ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 11
                                               

Paulo wa Tebe

Paulo wa Tebe anakumbukwa kama mkaapweke wa Kikristo wa kwanza nchini Misri. Anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi tangu zamani sana kama mtakatifu. Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 10 Januari au 15 Januari.

                                               

Pedro Álvares Cabral

Pedro Álvares Cabral alikuwa mwanajeshi, baharia na mpelelezi kutoka nchini Ureno. Anakumbukwa kama Mzungu wa kwanza aliyefika Brazil. Mfalme Manuel I wa Ureno alimtuma Cabral kwenye safari kuelekea Uhindi. Cabral alisafiri mnamo 9 Machi 1500 na ...

                                               

Pelagia wa Antiokia

Pelagia wa Antiokia alikuwa mwanamke Mkristo wa karne ya 4 wa huko Antiokia, leo nchini Uturuki, ambaye baada ya kuishi kwa anasa aliishi kwa toba kali hadi kuharibu afya yake na hatimaye kufa. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoks ...

                                               

Papa Pelagio II

Papa Pelagio II alikuwa Papa kuanzia tarehe 26 Novemba 579 hadi kifo chake tarehe 7 Februari 590. Alimfuata Papa Benedikto I akafuatwa na Papa Gregori I. Alikufa kwa tauni iliyofika mji wa Roma mwisho wa mwaka 589.

                                               

Pelaji wa Cordoba

Pelaji wa Cordoba alikuwa mtoto Mkristo wa Hispania, aliyeuawa na mtawala wa eneo hilo, Abd-ar-Rahman III kwa kukataa kusilimu na kulawitiwa naye. Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake inaadhimishwa kila ...

                                               

Peloponesi

Peloponesi ni rasi ya kusini mwa Ugiriki. Imeunganika na sehemu ya bara ya nchi kwa shingo la nchi kwenye mji wa Korintho. Jina la kihistoria la rasi lilikuwa Morea Μωριάς morias. Eneo lote la Peloponesi ni kilomita za mraba 21.549. Kuna watu 1.1 ...

                                               

Pembetatu ya Bermuda

Pembetatu ya Bermuda ni eneo la Bahari ya Atlantiki pande zote mbili za ikweta mbele ya pwani ya Amerika Kaskazini, baina ya Florida, Puerto Rico na visiwa vya Bermuda. Pembe ya kaskazini inaingia katika Bahari ya Sargasso. Tangu mwaka 1964 jina ...

                                               

Pembetatu ya Kusini (kundinyota)

Pembetatu ya Kusini inaonekana vema katika kanda ya Njia Nyeupe, karibu na nyota mashuhuri za Alfa Centauri Rijili Kantori na Beta Centauri kwenye kundinyota ya Salibu. Lipo jirani na makundinyota Kipimapembe Norma upande wa kaskazini, Bikari Cir ...

                                               

Pepin Mfupi

Pepin Mfupi alikuwa mfalme wa Wafaranki tangu mwaka 751 hadi kifo chake. Ndiye mwanzilishi wa nasaba ya Wakarolo. Mtoto wa Karolo Nyundo na mke wake Rotrude wa Hesbaye, alilelewa na wamonaki wa Basilika la Mt. Denis. Alipomrithi baba yake kama Mk ...

                                               

Peramiho

Peramiho ni kata ya Wilaya ya Songea Vijijini katika Mkoa wa Ruvuma, Tanzania. yenye postikodi namba 57213. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15.031 waishio humo.

                                               

Perge

Perge ulikuwa mji wa Wagiriki wa Kale katika rasi ya Anatolia, uliowahi kuwa makao makuu ya Pamphylia Secunda, sasa katika wilaya ya Antalya, kusini-magharibi mwa pwani ya Mediteranea ya Uturuki. Kwa sasa ni maghofu tu yanayopatikana km 15 mashar ...

                                               

Peru

Peru pia Peruu ni nchi ya Amerika Kusini upande wa magharibi ya bara. Imepakana na Ekuador, Kolombia, Brazil, Bolivia na Chile. Kuna mwambao wa Pasifiki.

