ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 4
                                               

Lister Elia

Lister Elia ni mwanamuziki, mtunzi wa vitabu, mwalimu wa muziki na mkufunzi wa kituo cha mazoezi kutoka Tanzania, lakini kwa sasa anaishi nchini Japan. Elia alilelewa katika familia ya watu wa dini sana, baba yake akiwa kama kasisi wa Kanisa la K ...

                                               

Lucy Liu

Lucy Alexis Liu ni mshindi wa Tuzo ya Emmy akiwa kama mwigizaji bora filamu wa Kimarekani. Lucy alianza kujipataia umaarufu ni baada ya kucheza katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Ally McBeal na pia kuonekana katika baadhi ya filamu m ...

                                               

Adem Ljajić

Adem Ljajić ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchi ya Serbia ambaye anacheza kama mshambuluzi au katikati katika klabu ya FK Partizan katika ligi kuu ya Serbia. Ljajić alikuwa tayari kujiunga na klabu ya Uingereza ya Manchester United mwezi Ja ...

                                               

LL Cool J

James Todd Smith ni rapa na mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama LL Cool J. LL Cool J inasimama kwa "Ladies Love Cool James". Anajulikana sana kwa maballad yake ya kimahaba kama vile "I Need Love" ...

                                               

Kristanna Loken

Kristanna Sommer Loken au Kristanna Sommer Loken ni mwigizaji wa filamu na tamthilia-mwanamitindo wa zamani wa Kimarekani. Huenda akawa anafahamika kama T-X kutoka katika filamu ya Terminator 3: Rise of the Machines aliyocheza na nyota Arnold Sch ...

                                               

Justin Long

Justin Jacob Long ni mwigizaji wa filamu na vipindi vya televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa nyusika zake za kwenye filamu za Hollywood kama vile Galaxy Quest, Jeepers Creepers, Dodgeball, Waiting., Accepted, Live Free or Die ...

                                               

Louise Barnes

Louise Barnes ni mwigizaji wa Afrika Kusini. Barnes alipata kutambuliwa nchini Afrika Kusini kwa majukumu anuwai katika filamu zinazozalishwa nchini na safu ya runinga. Anajulikana sana kwa jukumu lake katika filamu ya 2009 ya Afrika Kusini / Uin ...

                                               

Lovre Kalinić

Mnamo tarehe 21 Desemba 2018, Kalinic alihamia upande wa uingereza katika klabu ya Aston Villa baada ya kufanya makubaliano na klabu ya Gent mwanzoni mwa Januari. Alijiunga rasmi 1 Januari 2019. Mechi yake ya kwanza baada ya kufungwa 3-0 kwenye t ...

                                               

Edward Ngoyai Lowassa

Edward Ngoyayi Lowassa amezaliwa 26 Agosti 1953 ni mwanasiasa nchini Tanzania. Alichaguliwa kuwa Waziri Mkuu wa kumi wa nchi hiyo tarehe 30 Desemba 2005 akajiuzulu tarehe 7 Februari 2008 kwa kashifa ya Richmond. Mwaka 2015 alikuwa mgombea urais k ...

                                               

Sylvie Lubamba

Renée Sylvie Lubamba ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Italia. Lubamba alizaliwa huko Firenze na wazazi kutoka Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

                                               

Lucas Biglia

Lucas Rodrigo Biglia ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza klabu ya Italia AC Milan kama kiungo. Biglia alianza kazi yake katika chuo cha Argentinos Juniors na alisaini mkataba wake wa kwanza wa soka la kulipwa mwaka 2004 na klabu ya A ...

                                               

Lucas Digne

Lucas Digne ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama beki wa kushoto kwa klabu ya Kiingereza Everton na timu ya taifa ya Ufaransa. Digne alianza kazi yake ya soka Lille kabla ya kujiunga na Paris Saint-Germain mwaka 2013. Baada ya kut ...

                                               

Lucas Torreira

Lucas Sebastián Torreira ni mchezaji wa soka wa Uruguay ambaye anacheza kama kiungo mkabaji wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Arsenal FC na timu ya taifa ya Uruguay.

