ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 14
                                               

Simeoni Metafraste

Simeoni Metafraste alikuwa mtunzi wa magombo 10 juu ya maisha ya watakatifu. Aliishi katika nusu ya pili ya karne ya 10, lakini tunajua kidogo sana juu yake. Waorthodoksi wanamheshimu kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Novemba.

                                               

Simeoni Mwanateolojia Mpya

Simeoni Mwanateolojia Mpya alikuwa mmonaki na mshairi wa Byzanti. Alipewa sifa "Mwanateolojia" si kutokana na elimu yake, bali kwa sababu ya kufundisha kwa dhati juu ya Mungu kutokana na mangamuzi yake katika sala, kama walivyofanya Mtume Yohane ...

                                               

Simeoni wa Mnarani

Simeoni wa Mnarani, 390 hivi - Qalaat Semaan, Syria, 2 Septemba 459) alikuwa mkaapweke kutoka Assyria aliyepata umaarufu kwa kuishi miaka 37 juu ya mnara karibu na Aleppo. Pengine anaongezewa sifa "mzee" ili kumtofautisha na waliofuata mtindo wak ...

                                               

Simeoni wa Siracusa

Simeoni wa Siracusa alikuwa mkaapweke na shemasi aliyeishi sehemu mbalimbali za Palestina na katika Mlima Sinai. Baada ya matukio mengi aliishia Ujerumani amejifungia katika mnara hadi kifo chake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthod ...

                                               

Simon Hoa Dac Phan

Simon Hoa Dac Phan ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Pa ...

                                               

Sinkletika

Sinkletika alikuwa bikira wa Aleksandria aliyeshika maisha ya mkaapweke badala ya kufuata uzuri na utajiri wake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 J ...

                                               

Sipriani mfiadini

Sipriani alikuwa askofu wa Karthago na mwandishi muhimu kati ya Mababu wa Kanisa, ambaye vitabu vyake vya Kilatini viko hadi leo. Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa ...

                                               

Sirige

Sirige ni aina ya barakoa inayotumika katika ngoma za kimila za Wadogon wa Mali. Barakoa hii inatambulika kwa urefu wake ambao unaweza kuwa kutoka mita 4 hadi 6. Ina mashimo mawili zinazokwenda sambamba kutoka juu hadi chini. Pia inatumia miundo ...

                                               

Sirili II wa Aleksandria

Sirili II wa Aleksandria kuanzia mwaka 1078 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 67 wa Aleksandria. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake

                                               

Sirili IV wa Aleksandria

Sirili IV wa Aleksandria kuanzia mwaka 1854 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 110 wa Aleksandria. Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

                                               

Sirili V wa Aleksandria

Sirili V wa Aleksandria kuanzia mwaka 1874 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 112 wa Aleksandria. Ndiye aliyeongoza kirefu zaidi Kanisa la Wakopti. Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa t ...

                                               

Sirili VI wa Aleksandria

Sirili VI wa Aleksandria kuanzia mwaka 1959 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 116 wa Aleksandria. Tangu tarehe 20 Juni 2013 anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

                                               

Sirili wa Aleksandria

Sirili wa Aleksandria alikuwa Patriarki wa Aleksandria, Misri na mwanateolojia. Alishiriki mabishano ya karne ya 4 kuhusu imani juu ya Yesu Kristo akitetea dogma ya umoja wa Nafsi yake ya Kimungu kwa kutegemea daima mapokeo ya Kanisa na mamlaka y ...

                                               

Sirili wa Yerusalemu

Sirili wa Yerusalemu alikuwa askofu wa mji huo nchini Israeli kuanzia mwaka 348 hadi kifo chake akijihusisha sana na mabishano kuhusu umungu wa Yesu Kristo hata akadhulumiwa na Waario na serikali ya Dola la Roma. Tangu zamani ametambuliwa kuwa mt ...

                                               

Sita

Sita ni namba ambayo inafuata tano na kutangulia saba. Kwa kawaida inaandikwa 6 lakini VI kwa namba za Kiroma na ٦ kwa zile za Kiarabu. Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 3. Namba hiyo katika Kiswahili ina asili ya Kiarabu pamoja na sitini sita ...

                                               

Skapulari

Skapulari ni vazi la Kikristo linalonginginia kutoka shingoni. Zipo aina mbili: ile ndefu kwa ajili ya wamonaki na nyingine fupi sana pengine ni vipande vidogo vya kitambaa vilivyounganishwa kwa kamba kwa ajili ya walei wanaoshiriki namna yao kar ...

                                               

Skizofrenia

Skizofrenia ni ugonjwa wa akili unaosababisha fikira na hisia zisizo za kawaida. Watu wengi walio na ugonjwa huo husikia yasiyokuwemo, na woga na makisio yasiyoeleweka, pia wanaweza kuamini mambo ya kiajabu na yasiyoeleweka, kuzungumza bila manti ...

