ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 35
                                               

Amerigo Vespucci

Amerigo Vespucci alikuwa mfanyabiashara, nahodha na mpelelezi kwenye pwani za Amerika Kusini. Bara la Amerika limepokea jina kutoka kwake.

                                               

Kanisa Katoliki la Armenia

Kanisa Katoliki la Armenia ni madhehebu ya Kanisa Katoliki yanayofuata mapokeo ya Kanisa la Armenia katika ushirika kamili na Papa wa Roma. Ushirika huo ulidhoofika baada ya Mtaguso wa Kalsedonia 451, hasa kutokana na ugumu wa mawasiliano. Lakini ...

                                               

Kanisa la Kiinjili la Armenia

Kanisa la Kiinjili la Armenia lilianzishwa na Waarmenia 40 tarehe 1 Julai 1846 huko Istanbul. Lengo lao lilikuwa kusisitiza Biblia kuliko mapokeo ya Kiarmenia. Kwa sasa kuna makanisa 88 ya namna hiyo yaliyosambaa katika nchi zifuatazo: Argentina, ...

                                               

Kanisa la Kiorthodoksi la Eritrea

Kanisa la Kiorthodoksi la Eritrea ni madhehebu ya dini ya Ukristo iliyotawala makabila ya Eritrea kaskazini kwa karne kadhaa hadi sasa. Wakristo hao wanaotaka kuzingatia imani sahihi ya Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki ni sehemu muhimu katik ...

                                               

Ukristo nchi kwa nchi

Katika robo ya kwanza karne ya 21 Ukristo ndio dini kubwa zaidi duniani, ukikadiriwa kuwa na waumini walau bilioni 2.4 kati ya watu bilioni 7.5 duniani, ambao ni sawa na 1/3. Kati ya madhehebu yake, Kanisa Katoliki linaongoza kwa kuwa na waumini ...

                                               

George mfiadini

George alikuwa askari wa Dola la Roma mwenye asili ya Kigiriki kutoka Lydda. Alifanya kazi kama afisa katika kikosi cha kumlinda kaisari Diocletian, lakini alipokataa kuasi imani yake ya Kikristo, aliuawa huko Nikomedia, mkoa wa Bitinia leo nchin ...

                                               

Isaya II

Katika kitabu cha Isaya, pamoja na habari za Nabii Isaya, unapatikana pia unabii wa wafuasi wake wasiojulikana, waliofanya kazi katika miaka 550-500 hivi K.K., na hasa ule wa Isaya II. Ni kwamba, ingawa Nabii Ezekieli alifanya kazi nzuri, walioku ...

                                               

Manabii Wadogo

Manabii Wadogo ni kimojawapo kati ya vitabu 16 vya kinabii vya Biblia ya Kiebrania. Katika Biblia ya Kikristo kila nabii anahesabiwa peke yake, hivyo vitabu ni 12, kama ifuatavyo: Yoeli Obadia Mika Malaki Habakuki Amosi Hosea Nahumu Yona Zekaria ...

                                               

Hati ya Damasi

Hati ya Damasi ilitolewa na Papa Damasus I mwaka 382. Kwa hati hiyo alithibitisha orodha rasmi ya vitabu vya Biblia ya Kikristo katika Kanisa Katoliki. Orodha hiyo ilipata nguvu Afrika Kaskazini kutokana na Agostino wa Hippo kuifanya ipitishwe na ...

                                               

Hema ya kukutania

Hema ya kukutania ilikuwa patakatifu pa Wanaisraeli wakati wa matembezi baada ya kupokea amri za Mungu huko mlima Sinai hadi kujengwa kwa hekalu ya Yerusalemu. Habari zake zinajadiliwa katika Uyahudi na Ukristo. Jina la Kiebrania lilikuwa "mishka ...

                                               

Kiongozi Kalenda

Kiongozi Kalenda ni kijitabu chenye chaguo cha maneno kutoka Biblia kwa kujisomea kila siku. Maneno haya hutazamiwa kama "maneno ya mwongozo wa kiroho" kwa ajili ya siku husika. Hutolewa na Kanisa la Moravian katika nchi nyingi duniani kwa lugha ...

                                               

Liturujia ya Neno

Liturujia ya Neno ndiyo sehemu kuu ya kwanza ya Misa, lakini inaweza kufanyika hata nje ya Misa kwa sababu kwa Wakristo Neno la Mungu ni lishe ya kwanza ya maisha ya Kiroho.

                                               

Maranatha

Maranatha ni neno la Kiaramu linalotokea mara moja katika Agano Jipya na pia katika Didake ambayo ni kitabu cha kale cha Mababu wa Kanisa. Hupatikana mwishoni mwa waraka wa Mtume Paulo wa kwanza kwa Wakorintho 16:22 ulioandikwa kwa Kigiriki. NRSV ...

