ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 16
                                               

Topolojia

Topolojia ni tawi la somo la hisabati. Linaelezea tabia za nafasi ambazo haziathiriwi na mabadiliko endelevu ya maumbo yao, kama vile mkunjuo au fundo. Somo hili limegawanyika katika matawi kadhaa, ambayo ni: topolojia ya kialjebra, topolojia ya ...

                                               

Ahmed Sékou Touré

Ahmed Sékou Touré alikuwa kiongozi wa kisiasa; mkuu wa PDG kutoka nchini Guinea. Alichaguliwa kama Rais wa kwanza wa Guinea akatumikia kuanzia mwaka 1958 hadi kifo chake 1984. Touré alikuwa miongoni mwa wazalendo wa awali wa Guinea waliojishughul ...

                                               

Trabzon

Trabzon ni mji uliopo katika eneo la pwani ya Bahari Nyeusi kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Huu ndio mji mkuu wa Mkoa wa Trabzon.

                                               

Trakoma

Trakoma ni ugonjwa wa maambukizi unaosababishwa na bakteria Klamidia trakomati. Maambukizi husababisha kukwaruza kwa sehemu ya ndani ya vigubiko vya macho. Huo mkwaruzo unaweza kusababisha maumivu ya macho, kuharibika kwa sehemu ya nje ya macho a ...

                                               

John Travolta

John Joseph Travolta ni mwigizaji, dansa na mwimbaji kutoka nchini Marekani. Ameanza kujulikana kwa mara yake ya kwanza kunako miaka ya 1970, baada ya kuonekana katika mfululizo wa televisheni. Mfululizo huo ni Welcome Back, Kotter na nyota katik ...

                                               

Trekta

Trekta ni gari maalumu linalotumiwa hasa katika kilimo. Kwa kawaida huwa na kiti kimoja cha dereva pekee na kusudi lake si usafiri wa watu lakini kuvuta au kuendesha mitambo mbalimbali au trela yenye mzigo. Nje ya kilimo hutumiwa katika uchumi wa ...

                                               

Trichuriasis

Trichuriasis ni ambukizo kutoka mnyoo-mjeledi. Kama uambukizo unatokana na minyoo michache, mara nyingi hakuna dalili zake. Kwa wale ambao wanaambukizwa na minyoo mingi, pengine maumivu ya fumbatio yanatokea, uchovu pamoja na kuharisha. Mara nyin ...

                                               

Trilojia ya Dollars

Trilojia ya Dollars, pia inajulikana kama Man with No Name Trilogy, ni mfululizo wa filamu unaojulisha filamu tatu za mtindo wa Spaghetti Western ambazo zote zimeongozwa na Sergio Leone. Filamu hizo ni zinaitwa A Fistful of Dollars, For a Few Dol ...

                                               

Tristan da Cunha

Tristan da Cunha ni jina la funguvisiwa lililoko kusini mwa Bahari ya Atlantiki na la kisiwa muhimu zaidi ya fungu hilo ambalo liko mbali kuliko yote na sehemu nyingine yoyote ya nchi kavu. Visiwa vina asili ya volikano. Wakazi wote ni 262 tu. Ki ...

                                               

Troa

Mtume Paulo akiwa na Sila alifikia eneo hilo katika safari yake ya pili ya kimisionari, kutoka Galatia kwenda Makedonia. Inawezekana huko Luka alianza kuongozana naye pia. Ni huko Troa kwamba Paulo, wakati wa ibada ya Jumapili, alimfufua Eutiko k ...

                                               

Troia

Troia ulikuwa mji wa Asia Ndogo zamani za Ugiriki ya Kale. Inajulikana kutokana na utenzi wa Iliadi ambamo mshairi Homer alisimulia habari za Vita ya Troia. Kwa karne nyingi mahali pa mji hapakujulikana ingawa watu wengi walijaribu kupakuta kwa s ...

                                               

Troy (filamu)

Troy ni filamu ya hali ya juu iliyotolewa mnamo tar. 14 Mei 2004. Filamu inahusu vita vya Trojan. Filamu inatokana na kitabu cha Homer cha Iliadi, lakini pia kimechanganya maufundi mengine kutoka katika kitabu cha Vergilio cha Aeneid na vyanzo vi ...

                                               

Donald Trump

Donald John Trump ni mfanyabiashara wa Marekani ambaye kuanzia tarehe 20 Januari 2017 hadi 20 Januari 2021 alikuwa rais wa 45 wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa tarehe 8 Novemba 2016 na kushindwa katika ule wa Novemba 2020.

