ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 174
                                               

Munir El Haddadi

Munir El Haddadi ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama mshambulijai wa klabu ya Barcelona F.C.

                                               

David Munyasia

David Munyasia ni Bondia wa Kenya. Yeye ni bondia wa kwanza kupatikana na makosa ya kuvunja kanuni za Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki ya kutotumia visisimua misuli, wakati wa mashindano ya Olimpiki ya 2004 kule Athens. Mnamo Agosti 10, 2004, Kama ...

                                               

Caterina Murino

Alizaliwa mjini Cagliari, Sardinia, nchini Italia. Yeye mwanzowe alitaka kuwa daktari, lakini alibadilisha kazi yake na kuingilia kazi ya upambe beauty pageants baada ya kutofaulu mtihani wa kiingilio wa kusomea udaktari. Yeye alikuwa nambari ya ...

                                               

Eddie Murphy

Edward "Eddie" Regan Murphy ni mwigizaji wa filamu, mchekeshaji, na mwimbaji kutoka nchini Marekani. Eddie, pia amewahi kupata Tuzo ya Golden Globe mnamo mwaka wa 2006 na pia aliwahi kushindanishwa katika ugawaji wa Tuzo ya Academy mnamo mwaka wa ...

                                               

Kiraitu Murungi

Murungi alizaliwa mjini Meru. Yeye alisomea shule za Upili Chuka High School na Alliance High School, kisha akatoka katika Chuo Kikuu cha Nairobi na kufuzu kama shahada ya Sheria mwaka wa 1977 na kama Mwalimu wa Sheria mwaka wa 1982. Yeye baadaye ...

                                               

Gaspard Musabyimana

Rwanda: le mythe des mots LHarmattan, 2008 La vraie nature du FPR. DOuganda en Rwanda LHarmattan, 2003 Rwanda, le triomphe de la criminalité politique LHarmattan, 2009 Sexualité, rites et moeurs sexuels de lancien Rwanda. Une facette de la cultur ...

                                               

Musetta Vander

Mnamo mwaka 1991 Vander alipata jukumu lake la kwanza mashuhuri, akimuonyesha Zander Tyler katika vipindi saba vya safu ya runinga ya kusisimua katika filamu ya Super Force. Mnamo mwaka 1997, Vander alionyeshwa kama Sindel katika filamu ya Mortal ...

                                               

Mussa Zungu

Mussa Azzan Zungu ni mwanasiasa wa chama cha CCM nchini Tanzania na ni mbunge wa jimbo la Ilala tangu mwaka 2005. Tarehe 23 Januari 2020 aliteuliwa na rais John Magufuli kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.

                                               

Haru Mutasa

Haru Mutasa ni mtangazaji wa Al Jazeera ya Kiingereza, afisi ya Nairobi. Al Jazeera ya Kiingereza ni stesheni ya kwanza inayotoa habari kwa lugha ya Kiingereza iliyo na makao yake makuu katika nchi ya Kiarabu. Yeye amewahi kufanya kazi na South A ...

                                               

Muthoni Gathecha

Muthoni Gathecha ni mwigizaji wa kike wa filamu kutoka Kenya. Alishiriki katika tamthilia tofauti za televisheni nchini Kenya.

                                               

Caroline Mutoko

Caroline Mutoko ni mtangazaji wa redio wa kituo cha redio cha Kiss FM. Yeye hupeperusha kipindi cha asubuhi "The Big Breakfast". alikuwa akikisimulia kipindi hicho pamoja na mwanazarakazi Walter Nyambane kabla Nyambane aamie kituo mojowapo cha Na ...

                                               

Henrie Mutuku

Mutuku alizaliwa mjini Nairobi mwaka 1978, mzaliwa wa kwanza na ndugu watatu kwa wazazi wao. Alikulia katika eneo la Eastlands, eneo ambalo linakaliwa na watu wengi wenye mapato ya chini katika mji wa Nairobi, na alipata kuaona mitindo mbalimbali ...

                                               

Witness

Witness Fred Mwaijaga ni msanii wa hip hop na rapa kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa kuwa mmoja kati ya washindi wa shindano la Coca Cola Pop Stars na mmoja wa waanzilishi wa kundi la muziki wa hip hop maarufu kama Wakilisha. Anavuma ...