                                               

Mnadhiri

Mnadhiri katika Biblia ni mtu mwenye nadhiri iliyoratibiwa na Hes 6:1–21. Humo tunasikia masharti ya nadhiri: Kutonyoa kabisa. Kutotiwa unajisi kwa kugusa maiti, hata kama ni kwa kushiriki mazishi ya ndugu. Kuepa aina zote za vileo, ikiwa pamoja ...

                                               

Mwandiko wa Kiebrania

Mwandiko wa Kiebrania ni mwandiko au alfabeti ya lugha ya Kiebrania ya kale na ya kisasa, pia ya Kiaramu ya Biblia na ya Talmudi. Kuna pia lugha nyingine za Kiyahudi kama Kiyiddish na Kiladino zilizoandikwa kwa kutumia mwandiko huu.

                                               

Nunc dimittis

Nunc dimittis ni maneno ya kwanza ya wimbo wa mzee Simeoni katika tafsiri ya Kilatini. Ndiyo sababu yanatumika kama jina la wimbo huo, mmojawapo kati ya zile nne zinazopatikana mwanzoni mwa Injili ya Luka. Nafasi asili ya wimbo huo ni kwamba Yose ...

                                               

Septuaginta

Septuaginta ni tafsiri ya Biblia ya Kiebrania kwa lugha ya Kigiriki ililofanywa mjini Aleksandria kuanzia karne ya 3 KK hadi karne ya 1 KK. Jina hilo limetokana na hadithi ya kwamba wataalamu Wayahudi 72 walitafsiri vitabu vya Torati katika muda ...

                                               

Kronos

Kronos alikuwa mungu mmojawapo katika dini ya Ugiriki ya Kale aliyekuwa mkuu wa miungu wa nasaba ya Watitani na mtawala wa ulimwengu katika kipindi kabla ya Zeus na miungu ya Olimpi. Kadiri ya hadithi, Kronos alikuwa mwana wa mwisho wa Uranos na ...

                                               

Watitani

Watitani walikuwa nasaba ya pili ya miungu katika mitholojia ya Kigiriki. Jina hilo linataja idadi ya miungu 12 ambao, katika masimulizi ya Wagiriki wa Kale, walikuwa watoto wa Gaia na Uranos. Katika imani ya Wagiriki wa Kale walitawala ulimwengu ...

                                               

Bikira Maria Malkia

Bikira Maria Malkia ni kumbukumbu ya kalenda ya liturujia ya Kanisa la Kilatini. Adhimisho hilo lilianzishwa na Papa Pius XII mwaka 1955 na kupangwa tarehe 31 Mei, mwishoni mwa mwezi huo ambao sehemu mbalimbali unatumiwa na Wakatoliki kumheshimu ...

                                               

Kupaa Bwana

Kupaa Bwana ni ukumbusho wa fumbo la Yesu Kristo kupaa katika utukufu wa mbinguni akiwa na mwili wake mzima ambao Ijumaa kuu ulisulubiwa hata akafa akazikwa kabla hajafufuka siku ya tatu kadiri ya imani ya Ukristo.

                                               

Ubatizo wa Bwana

Ubatizo wa Bwana ni sikukuu ya liturujia inayoadhimisha fumbo la Yesu kubatizwa na Yohane Mbatizaji katika mto Yordani kabla hajaanza utume wake mwenyewe. Ndiyo sababu inatimiza kipindi cha Noeli kinachoadhimisha kwa muda mfupi miaka yote ya mais ...

                                               

Ziara ya Bikira Maria

Ziara ya Bikira Maria ni ile iliyofanywa na Mama wa Yesu, alipokuwa mjamzito tangu siku chache, kwa Elizabeti, aliyekuwa na mimba ya miezi sita katika uzee wake. Lengo lilikuwa kumhudumia hadi ajifungue mtoto, Yohane Mbatizaji, miezi mitatu baada ...

                                               

Waarabu

Leo duniani kuna watu wengi sana wanaojinasibisha na Waarabu wakiwa wanaishi Bara Arabu au Mashariki ya Kati au kwengineko ulimwenguni. Watu hawa ambao wanatafautiana baina yao kirangi na kimaumbile na kisura wote wanadai kuwa ni Waarabu au asli ...

                                               

Waabbasi

Waabbasi ni jina la nasaba ya makhalifa waliotawala milki kubwa ya Kiislamu kati ya 750 hadi 1258 BK. Mfululizo huo ulianzishwa na wajukuu wa Abbas ibn Abd al-Muttalib aliyekuwa mjomba wa Mtume Muhammad. Mji mkuu wa Waabbasi ulikuwa Baghdad. Waab ...

