ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 177
                                               

PewDiePie

Felix Arvid Ulf Kjellberg ni YouTuber, mchekeshaji, mcheza michezo, na mpenda uhisani wa Uswidi anayeishi Uingereza anayejulikana haswa kwa video zake za Tucheze na maonyesho ya muundo wa comedic. Baada ya kusajili kituo chake cha jina la YouTube ...

                                               

Fredinah Peyton

Fredinah Peyton ni mwanamuziki wa Rap na Hip Hop kutoka nchini Tanzania. Rah P alizaliwa mwaka 1986 mkoani Shinyanga akiwa mtoto wa pili kati ya watoto wanne wa mzee Peyton, akiwa amepatia elimu yake ya msingi nchini Kenya na kuhitimu kidato cha ...

                                               

Phil Jagielka

Phil Jagielka ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katika klabu ya Everton na timu ya taifa ya Kiingereza. Jagielka pia ni nahodha wa Everton. Jagielka alianza kazi yake na Sheffield United mwaka 2000, ambapo alicheza hasa kama kiungo ...

                                               

Philbert Aimé Mbabazi

Philbert Aimé Mbabazi Sharangabo ni Mnyarwanda mtengenezaji wa filamu. Ametengeneza sinema fupi kadhaa maarufu ikiwa ni pamoja na "The Liberators", "Versus" na "I Got My Things And Left".

                                               

Philipp Lahm

Philipp Lahm ni mchezaji mstaafu wa soka wa Ujerumani ambaye alicheza kama mchezaji wa haki au kiungo cha kujihami na alitumia muda mwingi katika kazi yake ya kucheza mpira. Alikuwa nahodha wa Bayern Munich, baada ya kubeba makombe mengi ikiwa ni ...

                                               

Pierre Emerick Aubameyang

Pierre Emerick Aubameyang ni mchezaji wa soka wa Gabon ambaye anacheza klabu ya Uingereza Arsenal na maakida wa timu ya taifa ya Gabon. Alizaliwa huko Laval kama mwana wa nahodha wa zamani wa Gabon Pierre Aubameyang, Aubameyang alianza kazi yake ...

                                               

Pierre-Emile Hojbjerg

Pierre-Emile Hojbjerg ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Southampton. Alicheza kama kijana kwa BK Skjold, F.C. Copenhagen na Brondby IF kabla ya kujiunga na klabu ya Ujerumani Bayern Munich mwaka 2012. Alifanya ...

                                               

Mizengo Kayanza Peter Pinda

Mizengo Kayanza Peter Pinda ni mwanasiasa nchini Tanzania. Alikuwa mbunge tangu mwaka 2000 hadi 2015 na kuwa Waziri Mkuu wa nchi tangu Februari 2008 hadi 2015 alipostaafu siasa.

                                               

Diamond Platnumz

Nasibu Abdu Juma Issack ni mwimbaji wa nyimbo za Bongo Flava na dansa kutoka nchini Tanzania. Ni mwimbaji na mtunzi wa muziki wa Kitanzania ambaye ana uwezo mkubwa wa kiushindani zaidi ya wasanii wa mataifa mengine. Hivyo ana mashabiki wengi ndan ...

                                               

Plies

Algernod Lanier Washington anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Plies, ni rapa wa Marekani na mwanzilishi Rekodi ya wa Rekodi ya Big Gates Baada ya kuacha chuo, yeye alianzisha Rekodi ya Big Gates pamoja na ndugu yake. Alitia mkataba na kui ...

                                               

Yevgeniya Polyakova

Yevgeniya Yevgeniyevna Polyakova Polyakova aliwakilishwa Urusi katika Olimpiki ya 2008 iliyokuwa Beijing,Uchina.Alishiriki katika mbio ya 100m. Katika awamu ya kwanza ya mbio za kuhitimu,alichukua nafasi ya kwanza mbele ya Jade Bailey wa Barbados ...

                                               

Polycarp Pengo

Polycarp Pengo ni kardinali wa pili kutoka Tanzania, akiwa aliteuliwa mara baada ya kifo cha Laurean Rugambwa, kardinali wa kwanza kutoka kusini kwa Sahara.

