ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 2
                                               

Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar

Kanisa Katoliki la Kisiria la Malabar ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote. Linafuata mapokeo ya Mesopotamia na kutumia liturujia ya Mesopotamia, lakini linapatikana hasa Indi ...

                                               

Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi

Kanisa la Kiorthodoksi la Urusi ndilo madhehebu kubwa zaidi ya Ukristo wa Mashariki, likiwa na waumini milioni 112, karibu nusu ya idadi ya Waorthodoksi wote duniani. Pia ndilo Kanisa lililopatwa na dhuluma ya serikali iliyoua Wakristo wengi zaid ...

                                               

Kanisa la Wamaroni

Kanisa la Wamaroni ni moja ya Makanisa Katoliki ya Mashariki, yaani ni Kanisa linalojitegemea kisheria ndani ya umoja wa Kanisa Katoliki.

                                               

Kapadokia

Kapadokia ilikuwa eneo la katikati ya rasi ya Anatolia. Hadi mwaka 17 BK ilikuwa huru, mji mkuu ukiwa Kaisarea ya Kapadokia. Baadaye ilitekwa na Dola la Roma hadi Waturuki walipoiteka moja kwa moja kuanzia mwaka 1071.

                                               

Kapernaumu

Kapernaumu ilikuwa kijiji cha uvuvi upande wa kaskazini wa Ziwa Galilaya kilichoanzishwa wakati wa ufalme wa ukoo wa Wahasmonei. Kilikuwa na wakazi 1.500 hivi na masinagogi mawili. Nyumba iliyogeuzwa kuwa kanisa inasemekana ilikuwa ya Mtume Petro ...

                                               

Kikara (Tanzania)

Kikara ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakara, wakazi wa kisiwa kimojawapo cha Ziwa Viktoria. Mwaka 1987 idadi ya wasemaji wa Kikara ilihesabiwa kuwa watu 86.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthri ...

                                               

Karafuu

Karafuu ni matumba makavu ya mikarafuu ambayo ni miti ya familia ya Myrtaceae. Karafuu hutumiwa kama kiungo cha chakula na chanzo cha mafuta yenye harufu inayopendwa na watu wengi. Asili ya mti na pia matumizi ya matumba ni visiwa vya Indonesia. ...

                                               

Karamu ya mwisho

Karamu ya mwisho inamaanisha mlo wa mwisho wa Yesu Kristo hapa duniani, ambao aliula pamoja na mitume wake kabla hajakamatwa na hatimaye kusulubiwa. Katika Injili, hasa ile ya Luka, Yesu alishiriki mara nyingi karamu alizoandaliwa au alipoalikwa, ...

                                               

Karen Blixen

Karen Christence Blixen-Finecke alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Denmark. Alitumia pia majina ya Tania Blixen, kwenye nchi zinazozungumza Kijerumani, Osceola na Pierre Andrézel. Aliishi Kenya -wakati ule: Afrika ya Mashariki ya Kiingereza- kati y ...

                                               

Karitoni wa Souka

Karitoni wa Souka alikuwa Mkristo ambaye, baada ya kuteswa ujanani kwa imani yake, akawa mmonaki ambaye alianzisha monasteri kadhaa jangwani. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yao ni tarehe 28 Septemba.

                                               

Karolo Nyundo

Karolo Nyundo alikuwa waziri mkuu na jemadari wa ufalme wa Wafaranki na alitawala tangu mwaka 718 hadi kifo chake. Mtoto wa Pepin wa Herstal na Alpaida, akawa baba wa Pepin Mfupi na babu wa Karolo Mkuu walioendeleza juhudi zake hadi kuunda upya D ...

                                               

Karolo wa Sezze

Karolo wa Sezze, alikuwa bradha wa shirika la Ndugu Wadogo Wareformati aliyeandika vizuri sana kuhusu maisha ya kiroho. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu. Alitangazwa kwanza mwenye heri na Papa Leo XIII mwaka 1882, halafu mtakatifu n ...

                                               

Karpati

Karpati au Milima ya Karpati ni safu ya milima yenye urefu wa km 1.000 katika Ulaya ya Kati na ya Mashariki, ya pili barani baada ya Milima ya Skandinavia. Safu hiyo ina umbo la upinde unaoanzia Ucheki 3% kupita Slovakia 17%, Poland 10%, Hungaria ...