                                               

Ali bin Muhammad

Ali bin Muhammad alikuwa kiongozi wa uasi wa watumwa wa Zanj katika Iraki ya kusini wakati wa karne ya 9 BK. Habari zake zajulikana kutoka kitabu cha 36 cha Tarikh al-Tabari maandishi ya mwanahistoria Mwajemi Muhammad ibn Jarir al-Tabari aliyeand ...

                                               

Dola la Mahdi

Dola la Mahdi lilikuwa kipindi katika historia ya Sudan mwisho wa karne ya 19. Lilianzishwa na Muhammad Ahmad Al-Mahdi mwaka 1881 alipojitangaza kuwa mahdi kufuatana na imani ya kiislamu akaongoza uasi dhidi ya Misri iliyotawala Sudan ikisimamiwa ...

                                               

Umar ibn al-Khattab

Umar ibn al-Khattab alikuwa khalifa wa pili wa Uislamu. Alitawala baada ya Abu Bakr kati ya 634 hadi 644. Umar alizaliwa kati ya Wakuraish wa Makka. Anasemekana ya kuwa awali alimchukia Muhammad na mahubiri yake lakini alivutwa na uzuri wa sura y ...

                                               

Wamuawiya

Wamuawiya ni jina la nasaba ya makhalifa waliotawala milki kubwa ya Kiislamu kati ya 661 bis 750 BK. Mfululizo huo ulianzishwa na Muawiya ibn Abu Sufyan aliyekuwa gavana Mwislamu mjini Dameski alipoasi dhidi ya khalifa Ali ibn Abi Talib mnamo mwa ...

                                               

Ashura

Ashura ni sikukuu ya kiislamu inayosheherekewa na Washia hasa. Asili ya jina ni neno la Kiarabu "ashara" عَشَرَة yaani kumi, maana tarehe yake ni siku ya kumi kwenye mwezi wa kwanza katika kalenda ya kiislamu na mwezi huu huitwa Muharram. Kutokan ...

                                               

Muharram

Muharram ni mwezi wa kwanza katika kalenda ya Kiislamu. Ni kati ya miezi minne mitakatifu ya mwaka. Jina la mwezi limetokana na neno "haram" yaani "mwiko" au "kukatazwa" kwa maana ya kwamba vita haitakiwi mwezi huo. Siku ya kwanza ya Muharram ni ...

                                               

Shaaban (mwezi)

Shaaban ni mwezi wa nane katika kalenda ya Kiislamu. Inafuata Rajabu ikifuatwa na Ramadan. Ilhali ni mwezi kabla ya Ramadani ni pia wakati ambako mwanzo wa saumu unatangazwa.

                                               

Muawiya ibn Abu Sufyan

Muawiya ibn Abu Sufyan au Muawiya I alikuwa khalifa au mtawala wa dunia ya Uislamu kati ya 661 na 680 na mwanzilishaji wa nasaba ya Wamuawiya. Alizaliwa mjini Maka kama mwana wa Abu Sufyan kiongozi wa Waquraish na mpinzani wa mtume Muhamad. Baada ...

                                               

Kufa

Kufa ni mji wa Irak wenye wakazi 110.000. Uko takriban 170 km kusini kwa Baghdad na 10 km kaskazini kwa Najaf kando ya mto Frati. Kama mahali pa mauti ya Imam Ali, Kufa pamoja na Samarra, Karbala na Najaf ni kati ya miji minne mitakatifu ya Washi ...

                                               

Maulid

Maulid ni sikukuu ya dini ya Uislamu ya kuadhimisha kuzaliwa kwake Mtume Muhammad takriban mwaka 570 BK. Neno lenyewe ni la asili ya Kiarabu kutokana na مولد النبي, maulid an-nabi, au ميلاد النبي, milaad an-nabi). Sikukuu inafuata kalenda ya Kiis ...

                                               

Muhammad Ahmad ibn Abd Allah Al-Mahdi

Mohammed Ahmad ibn Abd Allah alikuwa mwenyeji wa Sudani aliyejitangaza kuwa ndiye mahdi. Alifaulu kuunganisha makabila mbalimbali ya nchi kwa vita ya jihadi akamaliza utawala wa kikoloni wa Misri iliyosaidiwa na Uingereza na kuanzisha Dola la Mah ...

                                               

Salah ad-Din

Salah ad-Din al-Ayubi alikuwa mtawala wa Misri na Syria wakati wa karne ya 12. Anakumbukwa hasa kwa ushindi wake juu ya Wamisalaba na ufalme wao wa Yerusalemu. Aliunda nasaba ya Waayubi walioendelea kutawala Misri pamoja na Yemeni, Shamu, Iraq na ...