                                               

Turkmenistan

Turkmenistan ni nchi ya Asia ya Kati. Jina limetokana na lugha ya Kiajemi; lamaanisha "nchi wa Waturkmeni". Imepakana na Afghanistan, Uajemi, Uzbekistan, Kazakhstan na Bahari Kaspi.

                                               

Tusker (pombe)

East African Breweries ni kampuni kubwa ya utengenezaji wa pombe Afrika Mashariki ambayo inamiliki asilimia 80% ya Kenya Breweries, 98.2% ya Uganda Breweries, 100% ya Central Glass - utengenezaji wa glasi, 100% ya Kenya Maltings na 46% ya Umoja D ...

                                               

Tutankhamun

Tutankhamun alikuwa farao wa Misri ya Kale. Alitawala tangu alipokuwa na umri wa miaka tisa hadi alipofariki dunia. Alikuwa farao wa nasaba ya 18 wakati wa Ufalme Mpya. Yeye ni mashuhuri kwa sababu kaburi lake ni kaburi pekee kati ya makaburi yot ...

                                               

Tuzo ya Nobel

Tuzo ya Nobel ni tuzo ya fedha kwa ajili ya mafanikio ya pekee katika fani mbalimbali. Ilianzishwa na Alfred Nobel. Tangu mwaka wa 1901 imetolewa kwa watu waliofaulu katika fani zifuatazo: Fizikia, Kemia, Tiba au Fiziolojia, Fasihi na Amani. Tang ...

                                               

Ubongo

Ubongo ndio kiini cha mfumo wa neva katika wanyama wote wenye ugwemgongo, na wengi wa wanyama wasio na ugwemgongo. Baadhi ya wanyama wasiositawi, kama vile konyeza na kiti cha pweza, wana mfumo wa neva uliogatuliwa bila ubongo, huku tipwatipwa wa ...

                                               

Uchaguzi Mkuu wa Malawi, 2004

Uchaguzi wa Urais na Bunge ukifanyika nchini Malawi mnamo 20 Mei 2004. Uchaguzi huu ulikuwa umepangiwa kutendeka mnamo 18 Mei lakini ukahairishwa kwa siku mbili kufuatia mwitikio kwa madai ya wapinzani kuhusu udanganyifu katika sajala ya wapiga k ...

                                               

Uchambuzi namba

Uchambuzi namba ni tawi la hisabati linalohusika na ukadiriaji bora wa maeneo ya maumbo katika uchambuzi wa kihisabati. Ujuzi huo unatumika katika sayansi zote pamoja na uhandisi, hasa baada ya uenezi wa tarakilishi.

                                               

Uchambuzi wa kihisabati

Uchambuzi wa kihisabati ni tawi la hisabati. Inatazama mahusiano, mifululizo na mifululizo jumuishi. Hayo yote yana sifa ambazo zinasaidia katika uhandisi. Gottfried Wilhelm Leibniz na Isaac Newton ndio walioendeleza sehemu kubwa ya misingi ya uc ...

                                               

Uche Mac-Auley

Uche Mac-Auley, pia aliyejulikana kama Uche Obi Osotule, ni mwandishi wa Nigeria, mtayarishaji wa sinema na mwigizaji mkongwe.

                                               

Ucheshi

Ucheshi ni aina ya vichekesho ambavyo vinahusisha wahusika wanaotumia au gawiana mazingira mamoja, kama vile nyumbani au mahali pa kazi, hasa ikiwa na majibizano ya kichale. Vipindi kama hivyo vilitokana na mchezo wa redio, lakini leo hii, uchesh ...

                                               

Ufalme wa Aksum

Ufalme wa Aksum, ulikuwa milki muhimu katika karne za kwanza baada ya Kristo. Uliunganisha sehemu za nchi za leo za Ethiopia ya kaskazini, Eritrea, Sudan na Yemen. Mji mkuu Aksum uko katika Ethiopia ya leo. Milki hii ilianzishwa mnamo karne ya 1 ...

                                               

Ufalme wa Italia

Ufalme wa Italia ni jina rasmi la nchi ya Italia miaka 1861-1946, yaani tangu rasi hiyo ilipounganishwa kwa kiasi kikubwa chini ya ukoo wa Savoia hadi wananchi walipopiga kura na kuamua iwe jamhuri. Miaka hiyo Italia ilishiriki vita mbalimbali il ...

