ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 183
                                               

Wilfried Bony

Wilfried Bony ni mchezaji wa soka wa Ivory Coast ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Swansea City na timu ya taifa ya Ivory Coast. Baada ya kuanza kazi yake katika Issia Wazi, Bony alihamia Sparta Prague mwaka 2007, akiwasaidia cheo cha ...

                                               

Birdman

Bryan "Baby" Williams ni rapa, mtayarishaji na mc kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la "Baby". Mnamo mwaka 1991, Baby na kaka yake mkubwa - Ronald "Slim" Williams walianzisha studio ya muziki wa hip-hop maarufu kama Cash Money Re ...

                                               

Hayley Williams

Hayley Nichole Williams ni mtunzi na mwimbaji wa muziki wa rock kutoka nchini Marekani. Anafahamika sana kwa kuwa kama mwimbaji kiongozi wa bendi ya rock ya Paramore.

                                               

Wade Williams

Wade Andrew William ni mwigizaji wa filamu na tamthiliya kutoka nchini Marekani. Kkwa sasa amevaa uhusika wa nyota kwenye tamthiliya ya Prison Break ya Fox akiwa kama Captain Brad Bellick.

                                               

Willian

Willian Borges da Silva ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Brazil. Willian alianza kucheza katika timu ya Brazil mwaka 2011 na aliliwakilisha taifa lake katika Kombe ...

                                               

Bruce Willis

Walter Bruce Willis ni mwgizaji wa filamu na mwimbaji kutoka nchi ya Marekani. Alianza kupata umaarufu kuanzia maiaka ya 1980 hivi, na akabaki kuwa kama mwigizaji kiongozi pia mwigizaji msaidizi katika baadhi ya filamu zilizo kuwa zinaigizwa huko ...

                                               

Jack Wilshere

Jack Andrew Wilshere ni mwanakandanda wa Uingereza anayeichezea klabu ya Arsenal ya ligi kuu ya Uingereza. Kwa kawaida yeye hucheza kama kiungo wa kati anayeshambulia na hutumia mguu wa kushoto sanasana.

                                               

Wissam Ben Yedder

Wissam Ben Yedder ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Sevilla ya Hispania.

                                               

Wizkid

Ayodeji Ibrahim Balogun, anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Wizkid, ni msanii wa rekodi, mtunzi wa nyimbo na mtumbuizaji kutoka nchini Nigeria. Alianza kazi ya muziki akiwa na umri wa miaka 11, na kutoa albamu ya ushirika akiwa na Gl ...

                                               

Wojciech Szczęsny

Wojciech Tomasz Szczęsny ni mchezaji wa soka wa Poland ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Italia Juventus na timu ya taifa ya Poland. Baada ya kuanza kazi yake katika klabu ya Legia Warsaw, Szczęsny alijiunga na Arsenal mwaka 2006. Baada y ...

                                               

Stevie Wonder

Stevie Wonder. Jina lake halisi ni Steveland Hardaway Judkins lakini alibadili jina lake la mwisho na kuliweka jina la ndoa la mamake, Morris. Ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji, mwanamuziki na mwanaharakati wa haki za binaadam wa Kimare ...

                                               

John Woo

John Woo ni Muongozaji wa Filamu na Mtayarishaji kutoka Hong Kong huko China. John Woo alizaliwa tar. 1 Mei 1946 mjini Guangzhou akahamia Hong Kong pamoja na wazazi wake akiwa na umri mdogo. Tangu 1974 aliongoza filamu huko Hong Kong kama vile "A ...

                                               

David Woodard

David Woodard ni mwandishi Mmarekani na muongozaji. Wakati wa miaka ya 1990 alitunga neno" prequiem”, ambalo ni muunganiko kati ya maneno" preemptive” na" requiem”, ili kuelezea ushiriki wake wa Kibuddha wa kutunga nyimbo maalumu za kuchezwa waka ...

