ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 20
                                               

Yosefu Maria Díaz Sanjurjo

Yosefu Maria Díaz Sanjurjo, O.P. alikuwa askofu mmisionari kutoka Hispania. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-L ...

                                               

Yosefu Nghi Kim

Yosefu Nghi Kim alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tof ...

                                               

Yosefu Pham Thong Ta

Yosefu Pham Thong Ta ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, ...

                                               

Yosefu Thi Dang Le

Yosefu Thi Dang Le ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Pa ...

                                               

Yosefu Tuan

Yosefu Tuan ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius ...

                                               

Yosefu Tuan Van Tran

Yosefu Tuan Van Tran, O.P. alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa ...

                                               

Yosefu Tuc

Yosefu Tuc ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius ...

                                               

Yosefu Uyen Dinh Nguyen

Yosefu Uyen Dinh Nguyen alikuwa katekista wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa ...

                                               

Yosefu Vien Dinh Dang

Yosefu Vien Dinh Dang alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyaka ...

                                               

Yosefu wa Kopertino

Yosefu wa Kopertino alikuwa padri wa utawa wa Ndugu Wadogo Wakonventuali. Mtu wa sala hasa, alijaliwa karama za pekee, hasa ile ya kuelea hewani kwa muda mrefu wakati wa kutoka nje ya nafsi. Alitangazwa na Papa Benedikto XIV kuwa mwenye heri tare ...

                                               

Yoshua

Yoshua alikuwa kiongozi wa taifa la Israeli baada ya Musa. Anajulikana hasa kupitia kitabu cha sita kati ya vitabu vya Tanakh na vya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Kitabu hicho chenye sura 24 kinatupasha habari za uvamizi wa nchi takati ...

                                               

Yosia

Yosia alikuwa mfalme wa Yuda aliyejitahidi kufanya urekebisho upande wa dini ya Israeli ili kufuata zaidi Torati iliyoelekea kukamilika wakati huo. Hasa alitumia nguvu zake zote kutekeleza agizo la gombo lililopatikana mwaka 622 KK likidai sadaka ...

                                               

You Are Not Alone

You Are Not Alone ni single ya pili ya msanii Michael Jackson kutoka katika albamu yake ya HIStory. Ilitolewa mnamo mwezi wa Agosti 1995. Wimbo umetungwa na R. Kelly kwa kufuatia hali ngumu yake ya kimaisha kwa kipindi hicho. Baada ya kutungua, b ...

                                               

YouTube

YouTube ni tovuti ya kushirikisha video ambazo watumiaji wanaweza kuzinakili na kuzigawa kwa wengine. Wafanyakazi watatu wa zamani wa PayPal waliunda YouTube mnamo Februari 2005. Mnamo Novemba 2006, YouTube, LLC ilununuliwa na Google Inc kwa Dola ...

                                               

Yterbi

Yterbi Ytterbium ni elementi ya kimetali yenye alama Yb na namba atomia 70, maana yake kiini cha Yterbi kina protoni 70 ndani yake. Uzani atomia ni 173.045. Katika jedwali la elementi inahesabiwa kati ya lanthanidi na metali za ardhi adimu. Kiasi ...

                                               

Ytterby

Ytterby ni kijiji kwenye kisiwa cha Resarö, katika Manispaa ya Vaxholm kwenye funguvisiwa la Stockholm nchini Uswidi. Jina la kijiji linamaanisha "kijiji cha nje". Ytterby ni maarufu kwa sababu katika migodi yake elementi nane zilitambuliwa mara ...

                                               

Yuda (ufalme)

Ufalme wa Yuda ulikuwa nchi ya Mashariki ya Kati katika karne ya 10 KK hadi karne ya 6 KK.Mara nyingi unaitwa ufalme wa Kusini kwa sababu ulitokana na mgawanyiko wa Ufalme wa Israeli ulioendelea upande wa kaskazini. Ufalme huo uliongozwa daima na ...

                                               

Yuda Tadei

Yuda Tadei ni jina la mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu, ambalo Injili zinajitahidi kumtofautisha na Yuda Iskarioti, msaliti wa Yesu. Habari zake za hakika zinategemea Agano Jipya ambamo anatajwa katika orodha ya Thenashara ambao waliteuliwa na Ye ...

                                               

Yustini wa Trier

Yustini wa Trier ni mmojawapo katika kundi la Wakristo 12 ambao mwaka 287, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kufa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika mji wa Trier. Tangu kale wafiadini hao wote wanaheshimiwa kama watakatifu ...

                                               

Zamadamu

Zamadamu walikuwa wanyama wenye umbile lililokaribiana na mwili wa binadamu kuliko hata sokwe. Binadamu wanadhaniwa kuwa walitokana na hao wa kwanza miaka laki kadhaa iliyopita, labda kwa kupitia spishi nyingine za jenasi "homo". Kwa sasa hakuna ...

                                               

Kizanaki

Kizanaki ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wazanaki. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kizanaki imehesabiwa kuwa watu 100.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kizanaki iko katika kundi la E40.