                                               

Lucas Vázquez

Lucas Vázquez Iglesias ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania kama winga wa kulia. Vázquez aliwakilisha Hispania kwenye Euro 2016.

                                               

George Lucas

George Walton Lucas, Jr. ni mwongozaji, mtayarishaji na mwandikaji wa script wa filamu wa Kimarekani. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kutayarisha mfululizo wa filamu za Star Wars na mfululizo wa filamu za Indiana Jones. Lucas pia aliongoza fil ...

                                               

Lucian Msamati

Lucian Wiina Msamati ni mwigizaji Mwingereza. Alicheza Salladhor Saan katika mfululizo Game of Thrones na alikuwa mwigizaji wa kwanza Mweusi kucheza Iago katika tamasha Othello ya Royal Shakespeare Company kwenye mwaka 2015.

                                               

Luciana Demingongo

Luciana Demingongo ni mwanamuziki kutoka mjini Kinshasa-Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Alifahamika sana miaka ya 1990 akiwa na kundi lake Nouvelle Generation lililovuma na albamu ya Vigilancy iliyotoka 1992.

                                               

Luis Figo

Luis Figo ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Ureno na klabu za Barcelona F:C, Real Madrid za nchini Hispania na Inter Milan ya nchini Italia. Figo alijiunga na Barcelona akitokea timu ya klabu ya Sporting CP ya nchini Ure ...

                                               

Luis Suárez

Luis Alberto Suárez ni mchezaji wa soka wa Uruguay ambaye anacheza nafasi ya mshambuliaji katika timu ya Barcelona F.C. na timu ya taifa ya Uruguay. Luis Suarez mara nyingi huonekana kama mchezaji bora zaidi duniani, pia hujulikana kwa jina la Pr ...

                                               

Luka Jović

Luka Jović ni mchezaji wa soka wa Serbia ambaye anacheza katika klabu ya Hispania Real Madrid na timu ya taifa ya Serbia kama mshambuliaji. Jović alizaliwa katika kijiji kidogo cha Batar Serbia. Katika umri wa miaka mitano, alianza kucheza mpira ...

                                               

Luka Modric

Luka Modrić. Anacheza Hispania klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Croatia. Anacheza nafasi ya kiungo wa kati na pia anaweza kucheza kama kiungo mshambuliaji au kiungo mkabaji. Alizaliwa Zadar na alisajiliwa na Dinamo Zagreb baada ...

                                               

Lukas Podolski

Lukas Podolski ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Ujerumani na klabu ya Vissel Kobe ya nchini Japani. Timu yake ya kwanza kuichezea ilikuwa ni FC Köln ya nchini Ujerumani na baadaye mwaka 2008 alihamia Bayern Munich ambapo aliisaid ...

                                               

Luke Shaw

Luke Paul Hoare Shaw ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katika klabu ya Ligi Kuu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza. Mwanzoni mchezaji huyu alikuwa akichezea klabu ya Southampton, Shaw alicheza katika timu yake ya So ...

                                               

Lupita Nyongo

Lupita Nyong’o ni mwigizaji kutoka Kenya na Meksiko. Mwenyewe anajitambulisha kutoka nchi hizo mbili, kwa sababu ana uraia wa nchi hizo.

                                               

Luuk de Jong

Luuk de Jong ni mchezaji wa Uholanzi anayekuwa nahodha wa klabu ya Eredivisie PSV Eindhoven. Yeye pia ni mwanachama wa timu ya taifa ya Uholanzi.

                                               

Baaba Maal

Baaba Maal ni mwaimbaji na mpigaji gitaa kutoka nchini Senegal. Baaba Maal alizaliwa mjini Podor, karibu na Mto Senegal. Anafahamika sana ndani na nje ya Afrika akiwa kama mwanamuziki maarufu mno kutoka nchini humo, Senegal. Mbali na kuweza kupig ...

                                               

Macheda

Federico "Kiko" Macheda ni mwanakandanda mwenye uraia wa Kiitalia ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Ligi kuu ya Uingereza ya Manchester United. Alijiunga na Manchester United kutoka Lazio mnamo Septemba 2007.

