ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 34
                                               

Kimalay cha Pattani

Kimalay ya Pattani ni lugha ya Kiaustronesia nchini Uthai inayozungumzwa na Wamalay. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Pattani imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Pattani ik ...

                                               

Kimalay cha Sabah

Kimalay ya Sabah ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wamalay. Mwaka wa 2013 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Sabah imehesabiwa kuwa watu milioni tatu lakini wengi wao hutumia Kimalay ya Sabah kama lugha ya mawasiliano tu. K ...

                                               

Kimalay cha Tenggarong Kutai

Kimalay ya Tenggarong Kutai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Tenggarong Kutai imehesabiwa kuwa watu 210.000. Kufuatana na uainishaji w ...

                                               

Kimalay cha Visiwa vya Cocos

Kimalay ya Visiwa vya Cocos ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia na Australia inayozungumzwa na Wamalay. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Visiwa vya Cocos nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu 4000. Pia kuna wasemaji 1060 nchini ...

                                               

Kimalayalam

Kimalayalam ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi na Singapur inayozungumzwa na Wamalayalam. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kimalayalam nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu milioni 33. Pia kuna wasemaji 26.300 nchini Singapur. Kufuatana na uaini ...

                                               

Kimaleu-Kilenge

Kimaleu-Kilenge ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wamaleu na Wakilenge. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kimaleu-Kilenge imehesabiwa kuwa watu 5200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaleu-Ki ...

                                               

Kimalta

Kimalta ni lugha rasmi kwenye nchi ya kisiwani ya Malta katikati ya Bahari ya Mediteranea. Kimalta huhesabiwa kati ya lugha za Kisemiti ikiwa ni lugha pekee ya familia hiyo katika nchi za Ulaya. Kimalta ni karibu na Kiarabu cha Tunisia lakini hua ...

                                               

Kimalyangapa

Kimalyangapa kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamalyangapa katika jimbo la New South Wales. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kimalyangapa, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ...

                                               

Kimambwe-Lungu

Kimambwe-Lungu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania na Zambia inayozungumzwa na Wamambwe, Walungu na Wafipa. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimambwe-Lungu nchini Tanzania imehesabiwa kuwa watu 295.000 ambao 230.000 wao wlaikuwa Wafipa walioong ...

                                               

Kimanangkari

Kimanangkari ni lugha ya Kiyiwaidjan nchini Australia inayozungumzwa na Wamanangkari katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha ya Kimanangkari, yaani lugha imetoweka kabisa.

                                               

Kimanchu

Kimanchu ni lugha ya Kitungusi nchini Uchina inayozungumzwa na Wamanchu. Ingawa idadi ya Wamanchu ni zaidi ya milioni kumi, mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimanchu imehesabiwa kuwa watu ishirini tu. Karibu Wamanchu wote huzungumza Kichina cha ...

                                               

Kimandandanyi

Kimandandanyi kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wamandandanyi katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kimandandanyi ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha ...

                                               

Kimandarin

Kimandarin ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wachina. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimandarin nchini Uchina imehesabiwa kuwa watu milioni 840. Pia kuna wasemaji katika nchi zifuatazo: 10.600 nchini Brunei, 60.900 nda ...

                                               

Kimandobo-Atas

Kimandobo-Atas ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamandobo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimandobo-Atas imehesabiwa kuwa watu 10.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimandobo-Atas iko katik ...

                                               

Kimandobo-Bawah

Kimandobo-Bawah ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamandobo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimandobo-Bawah imehesabiwa kuwa watu 20.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimandobo-Bawah iko ka ...

                                               

Kimaninka-Misitu

Kimaninka-Misitu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote dIvoire inayozungumzwa na Wamaninka. Idadi ya wasemaji wa Kimaninka-Misitu imehesabiwa kuwa watu 15.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaninka-Misitu iko katika kundi la ...

                                               

Kimaninkakan-Magharibi

Kimaninkakan-Magharibi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal, Mali na Gambia inayozungumzwa na Wamalinke. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimaninkakan-Magharibi nchini Senegal imehesabiwa kuwa watu 422.000. Pia kuna wasemaji 100.000 nchini ...

                                               

Kimaninkakan-Mashariki

Kimaninkakan-Mashariki ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea, Sierra Leone na Liberia inayozungumzwa na Wamalinke. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kimaninkakan-Mashariki nchini Guinea imehesabiwa kuwa watu karibu milioni mbili. Pia kuna wase ...

                                               

Kimanna-Dora

Kimanna-Dora ilikuwa lugha ya Kidravidi nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wamanna-Dora. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kimanna-Dora tena kwa vile Wamanna-Dora wote wameacha lugha yao na kutumia Kitelugu badala yake. Kufuatana na uainishaji wa lugha k ...

                                               

Kimanobo-Agusan

Kimanobo-Agusan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimanobo-Agusan imehesabiwa kuwa watu 60.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanobo-Agusan iko katika k ...

                                               

Kimanobo-Ata

Kimanobo-Ata ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimanobo-Ata imehesabiwa kuwa watu 26.700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanobo-Ata iko katika kundi la K ...

                                               

Kimanobo ya Bukidnon Magharibi

Kimanobo ya Bukidnon Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kimanobo ya Bukidnon Magharibi imehesabiwa kuwa watu 15.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi ...

                                               

Kimanobo-Cotabato

Kimanobo-Cotabato ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimanobo-Cotabato imehesabiwa kuwa watu 30.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanobo-Cotabato iko ka ...

