ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 120
                                               

Jimbo Kuu la Mbeya

Jimbo Kuu la Mbeya ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linasimamia jimbo Katoliki la Iringa na Jimbo Katoliki la Sumbawanga. Askofu mkuu wake wa kwanza amechagu ...

                                               

Jimbo Katoliki la Mbinga

Jimbo katoliki la Mbinga ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea. Askofu wake ni John Chrisostom Ndimbo.

                                               

Jimbo Katoliki la Mbulu

Jimbo Katoliki la Mbulu ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Arusha. Askofu wake ni Anthony Lagwen.

                                               

Jimbo Katoliki la Morogoro

Jimbo la Morogoro ni mojawapo katika ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania kwa ajili ya waumini wake katika manispaa ya Morogoro pamoja na wilaya za Bagamoyo, Morogoro vijijini, Mvomero, Kilosa, Gairo n.k. Eneo lote lina kilometa mraba ...

                                               

Jimbo Katoliki la Moshi

Jimbo Katoliki la Moshi ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Arusha. Askofu wake Isaac Amani Massawe, alihamishiwa Arusha kama askofu ...

                                               

Jimbo Katoliki la Mpanda

Jimbo Katoliki la Mpanda ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Tabora. Tarehe 21 Desemba 2018 Askofu wake Gervas John Mwasikwabhila Ny ...

                                               

Jimbo Katoliki la Mtwara

Jimbo Katoliki la Mtwara ni jimbo la Kanisa Katoliki lenye makao makuu mjini Mtwara katika kanda ya Songea upande wa kusini nchi Tanzania. Kama majimbo yote 34 ya nchi hiyo, linafuata mapokeo ya Roma. Eneo la jimbo lina kilometa mraba 7.780, amba ...

                                               

Jimbo Katoliki la Musoma

Jimbo Katoliki la Musoma ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Eneo lake ni la kilometa mraba 25.150 Mkoa wa Mara isipokuwa wilaya ya Bunda na parokia mbili katika wilaya ...

                                               

Jimbo Kuu la Mwanza

Jimbo Kuu la Mwanza ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Chini yake kuna kanda ya Kanisa yenye majimbo yafuatayo: Bukoba, Bunda, Geita, Kayanga, Musoma, Rulenge-Ngara na ...

                                               

Ndugu Wadogo wa Afrika

Ndugu Wadogo wa Afrika ni wanaume na wanawake Wafransisko wamisionari" wa Kanisa Katoliki wenye makao makuu mjini Morogoro. Cha kwao ni chama cha maisha yaliyowekwa wakfu kwa Mungu kwa njia ya ahadi ya kushika mashauri ya Kiinjili ya useja mtakat ...

                                               

Jimbo Katoliki la Njombe

Jimbo Katoliki la Njombe ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea. Askofu wake ni Alfred Leonhard Maluma.

                                               

Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara

Jimbo katoliki la Rulenge-Ngara ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Mwanza. Askofu wake ni Severine Niwemugizi.

                                               

Jimbo Katoliki la Same

Jimbo Katoliki la Same ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania, na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kanisa kuu liko mjini Same, katika mkoa wa Kilimanjaro na limewekwa wakfu kwa heshima ya Kristo Mfalme. Linah ...

                                               

Jimbo Katoliki la Shinyanga

Jimbo katoliki la Shinyanga ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Mwanza. Askofu wake ni Liberatus Sangu.

                                               

Jimbo Katoliki la Singida

Jimbo katoliki la Singida ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Dodoma. Askofu wake ni Edward Mapunda.

                                               

Jimbo Kuu la Songea

Jimbo Kuu la Songea ni mojawapo kati ya majimbo makuu 7 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania, likiongoza majimbo ya kusini, yakiwemo Mbinga, Tunduru-Masasi, Mtwara, Lindi na Njombe. Makao makuu ni mjini Songea, ambapo pana Kanisa kuu la mtakatifu M ...