                                               

Peter Bwimbo

Peter D. Bwimbo alikuwa mlinzi mkuu wa kwanza wa mwalimu Julius Nyerere katika kipindi cha kabla ya uhuru na baada ya uhuru na miongozi mwa watu wa mwanzo walioasisi taasisi ya usalama wa taifa Tanzania.

                                               

Peter K. Palangyo

Peter K. Palangyo alikua mwandishi wa riwaya na mwanadiplomasia. Sifa yake iliangukia kwenye riwaya yake ya Dying in the Sun 1968, ambayo inachukuliwa na wengi kama moja ya kazi nzuri za kisasa kwenye uandishi wa Kiafrika.

                                               

Mtume Petro

Simoni Petro alikuwa Myahudi wa karne ya 1, mfuasi wa Yesu Kristo, tena kati ya wandani wake. Baada ya Yesu, ndiye mtu anayejulikana zaidi katika Injili zote nne. Katika orodha zote nne za mitume 12 wa Yesu zinazopatikana katika Biblia ya Kikrist ...

                                               

Petro Almató

Petro Almató, O.P. alikuwa padri wa Hispania. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati ...

                                               

Petro Da

Petro Da ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius X ...

                                               

Petro Dung Van Dinh

Petro Dung Van Dinh ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, P ...

                                               

Petro Duong Van Truong

Petro Duong Van Truong ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII ...

                                               

Petro Fransisko Néron

Petro Fransisko Néron, M.E.P. alikuwa padri wa Ufaransa. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. ...

                                               

Petro Hieu Van Nguyen

Petro Hieu Van Nguyen alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyaka ...

                                               

Petro Khanh

Petro Khanh alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti ...

                                               

Petro Nguyen Khac Tu

Petro Nguyen Khac Tu ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, ...

                                               

Petro Nguyen Van Luu

Petro Nguyen Van Luu alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakat ...

                                               

Petro Nguyen Van Tu

Petro Nguyen Van Tu, O.P. alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa n ...

                                               

Petro Qui Cong Doan

Petro Qui Cong Doan alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati ...

                                               

Petro Thi Van Truong Pham

Petro Thi Van Truong Pham alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa n ...

                                               

Petro Tuan

Petro Tuan ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa Pius ...

                                               

Petro Tuan Ba Nguyen

Petro Tuan Ba Nguyen alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakat ...

                                               

Petro Tuy Le

Petro Tuy Le alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofaut ...

                                               

Petro Van Doan

Petro Van Doan ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Papa P ...

                                               

Petro Vo Bang Khoa

Petro Vo Bang Khoa alikuwa padri wa Vietnam. Ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati ...

                                               

Petro Vu Van Truat

Petro Vu Van Truat ni mmojawapo kati ya Wakristo wafiadini wa Vietnam waliouawa kwa ajili ya imani yao huko Vietnam katika karne ya 17, 18 na 19. Wanatajwa pia kama Watakatifu Andrea Dũng-Lac na wenzake 116. Kwa nyakati tofauti, Papa Leo XIII, Pa ...

                                               

Petro wa Narbone

Petro wa Narbone alikuwa mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo, padri na mmisionari katika Nchi takatifu ya Yesu. Kabla hajaenda huko aliishi miaka 15 katika makao ya upwekeni ya Brogliano Italia. Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri mwaka 18 ...

                                               

PHP

PHP ni lugha ya programu. Iliundwa na Rasmus Lerdorf na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1994. Iliundwa ili kuumba tovuti kama Facebook au Wikipedia. Leo tunatumia PHP 8.0.0. Ilivutwa na C. Inaitwa PHP, kifupi cha maneno "Hypertext Preprocessor"

                                               

Pi (namba)

Pi ni namba ya duara kwa maana ya uwiano wa urefu wa mzingo na ule wa kipenyo. Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki, Pi pia inatumika kama kifupisho kwa ajili ya maarifa na dhana za hesabu na fisikia. Imejulikana hasa kama namba ...

                                               

Kipimbwe

Kipimbwe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wapimbwe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kipimbwe imehesabiwa kuwa watu 29.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipimbwe iko katika kundi la M10.

