ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 250
                                               

Mjoho kaki

Mjoho kaki ni mti mkubwa kiasi ambao huzaa matunda yenye rangi ya machungwa. Majoho yana ukubwa wa chenza hadi chungwa. Mti huu ni miongoni mwa miti iliyopandwa tangu zamani sana. Asili yake ni katika Uchina.

                                               

Kikwata

Vikwata ni miti ya jenasi Senegalia katika familia Fabaceae yenye miiba iliyopinda na majani yenye sehemu nyingi. Zamani spishi hizi ziliainishwa katika jenasi Acacia lakini wanasayansi wamegawanya jenasi hii kwenye jenasi tano: Acacia, Vachellia ...

                                               

Mkenge

Michani au mikenge ni miti ya jenasi Albizia katika nusufamilia Mimosoideae ya familia Fabaceae, lakini spishi nyingine zina majina kama mporojo, mkami na mkalala. Spishi nyingi ni miti midogo, lakini spishi kadhaa ni kubwa sana. Majani yao yana ...

                                               

Mgunga

Migunga ni miti ya jenasi Vachellia katika familia Fabaceae yenye miiba mirefu kiasi na majani yenye sehemu nyingi. Zamani spishi hizi ziliainishwa katika jenasi Acacia lakini wanasayansi wamegawanya jenasi hii kwenye jenasi tano: Acacia, Vachell ...

                                               

Muwati

Miwati ni miti ya jenasi Acacia katika familia Fabaceae iliyo na majani yenye sehemu nyingi, lakini vikonyo vya majani vya spishi nyingi vimekuwa vipana na vimebadili majani menyewe. Zamani jenasi hii ilikuwa na spishi takriban 1300 lakini wanasa ...

                                               

Mnyanya-chungu

Mngogwe au mnyanya-chungu ni jina la spishi mbili za jenasi Solanum katika familia Solanaceae. Matunda yake huitwa ngogwe na huliwa baada ya kupikwa, ila ngogwe Uhabeshi huliwa mbichi pia. Majani yaliyopikwa huliwa vilevile na huitwa mafa.

                                               

Mtango-tamu

Mtango-tamu ni mmea wa familia Solanaceae. Ijapokuwa mmea huu una mnasaba na mnyanya, matunda yake, yaitwayo matango matamu, yana ladha tofauti kabisa. Matunda haya yanafanana na magogwe makubwa na ladha yao ni mchanganyiko wa tikiti-asali na tan ...

                                               

Mnyanya-cheri

Mtungule au mnyanya-cheri ni namna fulani ya mnyanya katika familia Solanaceae. Matunda yake huitwa matungule au nyanya-cheri na haya ni madogo kuliko nyanya za kawaida na yana umbo la mviringo au la pea. Hutumika sana katika saladi au kwa kula p ...

                                               

Mpopi

Mpopi ni mmea wenye asili katika nchi za Mashariki ya Kati. Inakua hadi urefu wa mita 1 ikiwa na maua meupe, manjano na mara nyingi mekundu. Mpopi ni asili ya madawa ya kulevya ya afyuni na heroini yanayotumiwa pia kama madawa ya tiba hasa kwa ku ...

                                               

Fefe

Fefe ni aina ya manyasi inayoishi miaka mingi. Inatokea Afrika katika maeneo mbalimbali. Jina hili litumika pia kwa spishi nyingine za jenasi Hyparrhenia. Manyasi haya hutumika sana kwa kuezekea mapaa na pia kutengenezea mikeka na vikapu.

                                               

Gombakanzu

Gombakanzu au majani ya Pemba ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Panicoideae. Nyasi hili huunda matabaka mazito ya manyasi, mara nyingi kwa pwani. Kwa sababu ya hiyo spishi hii na spishi ndugu S. secundatum hupandwa katika nyua.

                                               

Kishona-nguo (nyasi)

Kichoma-mguu, kichoma-nguo au kishona-nguo ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Panicoideae. Lakini majina haya hutumika vilevile kueleza mmea mwingine: Bidens pilosa, gugu baya shambani. H. contortus inatokea kanda za tropiki za Afrika, Asia ya ...

                                               

Kifungambuzi

Kifungambuzi ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Chloridoideae. Asili kamili ya nyasi hili haijulikani kwa uhakika lakini yumkini linatoka Afrika au labda Asia. Siku hizi linatokea mahali popote kwa kanda za tropiki na nusutropiki. Spishi hii n ...