                                               

Godfrey Mwakikagile

Godfrey Mwakikagile ni mwandishi Mtanzania aishiye nchini Marekani. Anajulikana hasa kwa kuandika wasifu wa rais Julius Kambarage Nyerere. Ameandika zaidi ya vitabu sabini. Vitabu vyake vingi vinatumiwa vyuoni katika nchi mbalimbali duniani. Amea ...

                                               

Miikka Mwamba

Miikka Aleksanteri Kari ni mtayarishaji wa muziki na mhandisi wa sauti toka nchini Ufini-Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kitayarishaji kama Miikka Mwamba. Miikka Mwamba ni mtayarishaji mashuhuri sana kwa nchi ya Tanzania, na ameweza ...

                                               

Mwanaidi Sinare Maajar

Mwanaidi Maajar ni mtaalamu wa sheria za ushirika, benki na fedha, sheria za rasilimali za asili ikiwa ni pamoja na madini, mafuta na gesi na sheria za nishati. Alipata shahada ya sheria mwaka 1977 na shahada ya uzamili ya sheria mwaka 1982 ambap ...

                                               

Lisa Jensen

Lisa Jensen ni mwanamitindo na mwigizaji kutoka nchini Tanzania. Lisa alipata kushiriki katika shindano la Miss Tanzania 2006 na kuibuka mshindi wa tatu, huku sehemu ya kwanza ikinyakuliwa na Wema Sepetu na ya pili Jokate Mwegelo. Katika upande w ...

                                               

Mwele Ntuli Malecela

Mwele Ntuli Malecela alizaliwa tarehe 26 Machi 1963 alikuwa mkurugenzi wa taasisi ya tafiti za kiafya Tanzania NIMRI). Aliwania nafasi ya mgombea wa uraisi kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.Kuanzia Aprili 2017 Mwe ...

                                               

Andrew Mwenda

Andrew Mwenda ni mwandishi wa habari Uganda. Yeye alihudhuria Chuo cha Busoga Mwiri mashariki mwa Uganda kabla ya kuhudhuria Chuo Kikuu cha Makerere. Alikamatwa na kutolewa na dhamana na serikali ya Uganda kwa ajili ya "kumiliki vifaa na kuchapis ...

                                               

Ali Hassan Mwinyi

Ali Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa pili wa Tanzania kuanzia mwaka 1985 hadi 1995. Aliyemtangulia ni Mwalimu Julius Nyerere, na aliyemfuata ni Benjamin Mkapa. Pia alikuwa mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kuanzia mwaka 1990 hadi 1996. Kabla ya hapo ...

                                               

Hussein Ali Mwinyi

Hussein Ali Mwinyi ni tabibu na mwanasiasa nchini Tanzania aliyechaguliwa kuwa rais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Baada ya kipindi cha kazi ya tiba aliingia katika siasa kwa kuchaguliwa mbunge wa Mkuranga Mkoa wa Pwani mwaka 200 ...

                                               

David Mwiraria

David Mwiraria alikuwa Waziri wa Mazingira na Maliasili na awali alikuwa Waziri wa Fedha wa Kenya hadi Desemba 2007 wakati Kenya ilifanya Uchaguzi wake Mkuu. Licha ya kugombea tena na tikiti ya Party of National Unity, alishindwa kukihifadhi kiti ...

                                               

Mýa

Mýa Marie Harrison ni mwimbaji muziki wa R&B, mtunzi wa nyimbo, menguaji, mtayarishaji wa rekodi, na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Alizaliwa na kukulia mjini Washington, D.C., labamu yake ya kwanza iliitwa jina sawa na lake. Ilitolewa ...

                                               

Mzee Small

Said Ngamba au Mzee Small alikuwa msanii wa maigizo na vichekesho kutoka nchini Tanzania. Huenda akawa anaaminika zaidi kuwa mmoja wa wasanii wakongwe kwa nchi ya Tanzania, hasa katika fani ya uchekeshaji ambayo sasa inachezwa zaidi na vijana.

