ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 45
                                               

Emerensyana wa Roma

Emerensyana wa Roma alikuwa na undugu na Agnes wa Roma, bikira mwenye umri wa miaka 12 ambaye alikataa kuolewa kwa sababu ya imani yake ya Kikristo na kwa sababu hiyo aliteswa akauawa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo. Siku chac ...

                                               

Emiliani wa Vita

Emiliani wa Vita alikuwa mganga Mkristo wa Afrika Kaskazini katika karne ya 5. Pamoja na shemeji yake Dativa ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali katika wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario ...

                                               

Erik IX

Erik IX alikuwa mfalme wa Uswidi kuanzia mwaka 1156 hivi hadi kifo chake. Ndiye wa kwanza katika ukoo wake wa kifalme uliotawala hadi mwaka 1250. Aliongoza kwa busara na kutetea haki za wanawake. Alijitahidi pia kuinjilisha Ufini, ambao wakazi wa ...

                                               

Petro Esqueda

Petro Esqueda alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa wakati wa Vita vya Wakristero. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pamoja na wenzake 24 wali ...

                                               

Esuperi wa Thebe

Esuperi wa Thebe pamoja na wenzake Kandidi na Vikta walikuwa askari wa jeshi la Roma ya Kale katika kikosi cha Thebe kilichoongozwa na Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ...

                                               

Eujenia wa Roma

Eujenia wa Roma alikuwa mwanamke Mkristo wa jiji hilo aliyeuawa kutokana na imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 25 Desemba au nyingine ...

                                               

Eulalia wa Merida

Eulalia wa Merida alikuwa bikira anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mwenye sifa ya mfiadini pia. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Desemba.

                                               

Eulogi wa Cordoba

Eulogi wa Cordoba alikuwa padri aliyekatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo kwa sababu aliungama hadharani imani yake ya Kikristo na alimficha Leokrisya, binti aliyeacha Uislamu ajiunge na Kanisa. Kabla ya hapo aliandika taarifa mbalimbal ...

                                               

Felisi na Regula

Felisi na Regula walikuwa askari wa jeshi la Roma ya Kale walioongozwa na Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ya kusini na Nubia waliotumwa Ulaya wakati wa Kaisari Maximia ...

                                               

Felisita wa Roma

Felisita wa Roma alikuwa mwanamke wa Roma ya Kale anayeheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mwenye sifa ya mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 23 Novemba

                                               

Felista Mtakatifu

Felista ni mmoja wa mashahidi wa imani ya Kikristo waliouawa tarehe 7 Machi 203 mjini Karthago wakati wa dhuluma dhidi ya Wakristo chini ya serikali ya Kaisari Septimius Severus. Anaheshimiwa kati ya watakatifu wafiadini wanaojulikana zaidi kama ...

                                               

Fereolo wa Vienne

Fereolo wa Vienne alikuwa akida Mkristo aliyeuawa kwa imani yake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 18 Septemba.

                                               

Fidelis wa Sigmaringen

Fidelis wa Sigmaringen alikuwa padri mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo, tawi la Wakapuchini. Ametambuliwa kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni 24 Aprili.

                                               

Fileas

Fileas alikuwa askofu wa Thmuis, Misri, ambaye alifia dini yake pamoja na wenzake 650 hivi wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian na Galerius. Kati ya majina yao kuna maaskofu Filoromus, Pakomi, Theodori na Petro, halafu Fausto, Didius, Amoni, H ...

                                               

Filomena wa Roma

Filomena wa Roma alikuwa bikira wa ukoo tawala wa Corfu ambaye alianza kuheshimika kama mtakatifu mfiadini baada ya masalia kupatikana mnamo Mei 1802 katika Mahandaki ya Priscilla, Roma, Italia. Paliandikwa Pax Tecum Filumena. Kabla ya hapo hakuj ...

                                               

Filoromus

Filoromus alikuwa Mkristo wa Misri, ambaye alifia dini yake pamoja na askofu Fileas na wenzake 600 hivi wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian na Galerius. Kati ya majina yao kuna maaskofu Pakomi, Theodori na Petro, halafu Fausto, Didius, Amoni, ...

                                               

Filothei wa Pemdje

Filothei wa Pemdje alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. S ...

                                               

Firmini wa Amiens

Firmini wa Amiens alikuwa askofu wa mji huo. Inasemekana alitokea Pamplona, Hispania. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 25 Septemba.

