ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 19
                                               

William wa Ockham

William wa Ockham alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka nchi ya Uingereza. Ni maarufu hasa kama mwanateolojia na mwanafalsafa, lakini alijihusisha sana na siasa pia. Alikuwa mmojawapo wa waanzishaji wa mantiki ya kisasa. Pia alimkosoa P ...

                                               

Wini McQueen

Kigezo:Infobox artist Wini Akissi McQueen ni mtozi wa Amerika anayeishi Macon, Georgia. Uzalishaji wake wa kisanii una vifaa vyenye rangi ya mikono na safu za hadithi. Mbinu zake zinazojulikana ni pamoja na mchakato wa kuhamisha picha. Katika kaz ...

                                               

Hendrick Witbooi

Hendrick Witbooi, kwa jina asilia ǃNanseb ǀGabemab alikuwa chifu wa kabila la Nama katika Namibia ya leo, kiongozi wa mapambano dhidi ya ukoloni wa Kijerumani na mwandishi. Alizaliwa katika jimbo la rasi la Afrika Kusini akalelewa kama Mkristo. M ...

                                               

Ludwig Wittgenstein

Ludwig Josef Johann Wittgenstein alikuwa mwanafalsa kutoka nchini Austria aliyeishi sehemu kubwa nchini Uingereza. Kazi yake ilikuwa hasa kuhusu mantiki ya lugha na hisabati. Huhesabiwa kati ya wanafalsafa muhimu zaidi wa karne ya 20. Hadi kifo c ...

                                               

Wolfgang Amadeus Mozart

Wolfgang Amadeus Mozart alikuwa mtunzi mashuhuri wa opera na mpigaji wa ajabu sana wa piano kutoka nchini Austria alipolizaliwa katika jiji la Salzburg tarehe 27 Januari 1756. Enzi za maisha yake mafupi, aliandika zaidi ya tungo 600 za muziki. Wa ...

                                               

William Wordsworth

William Wordsworth alikuwa mwandishi na mshairi muhimu wa karne ya 19 nchini Uingereza. Maandiko yake yahesabiwa kati ya fasihi ya kiromantiki na amesifiwa hasa kwa shairi ya "The Prelude".

                                               

Me Against the World

Me Against the World ni albamu ya tatu ya msanii wa muziki wa hip hop wa Kimarekani, 2Pac. Albamu ilitolewa tarehe 14 Machi 1995 kwenye studio ya Interscope Records. Albamu ilirekodiwa katika majuma kadhaa kabla msanii hajaendala jela kwa kosa la ...

                                               

Wushu - (Kung Fu)

Wushu, au Kungfu ya Kichina, ni mchezo wa upiganaji ulioanzishwa nchini China. Jina Wushu" linatokana na maneno ya Kichina. Wushu umekuwa mchezo wa kimataifa kupitia Shiririkisho la Kimataifa la Wushu IWUF - International Wushu Federation. Shirik ...

                                               

Xavi

Xavier Hernandez Creus ni mchezaji wa kandanda Mhispania, ambaye kwa sasa anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Kihispania katika La Liga huko Barcelona. Kufikiriwa sana miongoni mwa wanakandanda bora katika dunia, Xavi alitajwa kama rasmi ...

                                               

Yakobo Do Mai Nam

Yakobo Do Mai Nam alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati t ...

                                               

Yakobo Kyushei Tomonaga

Yakobo Kyushei Tomonaga, O.P. alikuwa padri kutoka Japani na mmojawapo kati ya Wakristo wa Kanisa Katoliki waliofia dini nchini humo. Anaheshimiwa kama mtakatifu pamoja na Lorenzo Ruiz na wenzao waliotangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa wenye he ...

                                               

Yakobo Mdogo

Yakobo Mdogo ni jina la mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu. Anaitwa hivyo ili kumtofautisha na mtume mwenzake, Yakobo wa Zebedayo. Katika Injili anaitwa Yakobo wa Alfayo na kutajwa na Injili ya Mathayo 10:3, Injili ya Marko 3:18, Injili ya Luka 6:1 ...

                                               

Yakobo Mkubwa

Yakobo, mwana wa Zebedayo na Salome, na kaka wa Mtume Yohane, alikuwa Myahudi wa karne ya 1 aliyepata kuwa mmoja kati ya Mitume wa Yesu muhimu zaidi. Anaitwa "Mkubwa" ili kumtofautisha na Mtume mwingine mwenye jina hilohilo, Yakobo Mdogo mwana wa ...

                                               

Yamkini

Yamkini ni kadirio la fursa au uwezekano wa kutokea au kutotokea kwa tukio fulani. Kuna tawi la hisabati linaloshughulikia swali hili. Mfano: kwa kutumia hisabati ya yamkini unaweza kuonyesha ya kwamba ukirusha sarafu hewani mara 10 italala mara ...

                                               

Kiyao

Kiyao ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania, Malawi na Msumbiji inayozungumzwa na Wayao. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiyao nchini Malawi imehesabiwa kuwa watu milioni moja. Mwaka wa 2006, idadi ya wasemaji wa Kiyao nchini Tanzania imehesabiw ...