                                               

Kasi (nyota)

Nyota ya Kasi ilijulikana kwa mabaharia Waswahili tangu miaka mingi wakifuata njia yao baharini wakati wa usiku kwa msaada wa nyota. Walipokea jina hili kutoka kwa Waarabu wanaosema الكأس al-ka’s inayomaanisha "bilauri, glasi" kwa kurejea umbo la ...

                                               

Kastrisiani

Kastrisiani alikuwa askofu wa tatu wa Milano, Italia Kaskazini katikati ya karne ya 3. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Desemba.

                                               

Katerina wa Aleksandria

Katerina wa Aleksandria alikuwa bikira Mkristo wa Aleksandria, Misri ambaye aliuawa kwa amri ya kaisari Maxentius mwanzoni mwa karne ya 4. Kadiri ya mapokeo, alikuwa wa ukoo maarufu tena msomi. Kisha kuongokea Ukristo akiwa na umri wa miaka 14, a ...

                                               

Katerina wa Siena

Katerina Benincasa wa Siena alikuwa mwanamke mwenye vipaji na karama za pekee aliyemfuata tangu ujanani Yesu Kristo katika familia ya kiroho iliyoanzishwa na Dominiko Guzman. Ingawa hakusoma, alishika nafasi muhimu katika historia ya Kanisa, akis ...

                                               

Kaunti ya Mombasa

Kaunti ya Mombasa imeshika nafasi ya wilaya ya Mombasa baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010. Kaunti hii ni mojawapo ya kaunti mbili ambazo pia ni jiji na ndio kaunti ndogo kabisa kati ya kaunti zote. Makao makuu ya serik ...

                                               

Kazakhstan

Kazakhstan pia: Kazakistan ni nchi ambayo kwa kiasi kikubwa iko katika Asia ya Kati. Imepakana na Urusi, China, Kyrgyzstan, Uzbekistan na Turkmenistan. Mji mkuu ni Astana mwaka 2019 jina lake limekuwa Nursultan; Almaty ilishika nafasi hiyo hadi 1996.

                                               

Keep Their Heads Ringin

Keep Their Heads Ringin ni jina la kutaja single ya Dr. Dre iliyochukuliwa kutoka katika kibwagizo cha filamu ya Friday. Ijapokuwa albamu ilitolewa kupitia Priority Records, Death Row Records bado wanamiliki nakala kuu ya wimbo huu. Wimbo uliingi ...

                                               

Keladioni wa Aleksandria

Keladioni wa Aleksandria kuanzia mwaka 152 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 9 wa Aleksandria. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

                                               

Ken Walibora

Ken alizaliwa Baraki, Bungoma, Kenya mwaka wa 1965. Jina la mama yake lilikuwa Ruth Makali. Alihudhuria shule hizi: Chuo Kikuu cha Nairobi Ole Kajiado High School Teremi, Suremi secondary schools Ohio University Marekani Shule ya msingi ya St. Jo ...

                                               

Kenda

Kenda ni Kiswahili asilia kwa namba 9. Kwa kawaida inaandikwa 9 lakini IX kwa namba za Kiroma na ٩ kwa zile za Kiarabu. Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 3. Neno hili ni la asili ya Kibantu. Siku hizi neno "tisa" ambalo ni neno lenye asili ya K ...

                                               

Kenya

Jamhuri ya Kenya ni nchi iliyoko Afrika Mashariki katika ikweta, kando ya Bahari ya Hindi. Kenya imepakana na Ethiopia kaskazini, Somalia kaskazini mashariki, Tanzania kusini, Uganda na Ziwa Victoria magharibi, kisha Sudan Kusini kaskazini maghar ...

                                               

Kenya Peoples Union

Mnamo Machi 1966, mzozo ulitokea katika mkutano wa chama tawala KANU uliyofanya mlengo wa kushoto wa chama ukiacha chama hicho na kuanzisha KPU. KANU ilibadilisha sheria za uchaguzi kulazimisha wabunge waliyejiunga na KPU kutetea viti vyao katika ...