                                               

Macky Sall

Macky Sall ni mwanasiasa wa Senegal ambaye amekuwa Rais wa Senegal tangu Aprili 2012. Alichaguliwa tena kama Rais katika uchaguzi wa kwanza wa rais Senegal mnamo Februari 2019. Yeye ndiye Rais wa kwanza kuzaliwa baada ya Senegal kupata uhuru kuto ...

                                               

Sally McLellan

Sally McLellan ni mwanamichezo wa Australia ambaye ni mtaalamu katika mita 100 na mita 100 ya kuruka viunzi. McLellan ndiye anashikilia rekodi ya Australia kwa mita 100 ya kuruka vikwazo na yeye ndiye mwanariadha kasi wa pili wa Australia nzima k ...

                                               

Mad Ice

Ahmed Mohamed Kakoyi ni mwanamUzIki wa Raga Mufin nchini Uganda-Tanzania. Mad Ice amezaliwa nchini Uganda tarehe 8 Oktoba ya mwaka wa 1980, na kukulia katika mji wa Mwanza, Tanzania. Mad Ice ambae ni Mganda anae fanya shughuli zake za kimuziki nc ...

                                               

Madina Nalwanga

Madina Nalwanga ni mwigizaji wa kutoka Uganda ambaye anajulikana sana kwa kucheza uhusika wa Phiona kwenye filamu ya Disneys iitwayo Queen of Katwe. Filamu inaelezea maisha ya Phiona Mutesi, mdada waUganda anayeishi kwenye kitongoji duni cha Katw ...

                                               

Zakaria Madole

Baada ya hapo siku moja Mchomo alikutaka na Meneja wa Club La Aziz na kumwambia lengo lake la kuwa mpigaji wa muziki. basi meneja yulel nae alimpokea vizuri na tokea hapo akakubaliwa kujifunza pale Club La Aziz japo alionesha uwezo mkubwa sana ka ...

                                               

Mae Whitman

Mae Margaret Whitman ni mwigizaji, mwimbaji wa muziki na mwigizaji wa sauti wa Marekani. Whitman alianza kuigiza katika matangazo kama mtoto, na kumfanya filamu yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka sita katika mchezo wa kuigiza wa kimapenzi Waka ...

                                               

James Omingo Magara

James Omingo Magara ni mwanasiasa wa Kenya. Kwa sasa yeye ni Mwanachama wa Orange Democratic Movement na alichaguliwa kuwa mbunge wa Mugirango Kusini katika uchaguzi wa 2007. Alishinda kiti hiki mara ya kwanza kwa tiketi ya FORD-Kenya katika ucha ...

                                               

John Magufuli

John Pombe Joseph Magufuli ni rais wa tano wa Tanzania. Anatokea katika chama cha CCM. Alikuwa mbunge wa jimbo la Biharamulo Mashariki katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania na tangu mwaka 2010 waziri wa ujenzi. Tarehe 12 Julai 2015 alichag ...

                                               

Maha Vajiralongkorn

Maha Vajiralongkorn, ni Mfalme wa Thailand, anatawala tangu mwaka 2016. Ndiye mtoto pekee wa Mfalme Bhumibol Adulyadej na Malkia Sirikit. Mnamo 1972, akiwa na miaka 20, alifanywa na baba yake kuwa mkuu wa taji. Baada ya kifo cha baba yake mnamo 1 ...

                                               

Mahamadou Issoufou

Mahamadou Issoufou ni mwanasiasa wa Niger ambaye amekuwa Rais wa Niger tangu tarehe 7 Aprili 2011. Issoufou alikuwa Waziri Mkuu wa Niger kutoka mwaka 1993 hadi 1994, Rais wa Bunge la Kitaifa kuanzia mwaka 1995 hadi 1996, na alikuwa mgombea katika ...

                                               

Asmaa Mahfouz

Asmaa Mahfouz ni mwanaharakati, mwandishi wa blogu na mwanzilishi mmojawapo wa Harakati ya Vijana wa 6 Aprili nchini Misri.