                                               

Wafiadini saba wa Efeso

Wafiadini saba wa Efeso walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Decius. Waliitwa majina haya lakini pia mengine mengi: Konstantino Yohane Denisi Serapioni Malko Masimiani Machano Tangu kale wanaheshimiwa na ...

                                               

Ukristo katika karne za kwanza

Ukristo katika karne za kwanza ni sehemu ya historia ya Kanisa hadi mwaka 325 BK, mwaka ulipofanyika mtaguso mkuu wa kwanza huko Nisea, leo nchini Uturuki. Kwa kawaida karne hizo tatu zinagawiwa pande mbili: wakati wa Mitume wa Yesu hadi mwaka 10 ...

                                               

Emau

Emau ni kijiji kilichotajwa katika Injili ya Luka katika Agano Jipya. Mwinjili Luka anaandika kuwa Yesu alionekana huko baada ya mauti na ufufuko wake mbele ya Kleofa na mwenzake walipokuwa wakitembea katika njia iliyoelekea Emau. Utambulisho wak ...

                                               

Ukoo wa Yesu

Ukoo wa Yesu unapatikana katika vitabu viwili vya Agano Jipya: Injili ya Mathayo ambayo inaorodhesha vizazi kuanzia Abrahamu hadi kwa Yosefu, na Injili ya Luka inayorudi nyuma kuanzia Yosefu hadi kwa Adamu, aliyeumbwa na Mungu mwenyewe. Injili hi ...

                                               

Shemasi mdogo

Shemasi mdogo ni Mkristo anayetoa huduma fulani katika madhehebu mbalimbali, hasa wakati wa liturujia. Cheo chake kinafuata kile cha shemasi. Pengine kinalinganishwa kabisa na kile cha akoliti.

                                               

Upadri

Upadri ni daraja takatifu ya kati katika uongozi wa Kanisa Katoliki na madhehebu mengine kadhaa ya Ukristo. Unatolewa na Askofu kwa kumwekea mtu mikono kichwani na kumuombea ili atoe vizuri huduma za kikuhani, hasa kwa kuhubiri rasmi Neno la Mung ...

                                               

Ad Gentes

Siku ya mwisho kabla ya kufunga Mtaguso wa pili wa Vatikano zilitolewa bado hati tatu, mojawapo kuhusu umisionari wa Kanisa, aina ile ya utume inayowaelekea watu wengi zaidi yaani wasio Wakristo. Kazi hiyo ni tofauti na uchungaji unaowaelekea Wak ...

                                               

Apostolicam Actuositatem

Mtaguso wa pili wa Vatikano uliwaongelea walei katika hati mbalimbali ukionyesha nafasi yao katika maisha ya Kanisa. Hata hivyo uliona umuhimu wa kuwaandikia hati maalumu iwaongoze hasa katika utume ili watimize wajibu wao kwa wokovu wa ulimwengu ...

                                               

Balozi wa Papa

Balozi wa Papa ni askofu mkuu ambaye anamwakilisha Ukulu mtakatifu katika nchi fulani au nchi kadhaa au muundo wa kimataifa kuhusu mambo ya ndani ya Kanisa Katoliki lakini pia ushirikiano na serikali na jamii nzima.

                                               

Christus Dominus

Christus Dominus ni maneno mawili ya kwanza ya hati iliyotolewa kwa Kilatini na Mtaguso wa pili wa Vatikano kuhusu kazi ya maaskofu. Maneno hayo yana maana ya "Kristo Bwana". Hati hiyo ilitolewa tarehe 28 Oktoba 1965 kwa kura 2319 dhidi ya 2 tu. ...

                                               

Dei Verbum

Dei Verbum ni jina fupi la hati ya kidogma ya Mtaguso wa pili wa Vatikano kuhusu ufunuo wa Mungu katika imani ya Kanisa Katoliki. "Dei Verbum" ni maneno mawili ya kwanza ya hati hiyo iliyotolewa kwa lugha ya Kilatini. Maaskofu na makasisi 2344 ka ...

                                               

Dignitatis Humanae

"Dignitatis Humanae" ni jina la Kilatini la hati iliyotolewa na Papa Paulo VI na washiriki wengine wa Mtaguso wa pili wa Vatikano tarehe 7 Desemba 1965 kuhusu uhuru wa dini. Tafsiri ya jina hilo ni "Hadhi ya Binadamu". Tamko hilo la mwisho la mta ...

                                               

Gaudium et Spes

Hati hiyo, ndefu kuliko zote za Mtaguso wa pili wa Vatikano, inaitwa ya kichungaji kwa sababu inataka kutazama mambo kwa lengo la kuongoza maisha ya watu. Ilitolewa siku ya mwisho ya mtaguso huo 8 Desemba 1965 kwa kura 2307 dhidi ya 75 za maaskof ...