ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 178
                                               

Bahari ya Kaskazini

Bahari ya Kaskazini ni tofauti na Bahari ya Aktiki, ambayo iko kaskaini zaidi Bahari ya Kaskazini ni bahari ya pembeni ya Atlantiki kati ya Skandinavia Norway na Denmark upande wa mashariki, Ujerumani na Uholanzi upande wa kusini na Britania kwa ...

                                               

Balkani

Rasi ya Balkani ni sehemu ya kusini-mashariki ya Ulaya. Jina limetokana na safu ya milima ya Balkani inayopatikana katika Bulgaria na Serbia. Hakuna mapatano kamili ni nchi zipi zinazohesabiwa kuwa sehemu za Balkani lakini mara nyingi hutajwa zif ...

                                               

Mto Bann

Mto Bann Irish: An Bhanna ni mto mrefu katika Ireland ya Kaskazini, ukiwa na kilometa 129. Mto huu huunda njia yake kutoka kona ya kusini mashariki ya jimbo kuelekea pwani ya kazini magharibi, kukoma katikati na kupanuka kuwa Lough Neagh kubwa. M ...

                                               

Belarus

Belarus kwa Kibelarus: Беларусь Kikyrili au Biełaruś Kilatini; kwa Kirusi:Белоруссия) ni nchi ya Ulaya ya Mashariki inayopakana na Urusi, Ukraine, Poland, Lithuania na Latvia. Mji mkuu ni Minsk na miji mingine ni pamoja na Brest, Grodno, Gomel, M ...

                                               

Belgrad

Belgrad ni mji mkuu wa Serbia. Iko kando la mto Danube mahali ambako mto Sava unapoishia humo. Ni pia mji mkubwa wa nchi mwenye wakazi 1.710.000.

                                               

Bohemia

Bohemia ni mkoa wa kihistoria katika magharibi ya Ucheki. Jina limetokana na neno la Kilatini kwa ajili ya eneo la kabila la "Boio" "Boiohaemum" = eneo la Waboio, baadaye: "Bohemia" lililowahi kukalia sehemu zile zamani za Roma ya Kale. Pamoja na ...

                                               

Bosnia na Herzegovina

Bosnia na Herzegovina Bosna i Hercegovina au Босна и Херцеговина ni nchi ya Ulaya kusini mashariki kwenye rasi ya Balkani. Mara nyingi huitwa kwa kifupi "Bosnia" tu na watu wake "Wabosnia". Ilikuwa sehemu ya Yugoslavia hadi mwaka 1992. Eneo lake ...

                                               

Bosporus

Bosporus ni mlango wa bahari katika Uturuki unaounganisha Bahari Nyeusi na Bahari ya Marmara. Mlango huu una urefu wa 32 km na sehemu nyembamba ni 640 m. Kina cha maji hufikia 36–124 m. Mji wa Istanbul uko kwenye mwanzo wa Bosporus upande wa Baha ...

                                               

Bratislava

Bratislava ni mji mkuu wa Slovakia wenye wakazi 450.000. Majina mengine ya kihistoria ya mji huu yalikuwa Pressburg au Pozsony. Uko kando Ya mto Danubi. Ishara ya mji ni boma la Bratislava lililosimama tangu karne za kati.

                                               

Bălti

Bălti is the third-largest city of Moldova, and the major city in the north of the country. During the Russian Empire, and later the Soviet era the name was also spelled Beltsy, from its form in Russian. The city is situated 135 km north of the c ...

                                               

Dalmatia

Dalmatia ni jina la eneo la pwani ya Bahari ya Adria kusini mwa Kroatia. Inaanza kwenye kisiwa cha Rab upande wa kaskazini na kuendelea hadi mpaka wa Montenegro upande wa kusini. Upande wa bara mwisho wake ni mpaka wa Bosnia na Herzegovina. Wakaz ...

                                               

Danubi (mto)

Danubi ni mto mrefu wa pili katika Ulaya baada ya Volga. Jina lina asili katika lugha za Kislanovi na kumaanisha kiasili "mto". Mto huu unapita katika nchi nyingi na majina yake ni Donau Kijerumani, Dunărea Kiromania, Dunav Kikroatia na Kiserbia, ...

                                               

Edinburgh

Edinburgh ni mji mkuu pia mji mkubwa wa pili wa Uskoti mwenye wakazi 435.790. Mji uko kwenye pwani la mashariki wa Uskoti kwenye mdomo wa mto Forth baharini. Boma la Edinburgh liko katikati ya mji kwenye kilima kikali. Edinburgh imejulikana kote ...