                                               

Kikerewe

Kikerewe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakerewe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikerewe imehesabiwa kuwa watu 100.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikerewe iko katika kundi la E20.

                                               

Kerubi

Kerubi ni kati ya viumbe visivyoonekana wanaotajwa na Biblia. Ndiyo sababu wakaja kujumlishwa kati ya malaika, ingawa Agano la Kale halisemi hivi wazi. Asili yake ni katika visasili vya historia ya awali, hasa vya Mesopotamia. Ingawa Amri kumi za ...

                                               

Ketusi (kundinyota)

Ketusi linaenea kwenye pande zote mbili za ikweta ya anga na iko pia karibu na mstari wa ekliptiki. Kundinyota jirani zake ni Samaki, zamani Hutu, lat. Pisces, Kondoo zamani Hamali, lat. Aries na Nahari Eridanus au mto wa angani.

                                               

Kevin Peter Hall

Kevin Peter Hall alikuwa mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Alifahamika sana kwa kucheza kwake katika filamu kama vile Misfits of Science, Prophecy, Without Warning, na Harry and the Hendersons. Alitambulika mno kwa kucheza uhusika wa fi ...

                                               

Khalid bin Barghash wa Zanzibar

Sayyid Khalid bin Barghash Al-Busaid alikuwa mtawala wa 6 wa Usultani wa Zanzibar. Alikuwa sultani kwa siku tatu pekee kuanzia tarehe 25 Agosti hadi 27 Agosti 1896 akaondolewa madarakani na Waingereza kwa nguvu ya jeshi. Khalid bin Bargash alikuw ...

                                               

Khanga

Khanga ni vazi au nguo nyepesi pia ndefu ya rangi ambayo hupendwa kuvaliwa na wanawake, hasa nchi za Afrika Mashariki na Afrika Magharibi. Kanga inafanana na kikoi ambacho kawaida huvaliwa na wanaume. Kwa kawaida kanga huwa na upana wa sentimita ...

                                               

Khoikhoi

Khoikhoi ni wakazi asili wa Kusini mwa Afrika pamoja na Wasan, ambao kwa jumla wanaitwa Khoisan. Tofauti kati yao ni hasa utamaduni, kwa maana Wasan wanaendelea kwa kiasi kikubwa kuishi kwa uwindaji, wakati Khoikhoi toka muda mrefu wanategemea uf ...

                                               

Kiboko (mnyama)

Kutoka Wikipedia, ensaiklopidia huru Kiboko Hippopotamus amphibius ni mamalia mkubwa wa familia ya Hippopotamidae. Nyumbani kwake ni bara la Afrika. Huishi kwenye maji ya mito na maziwa lakini ana uwezo wa kutembea kwenye nchi kavu mbali na maji. ...

                                               

Kichaa cha mbwa

Kichaa cha mbwa ni ugonjwa hatari unaoathiri ubongo na kwa kawaida unamwua aliyeambukizwa nao. Inatokana na ambukizo la virusi vinavyosababisha uvimbe wa ubongo encephalytis. Virusi hivi vinaweza kutokea kwa binadamu na wanyama wa aina za mamalia ...

                                               

Kidugala

Kidugala ni jina la kata ya Wilaya ya Wangingombe katika Mkoa wa Njombe, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4.838 walioishi humo. Msimbo wa posta ni 59312. Wakazi wa Kidugala ni Wabena.

                                               

Kiebrania

Lugha ya Kiebrania ni moja ya lugha za kisemiti na moja kati ya lugha mbili za kitaifa nchini Israel. Ni kati ya lugha za kale zaidi duniani. Kiebrania kwa kawaida huandikwa kwa herufi za Kiebrania. Mwandiko huu ni wa konsonanti hasa, kwa kuwa ma ...

                                               

Kifua kikuu

Kifua kikuu ni ugonjwa wa kuambukizwa ulio hatari. Ugonjwa huu husababishwa na aina mbalimbali za bakteria ambazo hujulikana kama Mycobacterium tuberculosis. Kifua kikuu kwa kawaida kinaathiri mapafu, lakini pia kinaweza kuathiri sehemu nyingine ...

