ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 126
                                               

24 (msimu wa 8)

Msimu wa nane, pia hujulikana kama Siku ya nane, ya televisheni ya Marekani ya kipindi cha 24 ilianza kutayarishwa mnamo 27 Mei 2009, na itaonyeshwa kwa mara ya kwanza tarehe 17 Januari 2010, kufuatia muundo wa kipindi hiki tangu msimu wa nne.

                                               

Prison Break

Prison Break ni jina la kutaja aina ya mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani, ambacho kilianza kurushwa hewani tangu mnamo tar. 29 Agosti 2005 na kituo cha TV cha Fox Broadcasting Company. Mfululizo una husisha ndugu wawili; mmoja a ...

                                               

Prison Break msimu wa 4

Msimu wa nne na wa mwisho wa kipindi mfululizo cha televisheni cha Prison Break ulianzia kurushwa hewani Marekani 1 Septemba 2008. Una vipengele 24, ambapo 16 vilionyeshwa kuanzia Septemba 2008 hadi Desemba 2008. Mfululizo wa kipindi cha televish ...

                                               

Six Months Ago

Six Months Ago ni sehemu ya kumi ya msimu wa kwanza wa mfululizo wa igizo la ubunifu wa kisayansi linalorushwa hewani na kituo cha televisheni cha NBC, Heroes. Kipengele kizima ni seti ya miezi kabla kuanza kuoneshwa kwa mfululizo, kinaonesha jin ...

                                               

My Wife and Kids

My Wife and Kids ni kipindi cha kuchekesha iliyotengenezwa na stesheni ya ABC kuanzia 28 Machi 2001, hadi 17 Mei 2005. Waigizaji wakuu ni Damon Wayans na Tisha Campbell-Martin, na kipindi hiki kilitayarishwa na Touchstone Television. Ni kuhusu ba ...

                                               

BeTV (Burundi)

BETV ni chaneli ya binafsi ya runinga ya binafsi nchini Burundi, iliyozinduliwa Oktoba 5, 2017. Dhumuni lake ni kukuza utamaduni wa Burundi kwa kukuza mawakala wa kitamaduni na talanta za nchi hiyo katika matangazo yake katika Kirundi, Ufaransa n ...

                                               

Hannah Montana

Hannah Montana ni safu ya televisheni ya muziki na vichekesho kutoka Marekani ambayo imeundwa na Michael Poryes, Rich Correll na Barry OBrien. Miley Stewart ni kijana ambaye anayeishi maisha maradufu kama mwanafunzi wa kawaida wa shule na kama ms ...

                                               

Liv and Maddie

Liv and Maddie ni safu ya vipindi vya vichekesho vya televisheni kutoka Marekani ambayo imeundwa na John D. Beck na Ron Hart na kufanyika kwenye Disney Channel kuanzia tarehe 19 Julai 2013 hadi 24 Machi 2017. Kipindi hicho cha televisheni kina ma ...

                                               

Pulkeria wa Konstantinopoli

Pulkeria wa Konstantinopoli alikuwa malkia Mkristo wa Dola la Roma Mashariki kuanzia mwaka 450 hadi kifo chake. Kabla ya kuwa malkia aliwahi kutawala kwa niaba ya ndugu yake mwenye umri mdogo, Theodosius II. Baada ya huyo kufariki dunia, Pulkeria ...

                                               

Henri II

Mtakatifu Henri II, alikuwa kaisari wa Dola Takatifu la Kiroma tangu tarehe 7 Juni 1002 hadi tarehe 13 Julai 1024. Ni kaisari pekee wa Ujerumani aliyetangazwa kuwa mtakatifu. Ilitokea Julai 1147 kwa tamko la Papa Klementi II. Sikukuu yake ni tare ...

                                               

Kaizari Joseph II

Joseph II alikuwa Kaizari wa Dola la Ujerumani kuanzia 1765 hadi kifo chake. Alimfuata baba yake, Francis I, na kufuatwa na mdogo wake, Leopold II. Sera zake katika utawala Austria peke yake miaka 1780-1790 zimeitwa Ujosefu au Josefini. Sera hizo ...

                                               

Karolo Mkuu

Karolo Mkuu alizaliwa tarehe 2 Aprili mwaka 742 na kufariki tarehe 28 Januari 814; alikuwa kwanza mfalme wa Wafranki halafu Kaizari wa Dola takatifu la Roma aliloanzisha. Pengine anaitwa "baba wa Ulaya" kwa kuwa milki yake iliunganisha nchi ziliz ...

