ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 108
                                               

Japhet NDoram

Japhet NDoram, (amezaliwa tarehe 27 Februari 1966 katika mji wa Ndjamena ni mwanakandanda wa zamani aliyecheza kama mshambulizi. Albandikwa jina la The Wizard katika wakati wake wa kucheza kandanda.

                                               

Ndumbagwe Misayo (Thea)

Ni mtoto wa kwanza katika familia ya Gaudence Urassa na Matilda Misayo. A lipata elimu yake ya msingi katika shule ya Mapambano iliyopo Sinza na baadaye kujiunga na sekondari ya Zanaki aliposoma mpaka kidato cha tatu kisha kuhamia shule ya sekond ...

                                               

Jimmy Needham

Jimmy Needham ni mwanamuziki wa kisasa wa Kikristo wa Marekani aliye na mkataba na Inpop Records. Albamu yake ya pili na Inpop, Not Without Love, ilitolewa tarehe 19 Agosti 2008. Mapema katika mwaka wa 2008, alikuwa mgeni kwenye ziara ya mwimbaji ...

                                               

Liam Neeson

William John "Liam" Neeson ni mwigizaji wa filamu wa Ireland. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Oskar Schindler kwenye filamu ya Schindlers List, Michael Collins kwenye filamu ya Michael Collins, Qui-Gon Jinn kwenye mfululizo wa filamu ya Star W ...

                                               

Nelson Semedo

Nelson Semedo ni mchezaji wa soka wa Kireno ambaye anachezea klabu ya Hispania iitwayo Barcelona F.C. na timu ya taifa ya ureno. Alianza kazi yake Sintrense kabla ya kujiunga na Benfica mwaka 2012. Baada ya kutumia msimu wa mkopo Fátima, mwanzoni ...

                                               

Nemanja Matic

Nemanja Matić ni mchezaji wa soka wa Serbia ambaye anacheza kama kiungo wa kujihami kwa klabu ya Uingereza Manchester United na timu ya taifa ya Serbia. Matić alianza kazi yake huko Kolubara, kabla ya kujiunga na klabu ya Kislovakia Košice mwaka ...

                                               

Nemanja Vidic

Nemanja Vidić ni mshambuliaji wa soka mstaafu wa Serbia. Alikuwa sehemu ya timu ya taifa ya Serbia tangu 2002 hadi 2011. Vidić alihamia Spartak Moscow wakati wa majira ya joto ya 2004. Mwaka 2006 aliichezea Serbia katika Kampeni ya kufuzu Kombe l ...

                                               

Neto Borges

Vivaldo Borges dos Santos Neto ni mchezaji wa soka wa Brazil aliyecheza kama beki wa kushoto kwa Genk.

                                               

Ivan Neville

Ivan Neville ni mchezaji wa vyombo vingi vya Muziki, Mwanamuziki, Mwimbaji na Mtunzi wa Nyimbo. Yeye ni mwana wa Aaron Neville na mpwa wa Neville Brothers.

                                               

Neymar Jr

Neymar da Silva Santos Júnior ni mchezaji wa mpira wa miguu mzawa wa Brazil. Ni mtaalamu ambaye anacheza kama ni mshambuliaji katika klabu ya Ufaransa ya Paris Saint-Germain na timu ya taifa ya Brazil. Neymar alijitokeza katika umri mdogo huko Sa ...

                                               

Ne-Yo

Shaffer Chimere Smith ni mwimbaji, mtunzi, mtyarishaji, mnenguaji, mwigizaji na pia rapa kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ne-Yo. Yeye ni Mwafro-Asia ambaye amechanganya kati ya Mmarekani Mweusi na Mchina-Mweusi.

                                               

Ngolo Kante

NGolo Kante ni mchezaji wa soka ambaye anacheza kama kiungo wa kati wa klabu ya Uingereza Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa. Alifanya mwanzo wake mkuu huko Boulogne na kisha alitumia misimu miwili huko Caen, mwisho wa Ligue 1. Mwaka 2015, alij ...

                                               

Tarcisius Ngalalekumtwa

Tarcisius Ngalalekumtwa ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1989 kama askofu mwandamizi wa Jimbo Katoliki la Sumbawanga. Tangu tarehe 21 Novemba 1992, ni askofu wa Jimbo la Iringa. Alipata kuwa rai ...