                                               

Yasinta wa Fatima

Yasinta Marto wa Fatima, ni jina la mmojawapo kati ya watoto watatu waliotokewa na malaika wa amani, halafu na Bikira Maria kwao Fatima, Ureno, pamoja na binamu yake Lusia Santos na kaka yake Fransisko Marto. Njozi hizo zilithibitishwa na Kanisa ...

                                               

Yasinto Casteñeda

Yasinto Casteñeda, O.P. alikuwa padri wa Hispania. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa ny ...

                                               

Yehu

Yehu alikuwa mfalme wa kumi wa Israeli baada ya Yeroboamu I. Ni maarufu kwa kuangamiza ukoo wa Ahabu ili kuokoa imani ya Mungu pekee iliyokaribia kutoweka kwa juhudi za malkia Jezebeli. Hivyo alikamilisha kazi ya manabii Elia na Elisha. Hata hivy ...

                                               

Yeroboamu I

Yeroboamu I alikuwa mwana wa Nebati akatawala kwa miaka 22 Ufalme wa Israeli baada ya makabila 10 ya kaskazini kuasi ukoo wa Daudi wakati wa mjukuu wake Rehoboamu. Biblia inamhukumu hasa kwa kuanzisha sera ya kidini iliyowataka Waisraeli wamuabud ...

                                               

Yeroboamu II

Yeroboamu II alikuwa mwana na mwandamizi wa Yehoashi wa Israeli kama mtawala wa 14 wa Ufalme wa Israeli, ambao aliuongoza kwa mafanikio makubwa miaka 41. Hata hivyo Biblia haisisitizi mafanikio hayo, bali inamhukumu kwa kufuata sera ya kidini ya ...

                                               

Yerusalemu

Yerusalemu ni mji wa Mashariki ya Kati wenye pande mbili. Kwa upande mmoja ni mji mkuu wa Israel. Kwa upande mwingine Yerusalemu ya mashariki inatazamwa kuwa mji mkuu wa Palestina, ingawa imetawaliwa na Israel pia tangu 1967. Israel imetangaza ta ...

                                               

Yesu kadiri ya historia

Yesu kadiri ya historia ni ujuzi juu yake unaopatikana kwa kumchunguza kama mtu mwingine yeyote, mbali na imani ya dini, ili kuelewa vizuri maisha yake yalivyokuwa kihistoria. Fani hiyo inavyodai, ni lazima kuchunguza habari tulizonazo juu yake i ...

                                               

Yesu kutolewa hekaluni

Yesu kutolewa hekaluni ni tukio la utoto wake, siku arubaini baada ya kuzaliwa, iliyopangwa na Torati kuwa siku ya kumtakasa mama yeyote aliyemzaa mtoto wa kiume. Siku hiyo aliletwa na Yosefu na Maria katika hekalu la Yerusalemu akiwa mtoto wa ki ...

                                               

Yoana Beretta Molla

Gianna Beretta Molla alikuwa daktari bingwa wa maradhi ya watoto. Mke wa Pietro Molla, alipokuwa mjamzito kwa mara ya nne, alipatikana na ugonjwa ambao tiba yake ilitaka mimba yake ife asije akafa mwenyewe. Ingawa alijua vizuri hilo, alikataa tib ...

                                               

Yoana mke wa Kuza

Yoana alikuwa mke wa Kuza, waziri wa Herode Antipa. Alikuwa ameponywa na Yesu Kristo akawa mfuasi wake katika safari akimtegemeza yeye na wafuasi wengine Lk 8:2-3. Anatajwa kati ya wanawake waliowahi kwenda kaburini Jumapili asubuhi na mapema Lk ...

                                               

Yohakimu

Yohakimu anaheshimiwa kama baba wa Bikira Maria na babu wa Yesu kadiri ya mapokeo ya Ukristo na Uislamu, ingawa hatajwi katika Biblia isipokuwa katika kitabu cha karne ya 2 kinachoitwa Injili ya Yakobo na vingine vilivyofuata. Humo anatajwa pia m ...

                                               

Yohane Dat

Yohane Dat alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, ...

                                               

Yohane Fransisko Regis

Yohane Fransisko Regis, S.J. alikuwa padri wa Shirika la Yesu nchini Ufaransa. Baada ya kuhudumia wagonjwa wa tauni, alikwenda kuhubiri na kuungamisha mfululizo jimbo la Viviers kuanzia mwaka 1633 hadi kifo chake. Alitangazwa na Papa Klementi XI ...

                                               

Yohane Hoan Trinh Doan

Yohane Hoan Trinh Doan alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyak ...

                                               

Papa Yohane IV

Papa Yohane IV alikuwa Papa kuanzia tarehe 24 Desemba, 640 hadi kifo chake tarehe 12 Oktoba, 642. Jina la baba yake lilikuwa Venantius. Alimfuata Papa Severino akafuatwa na Papa Theodori I.

