ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 27
                                               

Kidamar-Mashariki

Kidamar-Mashariki ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadamar kwenye kisiwa cha Damar. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kidamar-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 2800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kid ...

                                               

Kidan

Kidan ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote dIvoire na Liberia inayozungumzwa na Wadan. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kidan nchini Cote dIvoire imehesabiwa kuwa watu 800.000. Pia kuna wasemaji 175.000 nchini Liberia na wasemaji wachache nchi ...

                                               

Kidani cha Chini

Kidani ya Chini ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadani. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kidani ya Chini imehesabiwa kuwa watu 20.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidani ya Chini iko katik ...

                                               

Kidani cha Juu

Kidani ya Juu ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadani. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kidani ya Juu imehesabiwa kuwa watu 20.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidani ya Juu iko katika kund ...

                                               

Kidani cha Kati

Kidani ya Kati ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadani. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kidani ya Kati imehesabiwa kuwa watu 50.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidani ya Kati iko katika k ...

                                               

Kidani-Magharibi

Kidani ya Magharibi ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadani. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kidani ya Magharibi imehesabiwa kuwa watu 180.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidani ya Maghar ...

                                               

Kidarkinyung

Kidarkinyung ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadarkinyung katika jimbo la New South Wales. Mwaka wa 2008, kulikuwa na wasemaji wa Kidarkinyung wachache tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuat ...

                                               

Kidaungwurrung

Kidaungwurrung kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wadaungwurrung katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kidaungwurrung ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugh ...

                                               

Kidawera-Daweloor

Kidawera-Daweloor ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadawera na Wadaweloor kwenye visiwa vya Dawera na Daweloor. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kidawera-Daweloor imehesabiwa kuwa watu 1270. Kufuatana na uainishaji w ...

                                               

Kidela-Oenale

Kidela-Oenale ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadela na Waoenale kwenye kisiwa cha Rote. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kidela-Oenale imehesabiwa kuwa watu 7000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, K ...

                                               

Kidhangu-Djangu

Kidhangu-Djangu ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadhangu katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidhangu-Djangu 270. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, ...

                                               

Kidigaro-Mishmi

Kidigaro-Mishmi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Uchina inayozungumzwa na Wadigaro-Mishmi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kidigaro-Mishmi nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 34.000. Pia kuna wasemaji 850 nchini Uchina. Kufuatana na ...

                                               

Kidjabwurrung

Kidjabwurrung ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadjabwurrung katika jimbo la Victoria. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kidjabwurrung saba tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na u ...

                                               

Kidjambarrpuyngu

Kidjambarrpuyngu ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wadjambarrpuyngu katika jimbo la Northern Territory kisiwani kwa Elcho. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidjambarrpuyngu 2760. Kufuatana na uainish ...

                                               

Kidjamindjung

Kidjamindjung ni lugha ya Kimirndi nchini Australia inayozungumzwa na Wadjamindjung katika jimbo la Northern Territory. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kidjamindjung 130. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidja ...

                                               

Kidomari

Kidomari ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Iran na nchi nyingi nyingine za Mashariki ya Kati inayozungumzwa na Waromani. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidomari nchini Iran imehesabiwa kuwa watu 1.340.000. Idadi ya wasemaji wote duniani imek ...

                                               

Kidong cha Kaskazini

Kidong ya Kaskazini ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wadong. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kidong ya Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 463.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidong ya Kaskazini iko katika kundi la Ki ...

                                               

Kidong cha Kusini

Kidong ya Kusini ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uchina inayozungumzwa na Wadong. Idadi ya wasemaji wa Kidong ya Kusini imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidong ya Kusini iko katika kundi la Kikam-Sui.

                                               

Kidoromu-Koki

Kidoromu-Koki ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wadoromu-Koki. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kidoromu-Koki imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidoromu-Koki ik ...

                                               

Kidumagat-Remontado

Kidumagat-Remontado ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wadumagat. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidumagat-Remontado imehesabiwa kuwa watu 2530. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidumagat-Remontado i ...

                                               

Kidungra-Bhil

Kidungra-Bhil ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi inayozungumzwa na Wadungra-Bhil. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidungra-Bhil imehesabiwa kuwa watu 10.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kidungra-Bhil iko katika kundi la Kiaryan.

                                               

Kiduriankere

Kiduriankere ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waduriankere. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiduriankere imehesabiwa kuwa watu 30 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji w ...

                                               

Kidusun cha Kati

Kidusun ya Katikati ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wadusun. Lahaja kubwa hasa ni Kibundu na Kiranau. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kidusun ya Katikati imehesabiwa kuwa watu 141.000, pamoja na Wabundu 70.000 na Wa ...

                                               

Kidusun-Sugut

Kidusun ya Sugut ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wadusun. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidusun ya Sugut imehesabiwa kuwa watu 12.200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidusun ya Sugut iko katika ...

                                               

Kidusun-Tambunan

Kidusun ya Tambunan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wadusun. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kidusun ya Tambunan imehesabiwa kuwa watu 15.600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidusun ya Tambunan ik ...

                                               

Kidusun-Tempasuk

Kidusun ya Tempasuk ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wadusun. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kidusun ya Tempasuk imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidusun ya Tempasuk iko ...

                                               

Kidusun-Deyah

Kidusun-Deyah ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadusun kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kidusun-Deyah imehesabiwa kuwa watu 20.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidu ...

