ⓘ Free online encyclopedia. Did you know? page 101
                                               

Kel Mitchell

Kel Johari Mitchell ni mwigizaji, mwigizaji wa michezo, mwimbaji, na mwandishi wa Marekani. Anajulikana kwa kazi yake kama mwanachama wa mara kwa mara wa mfululizo wa comedy wa Nickelodeon Yote, kama Mvulana asiyeonekana katika Ben Stiller na Geo ...

                                               

R. Kelly

Robert Sylvester Kelly ni mwimbaji wa muziki wa R&B na soul-mtunzi wa nyimbo, rapa, na mtayarishaji wa rekodi kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina la kisanii kama R. Kelly. Alianza kuingia katika kazi ya muziki kwa mara kwanza k ...

                                               

Kelvin Pius John

Kelvin Pius John ni mchezaji wa soka wa Timu ya taifa ya Tanzania. Ndiye mchezaji mwenye umri mdogo zaidi ambaye anacheza katika timu hiyo. Kwa sasa yupo kwenye kituo cha michezo cha Brooke House Fooball Academy kilichopo Leicestershire nchini Ui ...

                                               

Ezekiel Kemboi

Ezekiel Kemboi Cheboi na ni mwanamichezo wa Kenya.Yeye ni mshindi wa mbio ya 3000 m ya kuruka viunzi katika Olimpiki ya 2004 na Mbio ya Dunia ya Mabingwa 2009. Alizaliwa Matira, karibu na Kapsowar katika Wilaya ya Marakwet. Kemboi alimaliza masom ...

                                               

Kenedy (mchezaji wa mpira wa miguu)

Robert Kenedy ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama winga wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza iitwayo Chelsea F.C. Alicheza mpira akiwa na umri mdogo wa miaka 17 katika klabu ya Fluminense, akifunga magoli matano katika mechi 40 kabla ...

                                               

Kenneth Zohore

Kenneth Zohore ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ligi Kuu ya Cardiff City. Alianza kazi yake nchini Denmark, akicheza mwanzo wake wa kitaaluma katika klabu ya Copenhagen akiwa na umri wa miaka 16, akiwa ...

                                               

Peter Kenneth

Peter Kenneth aliyezaliwa 27 Novemba 1965 ni mwanasiasa wa Kenya. Yeye anatoka katika familiar mashuhuri ijulikanayo kama Muhuni kwa kikikuyu ya eneo la Kirwara katika eneo bunge la Gatanga huko kaunti ya Muranga

                                               

Uhuru Kenyatta

Uhuru Muigai Kenyatta ni mwanasiasa nchini Kenya ambaye amekuwa rais wa nne na wa sasa wa Jamhuri ya Kenya. Baada ya kuongoza nchi, ameshinda uchaguzi mkuu wa Agosti 2017 lakini mahakama kuu ikaamua na kuamuru na kudai urudiwe, marudio ambayo lic ...

                                               

Kevin Prince Boateng

Kevin-Prince Boateng (hutamkwa ; amezaliwa 6 Machi 1987 na wazazi wa mataifa tofauti: baba Mghana mama Mjerumani. Ni bingwa wa mpira wa miguu ambaye kwa sasa anachezea timu ya Eintracht Frankfurt. Ni kiungo ambaye anaweza kucheza kama mshambuliaj ...

                                               

Keylor Navas

Keylor Antonio Navas Gamboa alizaliwa tarehe 15 Disemba 1986 nchini Costa Rica anajulikana kama Keylor Navas ni mchezaji wa mpira wa miguu anayecheza nafasi ya golikipa katika klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Costa Rica. Alianza kucheza k ...

                                               

Kgalema Motlanthe

Kgalema Petrus Motlanthe ni mwanasiasa wa Afrika Kusini ambaye aliwahi kuwa Rais wa Afrika Kusini kati ya tarehe 25 Septemba 2008 na 9 Mei 2009, kufuatia kujiuzulu kwa Thabo Mbeki. Baada ya kumalizika kwa urais wake wa muda, Motlanthe aliteuliwa ...

                                               

Khadija Kopa

Khadija Omar Abdallah Kopa ni mwimbaji wa muziki wa Taarab, mtunzi wa nyimbo na mfanyabiashara kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa ushirikiano wake mkubwa na bendi ya TOT. Ameanza kuimba Taarab tangu 1990 na bendi ya kwanza kujiunga nay ...