                                               

Elbe

Elbe ni mto mkubwa nchini Ujerumani na Ucheki. Inaanza kwa jina la Kicheki "labe" katika milima ya Krkonoše Kijer.: Riesengebirge karibu na mpaka wa kaskazini ya Ucheki. Inapita sehemu kubwa ya Ujerumani wa Mashariki na Kaskazini na kuishia katik ...

                                               

Estonia

Estonia kwa Kiestonia: Eesti au Eesti Vabariik ni nchi ya Kibalti katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Latvia na Urusi. Finland iko ngambo ya Kidaka cha Ufini cha Bahari ya Baltiki na watu wake wana asili moja na Waestonia. Mji mkuu ni Tallinn ...

                                               

Visiwa vya Faroe

Wakazi wa kwanza walikuwa wamonaki kutoka Ireland. Kati ya miaka 1035 na 1814 visiwa vilikuwa chini ya Norwei. Ndipo vilipotolewa kwa Denmark. Kufikia mwanzo wa mwaka 1540 wakazi walikuwa wamejiunga na Matengenezo ya Kiprotestanti na kuwa Waluthe ...

                                               

Gibraltar

Gibraltar ni eneo la ngambo la Uingereza ambalo linaundwa na rasi ndogo katika bahari ya Mediteranea kwenye ncha ya kusini ya rasi ya Iberia katika Ulaya ya Kusini. Imepakana na Hispania.

                                               

Greenock

Greenock ni mji na kituo cha usimamizi kilichopo katika eneo la baraza la Inverclyde huko Scotland na mahali pa zamani ndani ya mkoa wa kihistoria wa Renfrewshire, iliyoko magharibi ya kati, sehemu za chini za Scotland.

                                               

Guernsey

Guernsey ni kisiwa kikubwa cha pili kati ya Visiwa vya mfereji wa Kiingereza chenye wakazi 65.000. Kipo karibu na pwani la Ufaransa lakini ni eneo chini ya taji la Uingereza isipokuwa si sehemu ya Uingereza mwenyewe. Mji wa pekee ni St Pierre Por ...

                                               

Halkidiki

Halkidiki ni rasi ya Ugiriki ya kaskazini inayoingia katika bahari ya Mediteranea kwa umbo la mkono mwenye vidole vitatu. Kidole upande wa mashariki ni Athos inayojulikana kama jamhuri ya Wamonaki; ni kama jimbo la kujitegemea linalosimamiwa na U ...

                                               

Hekla

Hekla ni volkeno iliyopo kusini mwa Iceland yenye kimo cha mita 1491. Umbo la mlima ni refu: linafanana na safu yenye urefu wa kilomita 40 na kuna kasoko mbalimbali. Hekla ni volkeno hai inayojulikana kuwa ililipuka zaidi ya mara 20 tangu mnamo m ...

                                               

Hungaria

Hungaria kwa Kihungaria Magyarország ni nchi ya Ulaya ya Kati yenye wakazi milioni 10 wanaozidi kupungua. Imepakana na Austria, Slovakia, Ukraine, Romania, Serbia, Kroatia na Slovenia. Mji mkuu ni Budapest. Miji mingine muhimu ni Miskolc, Debrece ...

                                               

Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini

Jamhuri ya Kituruki ya Kupro ya Kaskazini ni nchi isiyotambuliwa na jumuiya ya kimataifa iliyoko sehemu ya kaskazini ya kisiwa cha Kupro. Eneo lake ni 3.335 km² kuna wakazi lakhi mbili karibu wote ni Waturuki pamoja na Wagiriki 3.000 waliobaki kw ...

                                               

Jamhuri ya Masedonia Kaskazini

Jamhuri ya Masedonia Kaskazini jina jipya lililoanza kutumika mnamo Februari 2019; kwa Kimasedonia: Република Северна Македонија, Republika Severna Makedonija; kwa Kialbania: Republika e Maqedonise se Veriut ni nchi kwenye rasi ya Balkani katika ...

                                               

Kharkov

Kharkiv ni mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine. Iko kaskazini mwa Ukraine. Ni mji wa elimu, taasisi za kisayansi, viwanda vingi na kitovu cha njia za usafiri. Mji ulianzishwa mwaka 1655. Idadi ya wakazi ilikuwa 1.449.000 mwaka 2010.