                                               

Jimbo Katoliki la Sumbawanga

Jimbo Katoliki la Sumbawanga ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania, na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kanisa kuu liko mjini Sumbawanga, katika mkoa wa Rukwa. Lilianzishwa tarehe 10 Mei 1946 na linahusiana ...

                                               

Jimbo Kuu la Tabora

Jimbo Kuu la Tabora ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Chini yake kuna kanda ya Kanisa yenye majimbo yafuatayo: Kahama, Kigoma, Mpanda na Sumbawanga. Kanisa Kuu liko ji ...

                                               

Jimbo katoliki la Tanga

Jimbo Katoliki la Tanga ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania. Makao makuu yake yako katika mji wa Tanga na linahusiana na Jimbo Kuu la Dar-es-Salaam. Askofu wa jimbo wa mwisho alikuwa Anthony Banzi.

                                               

Jimbo Katoliki la Tunduru-Masasi

Jimbo katoliki la Tunduru-Masasi ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Songea. Askofu wake alikuwa Castor Paul Msemwa.

                                               

Kanisa Kuu la Azania Front

Kanisa Kuu la Azania Front ni kanisa kuu la Walutheri lililopo jijini Dar es Salaam katika wilaya ya Ilala na ni moja kati ya vivutio vya jiji hilo la Tanzania. Kanisa hili lipo katika barabara ya Kivukoni karibu na Waterfront, mkabala na hoteli ...

                                               

Kanisa la Biblia Publishers

Kanisa la Biblia Publishers ni idara ya Maandiko ya Kanisa la Biblia Tanzania. Kazi yake ni kutafsiri, kuandaa na kutoa maelezo ya Biblia kwa Kiswahili. Inachapisha vitabu kwa msomaji wa Biblia anayetaka kuelewa vizuri zaidi, ili apate kuelewa mw ...

                                               

Jimbo Katoliki la Bubanza

Jimbo Katoliki la Bubanza ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo Kuu la Bujumbura. Askofu wake ni Jean Ntagwarara.

                                               

Jimbo Kuu la Bujumbura

Jimbo Kuu la Bujumbura ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa lina majimbo ya Bubanza na Bururi chini yake. Askofu mkuu wake ni Evariste Ngoyagoye.

                                               

Jimbo Katoliki la Bururi

Jimbo Katoliki la Bururi ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Bujumbura. Askofu wake ni Venant Bacinoni.

                                               

Jimbo Kuu la Gitega

Jimbo Kuu la Gitega ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa lina majimbo ya Muyinga, Ngozi na Ruyigi chini yake. Askofu mkuu wake ni Simon Ntamwana.

                                               

Jimbo Katoliki la Muyinga

Jimbo katoliki la Muyinga ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Gitega. Askofu wake ni Joachim Ntahondereye.

                                               

Jimbo Katoliki la Ngozi

Jimbo katoliki la Ngozi ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo Kuu la Gitega. Askofu wake ni Gervais Banshimiyubusa.

                                               

Jimbo Katoliki la Ruyigi

Jimbo Katoliki la Ruyigi ni mojawapo kati ya majimbo 8 ya Kanisa Katoliki nchini Burundi na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Kikanisa linahusiana na jimbo Kuu la Gitega. Askofu wake ni Blaise Nzeyimana.

                                               

Jimbo Kuu la Juba

Jimbo Kuu la Juba ni mojawapo kati ya majimbo 7 ya Kanisa Katoliki nchini Sudan Kusini na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Chini yake kuna kanda ya Kanisa yenye majimbo yafuatayo: Malakal, Rumbek, Tombura-Yambio, Torit, Wau na Yei. Ask ...

                                               

Jimbo Katoliki la Malakal

Jimbo la Malakal ni mojawapo kati ya majimbo 7 ya Kanisa Katoliki nchini Sudan Kusini na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Yote yanaunda kanda ya Kanisa yenye makao makuu katika Jimbo Kuu la Juba. Askofu wake wa mwisho hadi 2009 alikuwa ...

