ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 111
                                               

Diskografia ya Amr Diab

Diskografia ya Amr Diab, mwimbaji maarufu wa pop ya Kiarabu kutoka nchini Misri. Aligunduliwa kwa mara ya kwanza na Freat Emad Bediwi akiwa na umri wa miaka 7 tu. Ana singo kumi, na video 38.

                                               

Diskografia ya single za Michael Jackson

Ukurasa huu unataja orodha ya diskografia ya single za Michael Jackson, ambayo inajumlisha nafasi za chati ya single zilizotolewa na Jackson kwa nchi zifuatazo, Marekani, Uingereza, Kanada, Australia, Ujerumani, Ufaransa na Ireland.

                                               

The DEFinition

The DEFinition ni jina la kutaja albamu ya kumi ya rapa wa Kimarekani LL Cool J. Albamu ilitolewa kupitia studio za Def Jam Recordings. Albamu ilitolewa mnamo tar. 31 Agosti 2004, na kushika nafasi ya 4 kwenye chati za Billboard 200 huko nchini M ...

                                               

Orchestra Maquis Original

Orchestra Maquis Original ni bendi ya muziki wa dansi kutoka Lubumbashi inayokaa Dar es Salaam. Ilianzishwa mwaka 1970. Waligundua mitindo kamanyola bila jasho, sanifu, ogelea piga mbizi na zembwela.

                                               

Safari Tripers

Safari Tripers ni moja ya bendi za muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania. Kwa sasa bendi hii haipo tena katika ulimwengu wa muziki. Bendi hii ilikuwa na maskani yake jijini Dar es salaam. Mwanamuziki mahili ambaye kwa sasa ni marehemu Rajab Mari ...

                                               

Genesis

Kwa "Genesis" kama kitabu cha Biblia tazama Mwanzo Kwa "Genesis" kama kisa cha mfululizo wa TV wa Heroes, basi nenda hapa Genesis ni bendi ya muziki aina ya rock kutoka Uingereza iliyoanzishwa mwaka 1968. Iliundwa na Peter Gabriel mwimbaji, Antho ...

                                               

2Pac Live

2Pac Live ni albamu ya ukumbini iliyotolewa na rapa Tupac Shakur. Albamu ilitolewa mnamo tar. 6 Agosti, 2004 na studio ya Koch Records na hii ndiyo albamu ya ukumbini ya Shakur.

                                               

Exit 13

Exit 13 ni albamu ya kumi na mbili na albamu ya mwisho ya LL Cool J kujihusisha na studio ya rekodi ya Def Jam Recordings, uhusisho ambao ulidumu kwa takriban miaka kumi na miwili. Awali albamu ilipewa jina la Todd Smith Pt. 2: Back to Cool. Alba ...

                                               

Lost Boyz Forever

Lost Boyz Forever ni albamu ya vibao mchanganyiko kutoka kwa kundi zima la muziki wa hip hop la The Lost Boyz. Mwanachama mmoja wa kundi aliuawa mnamo wa 1999, na wanachama watatu waliobakia wakapagaranyika baada ya kutoka albamu yao ya LB IV Lif ...

                                               

Mr. Smith

Mr. Smith ni jina la kutaja albamu ya sita ya rapa LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo mwaka wa 1995. Baada ya kutofanya vizuri katika albamu iliyopita ya 14 Shots to the Dome, lakini hapa imekuwa kama msanii aliorudi kundini, kwa kuweza kwenda kwe ...

                                               

Nako 2 Nako

Nako 2 Nako ni kundi la hip hop kutoka Kaskazini mwa Tanzania - Arusha. Kundi linaundwa na wanachama wanne ambao ni Lord Eyez, G Nako, Ibra da Hustler na Bou Nako. Msanii Ibra da Hustler alijitoa kwenye kundi mwez wa 11, mwaka 2008 kutokana na ku ...

                                               

Tmk Wanaume

TMK Wanaume Family ni kundi la muziki wa kizazi kipya kutoka Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania. Kundi lilianzishwa rasmi mnamo Septemba 16, 2002 mjini Mwanza, wakati wa uzinduzi wa albamu ya Juma Nature iitwayo Ugali na hadi sasa lim ...

                                               

Tmk Wanaume Halisi

Tmk Wanaume Halisi ni kundi la muziki wa Rap na Hip Hop ya Bongo linalotokea wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam Tanzania. Ni kundi linaloundwa na wasanii mahili wa muziki huu wa hip hop na bongo flava, kinala wa kundi hilo ni msanii machachali ...