                                               

Kimanobo-Dibabawon

Kimanobo-Dibabawon ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 1978 idadi ya wasemaji wa Kimanobo-Dibabawon imehesabiwa kuwa watu 10.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanobo-Dibabawon iko ...

                                               

Kimanobo-Ilianen

Kimanobo-Ilianen ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimanobo-Ilianen imehesabiwa kuwa watu 14.600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanobo-Ilianen iko katik ...

                                               

Kimanobo-Kinamiging

Kimanobo-Kinamiging ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimanobo-Kinamiging imehesabiwa kuwa watu 26.700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanobo-Kinamiging ...

                                               

Kimanobo-Matigsalug

Kimanobo-Matigsalug ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kimanobo-Matigsalug imehesabiwa kuwa watu 50.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanobo-Matigsalug ...

                                               

Kimanobo-Obo

Kimanobo-Obo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimanobo-Obo imehesabiwa kuwa watu 60.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanobo-Obo iko katika kundi la K ...

                                               

Kimanobo-Rajah-Kabunsuwan

Kimanobo ya Rajah Kabunsuwan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimanobo ya Rajah Kabunsuwan imehesabiwa kuwa watu 7560. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kima ...

                                               

Kimanobo-Sarangani

Kimanobo-Sarangani ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamanobo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimanobo-Sarangani imehesabiwa kuwa watu 58.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimanobo-Sarangani iko ...

                                               

Kimaranunggu

Kimaranunggu ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamaranunggu katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kimaranunggu watano tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainish ...

                                               

Kimarghi cha Kati

Kimarghi ya Kati ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamarghi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimarghi ya Kati imehesabiwa kuwa watu 158.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarghi ya Kati iko kati ...

                                               

Kimarghi-Kusini

Kimarghi ya Kusini ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wamarghi. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kimarghi ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 166.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarghi ya Kusini ik ...

                                               

Kimaria cha Dandami

Kimaria ya Dandami ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wamaria. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimaria ya Dandami imehesabiwa kuwa watu 200.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimaria ya Dandami iko katika ...

                                               

Kimaridjabin

Kimaridjabin ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamaridjabin katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 1970, kulikuwa na wasemaji wa Kimaridjabin 20 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji ...

                                               

Kimarimanindji

Kimarimanindji ni lugha ya Kidaly nchini Australia inayozungumzwa na Wamarimanindji katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kimarimanindji kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uai ...

                                               

Kimarind cha Bian

Kimarind ya Bian ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamarind. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimarind ya Bian imehesabiwa kuwa watu 2900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimarind ya Bian iko ka ...

                                               

Kimarkesa-Kaskazini

Kimarkesa ya Kaskazini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Polinesia ya Kifaransa inayozungumzwa na Wamarkesa, hasa kwenye visiwa vya Nuku Hiva, Ua Huka na Ua Pou. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimarkesa ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 5390. ...

                                               

Kimarkesa-Kusini

Kimarkesa ya Kusini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Polinesia ya Kifaransa inayozungumzwa na Wamarkesa, hasa kwenye visiwa vya Hiva Oa, Tahuata na Fatu Hiva. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimarkesa ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 2700. Wama ...

                                               

Kimartu-Wangka

Kimartu-Wangka ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wamartu-Wangka katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kimartu-Wangka 880. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani za ...

                                               

Kimartuyhunira

Kimartuyhunira ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wamartuyhunira katika jimbo la Australia Magharibi. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kimartuyhunira watano tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. K ...

                                               

Kimasbatenyo

Kimasbatenyo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamasbatenyo. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kimasbatenyo imehesabiwa kuwa watu 350.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimasbatenyo iko katika kundi ...

                                               

Kimasela cha Kati

Kimasela ya Kati ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamasela kwenye kisiwa cha Masela. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kimasela ya Kati imehesabiwa kuwa watu 510 tu, na idadi imeendelea kupungua, maana yake lugha imek ...

                                               

Kimasela-Magharibi

Kimasela-Magharibi ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamasela kwenye kisiwa cha Masela. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kimasela-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 850 tu. Lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na u ...

                                               

Kimasela-Mashariki

Kimasela-Mashariki ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamasela kwenye kisiwa cha Masela. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kimasela-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 520 tu, na idadi imeendelea kupungua, maana yake lugha ...

                                               

Kimiao cha Mashan ya Kaskazini

Kimashan ya Kaskazini ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimashan ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 35.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimashan ya Kaskazini iko katika kundi ...

                                               

Kimiao cha Mashan ya Kati

Kimashan ya Kati ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimashan ya Kati imehesabiwa kuwa watu 70.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimashan ya Kati iko katika kundi la Kihmongiki.

                                               

Kimiao cha Mashan ya Kusini

Kimashan ya Kusini ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimashan ya Kusini imehesabiwa kuwa watu 10.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimashan ya Kusini iko katika kundi la Kihmo ...

                                               

Kimiao cha Mashan ya Magharibi

Kimashan ya Magharibi ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Wamiao. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kimashan ya Magharibi imehesabiwa kuwa watu 14.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimashan ya Magharibi iko katika kundi ...

                                               

Kimashi (Zambia)

Kimashi ni lugha ya Kibantu nchini Zambia, Angola na Namibia inayozungumzwa na Wamashi. Isichanganywe na lugha ya Kimashi inayozungumzwa nchini Nigeria. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kimashi nchini Zambia ilihesabiwa kuwa watu 18.800. Pia ku ...