                                               

Kiev

Kiev ni mji mkuu wa Ukraine na pia mji mkubwa wa nchi hii wenye wakazi milioni mbili. Iko kando la mto Dnepr kwa 50°27′00″N, 30°31′24″E.

                                               

Kishineu

Kishineu ; kwa mwandiko wa kikirili Кишинэу, kwa Kirusi Кишинёв "kishinyev") ni mji mkuu, pia mji mkubwa wa Moldova wenye wakazi 600.000.

                                               

Kislavoni cha Magharibi

Kislavoni cha Magharibi ni kundi la lugha za Kislavoni zinazozungumzwa katika Ulaya ya Kati-Mashariki. Ni hasa lugha tatu za kitaifa ambazo ni Kicheki nchini Ucheki Kislovakia nchini Slovakia. Kipoland nchini Poland Kuna tena lugha mbili za kiene ...

                                               

Konstantinopoli

Konstantinopoli ni mji ulioanzishwa na Wagiriki wa kale kwa jina la Bizanti mnamo 660 KK ukapewa na Kaisari Konstantino jina lake mwenyewe na kufanywa mji mkuu wa Dola la Roma kuanzia mwaka 330 BK. Baadaye ukabaki mji mkuu wa Dola la Roma la Mash ...

                                               

Kopenhagen

Kopenhagen ni mji mkuu wa Denmark pia mji mkubwa wa nchi na kitovu cha utawala, uchumi na utamaduni.

                                               

Kosovo

Kosovo ni nchi ndogo ya Balkani katika Ulaya ya kusini-mashariki. Imepakana na Serbia, Masedonia Kaskazini, Albania na Montenegro. Mji mkuu ni Prishtina.

                                               

Krim

Krim ni rasi upande wa kaskazini wa Bahari Nyeusi yenye eneo la km² 26.100. Kisiasa ni jimbo la kujitawala ndani ya nchi ya Ukraine na jina rasmi ni "Jamhuri ya kujitawala ya Krim". Tangu mwaka 2014 ilivamiwa na kutekwa na jeshi la Urusi na kutan ...

                                               

Kroatia

Kroatia pia Korasia, kwa Kikroatia: Republika Hrvatska ni nchi ya Ulaya ya kusini-mashariki. Imepakana na Slovenia, Hungaria, Serbia, Bosnia na Herzegovina na Montenegro. Ngambo ya kidaka cha Adria iko Italia. Mji mkuu ni Zagreb. Kroatia ilikuwa ...

                                               

Kurów

Ukitafuta mji wa New Zealand uone Kurow. Kurów ni kijiji katika Poland ya Kusini-Mashariki kwenye mto wa Kurowka. Iko katikati ya miji ya Pulawy na Lublin katika wilaya ya Lublin. Ina wakazi 2811. Katika karne ya 15 BK kijiji kilipewa cheo cha mj ...

                                               

Liechtenstein

Utemi wa Liechtenstein kwa Kijerumani: Fürstentum Liechtenstein ni nchi ndogo katika Ulaya ya Kati. Imepakana na Uswisi na Austria. Ni ya sita kati ya nchi huru ndogo zaidi duniani. Mji mkuu ni Vaduz wanapoishi wakazi 5000.

                                               

Lituanya

Lituanya au Lituania ni nchi huru iliyoko Kaskazini Mashariki mwa Ulaya. Inajulikana rasmi kama Jamhuri ya Lituania. Inapakana na Latvia, Belarus, Polandi na Russia. Ni mwanachama wa Umoja wa Ulaya. Mji mkuu wa Lituania ni Vilnius.

                                               

Luxemburg (mji)

Luxemburg ni mji mkuu wa Utemi wa Luxemburg katika Ulaya ya Kati. Mji ulikuwa na wakazi 76.420 mnamo mwaka 2005. Iko katika kusini ya nchi ambako mito ya Alzette na Pétrusse inaungana. Mji wa Luxemburg ni kati ya miji tajiri za Ulaya. Uchumi umek ...

                                               

Lyublyana

Lyublyana ni mji mkuu pia mji mkubwa wa Slovenia mwenye wakazi 265.000. Iko kati ya milima ya Alpi na Bahari ya Mediteranea. Lyublyana ni kitovu cha kijiografia na ya uchumi, utamaduni na siasa ya Slovenia. Mji ulianzishwa zamani za Dola la Roma ...

