ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 47
                                               

7 Februari

1478 - Mtakatifu Thomas More, mwanasheria mfiadini kutoka Uingereza 1812 - Charles Dickens, mwandishi Mwingereza 1972 - Essence Atkins, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1962 - Eddie Izzard, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1885 - Sinclair L ...

                                               

8 Februari

1911 - Elizabeth Bishop, mshairi kutoka Marekani 1720 - Sakuramachi, Mfalme Mkuu wa 115 wa Japani 1735-1747 1924 - Lisel Mueller, mshairi kutoka Marekani 1941 - Nick Nolte, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani

                                               

9 Februari

1944 - Alice Walker, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1983 1874 - Amy Lowell, mshairi kutoka Marekani 1910 - Jacques Monod, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1965 1940 - John Maxwell Coetzee, mshindi wa Tuzo ya ...

                                               

10 Februari

1258 - Anguko la Baghdad: jeshi la Wamongolia lateka mji na kumaliza himaya ya khalifa wa Waabasiya; raia 800.000 wauawa na maktaba mashuhuri yaharibika

                                               

11 Februari

1855 - Tewodros II alitangazwa kuwa mfalme mkuu wa Uhabeshi 1929 - Mkataba wa Lateran kati ya serikali ya Italia na Papa kuhusu Mji wa Vatikani 1979 - Mapinduzi ya Uajemi

                                               

12 Februari

1962 - Ali LeRoi, mwigizaji filamu kutoka Marekani 1912 - Shaykh Abdullaah Swaalih Al-Farsy, mwanahistoria kutoka Zanzibar Tanzania 1980 - Innocent Cornel Sahani, mwanamuziki kutoka Tanzania 1809 - Charles Darwin, mwanasayansi Mwingereza 1918 - J ...

                                               

13 Februari

1955 - Castor Paul Msemwa, askofu Mkatoliki nchini Tanzania 1910 - William Shockley, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1956 1599 - Papa Alexander VII 1954 - Vijay Seshadri, mshairi kutoka Marekani

                                               

14 Februari

1917 - Herbert Hauptman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1985 1861 - Andrew C. McLaughlin, mwanahistoria kutoka Marekani 1869 - Charles Wilson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927

                                               

15 Februari

1368 - Kaisari Sigismund wa Ujerumani 1915 - Robert Hofstadter, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1961 1948 - Tino Insana, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1845 - Elihu Root, mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani ...

                                               

16 Februari

1965 - Adama Barrow, rais wa Gambia tangu 2017 1848 - Octave Mirbeau, mwandishi Mfaransa 1982 - Angela Damas, mrembo wa Tanzania mwaka wa 2002 1812 - Henry Wilson, Kaimu Rais wa Marekani 1873-1875 1974 - Johnny Tri Nguyen, mwigizaji wa filamu wa ...

                                               

17 Februari

1971 - Denise Richards, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1888 - Otto Stern, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1943 1965 - Michael Bay, mtayarishaji wa filamu kutoka Marekani 1925 - Hal Holbrook, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1 ...

                                               

18 Februari

1374 - Mtakatifu Hedwiga wa Poland, malkia kutoka Hungaria 1855 - Jean Jules Jusserand, mwanasiasa kutoka Ufaransa 1950 - Cybill Shepherd 1968 - Molly Ringwald 1954 - John Travolta 1965 - Andre Romell Young, mwanamuziki kutoka Marekani 1931 - Ton ...

                                               

19 Februari

1956 - Roderick MacKinnon, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2003 1979 - Mariana Ochoa, mwanamuziki na mwigizaji wa filamu kutoka Mexiko 1959 - Damas Pascal Nakei, mwanasiasa wa Tanzania 1983 - Miriam Odemba, mwanamitindo kutoka Tanzania ...

                                               

20 Februari

1893 - Russel Crouse, mwandishi kutoka Marekani 1988 - Rihanna, mwimbaji kutoka Barbados 1937 - Robert Huber, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1988 1966 - Dennis Mitchell, mwanariadha wa Olimpiki kutoka Marekani 1977 - Zoltán Trepák, mc ...