                                               

Otto I

Otto I alikuwa mfalme wa Ujerumani kutoka mwaka 936 na kaisari wa Dola Takatifu la Roma kutoka mwaka 962 hadi kufa kwake mwaka wa 973. Alikuwa mwana wa kwanza wa Henry I Fowler na Matilda. Otto alirithi Duchy ya Saxony na ufalme wa Wajerumani kut ...

                                               

Kaisari Wilhelm I

Kaisari Wilhelm I alikuwa mfalme wa Prussia kuanzia mwaka 1861 na kuanzia mwaka 1871 kaisari wa Ujerumani. Alizaliwa kwa jina la Wilhelm Friedrich Ludwig von Preußen. Babake alikuwa mfalme Friedrich Wilhelm III wa Prussia. Tangu utoto alilelewa k ...

                                               

Kaisari Wilhelm II

Kaisari Wilhelm II alikuwa mfalme wa mwisho wa Prussia na kaisari wa mwisho wa Ujerumani kuanzia 1888 to 1918. Alizaliwa kama mtoto wa mfalme mteule Friedrich III na mjukuu wa Kaisari Wilhelm I. Babake alikufa baada ya utawala mfupi wa siku 99 pe ...

                                               

Peter I wa Urusi

Peter I wa Urusi alikuwa Tsar yaani Kaisari wa Urusi. Jina lake la Kirusi lilikuwa Пётр Алексеевич Романов, Pyotr Alekseyevitch Romanov. Alizaliwa tarehe 9 Juni 1672 na kufariki tarehe 8 Februari 1725. Ndiye mtawala aliyeingiza Urusi, iliyokuwa n ...

                                               

Theodosius Mkuu

Flavius Theodosius alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 15 Mei, 392 hadi kifo chake. Kabla hajatawala dola zima, alikuwa Kaizari upande wa Mashariki kuanzia Agosti 378. Upande wa Mashariki alimfuata Valens. Theodosius alikuwa Kaizari wa mwisho ...

                                               

Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani

Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani inataja wafalme wanaohesabiwa rasmi. Kwa wafalme 28 wa kwanza hatuna miaka ya uhakika, kwa hiyo hawajaorodheshwa humo. 87 Shijo, 1232-1242 105 Go-Nara, 1526-1557 62 Murakami, 946-967 65 Kazan, 984-986 124 Hirohit ...

                                               

Olaf II Haraldsson

Olaf II Haraldsson, alikuwa mfalme wa Norway kuanzia mwaka 1015 hadi 1028. Mwaka mmoja baada ya kuuawa vitani huko Stiklestad, alitangazwa na askofu Grimketel huko Nidaros Trondheim kuwa mtakatifu. Jambo hilo lilichangia sana uenezi wa Ukristo nc ...

                                               

Edward VI wa Uingereza

Edwad wa VI wa Uingereza alikuwa mfalme wa Uingereza na Ireland kutoka tarehe 28 Januari 1547 mpaka kufa kwake. Alipewa taji mnamo 20 Februari akiwa na umri wa miaka tisa. Edward alikuwa mtoto wa Henry VIII na Jane Seymour, na mfalme wa Uingereza ...

                                               

Elizabeth I wa Uingereza

Elizabeth I wa Uingereza alikuwa malkia wa Uingereza kuanzia 1558 hadi kifo chake. Alikuwa mwanamke wa tatu kutawala Uingereza kama malkia. Aliitwa mara nyingi "malkia bikira" kwa sababu hakuolewa wala kuzaa watoto. Kutokana na neno la Kiingereza ...

                                               

Mfalme Edmund

Mfalme Edmund alikuwa mfalme wa Waangli wa Mashariki, katika kipindi kigumu cha karne ya 9, nchi iliposumbuliwa sana na Waviking. Anaheshimiwa tangu kale kama mtakatifu, somo wa Uingereza. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

                                               

Aga Khan Academy, Mombasa

Aga Khan Academy, mjini Mombasa ni moja kati ya shule za Aga Khan Academy, zinaozfunza elimu ya kiwango cha kimataifa na iliyo bora katika aina yoyote ya elimu. Shule hii hutoa elimu pana yenye masomo mengi, na husisitiza masomo ya sanaa. Wanafun ...

                                               

Cheti cha Masomo ya Msingi ya Kenya

KCPE ni ufupisho wa Kenya Certificate of Primary Education, tuzo la cheti kwa wanafunzi baada ya kuhitimu kwa kusoma miaka nane katika elimu ya msingi nchini Kenya. Mitihani yake husimamiwa na Kenya National Examination Council, kitengo cha serik ...

                                               

KCSE

KCSE, kwa kimombo, Kenya Certificate of Secondary Education, ni shahada ambayo huchukuliwa baada ya mtu kukamilisha elimu ya sekondari. Mtihani wa kwanza ulifanyika mwaka wa 1989 wakati huo ukiwa mwisho wa Kenya Advanced Certificate of Education ...