                                               

Public Enemy

Public Enemy ni kundi la muziki wa hip hop lenye makazi yake huko mjini New York City na Long Island nchini Marekani. Kundi linaunganishwa na wasanii kama vile Chuck D, Flavor Flav, Professor Griff, DJ Lord na The S1W.

                                               

Bust It Baby

Bust It Baby ni wimbo wa msanii Plies akimshirikisha Ne-Yo. Wimbo ulitolewa mnamo tar. 25 Januari 2008. Huu ni wimbo wa pili wa Plies kutoka katika albamu yake ya Definition of Real. Huu ulifanywa kama wimbo wa ziada kwenye albamu yake, wakati "B ...

                                               

Terror Squad (studio)

Terror Squad ni studio ya kurekodia muziki wa hip hop na R&B iliyoanzishwa na msanii wa hip hop maarufu kama Fat Joe, mjini The Bronx, New York, Marekani.

                                               

Chuck D

Chuck D ni mwanamuziki wa Marekani. Jina lake la kuzaliwa ni Carlton Douglas Ridenhour. Amezaliwa 1 Agosti 1960 karibu na mji wa New York. Anapiga hasa muziki wa Rap and Hip hop.

                                               

Yung Trace

Dao Ranaldo amezaliwa 8 Desemba 2000 bora know na wake hatua jina Yung Trace ni Kiingereza Rapa, mwimbaji-mtunzi na muigizaji, kutoka Epsom, United Kingdom. Yeye ni sahihi kwa Dao Ranaldo Official. Yeye anajulikana kwa albamu yake ya kwanza Main ...

                                               

Orodha ya Wasanii Waliopo wa Interscope Records

Hii ni orodha ya wasanii ambao wanarekodi kwa sasa katika studio ya Interscope Records. Majina yaliorodheshwa kwa herufu, ni yale ambayo yanafanya kazi na Interscope Records au wale ambao wamejisajiri hivi karibuni.

                                               

Joslin

Joslin ni msanii wa muziki wa R&B na Bongo Flava kutoka jijini Dar es Salaam, Tanzania. Joslin ni maarufu kwa kutoa zile nyimbo zake ziitwazo "Pafyumu" na "Mshkaji Mmoja hivi": nyimbo hizi ndizo zilizompa heshima kubwa jijini Dar es Salaam na ...

                                               

Peter Tosh

Peter Tosh huyu alikuwa ni mwanamuziki Mjamaika wa mtindo wa rege, alikuwa na kipaji mahiri cha kutunga mashairi ya muziki, pia alikuwa ni mpigaji mahiri wa gitaa. Peter alizaliwa tarehe 19 Oktoba 1944, akiwa ni mtoto pekee wa mama Alvera Coke, b ...

                                               

Flicker Records

Flicker Records ni studio ya kurekodimuziki ya Kikristo ambayo ina makao yao mjini Franklin, Tennessee. Ilianzishwa na wanachama wa kundi la Kikristo la Audio Adrenaline. Hasa studio hii inalenga wasanii wanaoimba nyimbo za aina ya mwamba, ingawa ...

                                               

INO Records

INO Records ni studio ya Marekani yenye makao yao nje ya Nashville, Tennessee. Studio hii inahusika sana na nyimbo za kisasa za Kikristo. Nyimbo zilizorekodiwa huko husambazwa kote duniani kwa kupitia Sony Records wakati mwingine huwa imetajwa ka ...

                                               

Reach Records

Reach Records ni studio ya Marekani ya kurekodi nyimbo za Kikristo na inajumuisha wasanii watano: Lecrae, Trip Lee, Tedashii, DJ Official na Sho Baraka. Wasanii hawa wanaoimba kwa mtindo wa muziki wa rap walizuru Marekani kote na msanii mwenzao w ...

                                               

Endless Love

Endless Love ni wimbo uliotungwa kama wimbo wa kushirikiana kati ya wanamuziki wanaoimba nyimbo za miondondoko ya Soul Diana Ross wakishirikiana na Lionel Richie, ambaye yeye ndiye aliyeandika wimbo huu. Katik wimbo huu, kila mwimbaji anamwambia ...