                                               

DJ Pooh

Mark Jordan, anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Pooh ni mtayarishaji wa rekodi za muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani,mwigizaji wa sauti, mghani, mwandishi muswaada andishi, mwigizaji na mwongozaji wa filamu. Anafahamika sana ...

                                               

Steve Porcaro

Steven Maxwell "Steve" Porcaro ni mpigaji kinanda na mtunzi wa nyimbo ambaye alikuwa mwanachama halisi wa bendi ya muziki wa rock/pop, Toto.

                                               

Franka Potente

Franka Potente ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Ujerumani. Alianza kuonekana kwa mara ya kwanza katika vichekesho vya Its a Jungle Out There na kuanza kupata kutambulika zaidi baada ya kucheza katika filamu ya kutisha ya Lola Rennt. Baada ya ...

                                               

Beata Poźniak

Alipokuwa mtoto mchanga, Beata alilelewa kule Poland katika enzi za Ukomunisti, kisha akahamia Marekani akaanza kufanya kazi katika eneo la filamu na televisheni. Alicheza kama Marina Oswald katika filamu ya Oliver Stone iitwayo "JFK". Baada ya h ...

                                               

Pras

Prakazrel Samuel Michel, anajulikana kama Pras, ni mshindi wa Tuzo ya Grammy akiwa kama rapa, mwigizaji na mtayarishaji bora wa muziki kutoka nchini Marekani. Pras vilevile ni mmoja kati ya wanakundi la muziki wa hip hop maarufu kama The Fugees, ...

                                               

Tha Trademarc

Marc Predka, ambaye anajilikana kwa jina la kisanii kama Tha Trademarc, ni mwanamuziki wa Rap kutoka Marekani. Mara ya kwanza kujulikana kwa umaarufu ilikuwa wakati yeye na binamu yake wa kwanza mwanamiereka wa WWE John Cena walishirikiana mnamo ...

                                               

DJ Premier

Christopher Edward Martin ni mtayarishaji wa rekodi na DJ kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Premier, na mtengenezaji wa muziki wa kundi la watu wawili Gang Starr, akiwa pamoja na rapa/mwimbaji Guru. Kiasil ...

                                               

Vladimir Putin

Vladimir Vladimirovich Putin ni mwanasiasa nchini Urusi. Mara tatu alichaguliwa kuwa Rais wa Shirikisho la Urusi, mara ya mwisho tarehe 7 Mei 2012; awamu za kwanza zilikuwa kutoka 2000 hadi 2008. Kuanzia Agosti 1999 hadi Mei 2000, tena kuanzia 20 ...

                                               

Párvusz

Párvusz ni msanii wa uchoraji picha kutoka nchini Hungaria. Amesomea mambo haya mjini Budapest na Szeged. Yeye ni Mkristo, hivyo Wakristo wengi hutumia picha zake katika maigizo. Staili yake kubwa ni ile ya kutumia wino mweusi wa Kihindi. Pia kun ...

                                               

Q-Tip

Kamaal Ibn John Fareed, anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Q-Tip, ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka mjini St. Albans, Queens, New York huko nchini Marekani. Ni mmoja kati ya wanachama matata kabisa wa kundi zima la hip hop la A T ...

                                               

Queen Darleen

Mwanahawa Abdul Juma ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania. Queen alianza muziki mwanzoni mwa miaka ya 2000 akiwa ameshirikishwa na Dully Sykes katika wimbo wake wa Historia ya Kweli au maarufu Sharifa na Mtoto wa Geti Kali w ...

                                               

Quincy Promes

Quincy Anton Promes ni mchezaji wa soka wa Uholanzi ambaye anacheza kama winga au mshambuliaji wa klabu ya Hispania iitwayo Sevilla na timu ya taifa ya Uholanzi.