                                               

Xabi Alonso

Xabier "Xabi" Alonso Olano ni mchezaji wa zamani wa Hispania ambaye alicheza kama kiungo wa kati. Alonso alianza kazi yake katika Real Sociedad, timu kuu ya jimbo lake la nyumbani Gipuzkoa. Baada ya muda mfupi wa mkopo huko Eibar, alichaguliwa ku ...

                                               

Xherdan Shaqiri

Xherdan Shaqiri ni mchezaji wa soka wa Uswisi ambaye anacheza kama winga kwa klabu ya Liverpool na timu ya taifa yake ni Uswisi. Alianza kazi yake katika klabu ya FC Basel, akiwa na mataji matatu ya Uswisi Super League, kabla ya kuhamia Bayern Mu ...

                                               

Xolile Tshabalala

Xolile Tshabalala ni mwigizaji wa Afrika Kusini. Anasifika kwa majukumu yake katika safu kadhaa maarufu za runinga pamoja na 4Play, Secrets & Scandals, Blood & Water na Housekeepers.

                                               

Xzibit

Alvin Nathaniel Joiner Anafahamika zaidi kama Xzibit ni mwanamuziki wa Rap na Hip Hop, muigizaji, na pia mtangazaji wa TV kutoka mjini Detroit, Michigan, Marekani na kuinukia mjini Albuquerque, New Mexico akiwa na Baba yake mzazi pamoja na Mama y ...

                                               

Rama Yade

Rama Yade * 13 Desemba 1976 ni waziri msaidizi wa mambo ya nje katika serikali ya rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa. Jina lake kamili ni Ramatoulaye Yade-Zimet. Alizaliwa nchini Senegal kama mtoto wa baba mwanasiasa Msenegal na mama aliyekuwa prof ...

                                               

Yakubu Mohammed

Yakubu Mohammed ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Azam na ni mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ghana.

                                               

Frank Yallop

Frank Yallop ni mchezaji wa kandanda wa Kanada aliyezaliwa Uingereza. Yeye ni kocha mkuu wa timu ya San Jose Earthquakes katika ligi kuu ya Marekani. Yallop alicheza kandanda sana kama mchezaji nchini Uingereza, alicheza miaka 13 akacheza mechi 3 ...

                                               

Kazunori Yamauchi

Kazunori Yamauchi ni muundaji wa michezo ya video kutoka nchi ya Japan ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Polyphony Digital na muumba na mtayarishaji wa mchezo maarufu unaoitwa Gran Turismo. Alipata cheo cha rais katika PolyPhony Digital ...

                                               

Yannick Carrasco

Yannick Carrasco ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji ambaye anacheza kama winga wa klabu Dalian Yifang na timu ya taifa ya Ubelgiji. Alianza kazi yake na Monaco, ambapo alifunga mabao 20 katika michezo 105 ya kitaaluma, na kushinda ligi daraja lapili ...

                                               

DJ Yella

DJ Yella ni jina la kisanii la Antoine Carraby ni DJ, mtayarishaji wa mzuiki na mwongozaji wa filamu kutoka mjini Compton, California, Marekani. Yella pia alikuwa mmoja wa wanachama wa kundi la muziki linalojulikana kama World Class Wreckin Cru a ...

                                               

Yemi Alade

Yemi Eberechi Alade ni mwimbaji kutoka nchini Nigeria akifanya muziki wa Afropop na pia ni mwandishi wa nyimbo mbalimbali. Mwanamuziki huyu amekuwa akifahamika kutokana na kibao chake kijulikanacho kama Johnny.

                                               

Hande Yener

Hande Yener ni mwimbaji wa muziki wa pop, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa rekodi za muziki kutoka nchi Uturuki.

                                               

Yerry Mina

Yerry Fernando Mina González ni mchezaji wa soka wa Colombia ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Hispania FC Barcelona. Mnamo tarehe 11 Januari 2018, FC Barcelona na Palmeiras walifikia makubaliano ya uhamisho wa Yerry Mina kwa mkataba ...