                                               

Mrisho Ngassa

Mrisho Ngassa ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Tanzania ambaye anaichezea klabu ya Ndanda FC na pia aliichezea timu ya taifa ya Tanzania.

                                               

Edgar Ngelela

Edgar Leonard Luhende Ngelela ni msanii katika masuala ya muziki, uchoraji, uigizaji, uongozaji wa michezo ya jukwaa na ya runingana utengenezaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Ikiwa na pamoja na kucheza maigizo bubu, muziki, kuchora, kubuni n ...

                                               

Noah Ngeny

Ngeny anatoka kijiji cha Kabenes katika eneo la Kipsangui, Tarafa ya Ziwa wilayani Uasin Gishu nchini Kenya. Alicheza Voliboli wakati wa enzi zake za shule na hakuanza kukimbia hadi 1996. Alikuja kujulikana duniani baada ya kuweka rekodi mbili za ...

                                               

John Ngugi

John Ngugi Kamau ni mkimbimbiaji wa zamani wa Kenya na mara nyingi huitwa mmoja wa wanariadha bora nchini katika mbio za" cross-country” na ni mshindi wa mita 5.000 katika Olimpiki ya mwaka wa 1988. Ngugi ni mzaliwa wa Kigumo na mafanikio yake ya ...

                                               

Johnny Tri Nguyen

Johnny Tri Nguyen ni mwigizaji wa filamu, tamthilia, "stunt" na vilevile sanaa ya mapigano wa Kivietnam-Kimarekani.

                                               

Nguyễn Phú Trong

Nguyễn Phú Trong ni mwanasiasa wa Vietnam ambaye ni Katibu Mkuu wa sasa wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam, hivyo halisi ni kiongozi mkuu wa Vietnam tangu tarehe 19 Januari 2011. Tangu 2018 ni pia Rais wa Vietnam. Alikuwa Mwenyekiti wa Bunge la ...

                                               

Nguyễn Xuân Phúc

Nguyễn Xuân Phúc ni mwanasiasa wa Vietnam anayekuwa Waziri Mkuu wa Vietnam kwenye mwaka 2016. Katika kamati kuu ya chama cha kikomunisti kinachotawala nchi hiyo ana nafasi ya 3. Nguyễn Xuân Phúc pia ni mbunge wa Bunge la Kitaifa, akichaguliwa kat ...

                                               

Nice Githinji

Nice Githinji ni mwigizaji wa filamu, mhudumu wa karaoke na muandaaji wa filamu na wa vipindi vya televisheni nchini Kenya. Anafahamika sana kwa kufanya majukumu mbalimbali kwenye televisheni. Alipata umaarufu zaidi aliposhiriki katika tuzo za Ka ...

                                               

Nice Mohamed

Nice Mohamed ni mwigizaji, mwongozaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania. Anafahamika sana kwa ushiriki wake katika mifululizo ya TV iliyokuwa inarushwa hewani na ITV chini ya Kaole Sanaa Group na jina maarufu la Mtunisi. Filamu ali ...

                                               

Nicki Minaj

Alizaliwa Saint James, Port of Spain, na kukulia Queens, New York City. Minaj alipata kutambuliwa na umma baada ya kutoa albamu tatu Playtime Is Over 2007, Sucka Free 2008, na Beam Me Up Scotty 2009 na kisha akajiunga na Young Money Entertainment ...

                                               

Nicky Byrne

Nicholas Bernard James Adam Byrne ni msanii wa muziki wa pop kutoka nchini Ireland. yeye ni mwanamuziki mkongwe zaidi katika kundi la Westlife la huko nchini Ireland.

                                               

Nicolas Pépé

Nicolas Pépé ni mchezaji wa soka wa Ivory Coast ambaye anachezea katika klabu ya Arsenal ya Uingereza na timu ya taifa Ivory Coast.

                                               

Nicolás Otamendi

Nicolás Otamendi ni mchezaji mahiri wa timu ya Manchester City na anaichezea timu ya taifa ya Argentina hucheza kama kiungo wa kati. Aliwahi kuchezea timu ya Vélez Sarsfield na Porto ambapo alishinda tuzo nane za mchezaji bora mwaka 2011. Alisain ...