                                               

Been There, Done That

"Been There, Done That" ni kibao cha mwaka wa 1997 kilichotolewa na rappa na matayarishaji wa West Coast Dr. Dre. Kibao kinatoka katika albamu yake ya vibao mchanganyiko ya Dr. Dre Presents the Aftermath. Wimbo umetayarishwa na Dr. Dre mwenyewe n ...

                                               

California Love

California Love ni wimbo wa hip hop ulioimbwa na 2Pac akishirikiana na Dr. Dre na Roger Troutman. Wimbo ulitolewa ukiwa kama single ya kurudi kwa 2Pac juu ya kutoka kwake jela mnamo 1995. Toleo mashuhuri la remix la wimbo huu limeonekana kwenye a ...

                                               

Forgot About Dre

Forgot About Dre ni single mshindi wa Grammy Award-kutoka katika albamu ya Dr. Dre 2001, akimshirikisha Eminem, imefikia nafasi ya #25 kwenye chati za Billboard Hot 100, nafasi ya #14 nchini Marekani kwenye chati za R&B, na nafasi ya #7 kweny ...

                                               

Natural Born Killaz

Natural Born Killaz ni single kutoka kwa muungano wa wasanii wawili ambao ni Dr. Dre na Ice Cube. Awali ilinuiwa kwa ajili ya albamu iliyotiwa kapuni ya Heltah Skeltah. Hii ndio mara ya kwanza kwa wawili hawa kuwa pamoja katika single moja tangu ...

                                               

Still D.R.E.

Still D.R.E. ni wimbo wa Dr. Dre, umetolewa ukiwa kama wimbo kingozi wa albamu iliopata maplatinam kedekede ya 2001. Wimbo huu umemshirikisha msanii Snoop Dogg mwanzoni, kwenye kiitikio na mwishoni pia.

                                               

If Tomorrow Never Comes

If Tomorrow Never Comes ni wimbo uliorekodiwa mara ya kwanza na mwanamuziki wa aina ya ’’Country’’’ wa Marekani Garth Brooks, Wimbo huu uliotungwa na Brooks na Kent Blazy, ulitolewa katika albamu ya mwanzo ya 1989 Garth Brooks kwa jina lilo hilo. ...

                                               

That Summer

That Summer ni wimbo uliotolewa na msanii wa miondoko ya Country wa Marekani Garth Brooks. Wimbo huu ulianzia katika albamu yake ya nne ya studio The Chase na pia ukaangaziwa katika on The Hits, The Limited Series na Double Live. Ilifika nafasi y ...

                                               

Unanswered Prayers

Unanswered Prayers ni wimbo ambao ulitolewa na kuandikwa na msanii wa Muziki wa Country wa Marekani Garth Brooks ambao ulifika #1 katika chati za country billboard za 1990. Ulianza kama debut katika albamu ya No Fences na pia unaonekana katika al ...

                                               

All Bout U

All bout U ni jina la kutaja single ya nne ya 2Pac kutoka katika albamu yake ya All Eyez on Me. Wimbo umechukua sampuli ya wimbo wa "Candy" kutoka katika bendi ya Cameo na kumshirikisha Nate Dogg akiimba kiitikio cha wimbo, na mstari wa mwisho na ...

                                               

Made Niggaz

Made Niggaz ni single iliyotolewa na Tupac Shakur ikiwa kama kibwagizo cha Gang Related na Outlawz. Wimbo ulitayarishwa na Tupac kwa ushirikiano wake na Johnny J.

                                               

Daytime Friends

Daytime Friends ni jina la albamu ya tatu ya ambapo albamu hii ilitengenezwa katika studio ya United Artists Records, iliyotoka dunia nzima mwaka 1977. ilikuwa ni albamu yake ya pili katika mafanikio kufuatia ile ya mwaka 1976. (Albamu yake ya kw ...

                                               

Weve Got Tonight

Weve Got Tonight ni wimbo wa 1988 uliotungwa na Mmarekani Bob Seger kutoka albamu yake Stranger in Town. Wimbo huu ulikuwa Single iliyovuma kwa Seger naulifika nafasi ya 13 katika chati za Billboard Hot 100 na ulipokea umaarufu katika redio nying ...

                                               

Just Stand Up!

Just Stand Up! ni wimbo ulioimbwa na mjumuisho wa wasanii mbalimbali, wanaoimba miondoko ya pop, R&B, rok, na Katri katika tamasha la kukusanya fedha kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa saratani.Mtayarishaji na mtunzi wa nyimbo wa Marekani L ...

