ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 112
                                               

Sadney Urikhob

Sadney Urikhob ni mchezaji wa soka ambaye anacheza katika ligi kuu ya Tanzania katika klabu ya Yanga na timu ya taifa ya Namibia.

                                               

Saed Kubenea

Saed Kubenea ni mbunge wa jimbo la Ubungo baada ya kushinda uchaguzi wa tarehe 25 Oktoba 2015 kupitia chama cha CHADEMA. Jimbo la Ubungo ni moja ya majimbo yaliyomo ndani ya Mkoa wa Dar es Salaam ambayo kambi ya upinzani ilifanikiwa kuyatwaa kupi ...

                                               

Sahle-Work Zewde

Sahle-Work Zewde ni mwanasiasa wa Ethiopia ambaye ni Rais wa sasa wa Ethiopia na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo. Mwanadiplomasia kwa kazi, alichaguliwa kama rais kwa hiari na wajumbe wa Bunge la Shirikisho mnamo 25 Oktoba 2018. Sahle-Work ...

                                               

Sajjad Fazel

Sajjad Sherally Fazel ni mfamasia wa Kliniki Tanzania, mwandishi wa makala za afya na mwanzilishi wa Afya Yako, juhudi ya kwanza nchini Tanzania ya kustawisha afya ya umma kwa intaneti.

                                               

Zoe Saldana

Zoé Yadira Zaldaña Nazario, anafahamika kwa jina la kitaalamu kama Zoe Saldana, wakati mwingine huandikwa Zoe), ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Alipata uhusika wake katika filamu ya mwaka wa 2000 Center Stage, na baadaye kupata uma ...

                                               

Sam Clucas

Sam Clucas ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kiungo katika klabu ya Stoke City. Clucas alianza kazi yake kama mchezaji wa vijana wa Leicester City ambako alitumia miaka sita, kabla ya kutolewa. Alijifunza kwenye Lincoln Colleg ...

                                               

Sam Gallagher

Sam Gallagher ni mshambuliaji wa soka wa Uingereza ambaye anachezea Southampton. Mwanzoni alikua mwanachama wa chuo cha vijana wa Plymouth Argyle, Gallagher alijiunga na Southampton mwaka 2012 na alipata wito kwa timu ya kwanza mwanzoni mwa msimu ...

                                               

Sam McQueen

Sam McQueen ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza Southampton kama winga wa kushoto. McQueen alijiunga na Southampton Academi akiwa na umri wa miaka nane na amebaki na klabu hiyo tangu hapo.

                                               

Sam Nujoma

Samuel Shafiishuna Daniel Nujoma ni mpinga ubaguzi wa rangi, mwanaharakati na mwanasiasa ambaye aliwahi mihula mitatu kama Rais wa kwanza wa Namibia. Nujoma alipata elimu ya kisiasa kwa msaada wa Umoja wa Kisovyeti na ndiyo maana alikuja na nadha ...

                                               

Sami Khedira

Sami Khedira ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika timu ya Italia Juventus na timu ya taifa ya Ujerumani. Khedira alianza kazi yake katika timu ya VfB Stuttgart na kushinda Bundesliga mwaka 2007, kabla ya kuh ...

                                               

Samson Mbingui

Samson Mbingui ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Gabon ambaye anacheza katika klabu ya Tours FC na timu ya taifa ya mpira wa miguu ya Gabon.

                                               

Samuel Chukwueze

Samuel Chukwueze ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Hispania katika klabu ya Villareal kwenye ligi La Liga. Mchezaji huyu ana urefu wa mita 1.72 ana uzito wa kilo 70.

                                               

Samuel Etoo

Samuel Etoo Fils ni mchezaji wa soka wa Kameruni ambaye anacheza kwa Qatar SC, kama mshambuliaji. Yeye ndiye mchezaji aliyependekezwa zaidi kuwa bora kati ya wale wa Kiafrika wa wakati wote, baada ya kushinda tuzo ya mchezaji wa mwaka wa Afrika r ...