                                               

Slavery in Africa

TAFSIRI HAIKUPITILIWA BADO HADI MWISHO Utumwa ulipatikana Afrika kwa muda mrefu. Sawa na maeneo mengine ya Dunia ya kale, mifumo ya utumwa na kazi isiyo huru ilikuwa kawaida katika sehemu nyingi za Afrika. Utumwa huo ulikuwepo kabla ya kufika kwa ...

                                               

Will Smith

Willard Christopher "Will" Smith, Jr. ni mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, na rapa kutoka nchini Marekani. Amefurahia sana mafanikio yake ya kimuziki, televisheni na filamu. Gazeti la "Newsweek" limemwita mwigizaji mwenye uwezo mkubwa kabisa dun ...

                                               

Snow White and the Seven Dwarfs (filamu ya 1937)

Snow White and the Seven Dwarfs ni filamu ya katuni ya mwaka wa 1937 kutoka Marekani iliyotokana na ngano za kale ya akina Grimm, Mweupe Theluji. Ilikuwa filamu ya kwanza kuwa na kipengele kirefu katika historia ya filamu za katuni, vileivle kuwa ...

                                               

Sofroni wa Yerusalemu

Sofroni wa Yerusalemu alikuwa askofu wa Yerusalemu kuanzia mwaka 634 hadi kifo chake. Wakati huo Yerusalemu ulitekwa na Waarabu Waislamu naye alitetea haki za wananchi dhidi ya wavamizi. Kabla ya hapo alikuwa mwalimu, halafu mmonaki mwanateolojia ...

                                               

Solomoni

"Nipe mimi mtumwa wako moyo wa adili niwahukumu watu wako, na kupambanua mema na mabaya; maana ni nani awezaye kuwahukumu hawa watu wako walio wengi"? 1Fal 3:9 "Ee Bwana, Mungu wa Israeli, hakuna Mungu kama wewe, mbinguni juu wala duniani chini! ...

                                               

Somalia

Somalia, ambayo inajulikana rasmi kama Jamhuri ya Shirikisho ya Somalia, ni nchi kwenye pwani ya Afrika ya Mashariki katika Pembe ya Afrika. Kijiografia, imezungukwa upande wa kaskazini-mashariki na Ethiopia na Jibuti, na upande wa magharibi ya k ...

                                               

Somethin for the People

Somethin for the People lilikuwa kundi la muziki wa R&B kutoka mjini Oakland, California, ambao waligonga pini kadhaa nchini Marekani mwishoni mwa miaka ya 1990.

                                               

Sotero wa Trier

Sotero wa Trier ni mmojawapo katika kundi la Wakristo 12 ambao mwaka 287, wakati wa dhuluma ya kaisari Diokletian, walihukumiwa kufa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika mji wa Trier. Tangu kale wafiadini hao wote wanaheshimiwa kama watakatifu w ...

                                               

Bernadeta Soubirous

"Bernadeta" Soubirous alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki nchini Ufaransa. Tarehe 14 Juni 1925 Papa Pius XI alimtangaza mwenye heri na tarehe 8 Desemba 1933 mwenyewe alimtangaza mtakatifu bikira. Sikukuu yake imepangwa tarehe ya kifo chake au 18 Feb ...

                                               

Soweto

Soweto ni sehemu ya jiji la Johannesburg, Afrika Kusini. Jina hilo ni kifupi cha Southwestern townships yaani "mapambizo ya kusini-magharibi". Hayo yalianzishwa wakati wa apartheid kama makazi ya Waafrika pekee, na kwa hiyo yalitazamwa kuwa "mapa ...

                                               

Spice

Spice ni albamu ya kwanza ya kundi la muziki wa pop la Kiingereza, Spice Girls. Albamu ilitolewa mnamo tar. 4 Novemba katika mwaka wa 1996 na studio ya Virgin Records.Albamu ilirekodiwa kwenye studio za Olympic Studio ya mjini Barnes, London kati ...

                                               

Spiridoni wa Tremetusia

Spiridoni wa Tremetusia alikuwa askofu wa mji huo wa Kupro. Tangu kale anaheshimiwa na Ukristo wa Mashariki na Ukristo wa Magharibi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa mashariki tarehe 25 Desemba na magharibi tarehe 12 Desemba.

                                               

Stefano Kijana

Stefano Kijana alikuwa abati aliyedhulumiwa kirefu na kaisari Konstantino V wa Bizanti na hatimaye kuuawa kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimi ...

                                               

Stefano Nemanja

Stefano Nemanja alikuwa mtemi wa Serbia miaka 1166 - 1196. Ndiye mwanzilishi wa nasaba wa Nemanjić, na anakumbukwa kwa michango yake katika historia na utamaduni wa nchi yake na wa Kanisa lake. Mwaka 1196 alingatuka akahamia katika Mlima Athos, a ...

                                               

Stefano Theodori Cuenot

Stefano Theodori Cuenot, M.E.P. alikuwa askofu wa Ufaransa. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 11 ...

                                               

Stefano Vinh

Stefano Vinh ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Piu ...