                                               

Khadim NDiaye

Serigne Khadim NDiaye ni mchezaji wa Senegal ambaye anacheza katika klabu ya Horoya AC iiliyomo nchini Guinea nafasi ya kipa.

                                               

DJ Khaled

Daverneius Jaimes Khaled anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Khaled, ambaye ni Mpalestina-Mwamerika wa kwanza kusikika kushirikiana na msanii Lil Wayne na Birdman kutoka katika single ya Way Of Life. Huyu bwana ni DJ, mtayarishaji ...

                                               

Khalifa bin Zayed Al Nahyan

Sheikh Khalifa bin Zayed bin Sultan Al Nahyan, anajulikana aidha kama Sheikh Nahyan au Sheikh Khalifa ni Rais wa sasa wa Umoja wa Falme za Kiarabu na Emir wa Abu Dhabi. Alichukua viti hivyo viwili tarehe 3 Novemba 2004, akichukua nafasi ya baba y ...

                                               

Khamis Said Gulamali

Seif Khamis Said Gulamali ni mwanasiasa wa Tanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Mapinduzi. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Manonga kwa miaka 2015 – 2020.

                                               

Riz Khan

Rizwan Khan, anayejulikana kama Riz Khan ni mwandishi habari na mwanamahojiano katika televisheni nchini Uingereza, aliyepata umaarufu alipofanya kazi kwa BBC na CNN. Hivi sasa, yeye ana kipindi chake cha mahojiano kwenye Al Jazeera ya Kiingereza.

                                               

Leleti Khumalo

Leleti Khumalo ni mwigizaji mwenye asili ya Zulu wa Afrika Kusini ambaye alicheza nafasi ya kuongoza katika filamu ya Sarafina! sambamba na Whoopi Goldberg na aliyeigiza katika filamu za Hotel Rwanda na Yesterday. Baada ya kuonyesha nia ya kuigiz ...

                                               

Ali Kiba

Ali Salehe Kiba ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo yake Kings Music records na lebo aliyokuwa akiifanyia kazi Rockstar4000 ambayo alikuwa miongoni mwa wamiliki wake. Ana vipaji vilivyo tofauti na wasanii wenzak ...

                                               

Lucy Kibaki

Lucy Muthoni Kibaki alikuwa mke wa Rais wa Kenya Mwai Kibaki, yaani alikuwa Mwanamke wa Kwanza wa Kenya. Alizaliwa Mukurwe-ini mwaka wa 1940 kwa Rev. John Kagai na Rose Nyachomba, katika Mlima Kenya. Alifunzwa kuwa mwalimu, na akapandishwa cheo h ...

                                               

Mwai Kibaki

Mwai Kibaki alikuwa rais wa tatu wa Jamhuri ya Kenya kuanzia 2002 hadi 2013 akiwa ametanguliwa na Rais wa Kwanza wa Kenya,Mzee Jomo Kenyatta, na Daniel Arap Moi. Jina lake la kubatizwa ni Emilio Stanley. Kibaki alisoma uchumi, historia na sayansi ...

                                               

Zakaria Kibona

Zakaria Kibona ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Tanzania, ambaye kwa sasa anaichezea klabu ya Atlantis FC inayoshiriki katika ligi ya pili ya Ufini katika mji mkuu wa Helsinki nchini Ufini.

                                               

Mzungu Kichaa

Mzungu Kichaa ni mwimbaji na vilevile mwanamuziki kutoka nchini Denmark. Alizaliwa nchini Denmark, lakini kakulia nchini Tanzania, ambapo wazazi wake walikuwa wakifanya kazi katika masuala ya Maendeleo ya Ushirika. Walikwenda nchini Tanzania akiw ...

                                               

Angelique Kidjo

Angélique Kidjo ni mshindi mara tano wa tuzo ya Grammy kama mtunzi na mwimbaji bora. Kidjo anafahamika sana kwa mtindo wake wa kuchanganya miondoko mbali ya kimuziki, pia kuwa mbunifu mzuri wa sini za video.