                                               

Samuel Umtiti

Samuel Umtiti ni mchezaji wa soka wa Ufaransa ambaye anacheza kama mchezaji wa nyuma/au kwa jina lingine ni beki wa klabu ya Hispania iitwayo Barcelona F.C. na timu ya taifa ya Ufaransa. Umtiti alianza kazi yake ya kitaalamu na Lyon mwaka 2012, k ...

                                               

Sander Berge

Sander Berge ni mchezaji wa mpira wa miguu huko Norwe ambaye anacheza kama kiungo wa K.R.C. Uzazi katika Idara ya Kwanza ya Ubelgiji A.

                                               

Sandra A. Mushi

Sandra Aikaruwa Mushi amezaliwa 28 Februari 1974 ni mwanamke Mtanzania ambaye ni msanifu wa mambo ya ndani ya majengo na mwanzilishi wa kampuni ya Creative Studios Limited mjini Dar es Salaam, Tanzania. Pia ni mwanachama wa International Interior ...

                                               

Carlos Santana

Carlos Augusto Santana Alves ni mshindi wa Tuzo ya Grammy, akiwa kama mwanamuziki-mpiga gitaa bora wa Kimexiko. Ameanza kujipatia umaarufu tangu kunako miaka ya 1960 na mwanzoni mwa miaka ya 1970 akiwa na bendi yake ya Santana Bendi, ambayo imeji ...

                                               

Juan Manuel Santos

Juan Manuel Santos Calderón ni mwanasiasa nchini Kolombia. Mwaka 2010 alikuwa rais akifuatana na mtangulizi wake Álvaro Uribe. Katika serikali ya Uribe alishika ofisi ya waziri wa ulinzi. Tangu kuwa mkuu wa serikali Calderon alijaribu kusaidia ma ...

                                               

Kumar Sanu

Kumar Sanu (pak Kedarnath Bhattacharya Bengali: কেদারনাথ ভট্টাচার্য alizaliwa 23 Septemba 1957 katika Kolkata, ni mwimbaji maarufu India katika Bollywood. Yeye ni mpokeaji wa tuzo la Padma Shri, moja ya tuzo muhimu India. Alishinda Tuzo la mwanam ...

                                               

Sara Msafiri Ally

Sara Msafiri Ally ni mwanamke aliyepata nafasi tofautitofauti katika jamii na serikali ya Tanzania. Nafasi alizoweza kupata ni Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mkuu wa wilaya ya Hanang, mkoa wa Manyara. Ubunge wa viti maalumu kundi la vijana.

                                               

Nicolas Sarkozy

Nicolas Sarkozy ni mwanasiasa aliyekuwa Rais wa Ufaransa tangu 16 Mei 2007. Sarkozy ni mtoto wa baba mkimbizi kutoka Hungaria na mama wa asili ya Kiyahudi. Alijiunga na siasa akawa mwenyekiti wa chama cha UMP cha rais Jacques Chirac akateuliwa ku ...

                                               

Saul Niguez

Saul Niguez ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kwa Atlético Madrid kama kiungo wa kati au kijivu. Amezaliwa huko Elche, Alicante, Jumuiya ya Valencian. Saúl alihamia Atletico Madrid mwaka 2008 akiwa na umri wa miaka 13, baada ya kuan ...

                                               

John Saxon

John Saxon ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Saxon pia aliwahi kushiriki katika filamu za western ya Italia, maarufu kama Spaghetti Western, huko alikuwa akicheza kama askari.

                                               

Nicole Scherzinger

Nicole Prescovia Elikolani Valiente Scherzinger ni mwimbaji wa R&B, mtunzi wa nyimbo, mnenguaji, mwanamitindo, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa kama mwimbaji kiongozi wa kundi la muziki la The Pussycat Dolls. Am ...