                                               

Stefano wa Cuneo

Stefano wa Cuneo alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo, padri na mmisionari katika Nchi takatifu ya Yesu. Kabla ya kwenda huko aliishi kitawa katika kisiwa cha Corsica, leo sehemu ya Ufaransa. Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri mwak ...

                                               

Gallus Steiger

Alisoma katika shule maarufu ya abasia ya Wabenedikto huko Einsiedeln, Uswisi. Mwaka 1902 alifunga nadhiri za utawa kama Mbenedikto huko St.Ottilien Ujerumani. Alitumwa kama mmisionari na kufika Dar es Salaam tarehe 4 Juni 1906. Baada ya Waingere ...

                                               

Stella Damasus

Stella Damasus ni mwimbaji na mcheza filamu kutoka Nigeria. Aliteuliwa kushiriki katika tuzo za Africa Movie Academy Awards za mwaka 2009 katika kipengele cha mwigizaji bora wa kike. Alishinda tuzo ya mwigizaji bora wa kike nchini Nigeria mwaka 2 ...

                                               

Stranger in Moscow

Stranger in Moscow ni single ya tano na ya mwisho kutoka katika albamu ya Michael Jackson ya HIStory. Wimbo huu ulikuja kutolewa dunia nzima kunako mwezi wa Novemba katika mwaka wa 1996, lakini ukawa haujatolewa nchini Marekani hadi hapo ilipofik ...

                                               

Barbra Streisand

Barbra Streisand ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Pia amepata kufahamika zaidikama mtunzi, mwanaharakati huria wa kisiasa, mtayarishaji wa filamu, na mwongozaji. Ameshinda tuzo mbili za Academy, tisa za Grammy, nne za Em ...

                                               

Kisuba (Kenya)

Kisuba ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wasuba. Isichanganywe na lugha ya Kisuba inayozungumzwa nchini Tanzania. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kisuba imehesabiwa kuwa watu 139.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibant ...

                                               

Sudan

Sudan jina rasmi: Jamhuri ya Sudan ni nchi ya tatu kwa ukubwa katika bara la Afrika na ya kumi na sita duniani Imepakana na Misri kaskazini, Bahari ya Shamu kaskazini-mashariki, Eritrea na Ethiopia mashariki, Sudan Kusini kusini-mashariki, Afrika ...

                                               

Sudi

Majiranukta kwenye ramani: 10.1590°S 19.9626°E  / -10.1590; 19.9626 Sudi ni kata ya Wilaya ya Mtama katika Mkoa wa Lindi, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5.544 walioishi humo. Msimbo wa posta ...

                                               

Suheli

Suheli ni nyota angavu zaidi kwenye kundinyota la Mkuku. Ni pia nyota angavu ya pili kabisa kwenye anga baada ya Shira.

                                               

Sukhdev Thapar

Shaheed Sukhdev Thapar alikuwa mwanamapinduzi nchini Uhindi wakati wa utawala wa kikoloni wa Uingereza. Alikuwa mwanachama wa ngazi ya juu wa chama cha Hindustan Socialist Republican Association, alishiriki katika mashambulizi dhidi ya taasisi za ...

                                               

Kisukuma

Kisukuma ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wasukuma. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisukuma imehesabiwa kuwa watu 5.430.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisukuma iko katika kundi la F20. ...

                                               

Sumbula

Sumbula ni jina la nyota angavu zaidi katika kundinyota la Nadhifa ikiwa pia nyota angavu ya 15 kwenye anga la usiku.

                                               

Kisumbwa

Kisumbwa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wasumbwa. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kisumbwa imehesabiwa kuwa watu 191.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisumbwa iko katika kundi la F20.

                                               

Super Mazembe

Orchestra Super Mazembe ilikuwa bendi maarufu nchini Kenya iliyocheza mziki wa Lingala. Bendi ilikuwa na mizizi katika Super Vox, bendi iliyoundwa mwaka 1967 nchini Congo na kuongozwa na Mutonkole Longwa Didos. Bendi ilihamia Nairobi mwaka 1974 n ...

                                               

The Supremes

The Supremes lilikuwa kundi la waimbaji wa kike kutoka nchini Marekani. Kundi lilikuwa kiungo kikubwa kwa studio ya Motown Records kunako miaka ya 1960. Awali lilianzishwa likiwa na jina la The Primettes huko mjini Detroit, Michigan, kunako 1959, ...

                                               

Sven Constantin Voelpel

Sven Constantin Voelpel ni mtaalamu nadharia shirika Ujerumani na Profesa wa Usimamizi wa Biashara katika shule ya Utu na Sayansi za Jamii Chuo Kikuu cha Jacobs University Bremen nchini Ujerumani. Anajulikana kwa kazi yake katika uwanja wa kumudu ...

                                               

Swithun wa Winchester

Swithun alikuwa askofu wa mji huo wa Uingereza kuanzia Oktoba 853 hadi kifo chake. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waanglikana na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Julai lakini pia 15 Julai.