                                               

Nikola Kalinić

Nikola Kalinić ni mchezaji wa klabu ya Kroatia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Hispania iitwayo Atlético Madrid na timu ya taifa ya Kroatia. Kalinić alianza kazi yake na klabu ya Hajduk Split iiliyopo nchini kroatia kabla ya kuhamia ...

                                               

Khadja Nin

Khadja Nin ni mpiga muziki na mwimbaji mashuhuri barani Afrika na ulimwenguni kutoka nchi ya Burundi mwenye uraia wa Ubelgiji. Alizaliwa Burundi mdogo katika familia yenye kujengwa na watu wa nane. Baba yake alikua mwanasiasa. Khadja Nin alisomea ...

                                               

Nina Sky

Ni cole Na talie Albino ni wanamuziki wa raggae riddim na R&B-ndugu mapacha wajulikanao kwa jina la "Nina Sky".

                                               

Nini Wacera

Nini Wacera ni mwigizaji na muongoza filamu kutoka Kenya. Wacera ameonekana katika filamu na maonyesho ya televisheni zaidi ya kumi. Alijipatia umaarufu katika telenova ya mwaka 2005 Wingu la moto.

                                               

Haruna Niyonzima

Haruna Niyonzima ni mchezaji mpira wa miguu wa kimataifa kutoka nchini Rwanda ambaye kwa sasa anacheza kama kiungo katika kilabu ya Yanga Sc huko nchini Tanzania.

                                               

Charles Njonjo

Njonjo ni mwana wa Yosia Njonjo aliyekuwa mkuu wa kikoloni na kupokea shahada ya sheria kutoka Chuo Kikuu cha Fort Hare katika Afrika ya Kusini. Baada ya uhuru wa Kenya mwaka 1963, Njonjo aliteuliwa Mwanasheria Mkuu. Njonjo aliandikisha Chama cha ...

                                               

Upendo Nkone

Upendo Nkone ni mwimbaji wa kisasa nchini Tanzania. Anaimba nyimbo za Mungu na sauti kubwa sana na kwaya yake wanaweza vizuri kumsaidia. Nkone alizaliwa sehemu ya Kigoma ingawa alipokuwa mtoto akahamia jijini Dar es Salaam ambapo akalelewa. Sasa ...

                                               

Genevieve Nnaji

Genevieve Nnaji ni mwigizaji, mzalishaji na muongozaji wa filamu kutoka nchini Nigeria. Alishinda tuzo ya Africa Movie Academy award akiwa muigizaji bora wa kike eliye kuwa kama muhusika mkuu, mwaka 2005, ikimfanya kuwa muigizaji wa kwanza kushin ...

                                               

Amaury Nolasco

Amaury Nolasco ni mwigizaji anayejulikana sana kwa kuigiza kama Fernando Sucre kwenye tamthiliya Prison Break.

                                               

Norberto Murara Neto

Norberto Murara Neto ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama kipa wa klabu ya Hispania Barcelona F.C. Neto alianza kazi yake huko Brazili na klabu ya Athletico Paranaense na baadaye alihamia Fiorentina ya Italia. Mwaka 2015 alijiunga n ...

                                               

Bebo Norman

Jeffrey Stephen "Bebo" Norman ni mwanamuziki wa kisasa wa Kikristo kutoka mji wa Columbus, Georgia. Albamu yake ya mafanikio mengi hadi sasa ni Myself When I Am Real, ambayo ina nyimbo maarufu kama "Great Light of the World" na "Falling Down". Ny ...

                                               

Norodom Sihamoni

Norodom Sihamoni ni Mfalme wa Kamboja. Alipata kuwa Mfalme mnamo 14 Oktoba 2004, wiki moja baada ya kujiuzulu kwa baba yake, Norodom Sihanouk. Yeye ndiye mtoto mkubwa wa Mfalme Sihanouk na Malkia Norodom Monineath. Alikuwa balozi wa Kamboj a kwa ...

                                               

Saidi Ntibazonkiza

Saidi Ntibazonkiza ni mchezaji wa mpira wa miguu wa kulipwa kutoka Burundi anayechezea klabu ya Yanga Sc ya Tanzania na timu ya taifa ya Burundi.

