ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 21
                                               

Nevertheless (bendi)

Nevertheless, mara nyingi hufupishwa kuwa NTL, ni bendi la Kikristo linaloimba nyimbo za mtindo wa pop linalotoka eneo la Chattanooga, Tennessee. Wimbo wao "Live Kama Were Alive" ulifika nafasi ya tano kwenye chati ya nyimbo za Kikristo ya R& ...

                                               

Oliver NGoma

Oliver NGoma alikuwa mpiga gitaa na mwimbaji wa muziki wa Afro-zouk na reggae kutoka nchini Gabon. Alipewa jina la utani la "Noli," alizaliwa mjini Mayumba huko mjini kusini-mwagharibi mwa nchi ya Gabon mnamo mwaka wa 1959. Alifahamika sana kwa k ...

                                               

Ol Dirty Bastard

Russell Tyrone Jones alikuwa rapa na mtayarishaji, ambaye alikwenda kwa jina la kisanii la Ol Dirty Bastard. Huyu alikuwa mmoja kati ya walioanzisha kundi zima la hip hop la Wu-Tang Clan. Ol Dirty Bastard ameleta mambo ya ajabu na upimbi kwenye k ...

                                               

Remmy Ongala

Remmy Ongala alikuwa mwanamuziki nchini Tanzania mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Alizaliwa na jina la kiraia la Ramadhani Mtoro Ongala katika jimbo la Kivu la Kongo ya Kibelgiji. Remmy alifahamika sana kwa uwezo wake wa kutungia ...

                                               

Orchestra Mambo Bado

Orchestra Mambo Bado ilikuwa bendi ya muziki wa dansi kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Bendi ilianzishwa na mnamo 1982/83 ikiwa chini ya Tchimanga Kalala Assossa, kwa bahati mbaya, bendi haikudumu sana ikafa.

                                               

Outkast

Outkast au OutKast ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini East Point, Georgia nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na watu wawili, ambao ni "André 3000" Benjamin na Antwan "Big Boi" Patton. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1 ...

                                               

Paramore

Paramore ilianzishwa huko Franklin, Tennessee mwaka wa 2004, na Hayley Williams sambamba na Josh Farro, Jeremy Davis" na "Zac Farro. Kabla ya kuanzishwa kwa Paramore, wanabendi wengine hawakupendelea Williams awe mwimbaji, lakini kwasababu waliku ...

                                               

Violeta Parra

Violeta Parra del Carmen Sandoval alikuwa mwanamke mashuhuri na maarufu wa Chile.Alikuwa msanii wa hadithi na wa vitu vya kuonwa. Yeye ndiye aliyeweka msingi wa "New Song," La Nueva Cancion chilena, mtindo mpya na bora wa kuimba hadithi za Kichil ...

                                               

Patrick Balisidya

Patrick Pama Balisidya alizaliwa Mvumi Dodoma tarehe 18 Aprili 1946. Kabila lake alikuwa Mgogo, kabila ambalo lina wanamuziki wengi maarufu kutokana na muziki kuwa sehemu muhimu ya maisha ya kabila hilo. Mama yake alikuwa anapiga kinanda kanisani ...

                                               

Pete Rock & CL Smooth

Pete Rock & CL Smooth lilikuwa kundi la muziki wa hip hop lenye athira kubwa ya East Coast hip hop. Kundi linaunganishwa na watu wawili, ambaye ni Pete Rock na CL Smooth.

                                               

Édith Piaf

Edith Piaf alikuwa mwimbaji nchini Ufaransa aliyependwa sana na wananchi. Jina lake la kuzaliwa ni Edith Giovanna Gassion lakini alichukua jina la kisanii "Piaf". Wazazi walikuwa wahamiaji kutoka Italia, bibi yake upande wa mama alikuwa berberi k ...

                                               

Run-D.M.C.

Run-D.M.C. ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini New York City nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na wasanii kama vile Joseph "DJ Run" Simmons, Darryl "D.M.C." McDaniels, and Jason "Jam-Master Jay" Mizell. Kundi kuingiza R ...

                                               

Sade

Helen Folasade Adu ni mwanamuziki kutoka nchi ya Nigeria. Anajulikana zaidi kwa jina la Sade. Sade ambaye amewahi kupata Tuzo ya Grammy hasa ni mwimbaji na mtunzi.