                                               

Nabil Fekir

Fekir alijiunga na chuo cha vijana wa Olympique Lyonnais akiwa na umri wa miaka 12, na miaka miwili baadaye aliachiliwa kwa kuwa hana nguvu. Hapo alihamia Vaulx-en-Velin akaendelea na kazi yake ya ujana huko Saint-Priest, ambako alifuatiliwa na w ...

                                               

Teymoor Nabili

Teymoor Nabili ni mwanahabari mkuu wa Al Jazeera ya Kiingereza kaitika makao ya Kuala Lumpur. Wanahabari wenzake katika kituo hiki ni Divya Gopalan, Laura Kyle na Verónica Pedrosa. Yeye pia ni mtangazaji wa kipindi cha 101 East ambacho huzingatia ...

                                               

Nacer Chadli

Nacer Chadli ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji ambaye anacheza kama winga wa klabu ya michuano ya West Bromwich Albion F.C iliyopo nchini Uingereza na timu ya taifa ya Ubelgiji. Alianza kazi yake katika Uholanzi Eerste Divisie na AGOVV Apeldoorn na ...

                                               

Nacho

Nacho José Ignacio Fernández, ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea Real Madrid na timu yake ya taifa ya Hispania hasa kama kiungo wa kati lakini pia kama beki wa kulia na wa kushoto. Nacho alishinda kikombe cha kwanza na kikosi cha Hi ...

                                               

Nacho Monreal

Nacho Monreal Eraso ni mchezaji wa kitaalamu wa Hispania ambaye anacheza kama mchezaji wa kushoto na mlinzi wa kati wa klabu iliyopo nchini Uingereza iitwayo Arsenal FC na timu ya taifa ya Hispania. Alianza kucheza klabu ya Osasuna mwaka 2005, ak ...

                                               

Titus Naikuni

Titus Naikuni ni Mkurugenzi na Naibu Mkuu wa Kundi la Kenya Airways. Tito ana shahada ya Sayansi na Digirii ya hueshima katika Mechanical Engineering kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi.Yeye pia ni mhitimu wa Shule ya Biashara ya Harvard katika program ...

                                               

Nonini

Nonini jina lake haswa ni Hubert Nakitare, ni msanii wa nyimbo aina ya hip hop kutoka nchini kenya awali akisajiliwa na calif records,lakini baadaye alijiunga na homeboyz productions. Yeye alijitosa kwenye ulingo wa muziki wa mijini nchini Kenya ...

                                               

Nampalys Mendy

Nampalys Mendy ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika timu ya Leicester City F.C, pia ni mchezaji wa zamani wa Ufaransa wa vijana chini yqa miaka 21. Kutokana na hali yake kubwa ya usambazaji mpira kama namba 6 ...

                                               

Ababu Namwamba

Pius Tawfiq Namwamba Ababu ni mwanasiasa wa Kenya. Mwanachama wa Orange Democratic Movement Namwamba alichaguliwa kuwakilisha Budalangi Constituency katika Bunge la Kenya katika uchaguzi wa ubunge wa Kenya, 2007. Ababu Namwamba ni Mwanasheria wa ...

                                               

Nandy

Nandy ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Tanzania. Mwaka wa 2017 alishinda tuzo ya All Africa Music Awards katika kundi la wasanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki.

                                               

Nani

Luís Carlos Almeida da Cunha ni mwanakandanda winga wa Ureno na anazichezea klabu ya Orlando City SC katika Ligi Kuu na timu ya taifa ya kandanda ya Ureno. Yeye anawakilisha Ureno katika soka ya kimataifa, na amecheza mara zaidi ya 100 kwa timu y ...

                                               

Naomi Nganga

Naomi Wambui Nganga ni mwigizaji, mtayarishaji na mtangazaji wa vipindi vya redio kutoka nchini Kenya.

                                               

Nash MC

"Mutalemwa Jason Theobard Mushumbusi" ni msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Tanzania. Ni msanii mwenye msimamo wa mrengo wa kushoto. Muundo wa mashairi yake ni kusimamia misingi ya utetezi wa wanyonge wa Tanzania. Tungo za kukemea maovu wa ...

                                               

Samir Nasri

Samir Nasri ni mchezaji wa kandanda wa kimataifa wa Ufaransa ambaye anaichezea klabu ya Arsenal katika ligi kuu ya Uingereza. Yeye hutumia mguu wa kulia sanasana kucheza, na kwa ujumla hucheza kama mshambulizi mpana katika klabu yake ya Arsenal, ...

