ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 15
                                               

Susanna Tamaro

Uninfanzia: adattamento teatrale di Adriano Evangelisti, 2013E-book Va dove ti porta il cuore 1994 Via Crucis. Meditazioni e preghiere, 2013E-book Ascolta la mia voce 2007 Cuore di ciccia 1992 Più fuoco più vento 2002 Tobia e langelo 1998 Per voc ...

                                               

Tammy Abraham

Kevin Tamaraebi Abraham ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Chelsea F.C. na timu ya taifa ya Uingereza.

                                               

William Tanui

’’William Kiptarus Tanui’’’ alikuwa mwanariadha wa Kenya ambaye alishinda nishani katika amshindano ya Olimpiki ya 1992.

                                               

Irene Tarimo

Irene Aurelia Tarimo ni Mhadhiri nchini Tanzania, na Mkuu wa Idara ya Masomo ya Sayansi ya Mazingira katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Alikuwa Mkurugenzi wa Kituo cha mkoa wa Lindi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwa karibu miaka tisa.

                                               

Tariro Mnangagwa

Tariro Washe Mnangagwa ni mwigizaji wa kike wa Zimbabwe. Anafahamika kwa uhusika wake katika filamu ya Gonarezhou ya mwaka 2020. Ni miongoni mwa watoto wa rais wa sasa wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa.

                                               

Giacomo Tedesco

Giacomo Tedesco alikuwa mchezaji wa kandanda wa Italia ambaye alicheza kama kiungo katika ligi za Italia. Kwa sasa ni kocha.

                                               

Giovanni Tedesco

Licha ya kuwa raia wa Palermo, Tedesco,hapo awali alikatazwa kucheza katika timu ya mji wao,Palermo, kwa sababu mwili wake ulikuwa mdogo na hivyo basi akahamishwa klabu ya Reggina. Akiwa Reggina, alicheza mara kwa mara katika mwaka wa 1990. Baada ...

                                               

Juan Carlos Tedesco

Tedesco aliteuliwa kama mtaalamu katika sera za elimu katika mwaka wa 1976 katika Mpango wa Maendeleo katika eneo la Amerika ya Kilatini wa UNESCO. Alikuwa mkurugenzi wa Kituo cha Eneo la Amerika ya Kilatini cha Elimu ya daraja la juu.Kituo hiki ...

                                               

Amani Temba

Amani James Pausen Temba au Mheshimiwa Temba ni Mwanamuziki wa Rap na Hip Hop Kutoka Jijini Dar es Salaam Tanzania, Na pia ni Mwanachama Kiongozi wa Tmk Wanaume Family yenye makazi yao huko Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania, Mh Temba alizaliwa ...

                                               

Teodoro Obiang Nguema Mbasogo

Teodoro Obiang Nguema Mbasogo ni mwanasiasa wa Guinea ya Ikweta ambaye amekuwa Rais wa nchi hiyo tangu mwaka 1979. Alimwondoa mjomba wake, Francisco Macías Nguema, katika mapinduzi ya kijeshi ya Agosti 1979 na amesimamia kuibuka kwa Guinea ya Ikw ...

                                               

Paul Tergat

Paul Kibii Tergat ni mwanariadha maarufu kutoka nchini Kenya. Yeye alishikilia rekodi ya riadha ya masafa marefu tangu mwaka wa 2003 hadi 2007, akiwa amekimbia kwa muda wa 2:04:55, na anaonekana kama mmoja kati ya wakimbiaji bora wa muda wote. Ka ...

                                               

John Terry

George John Terry ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza. Terry anacheza kama mlinzi na ni nahodha wa Chelsea F.C. katika Ligi kuu ya Uingereza na nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza. Terry alikuwa mchezaji wa Chelsea ya Vijan ...

                                               

Theo Bongonda

Théo Bongonda ni mchezaji wa soka wa Ubelgiji ambaye anacheza kama winga wa kushoto wa klabu ya Zulte Waregem na Timu ya taifa.

                                               

Charlize Theron

Charlize Theron ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa zamani wa Kiafrika Kusini-Kimarekani. Huenda akawa anafahamika kwa jina la Stella Bridger kutoka katika filamu ya The Italian Job, Aileen Wuornos kutoka katika filamu ya Monster, ambayo il ...

                                               

Thiago Cionek

Thiago Rangel Cionek ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama beki wa kati wa klabu ya Italia S.P.A.L. na timu ya taifa ya Poland.

                                               

Thiago Motta

Thiago Motta ni mchezaji wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya Paris Saint Germain. Anacheza katika nafasi ya kiungo. Motta kabla ya kuichezea Paris Saint Germain aliichezea klabu ya Barcelona F.C. ya nchini Hispania. Mwaka 201 ...

                                               

Thiago Silva

Thiago Silva ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama mlinzi wa kati katika timu ya taifa ya Brazil. Baada ya kuhamia Ulaya kujiunga na Milan mwaka 2009, Silva alijitenga kuwa mmoja wa watetezi waliohesabiwa juu duniani, kushinda Serie ...