                                               

A.Y. (mwanamuziki)

Ambwene Alen Yesaya ni mwanamuziki wa muziki aina ya Komesho, Rap na Hip Hop, mwigizaji na pia mwanamitindo kutoka nchini Tanzania. AY ametoa nyimbo nyingi maarufu nchini Tanzania, kama vile Raha tu 1-2, Raha Kamili, Machoni kama watu, Binadamu n ...

                                               

Joseph Yobo

Joseph Yobo (alizaliwa 6 Septemba 1980 mjini Kono, Nigeria ni mlinzi wa timu ya Nigeria ya kandanda na sasa anachezea klabu ya Ligi ya Uingereza ya Everton. Yeye ni msaidizi wa nahodha wa timu ya taifa ya Nigeria, na mchumba wake ni malkia wa ure ...

                                               

Kelvin Yondan

Kelvin Yondan ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Tanzania. Anacheza nafasi ya beki wa kati. Pia anamudu nafasi ya kiungo. Anachezea klabu ya Yanga Sc nchini Tanzania. Pia anachezea timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars. Yondani ni mmoja kati ya ...

                                               

Yoshihide Suga

Yoshihide Suga ni mwanasiasa wa Kijapani anayehudumu kama rais wa Chama cha Kidemokrasia huria, na Waziri Mkuu mteule wa Japani. Uteuzi wake rasmi, umefanyika mnamo 16 Septemba 2020, Suga amekua waziri mkuu mpya wa kwanza wa enzi ya Reiwa. Amewak ...

                                               

Youssouf Mulumbu

Youssouf Mulumbu ni mchezaji wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Celtic na timu ya taifa ya Kongo.

                                               

Yoweri Kaguta Museveni

Yoweri Kaguta Museveni ni Rais wa Uganda tangu 29 Januari 1986. Alichukua madaraka baada ya kushinda vita vya msituni chini ya kundi la National Resistance Movement na kushinda katika chaguzi za urais za mwaka 1996, 2001 na 2006. Kwa muda mrefu, ...

                                               

Yussuf Poulsen

Yussuf Yurary Poulsen ni mchezaji wa soka wa Denmark mwenye asili ya Tanzania ambaye anacheza katika klabu ya Ujerumani iitwayo RB Leipzig kama mshambuliaji au winga.

                                               

Yusuph Mlela

Yusuph Godfrey Mlela ni mwigizaji wa filamu, mtunzi wa filamu na mwanamitindo kutoka nchini Tanzania. Mlela ni miongoni mwa waigizaji waliokuwa wachanga na kuja juu haraka sana. Filamu yake kwanza ilikuwa "Diversion of Love", Family Curse, I Know ...

                                               

Yvonne Cherrie

Yvonne Cherrie ni mshindi wa tuzo ya ZIFF akiwa kama mwigizaji bora wa filamu na mifululizo ya vipindi vya televisheni kutoka nchini Tanzania. Pia ni mtunzi wa muswaada andishi, mtayarishaji na mwongozaji wa filamu. Anafahamika zaidi kwa jina lak ...

                                               

Zakia Mrisho Mohamed

Zakia Mrisho Mohamed ni mwanariadha wa mbio za masafa marefu. Alizaliwa mkoani Singida nchini Tanzania. Amefanikiwa kushiriki katika mashindano mbalimbali ya riadha ambapo mwaka 2008 na 2012 aliweza kuiwakilisha nchi yake katika mashindano ya Oli ...

                                               

Zawadi Madawili

Zawadi Madawili ni afisa mstaafu mwanamke wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania. Madawili alikuwa mwanamke wa kwanza wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kuwa luteni toka mwaka 1975. Aliweza kuwa na cheo cha brigedia mkuu mwaka 2003. Madawili aliweza kuri ...

                                               

Zendaya

Zendaya Maree Stoermer Coleman ni mwigizaji, mchezaji wa dansa na mwimbaji wa Marekani. Anajulikana sana kwa jukumu lake kama mchezaji mchanga wa Rocky Blue kwenye safu ya Disney Channel Shake It Up!. Mnamo 2013 alikuwa mgombea wa kwanza kuliko w ...