                                               

Kimbugimbugi

Kimbugimbugi au mkandi ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Chloridoideae. Asili ya nyasi hili ni Afrika lakini sasa imewasilishwa au imesamba katika mabara mengine. Linaweza kuwa gugu shambani lakini ni malisho mazuri kwa wanyama wafugwao. Punj ...

                                               

Lugowi

Lugowi ni jina la spishi za nyasi katika nusufamilia Chloridoideae. Masuke kadhaa yanamea juu ya ubua kwa umbo wa vidole vya mkono. Lugowi wa kawaidi unatoka Mashariki ya Kati kwa asili, lakini siku hizi hupandwa sana katika maeneo ya hewa ya jot ...

                                               

Mabingobingo

Mabingobingo ni spishi ya manyasi inayomea ndefu sana. Hupandwa sana katika Afrika ya Mashariki ili kulisha wanyama wafugwao.

                                               

Malamata

Malamata ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Panicoideae. Asili ya nyasi hili ni Ulaya lakini sasa imewasilishwa au imesamba katika mabara yote mengine isipokuwa Antakitiki. Ni gugu baya na imeanza kupinga viuamimea. Visuke vina nywele zenye ku ...

                                               

Mbaya (mmea)

Mbaya ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Panicoideae. Kama jina lake linaashiria nyasi hili ni mmea msumbufu: ni gugu baya sana mashambani na pia nywele zake kama sindano zinavunjika zikidunga ngozi na zinasababisha maambukizo machungu. Spishi ...

                                               

Mkekundu

Mkekundu ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Chloridoideae. Nyasi hii huishi miaka kadhaa na inaweza kufika urefu wa m 3. Inaweza kumea katika maeneo makavu kiasi. Kwa sababu haichuani na mimea ya shambani, inaweza kupandwa katikati yao bila ku ...

                                               

Mnanasi

Mnanasi ni mmea katika familia Bromeliaceae ya oda Poales. Mnanasi unakuzwa hasa kwa sababu ya matunda yake, yanayoitwa mananasi, na juisi inayotokana na matunda haya. Asili yake ni Amerika ya Kusini ingawa kwa sasa unakuzwa sehemu nyingi za dunia.

                                               

Mtimbi

Mtimbi au msufi wa bara ni aina ya nyasi inayoishi miaka mingi. Asili yake ni Asia lakini umewasilishwa katika mabara mengine. Katika Afrika nyasi hili limekuwa mmea msumbufu mbaya sana.

                                               

Mzumai

Mzumai ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Andropogoneae. Kwa asili spishi hii inatoka Uhindi lakini siku hizi hupandwa sana katika ukanda wa tropiki. Nchi kuu za uzalishaji ni Haiti, Uhindi, Java na Reunion. Mzumai hupandwa sana kwa kuzuia mmo ...

                                               

Sangari

Sangari ni spishi ya nyasi katika nusufamilia Panicoideae iliyo na mnasaba na mfonio. Inafanana pia na lugowi lakini masuke yake ni membamba zaidi. Asili ya spishi hii ni Afrika ya Mashariki na ya Kati lakini imewasilishwa katika Afrika ya Kusini ...

                                               

Mchikichi

Mchikichi ni kati ya miti iliyo muhimu zaidi kiuchumi. Matunda yake huleta mawese ambayo hutumika sana kama mafuta ya kupikia, kwa ajili ya madawa mbalimbali na siku hizi pia kama diseli. Mti unakua hadi kimo cha m. 30. Matunda yake ni madogo yak ...

                                               

Mparachichi

Mparachichi au mwembe-mafuta ni mti wenye majani na matunda makubwa ambao hupandwa mahali pote pa tropiki na nusutropiki. Huitwa mpea pia lakini afadhali jina hili litumiwe kwa miti ya jenasi Pyrus. Matunda yake yana mafuta mengi.

                                               

Mpea

Mipea au mipeasi ni miti midogo wa jenasi Pyrus katika familia Rosaceae. Matunda yao huitwa mapea. Jina "mpea" hutumika kwa Persea americana pia lakini afadali jina "mparachichi" litumike kwa mti huu. Asili ya mipea ni kanda ya kaskazini ya wasta ...