                                               

Salum Abdallah Yazidu

Salum Abdallah Yazidu alikuwa mwanamuziki wa muziki wa dansi kutoka Morogoro, Tanzania. Salum Abdallah Yazidu ndiye mwanzilishi wa Cuban Marimba Band mnamo 1948 ikiwa na jina la Kihispania maarufu kama La Paloma.

                                               

Shane & Shane

Shane & Shane ni bendi la muziki ya Kikristo yenye makao yao Texas,Marekani linajulikana sana kwa nyimbo zao za sifa na za kuabudu. Bendi hili lina Shane Barnardmwimbaji, mchezaji gitaa, Shane Everett mwimbaji, Todd Cromwell mchezaji gitaa ya bas ...

                                               

Spice Girls

Spice Girls ni kundi maarufu la muziki wa pop kutoka nchini Uingereza. Kundi lilianzishwa mnamo mwaka wa 1994. Moja kati ya vibao vyao vikali ni pamoja na "Wannabe", "Spice Up Your Life" na "Stop". Kundi zima linaundwa na mwanachama kama: Victori ...

                                               

Tenth Avenue North

Tenth Avenue North ni bendi la Marekani linaloimba nyimbo za Kikristo za kisasa. Bendi hili hutoka eneo la West Palm Beach, Florida. Bendi hili hushirikisha Mike Donehey, Jeff Owen, Jack Jamison na Scott Sanders. Albamu yao ya kwanza, Over and Un ...

                                               

Terror Squad

Kwa matumizi mengine ya Terror Squad, angalia Terror Squad Terror Squad ni kundi la muziki wa hip hop na pia studio kutoka mjini Bronx, New York, ambalo lilianzishwa mnamo mwaka 1998 kwa kupitia kibao kimoja mashuhuri kinachotoka katika albamu ya ...

                                               

The Jackson 5

The Jackson 5 lilikuwa kundi la muziki wa roki la nchini Marekani lililoundwa na wanamuziki watano; mmojawapo ni Michael Jackson. Nyimbo zilizoimbwa na kundi hili ni kama "The Love You Save", "I Will Be There", "Mamas Pearl" na "Never Can Say Goo ...

                                               

The Velvet Underground

The Velvet Underground lilikuwa kundi la muziki wa rock lililoanzisha huko mjini New York City, Marekani. Kwanza lilifanyakazi kuanzia 1964 hadi 1973, wanachama wake maarufu katika bendi hii ni pamoja na Lou Reed na John Cale, ambao wote wawili w ...

                                               

33Miles

33Miles ni bendi ya nyimbo za kisasa za Kikristo ambao una mvuto kutoka nyimbo za nchi hasa kutoka sehemu za Franklin, Tennessee. Walianza kucheza muziki yao huko Nashville wakiwa na mkataba na INO Records,studio ambayo ilitoa albamu ya kwanza ya ...

                                               

TryBishop

Maslahi ya TryBishop katika muziki alianza wakati alikuwa na umri wa miaka 6. Maslahi yake katika muziki iliendelea kukua zaidi ya miaka kama alivyozalisha muziki wake na alifanya kazi na wasanii wengi maarufu wa hip-hop na R&B karibu na U.S. ...

                                               

Urafiki Jazz Band

Urafiki Jazz Band ilikuwa bendi ya muziki wa dansi kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Bendi hiyo ilianzishwa mwaka 1970 ikiwa inamilikiwa na kiwanda cha nguo cha Urafiki kilichokuwa Ubungo.

                                               

Washirika Tanzania Stars

Bendi ya Washirika Tanzania Stars ilianzishwa rasmi Agosti 1989 ikiwa inarithi jina la bendi ya Tanzania Stars ambayo ilikuwa chini ya Vyama vya Msingi vya Ushirika ikiwa inafanya maonyesho yake kwenye Hoteli ya Maggot pale Mtaa wa Samora jijini ...

                                               

Papa Wemba

Papa Wemba, jina la kuzaliwa Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba Lubefu, Mkoa wa Sankuru, DR Congo, 1949 - Abidjan, Ivory Coast, 24 Aprili 2016) alikuwa mwanamuziki wa lese rumba kutoka Kongo, mmoja wa wanamuziki maarufu kutoka Afrika, na maarufu ...