                                               

21 Februari

2008 - Sherehe ya Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama pia hufungulia rasmi Mwaka wa Lugha wa Kimataifa 1281 - Uchaguzi wa Papa Martin IV 1952 - Wanafunzi wa chuo kikuu wa Dhaka Bangladesh wanafanya maandamano kwa ajili ya lugha ya Bangla, na wengi ...

                                               

22 Februari

1732 - George Washington, Rais wa kwanza wa Marekani 1984 - Shukuru Kilala, muigizaji wa filamu kutoka Tanzania 1863 - Charles McLean Andrews, mwanahistoria kutoka Marekani 1962 - Steve Irwin 1953 - Viktor Kozin, mhandisi wa meli kutoka Urusi 191 ...

                                               

23 Februari

1924 - Allan Cormack, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1979 1942 - Seif Ally Iddi, mwanasiasa kutoka Tanzania 1877 - Frederic L. Paxson, mwanahistoria kutoka Marekani 1685 - Georg Friedrich Händel, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani 1417 ...

                                               

24 Februari

1304 - Ibn Battuta, mpelelezi na mtaalamu Mwarabu kutoka Moroko 1955 - Steve Jobs, mvumbuzi na mfanyabiashara kutoka Marekani 1103 - Toba, mfalme mkuu wa Japani 1107-1123 1557 - Kaisari Matthias wa Ujerumani 1500 - Kaisari Karoli V wa Ujerumani a ...

                                               

25 Februari

1965 - Carrot Top, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1906 - Mary Chase, mwandishi kutoka Marekani 1952 - Mohamed Said, mwandishi kutoka Tanzania 1954 - Renate Dorrestein, mwandishi wa kike kutoka Uholanzi

                                               

26 Februari

1946 - Ahmed Zewail, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1999 1802 - Victor Hugo, mwandishi kutoka Ufaransa 1972 - Keith Ferguson, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani 1903 - Giulio Natta, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1963 191 ...

                                               

27 Februari

380 - Inatolewa Hati ya Thesalonike ambamo Kaisari Theodosius I anahimiza raia wote wa Dola la Roma kuwa Wakristo Wakatoliki 1885 - Hati ya ulinzi kutoka serikali ya Ujerumani kwa ajili ya mikataba ya Shirika kwa Ukoloni wa Kijerumani ni chanzo c ...

                                               

28 Februari

1915 - Peter Medawar, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1960 1901 - Linus Pauling, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1954 na wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1962 1930 - Leon Cooper, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa ...

                                               

29 Februari

29 Februari ni siku ya pekee katika kalenda kwa sababu haipo kila mwaka. Inaweza kutokea baada ya miaka minne pekee lakini kwa utaratibu maalum. Kuwepo kwa tarehe hiyo kunafanya mwaka kuwa mwaka mrefu wa siku 366.

                                               

Flight 19

Flight 19 ilikuwa kundi la ndege za mabomu tano za Grumman TBM Avenger Torpedo ambalo lilitoweka au kupotea juu ya Pembetatu ya Bermuda tarehe 5 Desemba 1945 baada ya kupoteza mawasiliano wakati wa ndege ya mafunzo ya usafiri wa maji ya Umoja wa ...

                                               

Gazeti la Kijerumani la Afrika ya Mashariki

Gazeti la Kijerumani la Afrika ya Mashariki lilikuwa gazeti la kila wiki lililotolewa kwa lugha ya Kijerumani katika mji wa Dar es Salaam. Lilichapishwa kuanzia mwaka 1899 hadi 1916 kwa Wajerumani walioshi Afrika ya Mashariki ya Kijerumani. Mnamo ...

                                               

Gojoseon

Gojoseon ulikuwa ufalme wa kale wa Korea. Ufalme huu hehasabiwa kama taifa sahihi kabisa la watu wa Korea. Kwa mujibu wa Samguk Yusa na rekodi nyingine za zama za kati za Kikorea, Gojoseon inasemekana kwamba ilianzishwa mnamo 2333 KK na mkongwe D ...