                                               

Kizaramo

Kizaramo ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wazaramo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kizaramo imehesabiwa kuwa watu 657.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kizaramo iko katika kundi la G30.

                                               

Zarina Bhimji

Zarina Bhimji ni mpigapicha wa Uganda mwenye asili ya bara Asia, kazi zake anazifanyia jijini London. Mwaka 2007, aliteuliwa kushiriki katika tuzo za Turner Prize, zilifanyika huko Documenta 11 mnamo 2002, na kuwakilishwa katika makusanyo kwa aji ...

                                               

Zaynab Himid Mohammed

Zaynab Himid Mohammed ni miongoni wa wasichana wachache waliobahatika kupata elimu katika kipindi hicho huku msukumo mkubwa wa kusoma ukiwa umetoka kwa baba yake ambaye alikuwa amesafiri sehemu nyingi na kujua umuhimu wa elimu. Katika zama za Zay ...

                                               

Kitabu cha Zekaria

Kitabu cha Zekaria ni kimojawapo kati ya vitabu 12 vya Manabii wadogo ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda Tanakh, yaani Biblia ya Kiebrania. Hivyo ni pia sehemu ya Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Bibl ...

                                               

Nabii Zekaria

Zekaria alikuwa kuhani wa Israeli, pia nabii wa Mungu mjini Yerusalemu kati ya mwaka 520 KK na 518 KK. Habari zake zinapatikana hasa katika kitabu chake, cha 11 kati ya vile 12 vya Manabii Wadogo katika Tanakh yaani Biblia ya Kiebrania na kwa hiy ...

                                               

Zheng He

Zheng He alikuwa baharia, kiongozi wa kijeshi na mpelelezi kutoka China wakati wa nasaba ya Ming. Akiwa mkuu wa jeshi la maji la China aliongoza misafara ya majahazi yake hadi pwani za Afrika hadi Msumbiji akapeleleza Bahari Hindi na visiwa vya A ...

                                               

Kizigula

Kizigula ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wazigula. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kizigula imehesabiwa kuwa watu 355.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kizigula iko katika kundi la G30.

                                               

Zimbabwe African National Liberation Army

Zimbabwe African National Liberation Army ilikuwa mkono wa kijeshi wa chama cha Zimbabwe African National Union katika vita ya msituni ya Rhodesia iliyoleta uhuru wa Zimbabwe. Ilipigana na jeshi la Rhodesia Kusini pamoja na jeshi la ZIPRA ingawa ...

                                               

Kizinza

Kizinza ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wazinza. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kizinza imehesabiwa kuwa watu 138.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kizinza iko katika kundi la E20.

                                               

Zipora

Zipora anatajwa katika kitabu cha Kutoka kama mke wa Mose, na binti Yetro, kuhani wa Midiani. Alimzalia Mose watoto wawili wa kiume: Gershom na Eliezer. Kitabu cha kwanza cha Mambo ya Nyakati kinataja wajukuu wake wawili: Shebueli, mwana wa Gersh ...

                                               

Ziwa Amaramba

Ziwa Amaramba ni ziwa lenye kina kifupi nchini Msumbiji, karibu na mpaka na Malawi. Liko kwenye uwanda wa juu wa Nyasa, upande wa kaskazini wa Ziwa Chiuta. Maziwa hayo mawili yako karibu na kwenye majira ya ukame kuna mfereji unaoyaunganisha, lak ...

                                               

Ziwa Balkhash

Ziwa Balkhash ni moja ya maziwa makubwa zaidi barani Asia na ziwa kubwa la tano duniani. Liko katika Asia ya Kati, mashariki mwa Kazakhstan ndani ya beseni linaloshirikiwa na Kazakhstan na China, pamoja na sehemu ndogo ya Kirgizia. Beseni halina ...

                                               

Ziwa Bogoria

Ziwa Bogoria ni ziwa alkali la chumvi, lililoko katika kanda la volkeno katika bonde la kusini la Ziwa Baringo, Kenya, kaskazini kidogo kwa ikweta. Ziwa Bogoria, kama vile Ziwa Nakuru, Ziwa Elmenteita, na Ziwa Magadi kusini zaidi katika Bonde la ...

                                               

Ziwa Edward

Ziwa Edward ndilo ziwa dogo zaidi kati ya Maziwa Makuu ya Afrika. Liko magharibi mwa Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, katika mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda, na kaskazini mwa pwani yake iko kilometa chache kusini mwa Ikweta. ...

                                               

Ziwa Eyre

Ziwa Eyre ndilo eneo ambalo liko chini zaidi katika Australia, takribam 15 m chini ya usawa wa bahari, na, wakati wa nadra linapojaa, ndilo ziwa kubwa zaidi katika Australia. Ndiyo kituo cha Bonde la Ziwa Eyre na hupatikana katika 700 km kaskazin ...

                                               

Ziwa Maracaibo

Ziwa Maracaibo ni eneo kubwa la maji nchini Venezuela karibu na Bahari ya Atlantiki. Limeunganishwa na Bahari Karibi kwa njia ya mfereji wenye upana wa km 5.5. Kupitia mfereji huo maji ya chumvi hungia ndani yake. Kwa upande mwingine ziwa linalis ...