                                               

Western Jazz Band

Mzee Iddi Nhende ndiye aliyepata wazo la kuanzisha bendi maarufu ya Western Jazz. Iddi Nhende alianza muziki akiwa bado mdogo katika bendi ya shule alipokuwa Primary huko Nzega, mwaka 1944 alijiunga na Tabora Boys Secondary na hapa akajiunga na B ...

                                               

Westlife

Westlife ni kundi la muziki la nchini Ireland, lililoundwa tarehe 3 Machi 1998.Asili ya kundi hili linajumuisha wanamuziki kama vile Nicky Byrne, Kian Egan, Mark Feehily, Shane Filan na Brian McFadden ambaye ameacha kuimba katika mwaka 2004. Kwa ...

                                               

Westside Connection

Westside Connection ni kundi la muziki wa rap na hip hop kutoka mjini Los Angeles, California, Marekani. Kundi linaongozwa na msanii Ice Cube, WC na Mack 10. Kundi lilitoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la Bow Down, na kuweza kushika ...

                                               

Don Williams

Don Williams alikuwa mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za Country. Alikulia Portland Texas, na kufuzu mwaka wa 1958 katika shule ya upili ya Gregory-Portland. Baada ya miaka saba pamoja na kundi la Pozo-Seco Singers, alianza kiumba pekee yake mwaka wa ...

                                               

Wire

Document and Eyewitness live, Juni 1981 Coatings Oktoba 1997 The Third Day Feb 2000 Play Pop Machi 1986 WIRE: The Scottish Play: 2004 Machi 2005 Its All In The Brochure Mei 2000 1985-1990 The A List Mei 1993 And Here It Is.Again. 1984 Double Peel ...

                                               

Women Jazz Band

Women Jazz Band ilikuwa bendi ya muziki wa dansi kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Bendi ilianzishwa na mnamo 1965 ikiwa na wanawake tupu, lakini baadaye ilileta wanaume kwenye upande wa kupiga vyombo.

                                               

Wu-Tang Clan

Wu-Tang Clan ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini New York City nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na wasanii kama vile RZA, GZA, Method Man, Raekwon, Ghostface Killah, Inspectah Deck, U-God, Masta Killa, na hayati Ol Dir ...

                                               

Maher Zain

Maher Zain ni mwimbaji wa Kiislamu-R&B kutoka nchini Uswidi/. Pia ni mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki vilevile. Asili yake ni Lebanoni. Alitoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la Thank You Allah, albamu iliyotamba kimataif ...

                                               

Brother Zeno

Zeno Andrew Lucas alikuwa mwanamuziki wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Brother Zeno, vilevile alikuwa mchambuzi wa muziki wa charanga. Zeno huhesabiwa kuwa miongoni mwa waanzilishi wa bendi ya Dar es Salaam Jazz Band B maana zilikuwa na ...

                                               

Kratom

Kratom ni mti wa kijani wa kitropiki katika familia ya kahawa wenye asili ya kusini mashariki mwa Asia. Mti huu unapatikana kwa wingi nchi za Thailand, Indonesia, Malaysia, Myanmar, na Papua New Guinea ambako umetumika kama dawa ya asili tangu ka ...

                                               

Kungumanga

Kungumanga ni mbegu ya miti ya aina mkungumanga. Asili ya miti hiyo iko kwenye visiwa vya Indonesia lakini leo ipo pia katika sehemu nyingine za tropiki pamoja na Afrika. Mti huzaa matunda yenye urefu wa sentimita 8-10 na kipenyo cha sentimita 4- ...

                                               

Madawa ya kulevya katika Mombasa

Utumiaji wa madawa ya kulevya umekuwa mojawapo kati ya masuala makubwa nchini Kenya, hasa Mombasa ambayo ni sehemu iliyoathirika zaidi ya nchi. Wakazi wengi hasa wanaume wameathiriwa na suala hili. La kuhatarisha sana ni kuwa wengi wanaotumia mad ...

                                               

Mbangi

Cannabis ruderalis Mbangi-wanja: hutumika kwa kuchavusha. Cannabis sativa Mbangi-katani: hutoa nyuzinyuzi hasa. Cannabis indica Mbangi-dawa: hutoa bangi.