                                               

John Fisher

John Fisher au John wa Rochester alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kule Uingereza. Pamoja na Thomas More, alimkataa mfalme Henry VIII aliyejitenga na Kanisa la Roma. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Kabla ...

                                               

Flaviano wa Roma

Flaviano wa Roma alifia dini ya Ukristo katika dhuluma ya kaisari Juliano mwasi mwaka 361". Inasemekana kwamba alikuwa mkuu wa jiji la Roma, lakini dhuluma ilipoanza tena alipaswa kumuachia cheo Aproniano, adui yake mkubwa na mfuasi wa dini ya ja ...

                                               

Fokas wa Sinope

Fokas wa Sinope alikuwa mtunzabustani ambaye alitumia mazao yake kulisha fukara na Wakristo waliodhulumiwa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma. Aliuawa kikatili kwa imani ya Kikristo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtaka ...

                                               

Fransisko Choe Kyonghwan

Fransisko Choe Kyonghwan ni mmojawapo katika kundi kubwa la Wakristo wa Kanisa Katoliki nchini Korea waliouawa kwa ajili ya imani yao katika miaka 1791–1888. Wanakadiriwa kuwa 8.000 - 10.000. Yeye na wenzake 102 walitangazwa na Papa Yohane Paulo ...

                                               

Gaudensi wa Novara

Gaudensi wa Novara alikuwa askofu wa kwanza wa jimbo la Novara, Italia Kaskazini mwishoni mwa karne ya 4 hadi mwanzoni mwa karne ya 5. Mzaliwa wa familia ya Kipagani, inasemekana aliongokea Ukristo kwa msaada wa Eusebi wa Vercelli ambaye baadaye ...

                                               

Gonzaga Gonza

Gonzaga Gonza ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya tarehe ...

                                               

Gyavira Musoke

Gyavira Musoke ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya tareh ...

                                               

Isaka wa Tiphre

Isaka wa Tiphre alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. Siku ...

                                               

Januari mfiadini

Januari mfiadini alikuwa askofu wa Benevento. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa hasa tarehe 19 Septemba.

                                               

Januari Sanchez Delgadillo

Januari Sanchez Delgadillo alikuwa padri wa Kanisa Katoliki nchini Meksiko hadi alipouawa bila kesi wakati wa Vita vya Wakristero. Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 22 Novemba 1992 halafu mtakatifu mfiadini tarehe 21 Mei 2000 pa ...

                                               

Juliana wa Nikomedia

Juliana wa Nikomedia alikuwa bikira Mkristo aliyefia dini yake kwa kukatwa kichwa katika dhuluma ya kaisari Diocletian akiwa na umri wa miaka 18 hivi alipokataa kuolewa na mtawala Mpagani. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Wa ...

                                               

Juliani na Basilisa

Juliani na Basilisa walikuwa mume na mke. Waliuawa kwa ajili ya imani ya Kikristo wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian. Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 6 Januari, lakini pia 7 Januari na 9 Ja ...

                                               

Julita na Kwiriko

Julita na Kwiriko walikuwa mama na mtoto wake mdogo ambao mwanzoni mwa karne ya 4 waliuawa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika eneo ambalo leo ni sehemu ya Uturuki kusini mashariki. Kwa sababu hiyo tangu kale wanaheshimiwa na madhehebu mbalimba ...

                                               

Andrea Kaggwa

Andrea Kaggwa ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya tarehe ...

                                               

Kandidi wa Thebe

Kandidi wa Thebe pamoja na wenzake Esuperi na Vikta walikuwa askari wa jeshi la Roma ya Kale katika kikosi cha Thebe kilichoongozwa na Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ...

                                               

Karolo Lwanga

Karolo Lwanga ndiye maarufu zaidi kati ya wafiadini wa Uganda waliouawa kwa amri ya kabaka Mwanga II. Pamoja na wenzake anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Wote pamoja walitangazwa na Papa Benedikto XV kuwa wenye heri tarehe 6 Juni 19 ...

                                               

Kedroni wa Aleksandria

Kedroni wa Aleksandria alikuwa askofu wa nne wa mji huo wa Misri. Inasemekana alibatizwa na Marko Mwinjili. Alifia dini yake katika dhuluma ya kaisari Trajan. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya ki ...

                                               

Ambrosio Kibuuka

Ambrosi Kibuka ni mfiadini mmojawapo kati ya Wakristo 22 wa Kanisa Katoliki wanaojulikana na kuheshimiwa duniani kote kama Wafiadini wa Uganda. Hao walikuwa wahudumu wa ikulu ya kabaka wa Buganda Mwanga II 1884 - 1903 ambao waliuawa kati ya tareh ...