                                               

Mwangati

Miangati ni spishi mbalimbali za mti katika jenasi Terminalia ambazo zina majani madogo kuliko mkungu. Inatokea savana na misitu ya Afrika ya tropiki. Spishi kadhaa, k.m. T. mantaly, hupandwa katika bustani na kandokando ya mitaa. Majina mengine ...

                                               

Mwaprikoti

Mwaprikoti ni mti mdogo wa familia Rosaceae. Matunda yake huitwa maaprikoti. Asili ya mti huu haijulikani, kwa sababu ulipandwa sana kabla ya historia. Sikuhizi hupandwa mahali pengi katika kanda za nusutropiki. Kwa kawaida, jina la mwaprikoti hu ...

                                               

Abunusi

Abunusi ni jina litumikalo kwa ubao mweusi. Abunusi ya kweli ni ubao wa spishi za jenasi Diospyros, lakini aina nyingine za ubao mweusi huitwa abunusi pia mara nyingi. Jina sahihi la ubao mweusi wa Dalbergia melanoxylon ni mpingo.

                                               

Nge-mjeledi mkia-mfupi

Nge-mjeledi mkia-mfupi ni arithropodi wa oda Schizomida katika ngeli Arachnida wanaofanana na nge-mjeledi wadogo. Wengi sana wana urefu wa chini ya mm 5. Kama arakinida wengine kiwiliwili chao kina sehemu mbili: kefalotoraksi na fumbatio. Sehemu ...

                                               

Tandu

Tandu ni aina za arithropodi wembamba na warefu katika ngeli Chilopoda ya nusufaila Myriapoda wenye miguu mingi. Wanafanana kijuujuu na majongoo lakini hawa huenda polepole na hula dutu ya viumbehai, viani na kuvu. Tandu huenda mbio na hula wanya ...

                                               

Matumbawe

Matumbawe ni wanyama wadogo wa faila Cnidaria ya wanyama-upupu. Kila mnyama ana umbo la mfuko mwenye urefu wa milimita au sentimita chache; uwazi upande mmoja ni mdomo na pia mkundu unaoviringishwa na minyiri. Kuna aina nyingi na tofauti za matum ...

                                               

Hemichordata

Hemikodata ni faila ya wanyama wa bahari katika faila ya juu Deuterostomia. Wanachukuliwa kama kikundi cha dada cha wanyama ngozi-miiba. Wanatokea kwa mara ya kwanza katika Cambrian ya Chini au ya Kati na wana ngeli kuu mbili: Enteropneusta na Pt ...

                                               

Bata

Mabata ni ndege wa maji wa familia ya Anatidae wenye madomo mafupi na mapana na miguu yenye ngozi kati ya vidole. Manyoya yao huwa na uwezo bora wa kufukuza maji kwa msaada wa mafuta maalumu. Mabata ndiyo moja ya familia za ndege ambazo spishi za ...

                                               

Heroe

Heroe ni ndege wa jenasi Phoenicopterus, jenasi pekee ya familia ya Phoenicopteridae. Ndege hawa hukaa kwa maji ya chumvi kwa makundi makubwa. Wana miguu mirefu na shingo ndefu na nyembamba. Wakiruka angani hunyosha shingo. Urefu wao ni kati ya f ...

                                               

Kwao

Kasuku ni ndege wa familia Psittacidae. Spishi za jenasi nyingine zinaitwa kwao au cherero. Kasuku wengine ni wakubwa, wengine wadogo. Wengi wana rangi kali. Wana mkia mrefu na miguu yao ina vidole viwili vikabilivyo mbele na viwili vikabilivyo n ...

                                               

Pwaju

Virukanjia au mbarawaji ni ndege wa familia Caprimulgidae. Spishi nyingine zina majina kama gawa, mpasuasanda, pwaju, upapasa na rushana. Rangi yao ni kahawia au kijivu na madoa na michirizi meupe. Kuwaona ni kugumu, kwa sababu huruka usiku. Kwa ...

                                               

Lukungu

Lukungu ni ndege wa familia Trogonidae. Wanatokea misituni kwa tropiki katika Afrika, Asia na Amerika. Ndege hawa wana ukubwa wa kwenzi mkubwa. Rangi zao ni kali na spishi za Afrika zina tumbo jekundu na mgongo kijani. Hula wadudu hasa lakini spi ...