                                               

Mfereji wa Kiingereza

Mfereji wa Kiingereza ni mlango wa bahari kati ya Uingereza na Ufaransa. Urefu wake ni 560 km na sehemu nyembamba ni mlango wa Dover mwenye upana wa 34 km. Unaunganisha Bahari ya Kaskazini na Atlantiki upande wa kusini ya Britania.

                                               

Moldova

Moldova ni nchi ya Ulaya ya Mashariki. Inapakana na Ukraina na Romania. Eneo lake ni la km 2 33.843, ingawa Transnistria imejitenga kwa msaada wa Urusi. Mji mkuu ni Chișinău.

                                               

Mont Blanc

Mont Blanc ni mlima mkubwa wa Alpi wenye kimo cha mita 4.810 juu ya usawa wa bahari. Iko kwenye mpaka wa Italia na Ufaransa ikiwa nchi hizo mbili hazikubaliani kilele kiko upande gani. Mont Blanc hutajwa mara nyingi kama mlima mkubwa wa Ulaya lak ...

                                               

Montenegro

Montenegro yaani Mlima mweusi kwa lugha ya Kiitalia; kwa Kimontenegro: Црна Гора au Crna Gora ni nchi ndogo ya Ulaya kwenye rasi ya Balkani. Ina pwani ya Mediteranea na inapakana na Albania, Kosovo, Kroatia, Serbia, Bosnia na Herzegovina na Mased ...

                                               

Moravia

Moravia ni mkoa wa kihistoria mashariki mwa Ucheki. Jina limetokana na mto Morava. Jina la Moravia linatumiwa na Kanisa la Kiprotestanti linalojulikana katika nchi nyingi kama "Kanisa la Moravian". Pamoja na Bohemia eneo la Moravia ni sehemu muhi ...

                                               

Mto Conwy

Mto Conwy kwa Kiwelisi: Afon Conwy ; wakati mwingine hujilikana kama "Conway" ni mto kaskazini mwa Wales. Kutoka chanzo chake hadi mwisho wake katika Bay Conwy una urefu kidogo juu ya 27 miles 43 km. Huanzia katika Migneint ambapo mito midogo kad ...

                                               

Mto Tajo

Mto Tajo pia: Tejo ; kwa Kihispania: Tajo; kwa Kireno: Tejo; kwa Kiingereza: Tagus ni mto mrefu zaidi katika rasi ya Iberia yaani kwenye nchi za Hispania na Ureno. Urefu wake ni km 1.007 kwa jumla, ikiwa km 716 ziko nchini Hispania na km 275 huko ...

                                               

Nchi za Kibalti

Nchi za Kibalti ni jina la kujumlisha nchi tatu upande wa mashariki wa Bahari Baltiki ambazo ni Estonia Latvia Lituanya. Zote tatu zilikuwa na historia ambako utawala juu yao ulipiganiwa kati ya Ujerumani, Poland, Uswidi na Urusi. Tangu karne ya ...

                                               

Nikosia

Nikosia ni mji mkuu wa Kupro pia mji mkubwa wa nchi. Mji umegawiwa tangu vita ya 1974 kuna sehemu ya kigiriki upande wa kusini yenye wakazi 270.000 na sehemu ya kituruki upande wa kaskazini yenye wakazi 80.000. Mpaka hulindwa na wanajeshi wa UM. ...

                                               

Norwei

Unowe auː Norwe, Norwei ; kwa Kinorwei Norge / Noreg ; jina rasmi ni Ufalme wa Unowe ː Kongeriket Norge kwa Bokmål na Kongeriket Noreg kwa Nynorsk ni nchi ya Skandinavia katika Ulaya ya Kaskazini. Imepakana hasa na Uswidi, ila katika ncha ya kask ...

                                               

Nyanda za Chini za Ulaya ya Kaskazini

Nyanda za Chini za Ulaya Kaskazini ni eneo la Ulaya ya Kati, hasa katika Poland, Denmark, Ujerumani, Ubelgiji, Uholanzi, pamoja na sehemu ndogo ya kaskazini mwa Ufaransa na Ucheki. Yote hayo ni maeneo ya kimo cha chini kati ya Bahari ya Kaskazini ...

                                               

Oresund

Oresund ni mlangobahari unaotenganisha kisiwa cha Zealand katika Denmark na jimbo la Skone katika Uswidi. Oresund ni moja kati ya milango mitatu ya bahari inayopita katika visiwa vya Denmark na kuunganisha Bahari ya Kaskazini na Bahari ya Baltiki ...