                                               

Hawara

Hawara ni eneo la kihistoria katika Misri ya Kale lililopo kusini mwa Crocodilopolis kuelekea katika mteremko wa Oasisi ya Fayyum. Mgunduzi wa kwanza wa eneo hili alikuwa Karl Lepsius, mnamo mwaka 1843. William Flinders Petrie, alifika katika ene ...

                                               

Hekalu la Artemis mjini Efeso

Hekalu la Artemis mjini Efeso, kwa Kilatini: Templum Dianae Ephesiae au Artemisium Ephesium) lilikuwa jengo kubwa la kidini lililojulikana kote katika mazingira ya Mediteraneo wakati wa Ugiriki wa Kale na Roma ya Kale. Hekalu hilo lilihesabiwa ka ...

                                               

Historia ya Afghanistan

Historia ya Afghanistan inahusu eneo ambalo leo linaunda Jamhuri ya Afghanistan. Afghanistan kama nchi ya pekee ilianza kutokea katika karne ya 19. Kabla ya hapo nchi yote au sehemu mbalimbali zilikuwa sehemu ya milki jirani hata kama sehemu za e ...

                                               

Historia ya Afrika Kusini

Zamadamu waliishi katika eneo la Afrika Kusini tangu miaka milioni 3 iliyopita, inavyoshuhudiwa na akiolojia. Binadamu wameishi huko kwa miaka 170.000 mfululizo. Wakazi wa muda mrefu zaidi ni Wakhoikhoi na Wasani, ambao wote wanagumzumza lugha za ...

                                               

Historia ya Albania

Albania ilikaliwa na makabila mbalimbali ya Wailiriko, Wathraki na ya Wagiriki. Katika karne ya 3 KK eneo lilitekwa na Dola la Roma na kufanywa sehemu ya majimbo ya Dalmatia, Masedonia na Iliriko.

                                               

Historia ya Algeria

Historia inayojulikana ilianza na Waberber ambao wametokana na mchanganyiko wa wakazi asilia. Tangu mwaka 1000 KK Wafinisia walianza kufika na kujenga miji yao ya biashara kwenye pwani ya Mediteranea. Muhimu zaidi kati ya miji yao ulikuwa Karthag ...

                                               

Historia ya Amerika

Historia ya Amerika inasimulia matukio ya bara hilo lote tangu binadamu alipolifikia kutoka Asia. Historia ya awali inaanza na kilele cha Enzi ya barafu, watu walipoweka kuingia Alaska kupitia nchi kavu. Baada ya hapo watu hao na wajukuu wao hawa ...

                                               

Historia ya Andorra

Historia ya Andorra inahusu eneo la nchi hiyo ndogo ya milimani kati ya Ufaransa na Hispania. Asili ya Andorra kama nchi ya pekee ni katika karne ya 12. Bonde la Andorra lilikuwa chini ya mtemi wa Urgell. Wakati ule hapakuwa bado na himaya moja k ...

                                               

Historia ya Angola

Historia ya Angola inahusu eneo la Kusini mwa Afrika ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Angola. Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji-wakusanyaji wa jamii ya Wasani. Katika karne za kwanza BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa ...

                                               

Historia ya Armenia

Historia ya Armenia inahusu eneo ambalo leo linaunda Jamhuri ya Armenia. Armenia ni kati ya mataifa ya kale kabisa duniani, ingawa eneo lake limebadilika sana na lile la sasa ni sehemu ndogo tu ya maeneo yaliyokuwa ya Armenia katika karne na mile ...

                                               

Historia ya Austria

Historia ya Austria inahusu eneo la Ulaya ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Austria. Kwa muda mrefu wa historia yake Austria ilihesabiwa kama sehemu ya Ujerumani. Kwa karne nyingi watawala wake walishika cheo cha Kaisari wa Dola takatifu ...

                                               

Historia ya Azerbaijan

Historia ya Azerbaijan inahusu eneo ambalo leo linaunda jamhuri ya Azerbaijan. Azerbaijan ina historia ndefu kuanzia Zama za Mawe. Kuanzia karne ya 9 KK ilikaliwa na Washitia, halafu Wamedi, wote wa jamii ya Waajemi ambao walishinda na kuunda dol ...