                                               

Kiini cha atomu

Kiini cha atomu ni eneo dogo la ndani ya atomu lililosongamana lenye kuundwa na protoni na neutroni lililo katikati ya atomi na linalozungukwa na mzingo elektroni. Eneo hili liligunduliwa mnamo mwaka 1911 na mwanasayansi Ernest Rutherford kwa kut ...

                                               

Kikanisa cha Sisto IV

Kikanisa cha Sisto IV ni kikanisa kikubwa nchini Vatikani, ambayo ndiko anakoishi Papa wa Kanisa Katoliki lote duniani. Kikanisa hicho kilijengwa miaka 1473-1481 na Giovanni dei Dolci kwa ajili ya Papa Sisto IV. Kikanisa hicho kinatumika mara cha ...

                                               

Kikokoteo

Kikokoteo ni rula yenye kikokoto iliyotumika kama nyenzo ya kufanya hisabati hususani katika kuzidisha na kugawanya na kutafuta vipeo na vipeuokabla ya ujio na uendelezaji wa matumizi makubwa ya Vikokoteo vya kielektroniki kuanzia mwaka 1974 Rula ...

                                               

Kikosi cha wapagazi

Kikosi cha wapagazi kilikuwa kitengo cha jeshi la Uingereza wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia. Kiliujumuisha wapagazi Waafrika walioajiriwa au kulazimishwa kubeba mizigo ya jeshi la Uingereza kwenye mapigano ya Vita Kuu ya Kwanza katika Afrik ...

                                               

Jakaya Kikwete

Amezaliwa 7 Oktoba 1950 katika kijiji cha Msoga, kata ya Lugoba, tarafa ya Msoga, jimbo la uchaguzi la Chalinze, Wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani. Lugha ya mama ilikuwa Kikwere. Alizaliwa katika familia ya wanasiasa. Babu yake Mzee Mrisho Kikwet ...

                                               

Kilimanjaro (Volkeno)

Kilimanjaro ni jina la mlima mrefu kuliko yote barani Afrika. Mlima huo uko nchini Tanzania katika Mkoa wa Kilimanjaro. Una urefu wa mita 5.895. Hali halisi Kilimanjaro ni zaidi ya mlima tu, ni kama safu ndogo ya milima mitatu: Kibo, Mawenzi na S ...

                                               

Kilwa Kisiwani

Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Kilwa Kilwa Kisiwani ni jina la kijiji kikubwa kwenye Kisiwa cha Kilwa karibu na mji wa Kilwa Masoko katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Ndipo mahali pa mji wa Kilwa ya kihistoria iliyokuwa mji mkubwa kabisa k ...

                                               

Kikimbu

Kikimbu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakimbu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikimbu imehesabiwa kuwa watu 78.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikimbu iko katika kundi la F20.

                                               

Kimelea

Kimelea ni kiumbehai ambaye anaishi ndani au juu ya kiumbehai mwingine wa spishi tofauti na kupata virutubishi kutokana na mwili wa kiumbe huyo, ambaye kwa kawaida ni mkubwa zaidi, bila kumpa kiumbe mwenyeji faida yoyote. Kinyume chake, mara nyin ...

                                               

Kindi-miamba

Kindi-miamba ni mnyama mgugunaji mdogo na spishi pekee ya familia Petromuridae. Kinyume na jina lake mnyama huyu si kindi lakini jamaa ya nungunungu. Spishi hii inatokea Namibia na sehemu za Angola na Afrika Kusini katika maeneo yenye miamba. Jin ...

                                               

Kikinga

Kikinga ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakinga. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikinga imehesabiwa kuwa watu 140.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikinga iko katika kundi la G60.

                                               

Kingolwira

Kingolwira ni jina la kata ya Wilaya ya Morogoro Mjini katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania yenye Postikodi namba 67119. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ina wakazi wapatao 21.953 waishio humo. Hata hivyo, baada ya sensa, kata il ...

                                               

Kinjikitile Ngwale

Kinjikitile Ngwale ni jina tata katika historia ya Tanzania. Mwanzoni mwa karne ya 20 aliwashawishi watu katika nchi inayojulikana sasa kama Tanzania kusimama na kupambana dhidi ya mtutu wa bunduki wa Wajerumani waliokuwa wakiitawala nchi hiyo wa ...