                                               

Playa Cardz Right

Playa Cardz Right ni wimbo wa mwimbaji wa R&B Keyshia Cole ambao ulitolewa ukiwa kama single kiongozi kutoka katika albamu yake ya tatu A Different Me. Wimbo umemshirikisha rapa 2Pac. Wimbo pia upo kwenye albamu ya 2Pac ya mwaka wa 2006, Pacs ...

                                               

Runnin (Dying to Live)

Kwa wimbo wa 2Pac na The Notorious B.I.G. wa mwaka wa 1994, tazama Runnin Runnin ni wimbo ulioimbwa na 2Pac na The Notorious B.I.G. Wimbo ulitoka wa kwanza kutolewa kama single kutoka katika albamu ya Tupac: Resurrection. Video yake imejumlisha m ...

                                               

Runnin (From tha Police)

Runnin ni wimbo wa 1995 ulioimbwa na rapa Tupac Shakur, akishirikiana na The Notorious B.I.G., Stretch, Dramacydal na Buju Banton. Wimbo huu huoenekana kama muhimu kwa sababu ni moja kati ya nyimbo zilizofanywa pamoja baina ya 2Pac na The Notorio ...

                                               

Hili Game

Hili Game ni jina la wimbo wa mwisho kutolewa kwenye tepu ya kwanza ya albamu ya Nini Chanzo kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Juma Nature. Wimbo umetayarishwa na P. Funk ndani ya Bongo Records. Wimbo huu huhesabiwa k ...

                                               

Jinsi Kijana

Jinsi Kijana ni jina la wimbo kwenye tepu ya kwanza ya albamu ya Nini Chanzo kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Juma Nature. Wimbo umetayarishwa na P. Funk ndani ya Bongo Records. Wimbo huu ndio uliomtambulisha Nature ...

                                               

Kighettoghetto

Kighettoghetto ni jina la wimbo wa Wababe Crack wakiwa na Juma Nature kutoka Temeke, Dar es Salaam, Tanzania. Wimbo huu wa awali ulitayarishwa na Henrico wa Soundcrafters. Ndani yake anakuja King Sapeto, Biko na Juma Nature. Hili ni toleo la kwan ...

                                               

Nini Chanzo (wimbo)

Nini Chanzo ni jina la wimbo wa sita kati ya nyimbo 11 zinazopatikana kutoka kwenye tepu ya kwanza ya albamu ya Nini Chanzo na wa kwanza kwa upande B kutoka kwa msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania, Juma Nature. Wimbo umetayarishwa ...

                                               

Wimbi la Njaa

Wimbi la Njaa ni jina la wimbo wa Juma Nature akiwa na kundi lake la F.S.G kutoka Temeke, Dar es Salaam, Tanzania. Wimbo umetoka mwaka 2000. Wimbo huu ni wimbo wa pili kurekdi akiwa na F.S.G na umepata kuonekana kwenye tepu ya kwanza ya albamu ya ...

                                               

Happy (wimbo wa Michael Jackson)

Happy ni wimbo uliorekodiwa na Michael Jackson akiwa bado bwana mdogo. Wimbo ulirekodiwa katika studio ya Motown mnamo mwaka wa 1973. Wimbo unatoka katika albamu yake ya Music and Me. Wimbo ulitolewa kama single kunako mwaka wa 1973, na kisha aka ...

                                               

Man in the Mirror

Man in the Mirror ni jina la kutaja wimbo ulioimbwa na Michael Jackson. Wimbo umetungwa na Siedah Garrett na Glen Ballard na kutayarishwa na Michael mwenyewe akiwa sambamba kabisa na Quincy Jones. Wimbo huu ulipata kushika nafasi ya kwanza nchini ...

                                               

With a Childs Heart

With a Childs Heart ni jina la kutaja wimbo wa msanii wa muziki wa pop wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu ulitolewa ukiwa kama wimbo kwanza kutoka katika albamu yake ya mwaka 1973, Music & Me. Wimbo ulipata kushika nafasi ya #50 katika cha ...

                                               

Baby Dont Cry (Keep Ya Head Up II)

Baby Dont Cry ni single ya Tupac Shakur iliyotolewa baada ya kufa kwake. Ndani yake ameimba na kundi zima la Outlawz na inatoka katika albamu ya Still I Rise. Wimbo unamshirikisha msanii kama vile H.E.A.T., E.D.I. Mean na Young Noble na baadhi ya ...