                                               

Thishiwe Ziqubu

Thishiwe Ziqubu ni mkurugenzi, mwandishi na mwigizaji wa filamu wa Afrika Kusini. Alishinda Tuzo ya Africa Movie Academy ya Mwigizaji msaidizi bora mnamo mwaka 2016, kupitia filamu aliyoshiriki kama Tashaka, filamu hii ya vichekesho vya mapenzi i ...

                                               

Thomas Müller

Thomas Müller ni mchezaji wa soka wa Ujerumani. Anachezea FC Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani. Müller anaweza kucheza kama mshambuliaji au kiungo, Müller anajulikana kwa kazi yake nzuri uwanjani, nguvu kazi kubwa na stamina yake.

                                               

Thomas Partey

Thomas Teye Partey ni mchezaji wa soka wa Ghana ambaye anacheza kama kiungo mkabaji katika klabu ya Uingereza iitwayo Arsenal FC na timu ya taifa ya Ghana.

                                               

T.I.

Clifford Joseph Harris Jr. ni rapa wa muziki a hip hop, mwigizaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji wa muziki na mmiliki wa studio ya Grand Hustle Records. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama T.I. pia humwita T.I.P.

                                               

Anna Tibaijuka

Anna Kajumulo Tibaijuka ni mtaalamu wa Uchumi wa kilimo, pia mwanasiasa wa Tanzania CCM na Mbunge wa jimbo la Muleba Kusini tangu 2010. Aliwahi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

                                               

Steve Tikolo

Yeye ni" middle order batsman’ anayetumia mkono wa kulia na wakati mwingine wa ” medium pace bowler” wa mkono wa kulia. Yeye hutupa mpira huo wa kriketi kwa ufanisi kabisa katika fomu fupi ya mchezo huo. Tikolo awali ameiwakilishwa Border ambayo ...

                                               

Steve Tilson

Stephen Brian "Steve" Tilson ni meneja wa kandanda nchin Uingereza na ni mchezaji wa kandanda wa zamani. Hivi sasa yeye anasimamia timu ya Southend United, ambayo hucheza katika Ligi ya Uingereza ya Daraja la Pili.

                                               

Timbaland

Timothy Zachery Mosley ni mshindi wa Tuzo za Grammy-akiwa kama mtayarishaji wa rekodi, mwimbaji na rapa bora kutoka nchini Marekani. Timbaland ametayarisha maalbamu na masingle kibao ya wasanii tangu katikati mwa miaka ya 1990 mpaka leo hii. Kazi ...

                                               

Justin Timberlake

Justin Timberlake ni mwimbaji wa muziki wa pop na R&B kutoka nchini Marekani. Timberlake alianza kujipatia maarufu baada ya kucheza kipindi cha televisheni kilichokuwa maalum kwa ajili ya watoto, na baadaye katika kuwa kama mmoja wa washindi ...

                                               

Timo Werner

Timo Werner ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya RB Leipzig na timu ya taifa ya Ujerumani.

                                               

Timothy Dennis Awany

Timotheo Dennis Awany ni mchezaji wa soka wa kimataifa wa Uganda ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Authority ya jiji la Kampala ambalo ni mji mkuu wa nchi.

                                               

Timothy Fosu-Mensah

Timothy Fosu-Mensah ni mchezaji wa soka raia wa Uholanzi ambaye anacheza kama kiungo mkabaji au beki wa klabu ya Manchester United, na timu ya taifa ya Uholanzi.

                                               

Tiwa Savage

Alizaliwa Isale Eko, alihamia London akiwa na umri wa miaka 11 ili kujiunga na sekondari. Miaka mitano baadaye, alianza kazi yake ya muziki akiimba nyimbo za wasanii kama George Michael na Mary J. Blige. Baada ya kushiriki shindano la The X Facto ...

                                               

Tom Cruise

Cruise, aliyekuwa ameshapata talaka mara mbili, aliwahi kumwita Katie Holmes kwa mkutano wa binafsi kwenye ofisi yake. Inasemekana kuwa wawili hawa walianza kupendana baada ya mkutano huu wa masaa manne. Wawili hawa walianza kuonekana mwaka wa 20 ...

                                               

Tom Davies

Davies alizaliwa Liverpool, Merseyside. Yeye ni mpwa wa mchezaji wa zamani wa Everton Alan Whittle, ambaye alifanya maonyesho 74 kwa klabu kati ya 1967 na 1972, na ndugu yake mkubwa, Liam, ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kwa Chester. Davies n ...

                                               

Tom Ince

Tom Ince ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo mshambuliaji katika klabu ya Stoke City. Mwana wa mchezaji wa zamani wa Uingereza England Paul Ince, Tom Ince alianza kazi yake na Liverpool, ambaye alifanya kazi yake ya kwanz ...

                                               

Tomas Brickhill

Tomas Lutuli Brickhill ni mtayarishaji wa filamu, mwandishi, na mwanamuziki nchini Zimbabwe. Aliongoza filamu iliyodaiwa kuwa ya 2017 Cook Off.

