walienea kati nchi katika nusu ya pili ya karne ya 5 BK. Ukristo wa Kikatoliki kupokewa na mfalme Mieszko I 960-992 na Wapolandi kwa jumla 966 hutazamiwa kama chanzo ...

                                               

Historia ya Qatar

Historia ya Qatar inahusu eneo ambalo leo linaunda nchi ya Qatar. Maeneo ya Qatar, pamoja na Falme za Kiarabu na Bahrain yalikuwa nyumbani kwa makabila madogo na chifu zao. Tangu mwaka 1820 walikuwa na mikataba na Uingereza walipoahidi kuachana n ...

                                               

Historia ya Romania

Homo sapiens aliishi katika eneo hilo walau kuanzia miaka 40.000 iliyopita. Kabla ya kutekwa na Warumi mwanzoni mwa karne ya 2, walikuwepo makabila ya Wathraki, hasa Wadacha na Wagete. Chini ya Dola la Roma kwa miaka 165 kulikuwa na wahamiaji wen ...

                                               

Historia ya Rwanda

Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani. Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunzi. Rwanda ilikuwa eneo penye utawala wa kifalme tangu karne nyingi kabla ya kufika kwa ukoloni. Mwanz ...

                                               

Historia ya Saudia

Historia ya Saudia inahusu eneo ambalo leo linaunda ufalme wa Saudia. Jina la nchi limetokana na lile la familia ya watawala, yaani la mtu aliyeianzisha, Chifu Ibn Saud wa Riyad. Yeye, baada ya kuondoka kwa jeshi la Waturuki Waosmani waliotawala ...

                                               

Historia ya Serbia

Historia ya Serbia inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Serbia. Waslavi walihamia Balkani baada ya karne ya 6. Kati yao, Waserbia waliunda falme mbalimbali mwanzoni mwa Karne za Kati. Mwaka 1217 Ufalme wa Serbia ulitambuliwa na Roma ...

                                               

Historia ya Shelisheli

Historia ya Shelisheli inahusu funguvisiwa vya Bahari ya Hindi kati ya Afrika Mashariki na Bara Hindi ambavyo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Shelisheli. Hakuna hakika kuhusu wakazi wa kwanza. Inaaminika ya kwamba ndio mabaharia na wafanyabia ...