                                               

Kieran Trippier

Kieran Trippier ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anachezea klabu ya Ligi kuu ya Uingereza iitwayo Tottenham Hotspur na timu ya taifa ya Uingereza. Trippier alianza kazi yake katika mfumo wa vijana huko Manchester City lakini alishindwa kuf ...

                                               

Vincent Kigosi

Vincent Kigosi ni mwigizaji, mwongozaji na mtayarishaji mkubwa wa filamu kutoka nchini Tanzania. Makao makuu yake ni Dar-es-Salaam. Kigosi vilevile anajiita Mr. Nollywood, japokuwa ametengeneza filamu nyingi za Bongo Films. Kigosi alianza kazi ya ...

                                               

Kiko Casilla

Francisco Kiko Casilla Cortés ni mchezaji wa soka wa Hispania ambaye anacheza katika timu ya Real Madrid kama golikipa. Casilla alizaliwa huko Alcover, Tarragona, Catalonia, Casilla hakufurahi sana kucheza wakati wa miaka miwili na St Real Reserv ...

                                               

Salma Kikwete

Salma Kikwete ni mwalimu, mwanaharakati na mwanasiasa ambaye ni mke wa aliyekuwa Rais wa Tanzania wa awamu ya nne Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete, madarakani kuanzia mwaka 2005 hadi 2015. Awali Salma Kikwete alifanya kazi kama mwalimu kwa zaidi ya ...

                                               

Method Kilaini

Method Kilaini ni askofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania anayehudumia kama askofu msaidizi wa Jimbo la Bukoba.

                                               

Linah Kilimo

Linah Jebii Kilimo ni Mbunge wa kike nchini aliyekuwa anahudumu katika serikali ya Kenya. Katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2002 alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Marakwet Mashariki kwa tiketi ya NARC. Wapinzani wake wa kisiasa walikuwa wamep ...

                                               

Masta Killa

Elgin Turner ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Masta Killa. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la muziki wa hip hop la Wu-Tang Clan. Japokuwa yeye ni miongoni mwa wanach ...

                                               

Ghostface Killah

Dennis Coles ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ghostface Killah. Huyu ni mmoja kati ya wanaounda kundi zima la Wu-Tang Clan. Baada ya kundi kuambulia mafanikio yake makubwa kwa ...

                                               

Kim Jong-un

Kim Jong-un ni Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Korea na kiongozi mkuu wa Korea ya Kaskazini. Kim ni mtoto wa pili wa Kim Jong-il 1941-2011 na Ko Yong-hui. Kabla ya kuchukua madaraka, Kim alikuwa haonekani mara kwa mara kwa umma. Maelezo ka ...

                                               

Kim Seung-gyu

Kim Seung-gyu ni mchezaji wa soka wa Korea Kusini ambaye anacheza katika klabu iliyopo Japani Vissel Kobe, na pia sasa ni kipa wa timu ya taifa ya Korea Kusini.

                                               

Kamoya Kimeu

Kamoya Kimeu ni mmoja wa wavumbuzi wa mabaki ya kitambo waliofanikiwa sana duniani, pamoja na ushirikiano wake na wanapalantolojia Meave Leakey na Richard Leakey waliovumbua baadhi ya mabaki muhimu zaidi. Kimeu alipata fuvu la Homo habilis lililo ...

                                               

Amos Kimunya

Amos Muhinga Kimunya ni mwanasiasa wa Kenya na Mbunge wa Jimbo la Kipipiri, sasa yeye ni Waziri wa Biashara. Alikuwa Waziri wa Fedha kutoka mwaka 2006 hadi Julai 2008, wakati alijiuzulu kutokana na kashfa ya Hoteli ya Grand Regency. Hapo awali, a ...

                                               

Abdulrahman Omari Kinana

Abdulrahman Omari Kinana ni mwanasiasa Mtanzania aliyewahi kuhudumu katika Bunge la Afrika Mashariki kama spika wa Bunge hilo kutoka mwaka 2001 hadi 2006. Alikuwa katibu mkuu wa chama tawala, Chama cha Mapinduzi, kutoka mwaka 2012 mpaka hapo alip ...

                                               

Carola Kinasha

Carola Daniel Amri Kinasha ni mwanamuziki wa kike wa kitanzania. Baada ya kumaliza masomo ya elimu ya msingi huko Longido, alihamia jijini Dar Es Salaam ambako alipata elimu ya sekondari na ya chuo kikuu katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Carol ...