                                               

Tomáš Kalas

Tomáš Kalas ni mchezaji wa Ucheki ambaye anacheza kama beki au kiungo mkabaji wa klabu ya Bristol City, kwa mkopo kutoka katika klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza ya Chelsea FC.

                                               

Tomáš Vaclík

Tomáš Vaclík ni mchezaji wa klabu ya Sevilla FC, ambaye anachezea timu ya taifa ya Jamhuri ya Czech kama kipa. Vaclík aliiwakilisha nchi yake katika michuano ya soka ya UEFA ya Ulaya chini ya miaka 21 ya UEFA ya 2011 na aliitwa jina lake katika t ...

                                               

Toni Kroos

Toni Kroos ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ujerumani. Kama mwanachama wa Bayern Munich akiwa na umri wa miaka 17, Kroos alikuwa mchezaji wa mkopo wa miezi 18 huko Bayer Leverkusen.

                                               

Kolo Toure

Kolo Habib Toure ni mchezaji kandanda ambaye kwa sasa anaichezea, na ni nahodha wa Manchester City,ambayo ni klabu katika ligi kuu ya Uingereza na huichezea timu ya taifa ya Ivory Coast. Touré ni mchezaji wa kati wa safu ya ulinzi, yaani difenda, ...

                                               

T-Pain

Najm alizaliwa mjini Tallahassee, Florida. Jina lake la kisanii ni kifupi cha "Tallahassee Pain" "Tallahassee Mauimivu na amechagua jina hilo kwa sababu ya ugumu wa maisha aliyoyapata wakati anaishi huko. Alianza shughuli za urapa akiwa katika ku ...

                                               

Armand Traore

Armand Traoré ni mchezaji wa mpira wa Ufaransa mwenye asili ya Kisenegali ambaye, hivi sasa anacheza kama mchezaji wa kushoto na nyuma katika timu ya Arsenal.

                                               

Travis Scott

Jacques Berman Webster II ni mwanamuziki, mwandishi, rapa na mtayarishaji wa muziki wa Marekani. Mnamo mwaka 2012 Travis aliweka mkataba na lebo ya Epic Records. Mnamo mwezi wa Novemba mwaka huohuo alijiunga na lebo ya GOOD Music inayomilikiwa na ...

                                               

Randy Travis

Randy Travis ni mshindi wa tuzo ya Grammy - na Dove nchi Marekani. Amekuwa na bidii tangu 1985, ana kumbukumbu zaidi ya Albamu dazeni mpaka wa leo, Ana zaidi ya nyimbo thelathini za kipekee zilizoongoza chati, ambapo kumi na sita zimefikia nambar ...

                                               

Trent Alexander-Arnold

Trent John Alexander-Arnold ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama beki wa kulia katika klabu ya Liverpool FC na timu ya taifa ya Uingereza. Alexander-Arnold ni mwanafunzi wa chuo cha Liverpool na alimaliza mafunzo yake mwaka 2016, ...

                                               

Tshimanga Assosa

Tshimanga Kalala Assosa ni mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo- Tanzania. Alifahamika zaidi kwa kuwa miongoni mwa waimbaji wakubwa wa bendi ya Marquis Original na bendi yake binafsi Orchestra Mamb ...

                                               

Tulanana Bohela

Tulanana Bohela ni mwanamke Mtanzania ambaye ni mwandishi wa habari, mtengeneza filamu na mpenda maendeleo ya jamii. Amekuwa akifanya kazi ya uandishi wa habari kwa zaidi ya miaka 7 hadi kufikia mwaka 2019 huku akiripoti mambo mbalimbali yanayoji ...

                                               

Tulia Ackson

Tulia Ackson ni mwanasheria na mwanasiasa Mtanzania mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi. Ameteuliwa na Rais John Magufuli kuwa mbunge kwa miaka 2015 – 2020. akachaguliwa pia kuwa naibu spika. Ackson alizaliwa kwenye kata ya Bu ...

                                               

Tundu Antiphas Mughwai Lissu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu ni mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini Tanzania. Alichaguliwa kuendelea kuwa mbunge wa jimbo la Singida Mashariki katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2015. Tungu ...

                                               

Shania Twain

Shania Twain ni mtunzi wa nyimbo na mwimbaji kutoka nchini Canada. Kwa karibia miaka 25 akiwa katika tasnia ya muziki, Twain ameuza zaidi ya rekodi milioni 85 na msanii aliyeuza vyema katika historia ya muziki wa country kwa upande wa wanawake. M ...

                                               

Tyler Posey

Tyler Garcia Posey ni muigizaji na mwanamuziki wa Marekani, anayejulikana kwa jukumu lake kama Scott McCall kwenye mfululizo wa televisheni ya MTV Teen Wolf.

                                               

Tyra Banks

Tyra Lynne Banks ni mwigizaji, mwanamitindo, mfanyabiashara na mwimbaji nchini Marekani. Alipata umaarufu kama mwanamitindo alipokuwa kwenye miji ya Paris, Milan, London, Tokyo na New York. Banks ni mbunifu na mtangazaji mkuu wa kipindi cha Ameri ...