                                               

Radamel Falcao

Radamel Falcao ni mchezaji wa soka wa Kolombia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Monaco na timu ya taifa ya Kolombia. Falcao alianza kazi yake akiwa na umri wa miaka 13 huko Lanceros Boyacá, kabla ya kuhamia klabu ya Argentina iitwayo ...

                                               

Lucas Radebe

Radebe alizaliwa katika sehemu ya Diepkloof ya Soweto, karibu na Johannesburg, kama mmoja wa watoto kumi na moja. Alipokuwa na umri wa miaka 15 alitumwa "bantustan" wa Bophuthatswana na wazazi wake ili kumweka mbali na ghasia ambazo zilikuwa zina ...

                                               

Michael Radford

Michael Radford ni mtunzi wa michezo ya screen na mwongozaji wa filamu wa Uingereza. Babake ni wa asili ya Uingereza na mamake ana asili ya Austria- myahudi.

                                               

Raekwon

Corey Woods ni msanii wa rap na hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Raekwon. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip la Wu-Tang Clan. Alitoa albamu yake ya kwanza akiwa kama msanii w ...

                                               

Rafinha

Márcio Rafael Ferreira ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anachezea katika klabu ya Bayern Munich FC na timu ya taifa ya Brazil. Yeye anajulikana kama mlinzi mwenye ujuzi na ujuzi bora wa kucheza, kasi ya haraka na mashuti yenye nguvu.

                                               

Raheem Sterling

Raheem Shaquille Sterling ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anachezea timu ya Manchester City na timu ya taifa ya Uingereza. Alipokea tuzo ya Golden boy mwaka 2014 kutoka kwa waandishi wa habari wa pan huko London, wakimtambua kuwa mchezaji ...

                                               

Rahul Bose

Rahul Bose ni muigizaji wa filamu kutoka Uhindi, mkurugenzi, screenwriter, mwanaharakati na mchezaji raga. Bose alitumia utoto wake katika Bangalore, Karnataka, na kisha kuhamia Mumbai na familia yake.

                                               

Mr. Blue

Khery Sameer Rajab ni msanii wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka nchini Tanzania. Alifanikiwa kujizolea umaarufu mkubwa huku akipendwa na wapenzi na mashabiki, mara tu baada ya kuingia katika fani ya muziki na wimbo wake Mr Blue. Ambapo ba ...

                                               

Rajnath Singh

Rajnath Singh ni mwanasiasa wa India anayefanya kazi kama Waziri wa Ulinzi wa India. Hapo awali aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa Uttar Pradesh na kama Waziri wa Baraza la Mawaziri katika Serikali ya Vajpayee. Alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani katika Wi ...

                                               

Ramadhan M. Nyembe

Alitokea familia ya Mohamed Ally Nyembe 1930 – 1999 na Asha Ramadhani Kitindi mama wa nyumbani, iliyobahatika kuwa na watoto wanane, saba wakiwa wangali hai. Wazazi wake ni mchanganyiko wa makabila ya Waluguru na Wavidunda, kutoka mkoa wa Morogor ...

                                               

Isha Ramadhani

Isha Ramadhani ni mwimbaji na mtunzi mahiri wa nyimbo za taarab kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa kuwa mmoja kati ya walioanzisha kundi zima la taarab la Jahazi Modern Taarab. Kundi ambalo linaongozwa na Mzee Yusuf. Bi. Isha alizaliwa ...

                                               

Gianluca Ramazzotti

Gianluca Ramazzotti ni mwigizaji wa filamu, vipindi vya televisheni, na mtengenzaji wa vibwagizo vya filamu kutoka nchini Italia.

                                               

Mark Randall

Mark Leonard Randall na ni mchhezaji wa Uingereza anayechezea \timu ya Ligi Kuu ya Uingereza ya Arsenal.Yeye hucheza kama mchezaji wa kati anayelinda ama mchezaji wa upande wa kulia wa kati.

                                               

Michael Ranneberger

Michael E. Ranneberger ndiye Balozi wa Marekani wa sasa nchini Kenya. Alithibitishwa na bunge tarehe 29 Juni 2006 na kuanza kazi moja kwa moja mnmao 11 Agosti 2006. Yeye pia ana wajibu kwa uhusiano wa Marekani na Somalia. Mheshimiwa Ranneberger a ...