                                               

Nunu Khumalo

Alizaliwa mwaka 1992 nchini Afrika Kusini katika familia ya Kiswati; akiwa na umri wa miezi miwili mama yake alihamia katika mji wa Johannesburg, mwaka 2012, alisoma katika shule ya St Marys Diocesan School for Girls, na baada ya elimu ya upili a ...

                                               

Tony Nyadundo

Tony Nyadundo ni mwana muziki nchini Kenya. Huimba muziki wa Ohangla,mtindo wa kitamaduni wa kabila la waluo. Hushirikiana na bendi ya Ohangla Boys. Anatambulika sasa kama "Mfalme wa Ohangla". Alizaliwa Kal nchini Tanzania. Dadake pacha alifariki ...

                                               

Chacha Nyaigotti-Chacha

Mke Mwenza, Nyaigotti-Chacha, C., East Africa Education Publishers, 1997 African Universities in the Twenty-first Century, Edited by Paul Tiyambe Zeleza Adebayo Olukoshi, Chapter 5: Public Universities, Private Funding: The Challenges in East Afr ...

                                               

Walter Mongare Nyambane

Walter "Nyambane" Mongare ni mzaliwa wa Kenya ambaye ni Mwanasarakasi, mwigizaji na mwimbaji wa nyimbo za maskhara. Amekuwa maarufu katika sarakasi ya kaya ijulikanayo kama Reddykyulass. Yeye ni maarufu sana kwa kuigiza kama Rais wa Kenya Daniel ...

                                               

Maria Nyerere

Maria Nyerere alikuwa mke wa rais wa kwanza wa Tanzania Mwl Julius Kambarage Nyerere kuanzia 1964 hadi 1985. Kwa kawaida nchini Tanzania anajulikana kama Mama Maria tu. Alikuwa mtoto wa saba kati ya tisa wa Gabriel Magige, wa Baraki, Tareme, kuto ...

                                               

Michelle Obama

Michelle LaVaughn Obama, amezaliwa mnamo tar. 17 Januari 1964) ni Mwanasheria wa Kimarekani na ndiyo mke wa Rais wa Marekani Bw. Barack Obama. Huyu ndiye Mwafrika-Mwamerika wa kwanza kuwa Mwanamke wa Kwanza wa Marekani. Michelle alizaliwa na kuku ...

                                               

Olusegun Obasanjo

Matthew Olusegun Aremu Obasanjo ni jenerali mstaafu wa Jeshi la Nigeria aliyekuwa rais wa Nigeria mara mbili. Awamu lake la kwanza lilikuwa kama rais wa kijeshi kati ya 1976 hadi 1979 halafu awamu la pili kama rais aliyechaguliwa na wananchi kati ...

                                               

Gabriel Obertan

Gabriel Obertan ni mchezaji kandanda wa Kifaransa ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Manchester United ya Uingereza. Kimsingi yeye hucheza kama wing’a, lakini pia anaweza kucheza katika kiungo cha kati na kama mshambuliaji. Alikuwa mwanafunzi ka ...

                                               

Victor Obinna

Victor Nsofor Obinna ni mchezaji kandanda wa Nigeria ambaye anacheza kama mshambuliaji kwa timu ya Malaga CF, akicheza kwa mpango ya mkopo kutoka timu ya Internazionale.

                                               

Mariana Ochoa

Mariana Yolanda Ochoa Reyes ni muigizaji wa filamu na mwanamuziki kutoka nchi ya Mexico. Alikuwa mwanachama wa kundi la muziki maarufu kama OV7 awali lilifahamika kama La Onda Vaselina. Baada ya kuachana, Ochoa alianza kujitangaza mwenyewe katika ...

                                               

Raila Odinga

Raila Amolo Odinga ni mwanasiasa wa upinzani nchini Kenya na tangu 13 Aprili 2008 waziri mkuu nchini humo hadi 2013. Aliwahi kuwa mbunge tangu 1992 na waziri katika serikali ya rais Mwai Kibaki kati ya 2001 hadi 2005. Katika uchaguzi wa mwaka 200 ...