                                               

Helmut Schmidt

Helmut Heinrich Waldemar Schmidt ni mwanasiasa wa Kijerumani na pia alikuwa chancela wa Shirikisho la Jamhuri ya watu wa Ujerumani kuanzia 1974 hadi 1982. Helmut Schmidt alizaliwa mjini Hamburg mnamo 1918. Alimaliza shule yake mnamo 1937. Baada y ...

                                               

Gerhard Schröder

Gerhard Schröder alikuwa chansela wa Ujerumani kuanzi 1998 hadi 2005. Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2005, akapokelewa na Angela Merkel. Huyu ni mwanachama wa chama cha kisiasa cha Kijerumani cha SPD.

                                               

Mark Schultz (mwanamuziki)

Mark Schultz ni mwimbaji wa muziki ya kisasa ya Kikristo na pia ni mtunzi wa nyimbo. Yeye alikulia katika "Colby,Kansas na kufuzu kutoka Chuo Kikuu cha Jimbo la Kansas na shahada ya digrii katika somo la masoko. Alipokuwa Chuo Kikuu.Mark alikuwa ...

                                               

Arnold Schwarzenegger

Arnold Schwarzenegger ni mwigizaji wa filamu na mwanasiasa aliyekuwa gavana wa jimbo la California nchini Marekani tangu 2003 hadi Januari 2011. Arnold anaishi mjini Los Angeles, California. Schwarzenegger alielekea nchi Marekani mnamo mwaka wa 1 ...

                                               

Scott Adkins

Scott Edward Adkins ni mwigizaji na mzalishaji wa filamu, mtayarishaji, mwandishi wa skrini, mazoezi ya viungo, na msanii wa kijeshi wa Uingereza. Scott Edward Adkins alizaliwa katika mji wa Sutton Coldfield ndani ya Birmingham huko Uingereza na ...

                                               

Scott McTominay

Scott Mc Tominay ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uskoti.

                                               

Seko Shamte

Seko Shamte ni Mtanzania anayejihusisha na kazi za kutengeneza filamu akiwa mwandishi na msimamizi wa kazi mbalimbali za filamu.

                                               

Selena

Selena, wake jina la kuzaliwa Selena Quintanilla ni mwimbaji wa muziki aina ya Tejanopop. Alikuwa mara nyingi huitwa "Malkia wa Tejano muziki".

                                               

Queen Sendiga

Queen Cuthbert Sendiga ni mwanasiasa, mwanaharakati na mfanyabiashara nchini Tanzania. Ni Naibu Katibu Taifa wa chama cha Alliance for Democratic Change ADC. Mwaka 2020, Queen ni mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho.

                                               

Wema Sepetu

Wema Abraham Sepetu ni mwanamitindo, mjasiriamali na mwigizaji kutoka nchini Tanzania. Aliwahi kuwa Miss Tanzania kwa mwaka wa 2006. Aliiwakilisha Tanzania katika Miss World 2006, ambayo ilifanyika nchini Poland. Baadaye alikua mwigizaji nchini T ...

                                               

Serah Ndanu

Serah Ndanu Teshna ni mwigizaji kutoka Kenya. Ni mmoja wa waigizaji kutoka Kenya mwenye umaarufu kutokana na kazi zake za uigizaji na uongozaji wa vipindi vya televisheni.

                                               

Serge Gnabry

Serge David Gnabry ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Ujerumani ambaye anacheza kama winga wa klabu ya Bundesliga Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani. Gnabry alianza kazi yake huko Uingereza na klabu ya Arsenal. Alikwenda kwa mkopo West Bro ...

                                               

Serge Le Griot

Ngoy Lusungu Serge alizaliwa mnamo 12 Februari 1995 katika jiji la Goma Kivu Kaskazini, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Akiwa na shauku juu ya mashairi ya kisasa tangu utotoni, alianza kwenye kundi za michezo. Baada ya miaka micha ...