                                               

Ufalme wa Merina

Ufalme wa Merina ni mlolongo wa watu ambao waliwahi kuwa watawala wa Bukini katika kipindi cha miaka themanini kuanzia mwaka 1787 hadi mwaka 1897. Watawala hao walikuwa watu kutoka familia ya Andrianampoinimerina, mwanzilishi wa taifa hilo ambaye ...

                                               

Ufini

Ufini pia: Finland, Finlendi ; kwa Kifini: Suomi ni nchi ya Skandinavia iliyoko Ulaya ya Kaskazini. Imepakana na Norwei upande wa kaskazini, Urusi upande wa mashariki na Uswidi upande wa magharibi. Ngambo ya Baltiki iko Estonia ambayo watu wake h ...

                                               

Ufunuo wa Yohane

Kitabu cha Ufunuo ni cha mwisho katika orodha ya vitabu 27 vinavyounda Agano Jipya katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendel ...

                                               

Uganda

Uganda ni nchi ya Afrika ya Mashariki. Imepakana na Kenya upande wa mashariki, Sudan Kusini upande wa kaskazini, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi, Rwanda na Tanzania upande wa kusini. Uganda inamiliki sehemu ya ziwa la Viktori ...

                                               

Ugonjwa wa asubuhi

Ugonjwa wa asubuhi, pia hujulikana kama kichefuchefu gravidarum, kichefuchefu, kutapika kwa mimba au ugonjwa wa mimba ni hali ambayo huathiri zaidi ya nusu ya wanawake wote wajawazito, na vilevile baadhi ya wanawake ambao hutumia homoni za mpango ...

                                               

Ugonjwa wa Cushing

Ugonjwa wa Cushing ni ugonjwa wa homoni unaosababishwa na viwango vya juu vya kotisoli haipakotisoli katika damu. Hii inaweza kusababishwa na utumizi wa madawa ya glukokortikoidi, au uvimbe unaotoa kotisoli au homoni ya adrenokotikotropiki. Ugonj ...

                                               

Ugonjwa wa jeraha baya la figo

Ugonjwa wa jeraha baya la figo, ambao awali ulijulikana kama kushindwa kwa figo, ni kupungua kwa haraka katika utendakazi wa figo. Kuna vitu vingi vinavyousababisha ikiwemo kupungua kwa kiasi cha damu, athari za sumu, na kuongezeka kwa tezi. AKI ...

                                               

Ugonjwa wa uti wa mgongo

Ugonjwa wa uti wa mgongo au Meninjitisi ni uvimbe au inflamesheni ya tando zinazofunika na kuukinga ubongo na uti wa mgongo, sehemu inayojulikana kwa jumla kama meninjesi. Meninjitisi inaweza kuwa ya hatari kwa uhai kwa jinsi inflamesheni hii ili ...

                                               

Uhandisi wa Kilimo

Uhandisi wa kilimo ni kipengele cha uhandisi ambacho kinatumia sayansi ya uhandisi na teknolojia katika uzalishaji wa kilimo na usindikaji. Uhandisi wa kilimo unachanganya vipengele vya baolojia ya mnyama, baiolojia ya mmea, na muwasho, kiraia na ...

                                               

Uhifadhi wa maji

Teknolojia ya kuokoa maji ya nyumbani ni pamoja na: Maji chumvi maji ya bahari au maji ya mvua yanaweza kutumika kwa kusafisha vyoo. Vyoo visivyohitaji nguvu nyingi kusafisha Low-flush toilets na vyoo vya kuhifadhicomposting toilets. Hivi vina ma ...

                                               

Uhusianifu maalumu

Nadharia hiyo husema: Wachunguzi wakiwa na mwendo tofauti, hukuona wakati na umbali hubadilishwa, katika fomula γ=1-v 2 /c 2 -1/2. Inayolingana nishati na tungamo katika fomula E=mc 2. Kasi ya nuru huwa sawa kwa wachunguzi wote. Majaribio mengi y ...

                                               

Ukabu (kundinyota)

Ukabu ilijulikana kwa jina hili kwa miaka mingi kati ya mabaharia Waswahili walioitumia kutafuta njia baharini wakati wa usiku. Jina la Ukabu linamaanisha ndege aina ya tai kutokana na neno la Kiarabu العقاب al-ukab. Ukabu ni kati ya makundinyota ...

                                               

Ukristo nchini Tanzania

Ukristo nchini Tanzania ulianzishwa na wamisionari wa Shirika la Mt. Agostino kutoka Ureno walioongozana na Vasco da Gama mwaka 1499 hadi Zanzibar. Huko walijenga konventi ya shirika lao ili kuhudumia kiroho Wakristo toka Ulaya tu. Misheni ilipin ...