                                               

Sean Kingston

Kisean Anderson anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Sean Kingston, ni rapa na mwimbaji wa raggae wa Kijamaika-Marekani. Japokuwa, Sean alizaliwa Marekani, lakini makuzi yake yote yalikuwa mjini Kingston, Jamaika, aliondoka Marekani ak ...

                                               

Barnabas Kinyor

Alimaliza wa 7 katika Michezo ya Commonwealth ya 1990, wa nane katika Mashindano ya Dunia ya Riadha ya 1993" katika shindano la mita 400 kuruka vizuizi la wanaume na akashinda Nishani ya Shaba katika Michezo ya Jumuia ya Madola ya 1994. Pia alish ...

                                               

Asbel Kiprop

Asbel Kiprop ni mkimbiaji kutoka Kenya ambaye mtaalamu katika mbio za mita 1.500. Kiprop alishinda medali ya dhahabu katika Michezo ya Olimpiki ya mwaka wa 2008 katika mbio za mita 1500, baada ya Rashid Ramzi kupimwa na kupatikana kuwa alikuwa am ...

                                               

Brimin Kipruto

Brimin Kipruto ni mwanariadha wa umbali wa wastani wa Kenya. Yeye alizaliwa Korkitony,Wilaya ya Keiyo. Yeye,hasa, hushiriki katika mbio ya 3000m ya kuruka viunzi ambapo muda wake bora kabisa ni dakika 8:04.22. Katika Mbio za Dunia za Vijana za 20 ...

                                               

Moses Kiptanui

Moses Kiptanui ni mwanariadha wa mbio ya umbali wa wastani na refu.Anajulikana zaidi kwa mbio ya 3000m ya kuruka viunzi alipokuwa mwanariadha bora kabisa kati ya miaka ya 1991 hadi 1995 na ni bingwa wa IAAF mara tatu mfululizo. Kiptanui,pia, alik ...

                                               

Kirsten Prout

Kirsten Prout ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Kanada ambaye kazaliwa mjini Vancouver, British Columbia. Alipata kucheza katika mfululizo wa TV ya ABC Family, Kyle XY alicheza kama Amanda Bloom. Vilevile anajulikana kwa kucheza kama Charlotte ...

                                               

Kiswaga Boniventura Destery

Kiswaga Boniventura Destery ni mwanasiasa Mtanzania, mwanachama wa chama cha Mapinduzi. Amechaguliwa kuwa mbunge wa jimbo la Magu kwa miaka 2015 – 2020. Amechaguliwa tena kwa mara pili kuwa Mbunge wa Jimbo la Magu miaka 2020-2025, huku akipenya k ...

                                               

Miroslav Klose

Miroslav Klose ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka nchini Ujerumani, mshambuliaji katika Timu ya Taifa ya Ujerumani na S.S. Lazio katika Serie A.

                                               

Kodak Black

Bill K. Kapri ni rapa, mwimbaji na mtunzi wa Marekani. Anatambuliwa kwa single zake "Zeze", "Roll in Peace", "Tunono Vision", na "No Flockin", pamoja na maswala yake mengi ya kisheria.Kodak black amezaliwa Dieuson Octave,Florida.

                                               

Jeff Koinange

Jeff Koinange ni mwandishi wa habari wa televisheni, anayejulikana kuwahi kufanya kazi CNN kama mwandishi wa habari za kutoka Afrika, na kwa CNN International mnamo 2001-2007.

                                               

Musikari Kombo

Musikari Nazi Kombo ni mwanasiasa kutoka nchi ya Kenya na sasa anahudumu kama Mbunge wa kuteuliwa. Alijiunga na Shule ya Msingi ya Misikhu kwa elimu yake ya msingi, kisha akajiunga na shule ya msingi ya Rakwaro, na hatimaye kuhamia Mumias ambapo ...

                                               

Konshens

"Forever Young" 2014 "Duppy Dem" 2014 "Turbo wine" feat Rickman 2013 "Shat A Fyah" 2012 "Bruk off" 2016 "So Mi Tan"2012 "Gal A Bubble" 2012 "On Your Face"2012 "Stop Sign" 2012 "Buss A Blank" 2011 "Weak"reggae 2010 "Tan up an Wuk" 2013 "Couple up" ...