                                               

Jimbo Katoliki la Rumbek

Jimbo la Rumbek ni mojawapo kati ya majimbo 7 ya Kanisa Katoliki nchini Sudan Kusini na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Yote yanaunda kanda ya Kanisa yenye makao makuu katika Jimbo Kuu la Juba. Askofu wake wa mwisho alifariki mwaka 20 ...

                                               

Jimbo Katoliki la Tombura-Yambio

Jimbo la Tombura-Yambio ni mojawapo kati ya majimbo 7 ya Kanisa Katoliki nchini Sudan Kusini na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Yote yanaunda kanda ya Kanisa yenye makao makuu katika Jimbo Kuu la Juba. Askofu wake ni Edward Iiboro Kus ...

                                               

Jimbo Katoliki la Torit

Jimbo la Torit ni mojawapo kati ya majimbo 7 ya Kanisa Katoliki nchini Sudan Kusini na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Yote yanaunda kanda ya Kanisa yenye makao makuu katika Jimbo Kuu la Juba. Askofu wake wa mwisho amefariki mwaka 201 ...

                                               

Jimbo Katoliki la Wau

Jimbo la Wau ni mojawapo kati ya majimbo 7 ya Kanisa Katoliki nchini Sudan Kusini na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Yote yanaunda kanda ya Kanisa yenye makao makuu katika Jimbo Kuu la Juba. Askofu wake ni Rudolf Deng Majak tangu mwak ...

                                               

Jimbo Katoliki la Yei

Jimbo la Yei ni mojawapo kati ya majimbo 7 ya Kanisa Katoliki nchini Sudan Kusini na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma. Yote yanaunda kanda ya Kanisa yenye makao makuu katika Jimbo Kuu la Juba. Askofu wake ni Erkolano Lodu Tombe tangu mw ...

                                               

Jimbo Katoliki la Jibuti

Jimbo Katoliki la Jibuti ni jimbo pekee la Kanisa Katoliki nchini Jibuti na linafuata mapokeo ya Kiroma. Makao makuu yake yako Jibuti. Askofu wake ni Giorgio Bertin, O.F.M., tangu mwaka 2001.

                                               

Jimbo Katoliki la Basankusu

Jimbo Katoliki la Basankusu ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Mbandaka-Bikor ...

                                               

Jimbo Katoliki la Bokungu-Ikela

Jimbo Katoliki la Bokungu-Ikela ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Mbandaka-B ...

                                               

Jimbo Katoliki la Boma

Jimbo Katoliki la Boma ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kinshasa. Askofu wa ...

                                               

Jimbo Katoliki la Bondo

Jimbo Katoliki la Bondo ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kisangani. Askofu ...

                                               

Jimbo Katoliki la Budjala

Jimbo Katoliki la Budjala ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Mbandaka-Bikoro. ...

                                               

Jimbo Kuu la Bukavu

Jimbo Kuu la Bukavu ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa lina majimbo ya Butembo-Beni, Goma, Kasongo, Kind ...

                                               

Jimbo Katoliki la Bunia

Jimbo Katoliki la Bunia ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kisangani. Askofu ...

                                               

Jimbo Katoliki la Buta

Jimbo Katoliki la Buta ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kisangani. Askofu w ...

                                               

Jimbo Katoliki la Butembo-Beni

Jimbo Katoliki la Butembo-Beni ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Bukavu. Ask ...

                                               

Jimbo Katoliki la Doruma-Dungu

Jimbo Katoliki la Doruma-Dungu ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kisangani. ...

                                               

Jimbo Katoliki la Goma

Jimbo Katoliki la Goma ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Bukavu. Askofu wake ...

                                               

Jimbo Katoliki la Idiofa

Jimbo Katoliki la Idiofa ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kinshasa. Askofu ...

                                               

Jimbo Katoliki la Inongo

Jimbo Katoliki la Inongo ni mojawapo kati ya majimbo 47 ya Kanisa Katoliki nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma kadiri ya utamadunisho maalumu. Kikanisa liko chini ya Jimbo Kuu la Kinshasa. Askofu ...