                                               

Ndege-mawingu

Ndege-mawingu ni ndege wa bahari katika jenasi Phaethon, jenasi pekee ya familia Phaethontidae. Ndege hawa ni weupe na wana mileli mirefu katikati ya mkia. Hupitisha maisha yao yote baharini isipokuwa wakati wa majira ya kuzaa. Wanaweza kuogelea ...

                                               

Pengwini

Ngwini au Pengwini ni ndege wa bahari katika familia Spheniscidae. Ndege hawa hawawezi kuruka angani lakini chini ya maji huenda kama" kuruka”. Kwa kweli, wanaishi baharini nusu ya mwaka na wanarudi nchi kavu ili kuzaa tu. Kwa kawaida ngwini ni w ...

                                               

Ndege wa Peponi

Ndege wa Peponi ni ndege wa familia ya Paradisaeidae ambao ni wadogo wakiwa maarufu kwa manyoya yao marefu na yenye rangi nyingi. Wanaishi huko Indonesia, Papua New Guinea na Australia ya Mashariki. Wanaojulikana zaidi ni hao wa jenasi Paradisaea ...

                                               

Trichoplacidae

Vinyama-bapa ni aina za msingi za viumbehai vya bahari vyenye seli nyingi. Wana muundo sahili sana wa wanyama wote. Kufikia sasa, jenasi tatu, kila moja na spishi moja, zimepatikana: Trichoplax adhaerens, Hoilungia hongkongensis na Polyplacotoma ...

                                               

Simba (kundinyota)

Simba ni kundinyota la zodiaki linalojulikana pia kama Asadi au kwa jina la kimagharibi Leo. Ni moja ya makundinyota yanayotatambuliwa na Umoja wa kimataifa wa astronomia Kiuhalisia nyota za Simba huwa haziko pamoja kama zionekanavyo kutokea duni ...

                                               

Baktria

Baktria ilikuwa eneo la kihistoria katika Asia ya Kati. Kitovu chake kilikuwa mji wa Balkh katika kaskazini ya Afghanistan ya leo. Inaaminiwa ya kwamba dini ya Uzoroasta ilianzishwa hapa. Koreshi Mkuu alivamia Baktria manmo 538 KK na kuifanya jim ...

                                               

Mlangobahari wa Denmark

Mlangobahari wa Denmark ni sehemu ya Bahari Atlantiki inayotenganisha Greenland upande wa kaskazini na Iceland upande wa kusini. Kisiwa cha Jan Mayen cha Norwei kiko upande wa mashariki wa mlangobahari huo. Mlangobahari wa Denmark unaunganisha Ba ...

                                               

Rasi ya Labrador

Labrador ni rasi kubwa katika mashariki ya Kanada yenye eneo la kilomita za mraba 1.400.000. Inazungukwa na maji kwa panda tatu: upande wa kaskazini iko mlangobahari wa Hudson upande wa mashariki iko Bahari ya Labrador; kwenye kusini mashariki ku ...

                                               

Annaba

Annaba ni mji katika Algeria kwenye mwambao wa Mediteranea wenye wakazi 385.000. Kuna chuo kikuu chenye wanafunzi 40.000.

                                               

Souk Ahras

Souk Ahras ni mji wa Algeria ya kaskazini-mashariki karibu na mpaka wa Tunisia. Idadi ya wakazi ni takriban 150.000. Jina la mji ni mmchanganyiko wa Kiarabu na Kiberberi likimaanisha "soko la simba". Mji unajulikana kwa jina la kihistoria Thagast ...

                                               

Abovyan

Abovyan ni jiji lililopo nchini Armenia kwenye mkoa wa Kotayk. Upo km 10 kutoka upande kaskazini-mashariki mwa Yerevan. Mnamo mwaka wa 2008, jiji limekadiriwa kuwa na idadi ya wakazi takriban 36.705, kutoka chini 59.000 kwenye sensa ya 1989 na 44 ...

                                               

Agarak, Meghri

Agarak Kiarmenia: Ագարակ ni jiji lililoanzishwa mnamo mwaka wa 1949, kwenye mkoa wa Syunik huko nchini Armenia. Upo kwenye ukingo mto Araks katika mpaka wa nchi ya Iran, km 9 kutoka mjini kusini-magharibi mwa mji wa Meghri.