                                               

Mohamed Zidan

Mohamed Abdulla Zidan ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka katika nchi ya Misri, ambae ni mshambuliaji katika klabu ya Ujerumani ya Borussia Dormund na pia katika timu ya taifa ya Misri. Mohamed Zidan ni miongoni mwa wachezaji nyota wa Kimisri wa ...

                                               

Zikhona Sodlaka

Zikhona Sodlaka ni mwigizaji wa Afrika Kusini anayejulikana zaidi kwa majukumu yake ya kuigiza katika safu ya runinga kama vile Shooting Stars, Rhythm City, Soul City, Intsika na Montana. Sodlaka aliwahi kuteuliwa kwenye Tuzo za Filamu na Televis ...

                                               

Zinedine Zidane

Zinedine Yazid Zidane alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa na klabu ya Real Madrid aliyecheza kama kiungo mshambuliaji. Kwa sasa ni kocha wa Real Madrid. Alicheza kama kiungo mshambuliaji kwenye timu ya taifa ya Ufaransa na Cannes, ...

                                               

Zinho Gano

Zinho Gano ni mchezaji wa Ubelgiji ambaye sasa anacheza kwa timu ya Genk baada ya kujiunga nayo tarehe 2 Julai 2018 kutoka kwa upande mwingine wa Pro Ligi ya Oostende kwa thamani ya £ milioni 1.62.

                                               

Kabwe Zuberi Zitto

Kabwe Zuberi Zitto ni mwanasiasa nchini Tanzania. Kwa sasa ni mlezi wa chama cha Alliance for Change and Transparency. Alisomea uchumi Tanzania na Ujerumani. Alikuwa mbunge wa jimbo la Kigoma Mjini katika Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ...

                                               

Zlatan Ibrahimovic

Zlatan Ibrahimovic ni mchezaji wa mpira wa miguu aliye maarufu duniani. Ni mzaliwa wa Sweden na ni mshambulizi mkali sana. Anasifika kwa uwezo wake mkubwa wa kumiliki mpira ufikapo miguuni pake, pia ana uwezo mkubwa sana wa kupiga mashuti makali ...

                                               

Didier Zokora

Alain Didier Zokora Deguy ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Cote dIvoire, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya huko Hispania, maarufu ya Sevilla FC na pia timu ya taifa ya Cote dIvoire.

                                               

Jerry Zucker

Jerry Zucker ni mwongozaji wa filamu kutoka nchini Marekani, anayejulikana sana kwa kuongoza filamu za vichekesho, na filamu bab-kubwa ya Ghost. Zucker alizaliwa mjini Milwaukee, Wisconsin, akiwa kama mtoto wa Charlotte amekufa 2007 na Burton Zuc ...

                                               

Zuhura Kopa

Zuhura Kopa) ni mwanamuziki, mtunzi wa nyimbo na msanii wa kurekodi wa Kitanzania. Amesainiwa chini ya lebo ya WCB Wasafi Records chini ya uongozi wa Diamond Platnumz. Alitunukiwa tuzo ya silver play button na mtandao wa kijamii wa Youtube kwa ku ...

                                               

Jacob Zuma

Jacob Gedleyihlekisa Zuma alikuwa Rais wa Afrika Kusini tangu mwaka 2009 hadi 2018, alipojiuzulu. Alikuwa makamu wa rais Thabo Mbeki kati ya 1999 na 2005. Tangu Desemba 2007 hadi 2017 alikuwa mwenyekiti wa chama tawala cha ANC.

                                               

Sibusiso Zuma

Sibusiso Wiseman Zuma alikuwa mwanakandanda mtaalamu wa Afrika Kusini anayeichezea klabu ya kandanda ya Kideni Superliga inayoitwa FC Nordsjælland.

                                               

Éder Militão

Eder Gabriel Militão ni mchezaji wa soka wa Brazili ambaye anacheza kama beki wa kati au kiungo mkabaji wa klabu ya Real Madrid.