                                               

Kassim Majaliwa

Kassim Majaliwa ni mwanasiasa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge wa jimbo la Ruangwa tangu mwaka 2010 akigombea kwa CCM. Tarehe 19 Novemba 2015 aliteuliwa na rais John Magufuli kuwa waziri mkuu wa serikali ya awamu ya tano nchini Tanzania. Aliwahi k ...

                                               

Aiglon Makasi

Aiglon alianza kazi ya peke yake mnamo 2013 na akaanza kutumbuiza kwenye jukwaa katika kituo cha kitamaduni cha Goma, mara nyingi alialikwa kwenye shughuli kadhaa za kukuza talanta changa kama "Sanaa Weekend". Mwaka mmoja baadaye, alishiriki kwen ...

                                               

Makoto Hasebe

Makoto Hasebe Ni Mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Japan. Ni mchezaji wa katikati ambae anatumikisha mguu wa kulia anaeichezea klabu ya mashuhuri ya Vfl Wolfsburg Katika ligi ya Ujerumani ya Bundesliga na Timu ya Taifa ya Japan. Baada ya kupata c ...

                                               

Mohammed bin Rashid Al Maktoum

Kigezo:Infobox prime minister Mohammed bin Rashid Al Maktoum, ni Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wa Muungano wa Falme za Kiarabu, na Emir wa Dubai.

                                               

Makusu Mundele

Jean-Marc Makusu Mundele ni mchezaji wa soka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Anachezea AS Vita Club. Alishiriki katika michuano ya Afrika ya 2014 na DR Congo A. Mnamo mwaka 2014, Mundele aliendelea na upeo wa Ubelgiji Standard Liège lakini a ...

                                               

Malala Yousafzai

Malala Yousafzai amezaliwa 12 Julai 1997; jina lake kwa Kipashtuni: ملاله یوسفزۍ‎, kwa Kiurdu: ملالہ یوسف زئی‎ ni mwanaharakati wa kupigania haki ya elimu kwa watoto na usawa kijinsia kwa wanawake kutoka nchini Pakistan. Malala ni mtoto wa kwanza ...

                                               

Malini Awasthi

Malini Awasthi ni muimbaji wa watu wa India. Anaimba kwa Kihindi na lugha zinazohusiana kama vile Bhojpuri, Awadhi na Bundelkhandi. Anawasilisha pia katika Thumri na Kajri. Serikali ya India ilimpa heshima ya raia ya Padma Shri mnamo 2016.

                                               

Malouma

Malouma Mint El Meidah ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mwanasiasa nchini Mauritania. Kisha kuzaliwa katika familia ya waimbaji, alipokuwa na miaka 12 alishiriki mara ya kwanza katika tamasha ya uimbaji. Baada ya kipindi cha kupumzika uimbaji wak ...

                                               

Malu NCB

Malu NCB alianza kazi ya muziki wakati alishinda tuzo ya wanafunzi wapya katika Chuo Kikuu cha Katoliki cha Bukavu juu ya ujumuishaji wao. Alitia saini mkataba na Tume ya Haki na Amani ya Dayosisi kwa ajili ya utengenezaji wa sinema shirikishi, f ...

                                               

Robert Mambo

Robert Mambo Mumba ni mwanakandanda aliyekuwa kiungo cha kati wa kimataifa wa Kenya. Klabu yake ya awali hadi mwaka wa 2006 ilikuwa Viking F.K. nchini Norway. Vilabu alivyochezea hapo awali ni pamoja na Örebro SK, BK Häcken na K.A.A Gent, na yeye ...

                                               

Cheb Mami

Ahmed Khelifati Mohamed ni mwimbaji wa muziki wa rai kutoka nchini Algeria. Anaimba na kuongea vizuri kabisa kwa Kiarabu cha Algeria na kwa Kifaransa.

                                               

Mandakini (muigizaji)

Mandakini Kihindi: मंदाकिनी Kigezo:IPA2 ITRANS: Mandakini) ni mwigizaji wa zamani wa Bollywood. Kazi ilikuwa ya muda mfupi, lakini yenye utata katika vipindi za Kihindi na ilisemekana kuwa ana uhusiano na mwanaharamu Dawood Ibrahim.