                                               

Historia ya Bahrain

Historia ya Bahrain inahusu eneo ambalo leo linaunda ufalme wa Bahrain. Bahrain ndiyo makao ya ustaarabu wa Dilmun. Ilipata umaarufu tangu zamani kwa kuvua lulu bora kuliko zote duniani hadi karne ya 19. Bahrain ilikuwa kati ya maeneo ya kwanza k ...

                                               

Historia ya Bangladesh

Historia ya Bangladesh inahusu eneo ambalo leo linaunda Jamhuri ya Bangladesh. Bangladesh ni sehemu ya mashariki ya Bengali ya kihistoria ambayo ilikuwa ndani ya Uhindi wa Kiingereza hadi 1947. Mwaka 1857 Wahindi walipinga utawala wa Kampuni ya K ...

                                               

Historia ya Benin

Historia ya Benin inahusu eneo la Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Benin, lakini kabla ya mwaka 1975 lilijulikana kama Dahomey.

                                               

Historia ya Bhutan

Historia ya Bhutan inahusu eneo ambalo leo linaunda Ufalme wa Bhutan. Bhutan ilianzishwa mwaka 1644 na mmonaki Mbuddha Shabdrung Ngawang Namgyel. Nchi iliweza kutunza uhuru wake hadi leo, lakini ililazimishwa kukubali maeneo ya kusini yatwaliwe n ...

                                               

Historia ya Bosnia na Herzegovina

Historia ya Bosnia na Herzegovina inahusu eneo la Ulaya ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Bosnia na Herzegovina. Bosnia ilitokea kama eneo la pekee wakati wa Karne za kati chini ya utawala wa Dola la Uturuki. Jina la Bosnia limetokana na ...

                                               

Historia ya Bulgaria

Zamadamu walikuweko walau miaka milioni 1.4 iliyopita. Kufikia mwaka 5000 hivi KK kulikuwa na ustaarabu mkubwa uliotengeneza vyombo vya ufinyanzi na usonara vilivyo kati ya vile vya awali zaidi duniani. Baada ya mwaka 3000 KK, Wathraki walijitoke ...

                                               

Historia ya Burkina Faso

Nchi ilianzishwa na Wafaransa kwa njia ya kugawa koloni la Cote dIvoire mwaka 1919. Jina la koloni jipya lilikuwa Volta ya Juu kwa Kifaransa: Haute Volta. Jina limetokana na mto Volta unaoanzia hapa. Kati ya miaka 1932 na 1947 eneo lake lilitawal ...

                                               

Historia ya Burundi

Wakazi wa kwanza huaminiwa kuwa wawindaji wa jamii ya Wasani na ya Wabilikimo. Katika karne za BK walifika wahamiaji Wabantu wenye ujuzi wa kilimo na uhunzi.

                                               

Historia ya Cabo Verde

Historia ya Cabo Verde inahusu funguvisiwa vya Bahari ya Atlantiki mkabala wa Afrika Magharibi ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Cabo Verde. Hadi kufika kwa Wareno katika karne ya 15 funguvisiwa vya Cabo Verde havikuwa na watu. Wareno wa ...

                                               

Historia ya China

Historia ya China inahusu eneo ambalo leo linaunda Jamhuri ya Watu wa China. Historia ya China hugawanyika katika vipindi vya nasaba za kifalme mbalimbali. Vipindi muhimu zaidi ni kama ifuatavyo: Nasaba tano na milki kumi 907 – 960 Nasaba ya Sui ...

                                               

Historia ya Eire

Historia ya Eire inahusu eneo ambalo siku hizi linaunda Jamhuri ya Eire. Kwa karne kadhaa Eire ilitawaliwa na Uingereza. Sheria ya mwaka 1800 iliunganisha Ufalme wa Britania Kuu na Ufalme wa Eire na hivyo kuunda Ufalme wa Muungano United Kingdom ...

                                               

Historia ya Eritrea

Historia ya Eritrea inahusu eneo la Afrika Mashariki ambalo wakazi wake leo wanaunda Jamhuri ya Eritrea. Hadi karne ya 19 maeneo ya Eritrea yalikuwa sehemu ya Ethiopia. Pwani ilikaa karne nyingi chini ya utawala wa Uturuki au baadaye Misri kama n ...