                                               

Pio wa Pietrelcina

Pio wa Pietrelcina alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mtawa wa Ndugu Wadogo Wakapuchini. Alipingwa na kudhulumiwa, lakini pia aliheshimiwa na umati wa watu, kutokana na karama na wingi wa miujiza iliyoshuhudiwa. Mwaka 2002 alitangazwa na Papa Yo ...

                                               

Papa Pius IX

Papa Pius IX alikuwa Papa kuanzia tarehe 16 Juni 1846 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Maria Mastai-Ferretti. Alimfuata Papa Gregori XVI akafuatwa na Papa Leo XIII. Upapa wake ulidumu kuliko ule wa mwingine yeyote ya histo ...

                                               

Plinio Mzee

Gaius Plinius Secundus alikuwa mwandishi na mwanafalsafa wa utamaduni wa Roma ya Kale, aliyewahi kuwa pia kiongozi wa kijeshi na rafiki wa karibu wa Kaizari Vespasian. Akitumia wakati wake mwingi kusoma, kuandika au kuchunguza hali ya asili na ji ...

                                               

Plotinus

Plotinus alikuwa mmojawapo kati ya wanafalsafa muhimu zaidi wa Ugiriki wa Kale. Kama mwalimu wake, Ammonius Saccas, alifuata mapokeo ya Plato. Kwa sababu hiyo, wanahistoria wa karne ya 19 walitunga jina Uplato Mpya kwa falsafa yake iliathiri sana ...

                                               

Pluto

Kuhusu matumizi ya jina "Utaridi" kwa sayari hii tazama chini kwa "jina" Pluto ni sayari kibete inayozunguka jua ngambo ya obiti ya Neptuni. Masi yake ni hasa mwamba na barafu. Kipenyo chake ni km 2.390. Katika mwendo wake inakata njia ya Neptune ...

                                               

Poemen

Poemen alikuwa mmonaki wa Misri maarufu kwa misemo yake. Kati ya Mababu wa jangwani ndiye anayeongoza kwa mbali kwa wingi 1/7 wa misemo iliyoripotiwa katika Apophthegmata Patrum Misemo ya Mababa wa Jangwani. Misemo hiyo ilikusanywa taratibu ili k ...

                                               

Kipogolo

Kipogoro ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wapogoro wa mkoa wa Morogoro. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kipogolo ilihesabiwa kuwa watu 185.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipogolo kiko k ...

                                               

Martin de Porres

Martin de Porres alikuwa bradha wa Shirika la Wahubiri katika nchi ya Peru. Akiwa mtoto chotara wa kabaila Mhispania Juan de Porres na binti mwenye asili ya Afrika Anna Velasquez hakutambuliwa na baba yake akalelewa na mama na kuwa msaidizi wa da ...

                                               

Posidi

Posidi alikuwa Mberberi askofu wa Calama katika mkoa wa Numidia wa Dola la Roma. Tangu kale Kanisa Katoliki linamheshimu kama mtakatifu, likiadhimisha sikukuu yake tarehe 16 Mei.

                                               

Maria Magdalena Postel

Maria Magdalena Postel, ambaye jina la kiraia kwa Kifaransa lilikuwa Julie Françoise-Catherine Postel alianzisha shirika la Masista wa Shule za Kikristo wa Huruma mwaka 1807. Alitangazwa na Papa Pius X kuwa mwenye heri mwaka 1908 akatangazwa na P ...

                                               

Primo wa Aleksandria

Primo wa Aleksandria alikuwa askofu wa tano wa mji huo wa Misri. Inasemekana alibatizwa na Marko Mwinjili. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Agosti.

                                               

Prosdosimi

Prosdosimi alikuwa Mkristo mwenye asili ya Ugiriki ambaye anatajwa kama askofu wa kwanza wa Padua, Italia Kaskazini. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Novemba.

                                               

Ptahhotep

Ptahhotep alikuwa waziri wa farao wakati wa nasaba ya tano ya Misri ya Kale mwishoni mwa karne ya 25 KK na mwanzoni mwa karne ya 24 KK.