                                               

Msalvia (mmea)

Msalvia ni mmea ambao utumizi wa majani yake kwa njia ya kutafuna, kuvuta kama sigara au kupika kama chai unasababisha namna ya ulevi. Majani ya mmea huu yana vidonge aina ya opioindi zinazosababisha ukumbusho-wazimu. Kwa vile mmea huu haujifanyi ...

                                               

Dodoma Christian Medical Centre

Kituo cha Matibabu cha Kikristo cha Dodoma kimehudumia maelfu ya wagonjwa kupitia kliniki zake za meno na matibabu, vituo vilivyosimamiwa, na mipango ya afya ya jamii. Kituo cha matibabu kinajumuisha vituo na huduma zifuatazo za huduma ya afya: K ...

                                               

Hospitali ya Huruma

Hospitali ya Huruma ni mojawapo kati ya hospitali tatu zinazomilikiwa na Jimbo Katoliki la Moshi na ni hospitali inayohudumia Wilaya ya Rombo. Ilianza kama hospitali ya Kanisa mnamo mwaka 1968. Iko katika kijiji cha Ibukoni wilaya ya Rombo, Mkoa ...

                                               

Hospitali ya Mawenzi

Hospitali ya Mawenzi ni hospitali ya wilaya mjini Moshi, katika mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Ilianzishwa mwaka 1920 kama zahanati ya kijeshi. Mnamo mwaka 1956 zahanati ya Mawenzi ilipandishwa hadhi yake na kuwa hospitali. Miaka ya 1970 hospital ...

                                               

Leishmaniasis

Leishmaniasis ni ugonjwa ambao unasababishwa na kidusia cha Protozoa katika jenasi Leishmania na unasambazwa na spishi fulani za usubi kwa kuuma. Ugonjwa huu unaweza kuugulia kwa namna tatu: kwa ngozi, kwa ngozi na membreni ute na kwa viungo vya ...

                                               

Sepsisi

Sepsisi ni inflamesheni ya mwili mzima inayosababishwa na maambukizi. Ishara na dalili zinazotokea mara nyingi zinajumuisha homa, kuongezeka kwa mdundo wa moyo, kuongezeka kwa kasi ya kupumua, na kuchanganyikiwa. Kunaweza pia kuwa na dalili zinaz ...

                                               

Strongiloidiasisi

Strongiloidiasisi ni ugonjwa wa binadamu unaosababishwa na minyoo ya nematodi aina Strongyloides stercoralis. Minyoo hao wanaweza kuingia ndani ya mwili wa mtu na kuzaa ndani ya utumbo. Lava zake huzunguka kati ya utumbo na mapafu na kuathiri afy ...

                                               

Ugonjwa wa kuhara

Ugonjwa wa kuhara ni maradhi yanayotokana na machafuko ya ini na hasa matumbo ambayo inasababisha kuhara ambapo kuna kamasi na / au damu katika kinyesi. Bila kutibiwa ugonjwa huu unaweza kusababisha kifo.

                                               

Ugonjwa wa malale

Ugonjwa wa malale ni maradhi yanayosababishwa na vidusia vinavyoambukiza binadamu na mamalia wengine. Vidusia hivi ni wana wa jenasi Trypanosoma kwa Kilatini. Spishi inayoambukiza binadamu ni Trypanosoma brucei ambaye ana nsususpishi mbili: T. b. ...

                                               

Kupooza kwa ubongo

Kupooza kwa ubongo ki kikundi cha kudumu mwenendo wa ugonjwa inayotokea mapema katika maisha ya utotoni. Dalili na ishara zinatofautiana kwa watu. Kwa kawaida matatizo hujumuisha: uratibu duni, misuli ngumu, misuli dhaifu, tatizo la kumeza au kuz ...

                                               

Nematodi

Nematodi au minyoo-kuru ni faila ya minyoo ambayo ni kati ya faila zenye spishi nyingi katika himaya ya wanyama. Kutofautisha na kuainisha nematodi ni kazi ngumu. Hadi sasa spishi 80.000 zimeelezwa kitaalamu. Kuna makadirio ya kwamba idadi ya spi ...

                                               

Ateri

Ateri ni mshipa wa damu unaopeleka damu nje ya moyo wa binadamu na wanyama kadhaa. Hivyo ateri ni sehemu ya mfumo wa mzunguko wa damu. Mshipa huu hubeba damu yenye oksijeni kutoka kwenye moyo kwenda sehemu zote za mwili. Mwili unatumia oksijeni k ...