                                               

Kidusun-Malang

Kidusun-Malang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadusun na Wabayan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kidusun-Malang imehesabiwa kuwa watu 4500, yaani Wadusun 2500 na Wabayan 2000. Kufuata ...

                                               

Kidusun-Witu

Kidusun-Witu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wadusun kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kidusun-Witu imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kidusun- ...

                                               

Kidyaberdyaber

Kidyaberdyaber ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wadyaberdyaber katika jimbo la Australia ya Magharibi. Hakuna wasemaji wa Kidyaberdyaber ambao wamebaki kuzungumza lugha, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainisha ...

                                               

Kiefate-Kaskazini

Kiefate-Kaskazini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waefate kwenye kisiwa cha Efate. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiefate-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 9500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiefa ...

                                               

Kiefate-Kusini

Kiefate-Kusini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Waefate kwenye kisiwa cha Efate. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiefate-Kusini imehesabiwa kuwa watu 6000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiefate-Kus ...

                                               

Kielhugeirat

Kielhugeirat ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Sudan inayozungumzwa na Waelhugeirat. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kielhugeirat imehesabiwa kuwa watu 50 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Ki ...

                                               

Kienwan-Oron

Kienwan-Oron ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waenwan-Oron. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kienwan-Oron imehesabiwa kuwa watu 15.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kienwan-Oron iko katika kundi la ...

                                               

Kiewage-Notu

Kiewage-Notu ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waewage-Notu na Wasoverapa. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiewage-Notu imehesabiwa kuwa watu 12.900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kie ...

                                               

Kifali-Kaskazini

Kifali-Kaskazini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wafali. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kifali-Kaskazini imehesabiwa kuwa watu 16.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifali-Kaskazini iko katika ku ...

                                               

Kifali-Kusini

Kifali-Kusini ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wafali. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kifali-Kusini imehesabiwa kuwa watu 20.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kifali-Kusini iko katika kundi la Ki ...

                                               

Kifriuli

Kifriuli ni mojawapo ya lugha za Kirumi, tawi la lugha za Kihindi-Kiulaya inayotumiwa na watu 600.000 hivi, ambao kati yao 300.000 ndiyo lugha mama yao, wakiwemo hasa Waitalia wa mkoa wa Friuli-Venezia Giulia, kaskazini mashariki mwa rasi ya Italia.

                                               

Kifulfulde-Adamawa

Kifulfulde-Adamawa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun, Chad na Sudan inayozungumzwa na Wafulfulde. Lugha hiyo ni lugha mojawapo ya lugha za Kifulfulde. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Adamawa imehesabiwa kuwa watu 669.000 nchi ...

                                               

Kifulfulde-Bagirmi

Kifulfulde-Bagirmi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Chad inayozungumzwa na Wafulfulde. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Bagirmi nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 156.000. Pia kuna wasemaji 24.00 ...

                                               

Kifulfulde-Kano

Kifulfulde-Kano ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria, Kamerun na Chad inayozungumzwa na Wafulfulde. Lugha hiyo ni lugha mojawapo ya lugha za Kifulfulde. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kifulfulde-Kano imehesabiwa kuwa watu 1.710.000 nchini ...

                                               

Kifutuna-Aniwa

Kifutuna-Aniwa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Vanuatu inayozungumzwa na Wafutuna na Waaniwa kwenye visiwa vya Futuna na Aniwa. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kifutuna-Aniwa imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa nd ...

                                               

Kifutuna-Mashariki

Kifutuna-Mashariki ni lugha ya Kiaustronesia nchini Wallis na Futuna na Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wafutuna. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kifutuna-Mashariki nchini Wallis na Futuna imehesabiwa kuwa watu 3600. Pia kuna wasemaji 2900 nc ...

                                               

Kigadaba-Bodo

Kigadaba-Bodo ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagadaba. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigadaba-Bodo imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigadaba-Bodo iko katika kundi la Kimunda.

                                               

Kigadaba-Mudhili

Kigadaba-Mudhili ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagadaba. Ni tofauti na Kigadaba-Bodo ambayo ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigadaba-Mudhili imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainis ...

                                               

Kigadaba-Pottangi-Ollar

Kigadaba ya Pottangi Ollar ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wagadaba. Ni tofauti na Kigadaba-Bodo ambayo ni lugha ya Kiaustro-Asiatiki. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigadaba ya Pottangi Ollar imehesabiwa kuwa watu 15.00 ...

                                               

Kigadjerawang

Kigadjerawang ni lugha ya Kijarrakan nchini Australia inayozungumzwa na Wagadjerawang katika majimbo ya Australia Magharibi na "Northern Territory. Mwaka wa 2005, kulikuwa na wasemaji wa Kigadjerawang wawili tu, na lugha imekaribia kutoweka kabis ...

                                               

Kigalambu

Kigalambu ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagalambu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kigalambu imehesabiwa kuwa watu 25.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigalambu iko katika kundi la Kichadiki.

                                               

Kigamilaraay

Kigamilaraay ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wagamilaraay katika majimbo ya Queensland na New South Wales. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kigamilaraay 35 tu, tena wote walichanganya lugha yao ya ...

                                               

Kigamo-Gofa-Dawro

Kigamo-Gofa-Dawro ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wagamo, Wagofa na Wadawro. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kigamo-Gofa-Dawro imehesabiwa kuwa watu 1.240.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kig ...