                                               

Shule ya Lenana

Lenana School ni shule ya upili mjini Nairobi, Kenya. Ilianzishwa mwaka wa 1949 na gavana wa kikoloni, Philip Euen Mitchell, na wakati huo shule hii ilikuwa inajulikana kama Duke of York School. Mwalimu mkuu wa kwanza alikuwa RH James. Shule hii ...

                                               

Chuo cha Mt. Petro, Auckland

Chuo cha Mtakatifu Petro, Auckland ni shule ya sekondari ya Kikatoliki kwa wavulana tu iliyoko mjini Auckland, Nyuzilandi. Ni shule kubwa kabisa ya Kikatoliki nchini Nyuzilandi. Ilianzishwa mnamo 1939 na shirika la Christian Brothers Ndugu wa Kik ...

                                               

Bomas of Kenya

Bomas of Kenya ni makumbusho ya utamaduni wa makabila ya Kenya yanayoonyesha nyumba na vijiji vya kimila kutoka pande nyingi za nchi. Kuna makumi ya nyumba zilizopangwa pamoja kufuatana na maeneo asilia; kwa mfano Waembu, Wakalenjin, Wakamba, Wak ...

                                               

Gedi

Gedi ni kijiji cha wakazi 600 kwenye pwani ya Kenya takriban kilomita 16 kusini kwa Malindi. Ni mahali maarufu pa maghofu ya mji wa Waswahili wa Kale.

                                               

Jumba la makumbusho la Karen Blixen

. Jumba la makumbusho la Karen Blixen huko Denmark liko katika mji wa Rungstedlund, nyumba ya mwandishi Karen Blixen 1885-1962, katika mji wa Rungsted, Denmark takribani km 24 kaskazini mwa Kopenhagen. Alitumia muda mwingi wa maisha yake nchini K ...

                                               

Jumba la Mtwana

Jumba la Mtwana ni eneo la nchini Kenya lililoko katika pwani ya bahari ya Hindi huko Mtwapa Creek, Malindi katika kaunti ya Kilifi, kaskazini kwa Mombasa. Eneo hilo la kihistoria na kumbukumbu za akiolojia lilianzia katika karne ya 14 huku vipen ...

                                               

Makumbusho ya Kitale

Makumbusho ya Kitale yanapatikana magharibi mwa Kenya, kilomita 380 kutoka mji mkuu wa Nairobi, na kilomita moja kutoka mjini Kitale. Ni makumbusho ya kwanza ya nyumbani nchini Kenya yaliyofunguliwa mwaka 1924. Mwanzo makumbusho hayo yalikuwa yak ...

                                               

Makumbusho ya Meru

Makumbusho ya Meru ni makumbusho yanayopatikana eneo la Meru nchini Kenya. Makumbusho hayo yanaonyesha na kuelezea utamaduni wa jamii ya Wameru.

                                               

Makumbusho ya Narok

Makumbusho ya Narok ni makumbusho yanayopatikana Narok, kaunti ya Narok, nchini Kenya. Hayo ni makumbusho ya utamaduni wa jamii za Wamaasai na wengine wanaozungumza lugha ya Maa, wakiwemo Wasamburu na Wandorobo.

                                               

Makumbusho ya Rabai

Makumbusho ya Rabai ni makumbusho yanayopatikana katika kaunti ya Kilifi, nchini Kenya. Makumbusho hayo hupatikana katika kanisa la kwanza kujengwa na Waprotestanti nchini Kenya mnamo mwaka 1846, huku kwa asilimia kubwa makumbusho yakionyesha kaz ...

                                               

Makumbusho ya reli Nairobi

Makumbusho ya reli Nairobi yako karibu na kituo cha reli katika Nairobi, mji mkuu wa Kenya. Makumbusho hayo yana maonyesho ya injinitreni na mabehewa ya kihistoria kutoka zamani za shirika ya Reli ya Afrika Mashariki. Makumbusho yalifunguliwa mwa ...

                                               

Makumbusho ya Tambach

Makumbusho ya Tambach ni makumbusho yaliyoko katika eneo la Tambach, Kaunti ya Elgeyo-Marakwet, nchini Kenya. Makumbusho hayo hupatikana sehemu yalipokuwa makazi ya mkuu wa wilaya ya zamani.

                                               

Jumba la Maajabu

Jumba la Maajabu ni jengo la kihistoria katika Mji Mkongwe, Zanzibar. Ni jengo kubwa na refu zaidi la Mji Mkongwe lililojengwa mnamo mwaka 1883 kwa amri ya Sultani Sayyid Bargash. Linatazama Bustani ya Forodhani kwenye ukingo wa bahari, karibu na ...