                                               

Sergi Gómez

Gómez aliwasili katika chuo cha vijana wa FC Barcelona akiwa na umri wa miaka 14. Ingawa alionekana katika mechi tatu tu za Segunda División B kwa upande wa B katika msimu wa 2009-10.

                                               

Sergi Roberto

Sergi Roberto Carnicer ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anachezea timu ya FC Barcelona na timu ya taifa ya Hispania. Roberto anaweza kucheza kama beki, kiungo wa kati, kiungo mkabaji au winga.

                                               

Sergio Busquets

Sergio Busquets Burgos ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza kama kiungo mkabaji kwenye timu ya Barcelona F.C. na timu ya taifa ya Hispania. Busquets aliwasili katika timu ya kwanza Barcelona Julai 2006, na hatimaye alichiza kwa muda mf ...

                                               

Sergio Ramos

Sergio Ramos Garcia ni mchezaji na nahodha wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania anacheza kama beki wa kati na pia ana uwezo wa kucheza kama beki wa kulia. Alitokea katika akademi ya Sevilla na mwaka 2005 alihamia Real Madrid na ak ...

                                               

Sergio Romero

Sergio German Romero ni mchezaji wa soka wa Argentina ambaye anacheza kama golikipa wa klabu ya Uingereza Manchester United na timu ya taifa ya Argentina. Romero ni golikipa mzuri zaidi katika historia ya timu ya taifa ya Argentina, amecheza mich ...

                                               

Barbara Serra

Barbara Serra ni mzaliwa wa Italiano anayeishi Uingereza ni mwandishi na mtangazaji habari, anayetangaza kutoka afisi ya Al Jazeera iliyo mjini London.

                                               

Renato Kizito Sesana

Renato Sesana alizaliwa katika Lecco, Italia. Mwaka wa 1962, alimaliza na shahada katika uhandisi, akaenda kufanya kazi katika kiwanda maarufu kiitwaGuzzi Moto Mandello del Lario jirani. Sesana iliingia katika kundi la misionari katika Gozzano, I ...

                                               

Jane Seymour

Jane Seymour OBE ni mwigizaji wa filamu wa Uingereza. Anafahamika zaidi kwa kucheza filamu ya James Bond - Live and Let Die na pia kucheza katika mfululizo wa kipindi cha TV cha Dr. Quinn, Medicine Woman.

                                               

Shaaban Idd Chilunda

Shaaban Idd Chilunda ni mchezaji wa soka wa timu ya taifa ya Tanzania ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu iliyopo nchini Hispania ya Izzra kwa mkopo kutoka katika klabu ya CD Tenerife.

                                               

Shado Twala

Nomshado Twala ni Dj wa redio Afrika Kusini, mwandishi wa habari, mjasiriamali na mtayarishaji wa redio na televisheni anayejulikana kama hakimu juu ya SAs Got Talent. Twala alilelewa Cape Town. Alianza kujulikana kwa umma mnamo mwaka 1989 wakati ...

                                               

Shaggy (msanii)

Orville Richard Burrell, anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii Shaggy, ni mshindi wa Grammy Award kama mwimbaji wa reggae ya Jamaika-Amerika ambapo asili ya jina lake la kisanii ni kutoka rafiki wa Scooby-Doo -jina alilopewa na marafiki zake ...

                                               

Shah Rukh Khan

Shah Rukh Khan ni mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, na mtu wa runinga wa India. Anajulikana katika vyombo vya habari kama "Baadshah of Bollywood", "King of Bollywood" na "King Khan", ameonekana katika filamu zaidi ya 80 za Kihindi, na kupata sif ...

                                               

Shaleen Surtie-Richards

Shaleen Surtie-Richards amezaliwa Upington, Afrika Kusini, 7 Mei 1955 ni mwigizaji wa Afrika Kusini na jukwaani. Anajulikana sana katika majukumu yake ya kuigiza katika filamu ya Fiela se Kind ya mwaka 1988 na safu inayodumu kwa muda mrefu ya Ego ...