                                               

Yohane Krisostomo

Yohane Krisostomo, kwa Kigiriki χρυσόστομος, khrysóstomos, yaani "Mdomo wa dhahabu" alivyoitwa kutokana na ubora wa mahubiri yake, alikuwa Patriarki wa Konstantinopoli. Ari yake ilisababisha apendwe na vilevile achukiwe sana. Hatimaye alifukuzwa ...

                                               

Yohane Mbatizaji

Yohane Mbatizaji alikuwa nabii wa Uyahudi aliyeishi wakati wa Yesu wa Nazareti na kumtangulia miezi tu kuzaliwa, kuanza utume na kuuawa. Kufuatana na Injili ya Luka sura 1-2 Yohane na Yesu walikuwa ndugu na mama zao walikuwa wazito kwa wakati mmo ...

                                               

Yohane Mbilikimo

Yohane Mbilikimo Yuhannis al-Qasīr; Thebe, 339 hivi – Mlima Colzim, 405 hivi) alikuwa padri mmonaki wa Misri. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Sep ...

                                               

Yohane Mvunaji

Yohane Mvunaji alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki katika mkoa asili ya wazazi wake, Calabria. Aliitwa "Mvunaji" kwa sababu ya huruma yake kwa maskini iliyomfanya aende mara nyingi kuwasaidia shambani. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na ...

                                               

Papa Yohane Paulo II

Papa Yohane Paulo II alikuwa Papa wa 264 kuanzia tarehe 16 Oktoba 1978 hadi kifo chake akidumu katika huduma hiyo kirefu kuliko Mapapa wengine wote, isipokuwa Mtume Petro na Papa Pius IX. Alimfuata Papa Yohane Paulo I akiwa Papa wa kwanza asiye M ...

                                               

Yohane Thanh Van Dinh

Yohane Thanh Van Dinh ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, ...

                                               

Yohane wa Avila

Yohane wa Avila alikuwa padri mwanajimbo wa Hispania aliyeathiri sana Kanisa Katoliki la nchi hiyo na urekebisho wa Kikatoliki katika karne ya 16 hasa kwa njia ya mahubiri yake yaliyotegemea Biblia, ya uongozi wa kiroho na ya vyuo alivyovianzisha ...

                                               

Yohane wa Dukla

Yohane alizaliwa Dukla, Polandi, mwaka 1414 akafariki mwaka 1484 huko Lviv, leo nchini Ukraina. Ingawa alijiunga kwanza na Ndugu Wadogo Wakonventuali, baadaye akajiunga na urekebisho wa Observansya. Hata baada ya kupofuka aliendelea kuandaa hotub ...

                                               

Yohane wa Msalaba

Yohane wa Msalaba ni jina la kitawa la Juan de Yepes Álvarez, padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa urekebisho wa shirika la Wakarmeli maarufu kama Wakarmeli Peku. Anaheshimiwa kama mtakatifu na mwalimu wa Kanisa. Sikukuu yake inaadhimishwa ...

                                               

Papa Yohane XXI

Papa Yohane XXI alikuwa Papa kuanzia tarehe 13 Septemba 1276 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Pedro Julião. Alimfuata Papa Adriano V akafuatwa na Papa Nikolasi III.

                                               

Papa Yohane XXIII

Papa Yohane XXIII alikuwa Papa kuanzia tarehe 28 Oktoba 1958 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Angelo Giuseppe Roncalli. Watu walipenda kumuita "Papa mwema" kutokana na tabia yake ya kuvutia. Alimfuata Papa Pius XII akafuatwa na Pap ...

                                               

Yongle

Kaisari Yongle - jina la binafsi Zhu Di - alikuwa kaisari wa tatu wa nasaba ya Ming, aliyetawala kuanzia mwaka 1402 hadi 1424. Zhu Di alikuwa mtoto wa nne wa Kaisari Hongwu aliyeanzisha nasaba ya Ming. Cheo chake cha kwanza kilikuwa Mwanamfalme w ...

                                               

Yosefu (babu)

Yosefu ni jina la mtoto wa kiume wa kumi na mmoja wa Yakobo Israeli na babu wa kabila mojawapo la Israeli lililoitwa kwa jina lake mwenyewe, au kwa kawaida zaidi liligawanyika pande mbili: kabila la Manase na kabila la Efraimu kufuatana na majina ...

                                               

Yosefu (mume wa Maria)

Yosefu, kadiri ya Injili, alikuwa mume wa Bikira Maria na baba mlishi wa Yesu Kristo ambao pamoja naye waliunda Familia takatifu.

                                               

Yosefu Canh Luang Hoang

Yosefu Canh Luang Hoang ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XII ...

                                               

Yosefu Fernandez

Yosefu Fernandez, O.P. alikuwa padri wa Hispania. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nya ...

                                               

Yosefu Hien Quang Do

Yosefu Hien Quang Do, O.P. alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa ...

                                               

Yosefu Khang

Yosefu Khang ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Piu ...

                                               

Yosefu Khang Duy Nguyen

Yosefu Khang Duy Nguyen ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XII ...

                                               

Yosefu Luu Van Nguyen

Yosefu Luu Van Nguyen ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, ...