                                               

Kool G Rap

Nathaniel Thomas Wilson, anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Kool G Rap, Kool G. Rap, na Giancana, ni rappa, kutoka mjini Corona jirani na mji wa Queens, New York huko nchini Marekani. Ameanza shughuli zake za kurap katikati mwa miaka ...

                                               

Rayvanny

"Rayvanny" alianza kujulikana kupitia wimbo wake "Kwetu" si siku nyingi sana tangu Harmonize atoe wimbo wake wa Bado. Baadaye Natafuta Kiki, Sugu ambayo imetolewa kama wimbo wa ziada tu hasa ukizingatia umechukua biti ya Bow Wow Whats My Name. Ha ...

                                               

Raúl Blanco

Raúl Gonzalez Blanco ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Hispania na klabu ya Real Madrid. Alicheza kama mshambuliaji. Anajulikana kama mchezaji muhimu wa muda wote katika historia ya timu ya klabu ya Real Madrid. Akiwa Re ...

                                               

Raúl Jiménez

Raúl Jiménez ni mchezaji wa soka wa Mexiko ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Uingereza Wolverhampton Wanderers, kwa mkopo kutoka Benfica, na wa timu ya taifa ya Mexico.

                                               

Reekado Banks

Ayoleyi Hanniel Solomon ni mwimbaji na mwandishi wa nchini Nigeria. Alisaini mkataba na Mavin Records 2014 na akaacha lebo hiyo 2018. Alienda kwa jina la Spice kabla ya rekodi yake ya kushughulikia rekodi ya Mavin. Albamu yake ya studio ya kwanza ...

                                               

Keanu Reeves

Keanu Charles Reeves ni mwigizaji wa filamu na tamhiliya kutoka nchini Kanada. Anafamika zaidi kwa kucehza kama Neo kutoka katika mfululizo wa filamu za Matrix. Pia anajulikana tena kwa kucheza kama Ted kutoka katika filamu ya Bill & Teds Excelle ...

                                               

Rehema Nanfuka

Rehema Nanfuka ni mwigizaji wa sinema, mkurugenzi, na mtengenezaji wa filamu wa Uganda anayejulikana kwa majukumu yake katika Imani, Wish ya Veronica, Imbabazi, Haunted Souls, The Road We Travel,Queen of Katwe, Imperial Bluekati ya filamu zingine ...

                                               

Renato Sanches

Renato Júnior Luz Sanches ni mchezaji wa soka wa Ureno ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Ujerumani Bayern Munich na timu ya kitaifa ya Ureno. Alianza kazi yake soka Benfica. timu hiyo ilishinda kombe la Taa da Liga. Kisha alikubali kusonga ...

                                               

Renatus Leonard Nkwande

Renatus Leonard Nkwande ni Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza nchini Tanzania tangu Mei 12, 2019.

                                               

Jeremy Renner

Jeremy Lee Renner ni mwigizaji wa filamu na vilevile mwanamuziki kutoka nchini Marekani. Renner ameonekana kwenye filamu katika kipindi cha miaka ya 2000, hasa katika nyusika za usaidizi, kama vile kwenye Dahmer, S.W.A.T., Neo Ned, na 28 Weeks La ...

                                               

Rethabile Ramaphakela

Rethabile Ramaphakela ni mwigizaji na muongozjai wa filamu wa Afrika Kusini. Anajulikana zaidi kama muongozaji na mtayarishaji wa filamu na tamthilia mbalimbali za televisheni ya Bedford Wives na The Bang Club.

                                               

Ricardo Carvalho

Ricardo Alberto Silveira de Carvalho OIH ni mchezaji aliyestaafu wa Ureno ambaye alicheza kama kituo cha nyuma. Carvalho alianza kazi yake huko Porto ambapo alipata mkopo kwa Leça, Vitória de Setúbal na Alverca, kabla ya kushinda nyara za ndani n ...