                                               

Ziwa Timsah

Ziwa Timsah ni ziwa lililopo nchini Misri katika Delta la Mto Nile. Linapatikana katika eneo la kuanzia Bahari ya Mediteranea hadi katika Ghuba ya Suez, kupitia katika kanda ya Maziwa ya Bitter. Mwaka wa 1800, mafuriko yalijaza eneo la Wadi Tumil ...

                                               

Mark Zuckerberg

Mark Elliot Zuckerberg ni mjasiriamali Mmarekani anayejulikana kama mwanzilishi mwenza wa tovuti maarufu ya urafiki mtandao ya Facebook. Zuckerberg alianzilisha Facebook pamoja na wanafunzi wenzake Dustin Moskovitz, Eduardo Saverin, na Chris Hugh ...

                                               

Ghilad Zuckermann

Ghilad Zuckermann ni mtaalamu wa isimu mwenye asili ya Kiyahudi kutoka nchi ya Israel, Italia, Uingereza na Australia. Tangu 2011 amekuwa profesa kwenye chuo cha Chuo Kikuu cha Adelaide, Australia Kusini, Australia.

                                               

Łomża

Łomża ni mji uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Poland, takriban maili 90 kutoka mjini Warsaw na maili 50 kutoka Białystok. Upo ngambo ya mto Narew ulikuwa katika Podlaskie Voivodeship tangu 1999; awali, ulikuwa mji mkuu wa Lomza Voivod ...

                                               

FIFA kombe la shirikisho la Mabara 2009

FIFA kombe la shirikisho la Mabara 2009 lilikuwa kombe ka shirikisho, la mara ya nane na lilifanyika Afrika ya Kusini kuanzia 14 Juni - 28 Juni 2009 likifatia Kombe la Dunia la FIFA 2010. Droo ilifanyika tarehe 22 Novemba 2008 kwenye ukumbi wa Sa ...

                                               

Mankato Free Press

Mnamo 4 Aprili 1887, Mhariri L.P. Hunt alichapisha toleo la kwanza la Mankato Daily Press na akagundua halikuwa kazi rahisi. Katika kuomba msamaha kutoka kwa wasomaji wake, Hunt aliandika, "Kazi ya kuchapisha idadi ya hapo awali ya nakala za gaze ...

                                               

Ziwa Dunstan

Ziwa Dunstan ni ziwa lililoundwa na binadamu na eneo la kuhifadhia maji Kisiwa Kusini mwa New Zealand. Ziwa hili liliundwa katika Mto Clutha kama matokeo ya ujenzi wa Bwawa Clyde, na kujaza katika hatua nne za kudhibitiwa kwanzia mwezi wa Aprili ...

                                               

Ziwa Galilaya

Ziwa Galilaya, pia Kinneret, Ziwa la Genesareti, au Ziwa la Tiberia ni ziwa lenye umbo la yai kaskazini mwa Israeli. Ni kama kilomita 53 kwa 21 kwa 13. Eneo linafikia pengine kilomita mraba 166.7 na kina chake mita 43. La pekee ni kwamba liko chi ...

                                               

Ziwa Magadi (Kenya)

Ziwa Magadi lipo kusini mwa Kenya katika eneo la Bonde la Ufa, kaskazini mashariki kwa Ziwa Eyasi. Ni ziwa la chumvi na kiwango chake cha uchumvi kinazidi asilimia 30. Limepokea jina lake kutokana kiasi kikubwa cha magadi kabonati ya sodiamu ndan ...

                                               

Ziwa Maggiore

Ziwa Maggiore liko magharibi zaidi ya maziwa makubwa ya prealpine katika Italia na la pili kubwa baada ya Ziwa la Garda. Liko katika 45°57′N 8°38′E Lina eneo la km² 213 upeo urefu wa km 54 na upana wake, ni km 12. Bonde la ziwa hili huwa na asili ...

                                               

Ziwa Mälaren

Ziwa Mälaren? ni ziwa la tatu kwa ukubwa katika Uswidi, baada ya Maziwa Vänern na Vättern. Eneo lake ni km² 1.140 na kina chake kikuu ni m 64. Ziwa hili linatoka kutoka kusini hadi kaskazini, katika Bahari ya Baltiki kupitia Södertälje kanal, Ham ...

                                               

Mweru (ziwa)

Ziwa Mweru ni ziwa kubwa mpakani mwa Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ni sehemu ya mfumo wa mto Kongo kati ya mto Luapula na mto Luvua. Jina Mweru lamaanisha ziwa kwa lugha mbalimbali za Kibantu.

                                               

Ziwa Urmia

Ziwa Urmia ni ziwa la chumvi kwenye kaskazini-magharibi ya Iran. Iko ndani ya majimbo ya Azarbaijan Mashariki na Azarbaijan Magharibi. Ni ziwa kubwa katika nchi za Mashariki ya Kati, lakini ziwa hilo limepungua mno baada ya mwaka 2000 kutokana na ...