                                               

Kikosi cha Thebe

Kikosi cha Thebe walikuwa askari wa jeshi la Roma ya Kale walioongozwa na Morisi Mtakatifu. Kufuatana na mapokeo ya karne ya 4 kikosi hicho kilijumlisha wanajeshi Waafrika kutoka Misri ya kusini na Nubia waliotumwa Ulaya wakati wa Kaisari Maximia ...

                                               

Kizito

Mtakatifu Kizito ni mmojawapo wa Wafiadini wa Uganda, mdogo kuliko wote. Alichomwa moto kwa ajili ya imani yake kwa Yesu Kristo akiwa na umri wa miaka 14 tu. Kidogo tu kabla hajauawa alibatizwa na katekista Karolo Lwanga. Pamoja na wenzake alitan ...

                                               

Kluthi

Kluthi alikuwa padri aliyefia imani yake pamoja na Wakristo wengine 3687 wakati wa dhuluma ya kaisari Dioklesyano. Tangu kale wote hao wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao h ...

                                               

Koloman wa Stockerau

Koloman wa Stockerau alikuwa Mkristo ambaye, akielekea Nchi Takatifu kwa hija, aliteswa na kuuawa akidhaniwa ni mpelelezi. Tangu kale anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 17 Julai.

                                               

Kolomba wa Sens

Kolomba wa Sens alikuwa bikira wa Hispania ambaye alihamia Galia akabatizwa na hatimaye akauawa kwa ajili ya imani ya Kikristo. Tangu kale anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ...

                                               

Kostanso wa Perugia

Kostanso wa Perugia alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo akajitahidi kuinjilisha na kusaidia maskini. Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Januari.

                                               

Krisanto na Daria

Krisanto na Daria ni mume na mke Wakristo waliopata umaarufu tokea zamani kama wafiadini, ambao juu ya makaburi yao mjini Roma limejengwa kanisa. Krisanto alitokea Aleksandria Misri na kuhamia Roma kwa ajili ya masomo. Baada ya kufahamiana na pad ...

                                               

Kristina wa Bolsena

Kristina wa Bolsena, anayejulikana pia kama Kristina wa Turo, au Kristina Mfiadini mkuu alikuwa mwanamke Mkristo wa karne ya 3 aliyefia dini yake. Ingawa habari za maisha yake hazijulikani, tangu karne ya 4 anaheshimiwa huko Bolsena Lazio, Italia ...

                                               

Kwinto na wenzake

Kwinto na wenzake thelathini na tano walikuwa Wakristo wa Afrika Kaskazini ambao waliuawa kwa imani yao. Kwinto alifia dini mwaka 251/253. Wengine tunawajua kwa jina tu: Simplisi, Pompini, Paulo, Aritife, Kresto, Digno, Datulo, Felisiani, Musa, R ...

                                               

Lambati wa Zaragoza

Lambati wa Zaragoza alikuwa mkulima Mkristo aliyeuawa kwa kukatwa kichwa kutokana na imani yake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 19 Juni.

                                               

Lazaro wa Serbia

Lazaro Hrebeljanović alikuwa mtawala mkuu wa Serbia baada ya Dola la Serbia kusambaratika, akimiliki mabeseni ya mito Morava: Morava kuu, Morava magharibi na Morava kusini tangu mwaka 1373 hadi kifo chake vitani. Kwa msaada wa Kanisa la Kiorthodo ...

                                               

Leodegar wa Autun

Leodegar wa Autun alikuwa askofu wa Autun, mtoto wa mtakatifu Sigrada na ndugu wa mtakatifu Warinus. Kwa kuwa alimpinga Ebroin aliyetawala kupindua utawala wa ukoo wa Wamerovinji aliteswa na kuuawa. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorth ...

                                               

Leonsya wa Vita

Leonsya wa Vita, binti Jermano, askofu wa Perada, ni kati ya wafiadini wa Kanisa Katoliki waliouawa kikatili sana na Wavandali katika karne ya 5, wakati wa utawala wa mfalme Huneriki aliyekuwa Mwario. Habari zao zimeandikwa na askofu Vikta wa Vit ...

                                               

Luchita

Luchita anatajwa kati ya Wakristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani yake barani Afrika. Ni kati ya wafiadini wa Madauros karibu na MDaourouch, leo nchini Algeria, pamoja na Namfamo, Mijin" na Sanami. Majina mengine yanayotajwa pamoja ni: Adyuto ...