                                               

Nassima Saifi

Nassima Saifi ni mwanariadha mlemavu kutoka nchini Algeria. Anashindana hasa katika mchezo wa kurusha tufe na kurusha kisahani. Alipata medali ya dhahabu mbili katika fani zote mbili wakati wa michezo ya Paralimpiki akawa bingwa wa dunia mara tatu.

                                               

Natasha Sutherland

Natasha Sutherland amezaliwa Durban, Afrika Kusini,tarehe 20 Novemba mwaka 1970) ni mwigizaji wa Afrika Kusini. Anajulikana zaidi kwa majukumu yake katika vipindi vya maigizo katika runinga ikiwemo Honeytown, Tarzan: The Epic Adventures na Scanda ...

                                               

Nathan Redmond

Nathan Redmond ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza katika klabu ya Southampton na timu ya taifa ya Uingereza. Redmond alianza kazi yake kama kijana na Birmingham City. Alifanya timu yake ya kwanza katika Ligi dhidi ya Rochdale mnamo ...

                                               

Nathaniel Clyne

Nathaniel Edwin Clyne ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama beki wa kulia katika klabu ya Liverpool F.C na timu ya taifa ya Uingereza. Alianza kazi yake katika klabu ya Crystal Palace, alicheza mara kwa mara katika msimu wake kabl ...

                                               

Nature

Jermain Baxter, hujulikana kwa jina lake la kisanii kama Nature, ni rapa kutoka nchini Marekani. Hasa hujulikana kwa ushirikiano wake na rapa mzaliwa mwenzie kutoka huko mjini Queensbridge- rapa Nas na kuchukua nafasi ya Cormega katika kundi la T ...

                                               

Juma Nature

Juma Nature au Sir Nature ni mwanamuziki wa aina ya Bongo Flava na Hip Hop kutoka Tanzania. Ni mwanzilishi wa kundi la TMK. Nature ni msanii mbunifu: si mtunzi tu; pia ana kipaji cha kujaliwa na sauti nzuri ya uimbaji. Sababu nyingine zipelekeazo ...

                                               

Adnan Nawaz

Adnan Nawaz ni mtangazaji habari za michezo, anayefanya kazi kwa BBC. Yeye amewahi kutangaza kwa BBC News, nchini Uingereza, na BBC World News tangu mwaka 2001. Alijiunga na BBC News mwaka 2000. Yeye pia amekusanya michezo mingi zaidi ya juu ya m ...

                                               

Dugary Ndabashinze

Dugary Ndabashinze ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka nchini Burundi. Kwa sasa anaichezea Klabu ya K.R.C. Genk huko Ubelgiji. Klabu hiyo ni katika Klabu kubwa huko Ubelgiji. Dugary ni kiungo muhimu katika Timu ya Taifa ya Burundi. Al ...

                                               

Joyce Lazaro Ndalichako

Joyce Lazaro Ndalichako ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha CCM. Aliteuliwa na Rais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli kuwa mbunge na pia Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo y ...

                                               

Rose Ndauka

Rose Ndauka ni mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania. Rose ni mke wa Haffiyy Mkongwa na mama wa mtoto mmoja aitwaye Princess Naveen. Alipata elimu yake katika shule ya sekondari Zanaki - Dar es Salaam ambapo alimaliza mwaka 2008. Toka alipokuwa mdo ...

                                               

Anna Ndege

Anna Ndege ni mwanariadha Mtanzania aliyeshiriki mashindano ya mbio za urefu wa kati. Ubora wake wa kukimbia umbali wa mita 1500 kwa muda wa dakika 4:09.71. Vilevile ni miongoni mwa Watanzania wanaoshikilia rekodi ya mashindano ya riadha. Matokeo ...

                                               

Catherine Ndereba

Wincatherine Nyambura Ndereba ni mwanariadha maarufu ulimwenguni Mkenya. Alishinda Mbio refu za Boston mara nne na medali ya fedha katika Olimpiki ya mwaka 2004 na 2008. Ndereba akaivunja rekodi ya wanawake duniani mwaka 2001, kukimbia 2:18:47 ka ...