                                               

Uldrik Zwingli

Uldrik Zwingli alikuwa padri wa Uswisi aliyefuata mfano wa Martin Luther kwa kudai kwamba Biblia ya Kikristo iwe msingi wa imani, bila kuangalia desturi zilizojitokeza katika historia ya Kanisa. Aliwahi kuwa na mawazo yaliyofanana na ya Luther bi ...

                                               

Ulinganifu

Ulinganifu ni tabia ya maumbo na magimba yenye sehemu zinazolingana. Kama sehemu za kitu ni kama pacha zinaitwa linganifu. Miili ya viumbehai wengi inafuata muundo wa ulinganifu kwa sababu macho, masikio, mikono, miguu na viungo vingine si vyote! ...

                                               

Umakanika kawaida

Umakanika kawaida ni sehemu ya fizikia inayoeleza jinsi vitu vya kila siku vinavyosogea na sababu za kusogea kutokana na nguvu mbalimbali. Tukijua jinsi vitu vinavyosogea sasa, tunaweza kutabiri vitakavyosogea kesho, mbali ya kutambua vilivyosoge ...

                                               

Umakanika kwanta

Umakanika kwanta ni sehemu ya fizikia inayoeleza jinsi vitu vinavyounda atomi na mawimbi ya sumakuumeme vinavyofanya kazi. Hivyo umakanika kwanta huchunguza vitu tusivyoviona, kwa mfano kutokana na udogo wake, au vinavyosogea kasi mno, tofauti na ...

                                               

Umande jua

Mmea wa Umande-jua, ni mmojawapo wa mimea ya jenasi ya Drosera ambayo ni mojawapo ya jenasi kubwa zaidi ya mimea ambao hula nyama. Jenasi ya Drosera ina spishi 188. Mimea hii ya familia ya Droseraceae huwavutia, kuwashika na kuwaua wadudu kwa kut ...

                                               

Upandaji miti

Upandaji miti ni upandaji wa mbegu au miti ili kutengeneza misitu katika eneo ambalo halijawahi kuwa na msitu hivi karibuni, au ambalo halijawahi kuwa na msitu kamwe. Reforestation kwa lugha hiyo ni upandaji miti au mbegu ili msitu urejeshwe baad ...

                                               

Upinzani wa kimaumbile kwa malaria

Upinzani wa kimaumbile kwa malaria ni hali ya kawaida katika sehemu nyingi za ulimwengu pale maambukizi ya malaria hutokea. Upinzani hutokea kupitia mabadiliko kwenye mfumo kinga ambao huongeza kinga dhidi ya maambukizi haya na pia mabadiliko kat ...

                                               

Upofu wa mto

Upofu wa mto au usubi, ni maradhi yasababishwayo na ambukizo la kinyoo wa kimelea Onchocerca volvulus. Dalili ni pamoja na mwasho mkali, manundu chini ya ngozi, na upofu. Maradhi hayo ni sababu ya pili baada ya vikope kumfanya mtu kuwa kipofu kut ...

                                               

Uptown Girl

Uptown Girl ni wimbo uliondikwa na kuchezwa na mwanamuziki aitwaye Billy Joel, na ulitoka kwa mara ya kwanza mwaka 1983, katika albamu yake ya An Innocent Man. Mashairi katika wimbo huu yanaelezea maisha ya mtoto anaishi katika maeneo ya mitaani ...

                                               

Uranus

Ni sayari kubwa ya tatu ya mfumo wa jua hata kama mada yake ni hasa gesi iliyoganda. Jumla ya masi yake ni mara 14 ya dunia hivyo ni sayari nyepesi kulingana na ukubwa wake. Kipenyo chake ni takriban kilomita 50.000. Inazunguka Jua kwenye obiti i ...

                                               

Kiurdu

Kiurdu ni aina ya lugha ya Kihindi iliyosanifiwa. Ndiyo lugha rasmi ya Pakistan na ya majimbo 6 ya India katika nchi hiyo ni mojawapo kati ya 22 zinazokubaliwa na katiba. Kwa kawaida kinaandikwa kwa herufi za Kiarabu kutokana na uhusiano wake na ...

                                               

Ushairi wa Christopher Richard Mwashinga

Ushairi wa Christopher Richard Mwashinga unapatikana katika vitabu vingi alivyoviandika kwa Kiingereza na Kiswahili. Makala hii inatoa historia fupi ya ushairi wake wa Kiswahili.