                                               

Makumbusho ya Azimio la Arusha

Makumbusho ya Azimio la Arusha yanapatikana karibu kabisa na Mnara wa Mwenge eneo la Kaloleni jijini Arusha. Mwaka 1967 jengo hilo lilitumika kwa mkutano wa kihistoria kuhusu sera za siasa na uchumi za Tanzania za ujamaa na kujitegemea zilizotole ...

                                               

Makumbusho ya Kitaifa Dar es Salaam

Makumbusho ya Kitaifa Dar es Salaam ni jengo la makumbusho lililoko jijini Dar es Salaam, kwenye sehemu ya kihistoria ya Ilala mkabala wa barabara ya Shaban Robert na Samora nchini Tanzania. Chanzo cha makumbusho ni jengo dogo lililofunguliwa mwa ...

                                               

Makumbusho ya Wasukuma

Makumbusho ya Wasukuma ni makumbusho ya kijamii yanayopatikana Bujora, kijiji cha mkoa wa Mwanza nchini Tanzania. Makumbusho hayo yalianzishwa rasmi mwaka 1968 kwa ajili ya kuendeleza na kutunza utamaduni na mila za kabila la Wasukuma Msingi wa h ...

                                               

Zahanati ya Ithnashiri

Zahanati ya Ithnashiri ni jengo la kihistoria katika Mji Mkongwe, Zanzibar. Liko mbele ya bahari, katika barabara ya Mizingani, katikati ya Jumba la Makumbusho la Ikulu na bandari. Jina lake linatokana na ukweli kwamba ilitumika kama zahanati kat ...

                                               

Precious Blood Secondary School Riruta

Precious Blood Secondary School Riruta, ni jina la shule ya upili ya wasichana. Shule hii iko katika eneo la Nairobi, upande wa Kawangware. Mkuu wa shule ni Bi. Akatsa, na kabla yake, kulikuwa Bi. Mungai. Shule ya Precious Blood ni shule ya serik ...

                                               

Chuo Kikuu cha Abuja

Chuo Kikuu cha Abuja kilianzishwa tarehe 1 Januari, mwaka 1988 kama chuo cha sura mbili chenye mamlaka ya kuendesha masomo chuoni na mpango wa elimu ya masafa ya mbali. Ndicho Chuo Kikuu cha kwanza cha Nigeria kuwa na uwezo wa aina hiyo, kwa hivy ...

                                               

Accra Academy

Accra Academy ni shule ya upili katika eneo la Greater Accra Ghana. Shule hufunza masuala mbalimbali katika Biashara, Sayansi, Sanaa na Mafunzo ya ujuzi wa kuongoza kwa tuzo ya shahada ya Shule ya Upili ya Afrika Magharibi.

                                               

Chuo Kikuu cha Methodist Ghana

Chuo Kikuu cha Methodist Ghana ni moja ya vyuo binafsi nchini Ghana. Kiko Mjini Accra iliyoko eneo kubwa la Accra. Ilianzishwa Oktoba 2000 na Kanisa la Methodist la Ghana baada ya kupewa ruhusa na bodi ya National Accreditation Board mwezi Agosti ...

                                               

Shule ya Hillcrest (Nairobi, Kenya)

Shule ya Upili ya Hillcrest ilianzishwa mwaka wa 1975, na hapo awali ilikuwa inamilikiwa na mwanasiasa Kenneth Matiba. Imejengwa kwenye uwanja mkubwa kitongojini Karen, Nairobi. Shule hii inahudumu jamii ya kimataifa, wasomi, na wanabiashara nchi ...

                                               

International School of Kenya

International School of Kenya ni shule ya kimataifa inayofunza wanafunzi kuanzia darasa la chekechea hadi darasa la 12. Shule hii iko nje ya jiji la Nairobi, Kenya. Ilianzishwa mwaka wa 1976 iliyojengwa katika uwanja wa hekta 25. Wanafunzi wanawe ...

                                               

Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe

Shule ya Upili ya Wavulana ya Starehe ni shule ya bweni na kutwa, ya wavulana pekee, katika eneo la Nairobi, Kenya. Shule ilianzishwa mwaka 1959 na Dr Geoffrey William Griffin, MBS,OBE, Geoffrey Gatama Geturo na Joseph Kamiru Gikubu. Ilianza kama ...

                                               

Shule ya Strathmore

Shule ya Strathmore ni shule ya kwanza ya Kenya ambayo haikuwa na ubaguzi wa rangi iliyoanzishwa mwaka wa 1961 katika eneo la Lavington wilayani Nairobi. Mwanzoni, ilikuwa chuo ambacho elimu yake ilikuwa inafika hadi kidato cha sita na mfumo wa e ...